MASOUD KIPANYA AZINDUA GARI LAKE "LINATUMIA UMEME, UKINUNUA UNAUZIWA NA CHAJA YAKE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 118

  • @stephencharles9966
    @stephencharles9966 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Sana bro Masoud kwa udhubutu WA Hali ya juuu... You are a real innovator may gud God bless your work to be progressive... Bravo

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Masudi Kipanya. Nakuombea kwa Mungu uzidi kuendelea mwanangu Inshallah.

  • @glorymushi704
    @glorymushi704 2 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwe pamoja na watu wake . Hongera sana broo 😇

  • @philipbahati1664
    @philipbahati1664 2 ปีที่แล้ว +1

    safi sana Masoud. with more time utafanya makubwa zaidi. Mungu azidi kukufunza na kukuza talents zako💪

  • @gabrielkokolo4251
    @gabrielkokolo4251 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana kp motors we need these as a country.... keep it up

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 2 ปีที่แล้ว

    Kp no comment bro,Allah azid kukufunguriaa yale yaliofungwaaa

  • @JIWEtv6484
    @JIWEtv6484 2 ปีที่แล้ว +2

    Hogera sana bro, mwenyezi Mungu akuzidishie zaidi

  • @marcoakyoo760
    @marcoakyoo760 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Kp kwa ubunifu wako kazi nzuri 👏👏👏👏

  • @robesongvictor
    @robesongvictor 2 ปีที่แล้ว

    Hongera 👏👏👏 sana kwa uthubutu

  • @iddykisika1784
    @iddykisika1784 2 ปีที่แล้ว

    Bro upo vzr allha akujari uwezo zaidi ya huuooo ulio nao hap

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 2 ปีที่แล้ว +1

    Haya ndoo mambo ya maendereo hongera watz hongera kaka

  • @salummhina4857
    @salummhina4857 2 ปีที่แล้ว +13

    Hivi ni mimi au ni muandishi!!Gari katengeneza moja kwa miezi kumi.Lakini kwenye video inaonekana ana pokea oders as if ana kiwanda.Mimi kwauelewa wangu mdogo nilitegemea kuona anaelezea alivyo anza kutengeneza hadi kufikia hapo.Na je gari lake limepitishwa na bodi husika kuhusu ubora na viwango!?Kama mnakumbuka yupo mtanzania alishawahi kutengeneza gari akalipeleka hadi kwenye maonysho ya biashara.Hadi leo hajapata approval bado hata hilo gari hsliruhusiwi kutembea barabarani hivyo hulazimika kukodi breakdown kulibeba .
    Sina nia mbaya na Masoud na wala sina kinyongo na brother huyu.Mimi ni fun wake mkubwa sana.Ninachohitaji ni maelezo ya kutosha tuu.Gari hili katengenezea wapi hapa nchini au nje??VYOVYOTE VILE BADO TUNASTAHILI KUMPONGEZA KWA HARAKATI ZAKE.

    • @yunusbakari6916
      @yunusbakari6916 2 ปีที่แล้ว +1

      Bro ametumia ku design kwa miezi 10

    • @johnsonvalerian8798
      @johnsonvalerian8798 2 ปีที่แล้ว +1

      Vp kuhusu spare zake

    • @yunusbakari6916
      @yunusbakari6916 2 ปีที่แล้ว

      Mmmh spare sijafaham Ila Kam ameweza ku design sizani Kama atakosa spare kwa sabab yeye si ndo fundi mkuu kwaiyo any repairs atakuwa anazijua

    • @abdallahmussa2676
      @abdallahmussa2676 2 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli haiingii akilini...atoe maelezo ya kutosha....alafu inapewa nguvu bila kujali misingi na taratibu ninazotakiwa chuchukuliwa

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 2 ปีที่แล้ว

      @@abdallahmussa2676 kuhusu kupewa nguvu acha apewe nguvu ili serekali nayo ione umuhimu wa kuwawezesha watu wenye akili chanya kama kipanya. Unadhani usipopewa nguvu na wadau na washkaj zako nani mwingin wa kukupa nguvu. Serekali yenyew hii. Ikiona unabun kitu cha maana inakuzima. Hapo saf sana maana hata wao watashindwa pa kumzimia huyu jamaa. Yan amecheza sana na akili zao hawa wanaojiita serekali. Na anajua wanamchukia vile anavyowadisi daily kwenye michoro. Hivyo anajua watadis hata iweje

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 2 ปีที่แล้ว +2

    Vitu kama hivi vya maana wabongo huwa hawavishobokei,lkn waambie umbea SASA ndio utajuwa wapo

