VITA YA KAGERA, MWANAJESHI ASIMULIA "MAGUFULI TUANGALIE, SIWEZI KUTEMBEA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @eddahhawa7471
    @eddahhawa7471 5 ปีที่แล้ว +8

    Ninyi ndio watu tunaojivunia hasa tukisikia Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTz),,Hongera sana na Asante kwa kazi nzurii shujaa wetu.....pole kwa maumivu yaliyo kukuta lakini mungu yupo na wewe utapata haki yako baba.

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 5 ปีที่แล้ว +8

    Uyu ni mtu muhimu sana ktk hili taifa kuliko hawa wanaotembea na na v8 sasa ivi..! Asante kwa kuhudumia taifa letu. Mungu atakusaidia kilio chako naamini kitaisha

  • @Silyvesta
    @Silyvesta 2 ปีที่แล้ว +3

    Wanajeshi WA staff WA ulaya wanajaliwa na kulipwa vizuri maisha Yao Safi Ila tz duuh inasikitisha Sana kama vile hawajapigania Uhuru aise duuh.

  • @user-yj5ef7ev8p
    @user-yj5ef7ev8p 5 ปีที่แล้ว +5

    thanks for your service.

  • @williamnathan4630
    @williamnathan4630 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana , ningefurahi sana Kama ninyi mashujaa mngeandika historia zenu ktk vitabu na kuacha kumbukumbu kwa Jamii. Yale mliofanya yanajulikana , inaumiza kuona Kumbukumbu na matukio yaliyowasibu ktk KAZI hayawekwi. Mbona wale waliotumika ktk jeshi la South Africa (SADF), USA n.k Kila siku twasoma historia zao hata nyingine za kutumikia majeshi Yao kukandamiza na kupambana na wapigania uhuru , lakini wameweka Kumbukumbu zao!

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว +2

    Wapiganaji wote waliopitia vita ya Kagera serikali iwasaidie,ilikuwa kazi ngumu kweli kweli pamoja na kuwa sisi wanawake tulibaki Kambini lakini mziki wake ilikuwa ngumu sana.Wanaume hawa walikwenda kupigania nchi yetu.

  • @brightmpembela5177
    @brightmpembela5177 4 ปีที่แล้ว +7

    Serikali imuangalie kwa jicho la pili mpiganaji huyu walijitoa sana kwajil ya watanzania

  • @kato_tz
    @kato_tz 5 ปีที่แล้ว +4

    There is a need kwamba tuko na Amani kwa sababu wapo ambao walipigania hiyo Amani, Tusiwakumbuke tu pale wanapokuwa wanatumikia bali hata pale wanapokuwa nje ya system tuendelee kuwajali.
    Ugonjwa wa huyu mzee kutokusikia ni kutokana na vifaa vya kivita vya zamani vilikuwa na asilimia kubwa ya kuleta madhara mfano ile milio ya risasi na mabomu ina uwezo wa kumfanya mtu kiziwi kutokana mwili wa mtu. Na hiyo kukosa nguvu pia inawezekana ni hizo silaha,
    Wizara husika nadhani italiangalia hili, maana ukiona mtu aliyepigania nchi analalamika msaada hana wakati huo huo kuna mtu ana maisha mazuri tu kwa idara hiyo hiyo aisee inauma kinamna flani.

    • @ramarsalehe8332
      @ramarsalehe8332 4 ปีที่แล้ว

      adolph emmanuel sio vifaa vya zamani tu hata sasa, vita haina ustarabu asee mpaka kansa zipo ndugu yangu kulingana na kifaa au siraha unayotumia

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 ปีที่แล้ว +5

    Veterans ni watu muhimu kwa historia ya nchi yoyote ile. Tuwaenzi kwa kuwapatia, dawa, makazi na msaada wa kifedha ikihitajika. Nchi nyingi zinaheshimu maveterans wao.

  • @abrahammwambije8966
    @abrahammwambije8966 5 ปีที่แล้ว +9

    Mheshimiwa Rais wakumbuke hawa wapigania uhuru

  • @MwitaSenso
    @MwitaSenso 2 หลายเดือนก่อน

    Jesh bwana nalipendea kit kimoja utimamu wa mtu dah mm bwana nina mzee wang ameezeeka lakn yuko timamu sanaa mkolof balaa

  • @elvisbunde6454
    @elvisbunde6454 9 หลายเดือนก่อน

    Are you there i send you something

  • @theodorychristopher4795
    @theodorychristopher4795 4 ปีที่แล้ว +2

    Serikali iwaangalie kwa jicho la tatu wazee wetu bila wao Sisi tusingekuwepo.

  • @maisatou
    @maisatou 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwanini wabunge hawapeleki bungeni maswala kama haya? tusiwe kama Marekani (wanajeshi wakimaliza vita,watajiju)Tafadhalni na ninyi wana habari,msikae na mambo ya wasanii,michezo ambayo washabiki wanafanya ushabiki kimoyo kushinda hao wana michezo,vyombo vya habari mnao uwezo wa kuzungumza na Magufuli,uso kwa uso wacheni kuwapa vichwa wabunge na wana harakati,chukueni jukumu la kukabili maswala haya mbele ya watu wanaohusika,Magufuli hawezi akajua kila kitu kinachotokea,na mara kwa mara unakuta wale wafuasi wanaogopa kumwambia Rais mambo kama hayo, hivyo ni kazi yenu,kawafahamisha viongozi,au kuwakabili wabunge wanao husika na kuwauliza kuhusu jambo kama hilo,sio kuonyesha changuz dotz.
    CCM Oyeee,Magufuli Juuuuu.
    A.R.Msimbazy

  • @lungusii
    @lungusii 4 ปีที่แล้ว +1

    TVT????

