Hapo naona mmepotosha kabisa kwenye ile Interview swali aliloulizwa masoud lili generalise na halikumlenga Mwijaku. Na Masoud alijibu kwa namna swali lilivyoulizwa na hakutaja jina la mtu.Hapa naona mnasema alimentaja Mwijaku. Hapo mnawagombanisha bila sababu.
Hatua Tv,mtazamo wangu ni kwamba Ukubwa wa KIPANYA unatofauti kuuuuubwa na huo Ukubwa ulioutaja wa Mwijaku,usilinganishe hata kidogo. Believe me... MWIJAKU atapiga magoti na kuomba MSAMAHA. Angalia kwenye Paji la Uso wa MASOUD..... atamsamehe akija kwa ADABU
Hapo naona mmepotosha kabisa kwenye ile Interview swali aliloulizwa masoud lili generalise na halikumlenga Mwijaku. Na Masoud alijibu kwa namna swali lilivyoulizwa na hakutaja jina la mtu.Hapa naona mnasema alimentaja Mwijaku. Hapo mnawagombanisha bila sababu.
Hatua Tv,mtazamo wangu ni kwamba Ukubwa wa KIPANYA unatofauti kuuuuubwa na huo Ukubwa ulioutaja wa Mwijaku,usilinganishe hata kidogo. Believe me... MWIJAKU atapiga magoti na kuomba MSAMAHA. Angalia kwenye Paji la Uso wa MASOUD.....
atamsamehe akija kwa ADABU
Nimeanza kumjua kaka masudi toka wakati wa maisha plus
Punguza story direct kweny mada unatukwaza
Masoud kamkosea
Punguza story mzee
Yeye km nani