  • @josehaulee1508
    @josehaulee1508 2 ปีที่แล้ว

    Greater thinker

  • @samsonyohana2355
    @samsonyohana2355 2 ปีที่แล้ว +1

    Gari nzury💯💯💯

  • @upendolema9809
    @upendolema9809 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni kubwa kuliko,anastahili heshima kiukweli👏👏👏

  • @gervasally6979
    @gervasally6979 2 ปีที่แล้ว +1

    Muuzie Moo mana vile vimiguu vitatu vyake vinakelele mno hapa mjini 🤣🤣 Well done Kipanya.
    Ila serikali yetu ni wezi sana
    Me mdogo wangu walishafanya pale Tazara Project ya kutengeneza kinelenge cha umeme na wakafanikiwa cha ajabu wamepotezewa utadhani serikali haielewi faida ya kua na vijana kama hawa.

  • @iddyissa8110
    @iddyissa8110 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa ukilicharg linatumia siku ngapi kuisha charge au ndio kukwama barabarani

  • @mwalimulossilamsuya1944
    @mwalimulossilamsuya1944 2 ปีที่แล้ว

    I real admire brother Kp

  • @evelynebwire7684
    @evelynebwire7684 2 ปีที่แล้ว +1

    Waooooh
    Hongera sana kaka Masoud

  • @ezekielwatson9926
    @ezekielwatson9926 2 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo miongozi Yetu inasapoti watanzania kuibiwa na sio kusapoti raia wao hongera kipanya kwa ubunifu

    • @ezekianjella8396
      @ezekianjella8396 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweri yaani apa serikali ndio palikuwa pakuweka uwekezaji

  • @rashidramadhan7708
    @rashidramadhan7708 2 ปีที่แล้ว +4

    Logo ya kipanya ikae mbele hapo kama Toyota ama Benz na gari zingine nyingi

  • @givenmazengo7738
    @givenmazengo7738 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kaka ,

  • @allymwakivike2570
    @allymwakivike2570 2 ปีที่แล้ว

    Namkubari Sana broo unafaa kuongoza hili taifa

  • @deus8629
    @deus8629 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Kipanya Masoud.

  • @jacksonmalota2995
    @jacksonmalota2995 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana ila mfumo wa ulipuaji unakuaje maana apo kuna somo kubwa

  • @peterremy8013
    @peterremy8013 2 ปีที่แล้ว

    Sina mengi ila good job brother

  • @mateikihoi8125
    @mateikihoi8125 2 ปีที่แล้ว

    hongera sana

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna haja ya serikali kupongeza hawa watu kama masood kiukweli ni uthubutu mkubwa sana ...ina serikali iangalie hayo makato maana TRA ni adui mkubwa wa wafanya biashara hapo masood mwisho wa siku hatakutana na na bili ya kulipa mpaka ukaona hiki nn

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahah Katisha Big up

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 2 ปีที่แล้ว

    Watanzania MUNGU MWENYEZI azidi kuwapa maono,🇹🇿 yetu isonge mbele.
    Hongera saana kijana Mtanzania.
    Na tupende vilivyo vyetu
    Weka namba ya simu walio nje wakupate 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤

  • @frankfaraja4767
    @frankfaraja4767 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah bless you

  • @phaldaz
    @phaldaz 2 ปีที่แล้ว +2

    1) Bei yake ni nini? / What is the price?
    2) Inachaji kutumia umeme ya nyumbani ama inahitaji stesheni maalum / Does it charge with a home electrocardiogram connection or does it need a specific electric vehicle charge station to go to?

  • @mbarakaubuguyu7448
    @mbarakaubuguyu7448 2 ปีที่แล้ว

    Safi broo ila shida shida uongozi hautakusaport

  • @mamawadudu48
    @mamawadudu48 2 ปีที่แล้ว

    Mbona hamuongei vitu vya msingi.kama, Gari unachaji masaa sita hamsemi litatumika umbali gani kwa full charge hiyo.

