Pia Ally tuandalie makala kuzihusu BlackRock,State street na Vanguard jinsi zinavyo control asset za makampuni mengine makubwa duniani na jinsi zinavyoendesha chumi za dunia
Sasa hapa bwana Masubi hapa umekuja kama Don Yen mzee wang kwanza saut umeipangilia vizuri si kama zamani ulipokuwa ukitoa makala fupi mzee, mimi kama Chair Man wa GPS nakupa nyota 5 bro big up kwa team sns mnatisha saaana 🎉❤️ 🌹
Sio kwa ubaya lakini bro ungebakia kuwa muandaaji na mtayarishaji ila kusimulia nadhani kuna test flani hivi ikakaa hapo ingechangamka zaid sio kwa ubaya lakini
Umesema kweli #AllyMasubi. Asilimia kubwa U.S ndiyo nchi namba 1 inayohusika kwa karibu katika kila mzozo kote duniani. Na bila shaka ndiyo ya kwanza inayonufaika kwa mauzo makubwa ya biashara ya silaha duniani, kisha ndo wengine wanafuata kama tunavyoona katika ripoti ya SIPRI.
Na mfaidika mkuu ni Marekani. Ukitaka kuwa salama hapa duniani usimsikilize Marekani yaani usimsikilize Marekani kabisaaa. Marekani anachotaka ni vita ili imuingizie pesa. Nyie mfe mfe hajali anachotaka ni PESAAA.
Ila itakua unyama sana kama utakua unawasilisha content zako kwa ku behave na ule uhalisia wako tuliokuzoea nao,, sio lazima wote msound km msomaji wa habari kutoka bbc swahili au doch vere🙌in all and all content kali mzee
Wa kwanza leo ni kutoka zanzibar
Sns mupo juu sana
Halla👋
Pia Ally tuandalie makala kuzihusu BlackRock,State street na Vanguard jinsi zinavyo control asset za makampuni mengine makubwa duniani na jinsi zinavyoendesha chumi za dunia
Utazipata mkuu.
Uko na kitu ndani Yako ambacho ni Cha kipekee.. congratulation my bro Ali masubi💪💪
Pamoja my brother omondi
Kaka Ally Utatisha sana nilikuwa na hamu sana ya kuijua Industrial military compex.Barikiwa sana Ally
Pamoja kaka
Hongera kaka Ally Masubi kwa kutupa madini kutokea SNS.
🙏🏾🙏🏾
❤❤❤I say sns mnaupiga mwingi sana. Keep going. My favourite online channel. Love from Kenya
Sasa hapa bwana Masubi hapa umekuja kama Don Yen mzee wang kwanza saut umeipangilia vizuri si kama zamani ulipokuwa ukitoa makala fupi mzee, mimi kama Chair Man wa GPS nakupa nyota 5 bro big up kwa team sns mnatisha saaana 🎉❤️ 🌹
Pamoja sana kaka.
Watanzania tutulie. Tutulie, anaehubiri demokrasia akahubiri Saudia huko atukomee😂😂😂
Marekani uyo ndo mnuafaika no1
Marekan ndio mnufaika no 1
Unyamaa🔥🔥🔥🔥🔥
Jamaa anajua
#SNS Atujawaifeli mwnang #MASUBI kipindi cha kinyama 🔥🔥kizazi kabisaaa
🙏🏾
Marekani, Russia,china, UK,na ujeremanii ndoo waleta balaaa😢😢😢
Unajua wanao leta balaa asaa hapa duniani, na sie tuna wajua
Proudly SNS
Ali simulia kawada Bhana ndio inakuwa poa Zaid
YAKOBO.4:1"Vita vyatoka wapi? na mapigano yaliko Kati yenu yatoka wapi? Si humu, katika tamaa zenu zifanyazo vita katika viungo vyenu?"
Sio kwa ubaya lakini bro ungebakia kuwa muandaaji na mtayarishaji ila kusimulia nadhani kuna test flani hivi ikakaa hapo ingechangamka zaid sio kwa ubaya lakini
Angebaki sky mwenyewe,au wamtafute mtiga abdallah wa story book zamani au ajifunze jinsi ya kusimulia
SNS NI JITU KUBWA SANA, MUDA UTAONGEA TU KUDADADADEQ
this is content!