  • @jafarjafary2203
    @jafarjafary2203 3 ปีที่แล้ว

    Mwaka 1975 msuguri alikua hajawa mkuu wa majeshi

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 ปีที่แล้ว +1

    Ww ndio kamanda wa kwel

  • @guycalifat4426
    @guycalifat4426 5 ปีที่แล้ว +5

    Hao njo wakutengenezew kinyago sio ule mpiga makelele2

  • @hasrideryasin1366
    @hasrideryasin1366 3 ปีที่แล้ว +1

    Yote yameshapita Ila kikwete ona alivyokuwa akiwajali watu wake

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 3 ปีที่แล้ว

    Kwan nchi hii ingefanya hesabu mashujaa wote wa vita ya kagera waliosalia, af wakawakabidh kwenye halimashaur husika ili wapate staha ya mavazi fedha na makazi bora, ila tatizo huta sikia bungeni wakizungumzia

  • @GeoffreyKiriswo
    @GeoffreyKiriswo 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli picha hii ni thibitisho tosha kwa sababu mwanajeshi alinaye ni kutoka kikosi cha wana mwamvuli wa Kenya. Kweli ujirani udumu daima ongera Tanzania.

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 4 หลายเดือนก่อน

    Ccm haitawasaidia chochote
    Kunamzee mmoja anatembea akiwa sokwe alipigwa risasi ya kiuno Yani miguu nyuma mikono chini anatembea kama sokwe

  • @alexchungu9505
    @alexchungu9505 5 ปีที่แล้ว +4

    Enzi hizo TvT..

  • @muhsinnainoabdullah1539
    @muhsinnainoabdullah1539 4 ปีที่แล้ว +4

    Wewe mzee unatakiwa umuombe mungu sana yani msamaha mana vita vya idi amin ni uonevu mtupu yani yule nyerere alikua mshenzi tu kwenda kuwaulisha wenzake kule Kwa sababu ya udini tu bas hakuna jengine na ndo mana yule mbwa nyerere kafa kifo kibaya laanatullah yule kaanza kuzalilika apa duniani Kwanza mana aliekwa uwanjani pale mpaka akaanza kutoa harufu kumamake yule alijiona yeye labda hatokufa yule

    • @johnsanga9528
      @johnsanga9528 4 ปีที่แล้ว

      Mmmmh! Mbona unamaneno makali sana?

    • @albinmjema9229
      @albinmjema9229 4 ปีที่แล้ว +1

      Wewe unaongea usivyovijua wakati anapiga mtukula mpaka kiaka nakuua babu zetu,wewe mpumbavu unaongelea mambo ya udini

    • @muhsinnainoabdullah1539
      @muhsinnainoabdullah1539 4 ปีที่แล้ว

      @@albinmjema9229 sikia wewe msenge usiongee kitu usichokijua mimi nakwambia Kwa kua najua Fala wewe sasa chanzo cha vita vya Uganda kilikua nini kama hujui hemu tafuta mtu anoelewa haya mambo Fala wewe babu yako gani alokufa wewe

    • @chrisskucha6108
      @chrisskucha6108 4 ปีที่แล้ว

      @@muhsinnainoabdullah1539 we Kuma lamamaako tena Kuma la mamaako kama hujui kitu tuliza mkundu wako Kuma ww usilete udini msenge ww

    • @muhsinnainoabdullah1539
      @muhsinnainoabdullah1539 4 ปีที่แล้ว

      Sikia wewe mimi naringia sana dini yangu Kwa sababu ndio dini ya haki mbele ya ALLAH asaa mimi kubishana na paka kama wewe naona kama najizalilisha mana wewe inaonesha ata kichwani hamna kitu ikisha wewe kama unataka kufirwa mimi sikutaki wewe mana kwangu Huna mvuto tafuta watanganyika wenzio mbumbumbu kama wewe matako ya mamako wewe fala mmoja wewe kuma lamamako wewe shwainnnnnnn

  • @jafarjafary2203
    @jafarjafary2203 5 หลายเดือนก่อน

    Kamanda kakosea hapo mwaka 1975 msuguri hakuwa mkuu wa majeshi

  • @ismailimsami6564
    @ismailimsami6564 4 ปีที่แล้ว +1

    veteran wapewe kipaumbele ikiwezelana walipwe ata kila mwezi please jpm

  • @mohamedomar4037
    @mohamedomar4037 4 ปีที่แล้ว

    Ningependelea mheshimiwa rais awafikirie hawa wakombozi WA nchi wakati WA vita ya kagera haswa Kama mtu huyu ambaye hawezi kutembea

  • @jumannebundala2594
    @jumannebundala2594 4 ปีที่แล้ว

    POle sana kamanda nyie watu muhimu sana mnapaswa kusikilizwa

  • @ndolimanaamani9106
    @ndolimanaamani9106 4 ปีที่แล้ว

    Raisi wakumbuke watu Kama Hawa.

  • @georgesolos344
    @georgesolos344 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndo wazarendo number moja wanajitoa kwa ajili ya nchi yao.

  • @SimonMwita-k8s
    @SimonMwita-k8s 6 หลายเดือนก่อน

    Kasia umbwa wewe unaongea Nini ulilamba matako ya id Amin wewe bweka hapo

  • @SimonMwita-k8s
    @SimonMwita-k8s 6 หลายเดือนก่อน

    Kasia umbwa wewe unaongea Nini ulilamba matako ya id Amin wewe bweka hapo