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 2 ปีที่แล้ว +2

    Zinapatikana wapi hizi kipanya pickup

  • @rameckgototv4397
    @rameckgototv4397 2 ปีที่แล้ว +1

    Wenzenu wanafanyaga majaribio miaka hata mitatu au hata kumi

  • @jaffetysamson2007
    @jaffetysamson2007 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mkuu

  • @immamwandolela6851
    @immamwandolela6851 2 ปีที่แล้ว

    Ongera kaka masudi kila atua dua

  • @nyundomaster1541
    @nyundomaster1541 2 ปีที่แล้ว

    Me bado Nina ukakasi.
    Atuambie ukweli tu Kwaba ameagiza china.working station yake IPO wapi kwa sisi wa kina thomaso tukajionee...si kwa mabaya

  • @moodychanday9220
    @moodychanday9220 2 ปีที่แล้ว

    Badala auze na PowerBank ye anauza na Charg yake sa kama imezimikia mbali na Home inakuwaje sasa

  • @kingson9085
    @kingson9085 2 ปีที่แล้ว

    Salute brother hatua kubwa sana

  • @MM-oe2eo
    @MM-oe2eo 2 ปีที่แล้ว +1

    You can manage to immitate EV technology from abroad (of which its not bad, given technology advancement motive, and infact profit motive) but a a critical question is, is the project commercially viable????

  • @vitalimaembe76
    @vitalimaembe76 2 ปีที่แล้ว

    Safi Sana Bro, hongera!

  • @jayotv2024
    @jayotv2024 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni maka michezo tuko mwaka 2022 gani muundo wa wake 1992 acheni miche zo kiasi hicho

  • @hamzamasamvula3542
    @hamzamasamvula3542 2 ปีที่แล้ว

    Eeeh bwana weeh mbona siamini kama ni kweli Unastahili tuzo na mzinga mmoja

  • @peterskauki5134
    @peterskauki5134 2 ปีที่แล้ว

    Masoud Kipanya akili kubwaaa

  • @masudimillanzi994
    @masudimillanzi994 2 ปีที่แล้ว

    Tolor zur xana aisee

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 2 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN.

  • @rameckgototv4397
    @rameckgototv4397 2 ปีที่แล้ว +3

    Ajengewe sanamu mtanzania wa kwanza kutengeneza gari ya charge

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 2 ปีที่แล้ว

    Good 👍

  • @murtazantimba4270
    @murtazantimba4270 2 ปีที่แล้ว +1

    Vp nikihitaji napata au ndo hiyo moja

  • @ernestgervas7021
    @ernestgervas7021 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana

  • @danieliskander9680
    @danieliskander9680 2 ปีที่แล้ว +1

    Respect

  • @georgebarnaba8574
    @georgebarnaba8574 2 ปีที่แล้ว

    Chaji ikiwa fulu unatembea kilo mita ngapi?

  • @jovinusjovenary1011
    @jovinusjovenary1011 2 ปีที่แล้ว

    Pongenzi sana kwakweli

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi.

  • @angelmfinanga2354
    @angelmfinanga2354 2 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @Worldunite
    @Worldunite 2 ปีที่แล้ว

    Cha ajabu nini????

  • @pastorymushi5036
    @pastorymushi5036 2 ปีที่แล้ว

    Kwnn video zinakosa sauti?

  • @navanjkiba2439
    @navanjkiba2439 2 ปีที่แล้ว

    Talent

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 2 ปีที่แล้ว

    Gari inafanana na hicho kipanya kweli

  • @brunokimaro1053
    @brunokimaro1053 2 ปีที่แล้ว

    Mi December kaka

  • @samweljumamkumbo7555
    @samweljumamkumbo7555 2 ปีที่แล้ว

    Fasihi iliyo hai kuitoa jamii Gizani

  • @omieoug
    @omieoug 2 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania bhana kigari chenyewe kam cha wacheze golf 😂😂😂

  • @swahiliupdates3051
    @swahiliupdates3051 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @kasumilikamilius1338
    @kasumilikamilius1338 2 ปีที่แล้ว +1

    Amna kiwanda Wala tools za kutengenezea gali, ilo gali kanunua China wanasema katengeneza atuonyeshe tools alizotengenezea au sehemu alipo tengenezea ndio tutaamini sio kununua gali na kuliasemble alafu unasema umetengeneza

    • @ramadhanikibenga5840
      @ramadhanikibenga5840 2 ปีที่แล้ว +1

      Una uhakika kuwa kanunua China ??

    • @pascalntandu1217
      @pascalntandu1217 2 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanikibenga5840 kahoji jambo la msingi huyu,je wewe unauhakika masoud katengeneza?

    • @ramadhanikibenga5840
      @ramadhanikibenga5840 2 ปีที่แล้ว

      Nyie Kabla ya kusikiliza maelezo ya mtengenezaji. Mnaanza kuonyesha hisia na mawazo yenu finyu, au Nyie wachawi ???

  • @blackwarrior-animations593
    @blackwarrior-animations593 2 ปีที่แล้ว

    UMEME WENYEW NDIO HUU HUU WA MGAO SIO ...???

  • @Juliandila
    @Juliandila 2 ปีที่แล้ว +1

    Bei ya gari!?