Alafu linatokea jitu lina anza kuwasifia watu wa magharibi, haswa hawa marekani, yani sjui nalionane jitu hilo
Huwaga napata shida juu ya uelewa zao
Tulia ujui kitu pumbu wewe
@@LeandreCelestin ndio nyie awo tunao waongelea mshoga mkubwa wee
Ally kipenz changu ❤❤
🙏🏾Karibu the classroom
Kuna video George Bush anasema " war trumps peace" huku anafurahi😢😢😢 Hapo ndo uelewe eti vita ni bora kuliko amanii
Duh
Marekan na Urusi sababu ndo silaha nyingi zinatumika dunianj
Mada nzuri,lakini usimuliaji wake haivutii.
Mwanaume unataka sauti ya kuvutia 😅😅😅 nenda kwa Diddy
@beberu29 😂😂😂 muhimu content mzee.
Speed kubwa sana
Na hamna pause although content imetulia
Tutarekebisha kaka
Kuna tofauti gani kati ya kombora na bomu ?
Kombora linarushwa kutoka kwenye launcher mfano RPG ama kutoka kwenye ndege, Ila bomu linaweza kurushwa kwa mkono ama kutegwa.
Vita ni biashara kubwa
Good Ally ..
Pamoja kaka
✌
Mislaamu mijinga inapenda wtu wtoe tarfa za kushnda ht kma awakushinda
Classroom iendelee tafadhari
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Ongea kawaida tu brother mbona km unapanga sauti sana
Safi
Nataka jina lako la Instagram
@chimasubi
Umesema kweli #AllyMasubi.
Asilimia kubwa U.S ndiyo nchi namba 1 inayohusika kwa karibu katika kila mzozo kote duniani. Na bila shaka ndiyo ya kwanza inayonufaika kwa mauzo makubwa ya biashara ya silaha duniani, kisha ndo wengine wanafuata kama tunavyoona katika ripoti ya SIPRI.
🙏🏾
Marekani ndio chanzo cha hayo yote
Biashara ya siraha ina Siri nzito saana maana huwa wanatengeneza ili wauze
Na mfaidika mkuu ni Marekani. Ukitaka kuwa salama hapa duniani usimsikilize Marekani yaani usimsikilize Marekani kabisaaa. Marekani anachotaka ni vita ili imuingizie pesa. Nyie mfe mfe hajali anachotaka ni PESAAA.
🙏🏾
Henry Kissinger anasema "To be an enemy of the US is dangerous, but to be a friend is fatal"
@@jerryndondole1965Kabisa angalia Ukraine
Hata kuchanganya picha tu umeshindwa😂
Tuambie droni zinapiga nyumba ya Netanyahou ulinzi Wa anga umelala
MASUBI UNA KITU, UTAFIKA MBALI🤘
Ahsante kaka.endelea kusaport sns.
Lichanel la kisram
Ila itakua unyama sana kama utakua unawasilisha content zako kwa ku behave na ule uhalisia wako tuliokuzoea nao,, sio lazima wote msound km msomaji wa habari kutoka bbc swahili au doch vere🙌in all and all content kali mzee
🙏🏾
Hii ni makala kaka analysis itakuwa inaendelea kama kawa
Bless sana mkar✊🏽✊🏽✊🏽
Bila American kuangamia kwenye huu ulimwengu kamwe Dunia haiwezi kuwa salama
Ulimwengu ni sayari zote ,nyota na vingine tusivyovijua Kwa hiyo neno elimwengu Lina maaana Pana ila sisi watanzania tu ndo tunaharibu maaana
Kuna Channel inaitwa Lena Petrova waliupload video inaelezea jinsi gani vita ya Ukraine imewaingizia faida kampuni za silaha hatariiiiiii.
😢😢
@@thefactbook...1607Kafatilie hiyo Channel ujionee mwenyewe
Thanks kunijuza naenda kufuatilia
@@jerryndondole1965All the best. Ni vyema tufuatilie yanayoendelea duniani ili tusije kurudia makosa ya wengine
@@jerryndondole1965Na kuna Channel inaitwa Geopolítical Economy Report iko vizuri
ALI MASUBI MBONI UNANIANGUSHA BRAZA,MAANA NAKUFAHSMU WE NI MCHAMBUZI MZULI WA MAMBO AYO ILA MAKALA ZAKO AZIMA MVUTO SABABU HAUCHAMBUI BALI UNAELEZEA
Ally ni mzuri sana kuelezea na Dj Sma na Henry ni wazuri sana kwa kuchambua
Uchambuzi utakuepo kama kawa hii ila hii ndyo zone yetu karibu The classroom
Makala nzri kwa mujibu ya makala yako tyri tunmjuwa mchawi wa Ili jnmizi ni mmarkni ndio black mamba mkubwa haha