  • @robbierobin3094
    @robbierobin3094 2 ปีที่แล้ว

    Gari ya Kipanya haikai foleni

  • @yujinxhing3766
    @yujinxhing3766 2 ปีที่แล้ว

    Kigari cha kuzungukia yadi icho

  • @issaidrisa8235
    @issaidrisa8235 6 หลายเดือนก่อน

    Masudi mchukue nahuyu dogo mfundishe nae anaweza

  • @mateikihoi8125
    @mateikihoi8125 2 ปีที่แล้ว

    angekuwa magu. ungepata saapotiii
    ila kwa uongozi huuu
    mmmmmm

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 ปีที่แล้ว

    Bei ni Laki ngapi???

  • @iddirajabu4577
    @iddirajabu4577 2 ปีที่แล้ว

    👏🧠

  • @hamisimkunda702
    @hamisimkunda702 2 ปีที่แล้ว

    Unyama

  • @timothmziray4709
    @timothmziray4709 2 ปีที่แล้ว

    hatuwez kupata size XL

  • @dannymoses1882
    @dannymoses1882 2 ปีที่แล้ว +1

    Bei yake

  • @khamisadam58
    @khamisadam58 2 ปีที่แล้ว

    Lauzwa pesa ngapi

  • @chimagulirarama6661
    @chimagulirarama6661 2 ปีที่แล้ว

    Kukitaka tunazipata wap

  • @digostjafety6070
    @digostjafety6070 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa huku ndo serikali ingefokasi sio kwenye mituzo ya kisenge senge

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 2 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania Sasa Manisha yamekuwa magumu mnabuni hata visivyobuniwa

  • @geniuzinfromertz9546
    @geniuzinfromertz9546 2 ปีที่แล้ว

    Tazama usipitwe na mechi ya Leo....th-cam.com/video/MBLmRmc3rCo/w-d-xo.html

  • @pascal2415
    @pascal2415 2 ปีที่แล้ว

    Saa 6 hahaha

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @djtiffa9664
    @djtiffa9664 2 ปีที่แล้ว

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#.
    th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html

  • @hajimnyamato4437
    @hajimnyamato4437 2 ปีที่แล้ว

    Video imekuwa fupi sana

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว

    Upuuzi mtupu

    • @mohammedrashid7735
      @mohammedrashid7735 2 ปีที่แล้ว

      Acha negative thoughts kila kitu kina mqanzo inapaswa tu appreciate watu wanaojaribu na kuthubutu kama hawa

  • @Moon-rp5tm
    @Moon-rp5tm 2 ปีที่แล้ว

    Shingap

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 2 ปีที่แล้ว +1

    Upuuzi

    • @thomasgabriel900
      @thomasgabriel900 2 ปีที่แล้ว +2

      We umezindua nini. Acha ufala mandazi...masoud kapiga hatua kubwa sana😎

  • @festusjchunya7246
    @festusjchunya7246 2 ปีที่แล้ว

    Kiwanda cha masudi kiko wapi na vyuma plastic material na vio amevifanyia wapi!@masudi acha sifa za uongo umepropose china wakutengenezee hicho uwe wakala ukidai umetengeneza wewe pole!@

    • @jimmykileo1473
      @jimmykileo1473 2 ปีที่แล้ว

      Propose na wewe tuone. Usiulazimishe moyo wako kua na chuki. Pongeza juhudi za mwenzio na mungu atakuinua

    • @boniphacebukombe7285
      @boniphacebukombe7285 2 ปีที่แล้ว

      Hii ndiyo mioyo ya Wafrika waliyo wengi kuamini kuwa kila kitu lazima wafanye weupe. Support kazi za Nyumbani acha fikra za Utumwa

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 2 ปีที่แล้ว +1

    👎

    • @thomasgabriel900
      @thomasgabriel900 2 ปีที่แล้ว

      We umezindua nini. 💥

    • @ramadhanikibenga5840
      @ramadhanikibenga5840 2 ปีที่แล้ว

      Mchawi wewe

    • @jablanco3205
      @jablanco3205 2 ปีที่แล้ว +2

      @@thomasgabriel900 people are full of hate,i dont get it,why cant they be happy for him,wait! i think cuz he aint white,cuz africans looovee they masters.🤣🤣🤣

    • @fulustanandrew6546
      @fulustanandrew6546 2 ปีที่แล้ว

      Hongera sana Brother,itauzwa shilingi ngapi ili tujipange

  • @erickbabu4404
    @erickbabu4404 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @djtiffa9664
    @djtiffa9664 2 ปีที่แล้ว

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#.
    th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana