Wangap wame uwawa hapo hapo Iran na wame tulia tuuu maana yake nini Sasa pia ubalozi wake kulipuliwa Syria na viongozi wame kufa nao wame tulia tuu maana yake nn xx
Unajidanganya ww we unafkiri Iran ingekuwa nyonge kihivyo Marekani na Islael wangesha ishambulia toka zaman na kuuangusha utawala wa khamenei ila wanaujua moto wa Irani
Tuache ushabiki silaha za Iran ni bora kuliko Marekani, mwaka jana tumeshuhudia mengi yakiwemo: 1) Houthi kudondosha drone 13 za MQ-9 Reaper za Marekani. 2) Houthi wameidungua ndege ya kivita ya Marekani ya F-18 3) Houthi wameishambulia aircraft carriers za Marekani ambazo ni USS Harry Truman na USS Gerald R. Ford 4) Iran alirepua mfumo wa ulinzi wa anga wa Marekani wa THAAD katika shambulio lake la pili la (True Promise 2) 5)Hesbollah wameharibu mifumo ya anga ya Israel ambayo ni Iron dome, david sling na arrow 3 6) Hamas wamerepua vifaru vingi vya Merkava kwa kutumia mabomu ya sukari. Mwisho: Marekani yupo vizuri kwa propaganda lakini kwa silaha hamna kitu, hata hivyo silaha za Iran ni rahisi na zina uharibifu (kali).
Na ipo chini ya vikwazo.Tatizo west zinajipa sana promo.jamaa wanajitambua hongera wao na korea kaskazini. Sisi tz na africa tuzidi kuomba mikopo na misaada tu.inazidi kutulemaza tu.Tupo chini yao.
Hizi ni nchi za kale sana alafu hawa jamaaa ukisoma historia muajemi alikuwepo miaka mingi sana ya kale BC koo hata ki technology wako vzr sana na ndio maana Israel wanaumiza kichwa sana jinsi ya kumshambulia
yani leo hii unampania mwenzako kumshusha na vikwazo kumbe mwenzako nae anakuandalia drone 😅😅😅tena sio drone tu na meli zake zinazo kusogezea pale ulipo ili wakupate tu kama kawaida haya sasa acha sisi tutakuwa kunatazama kama kawaida.ila mimi naona kuna makombora ambayo lazima yatakuwa yanafika marekani ??
Na eti hapo tunatangaziwa kuwa Iran imewekewa vikwazo Kila Idara😂😂😂😂😂😂 swali ni je kabla ya Marekani kuwa super power na Iran ikiitwa Pashian kingdom waliishi vipi walimiliki vipi utawala wao? Na ndio eti Sasa washindwe kwa jina la Vikwazo
shida sio mpaka mpige marekani ila shida inakuja pale marekani itakapo mshusha marekani kutoka pale juu mpaka kufanana na yemen.maana najua pale mashariki ya kati kama kuna chimbo la marekani lisilo julikana na iran
Mtoto wake ndekaji kala kichapo na wahuth wake wayemen na makomando wa gaza kakubali yaishe vita ni malengo sio kuua raia wasio na hatia wazee wanapiga moyo kambi ndege za kizazi cha tano kanyosha mikono Palestine 2 simchezo😂😂😂
Hivi huyu Netapaka muda wote anawaza kutoa roho za watu daaah ila tuko Tofauti Sana. Yaani hapa kama Mimi kumtukana mtu naona kama namtoa uhai yeye anawaza kuua ndo apate Amani kichwani.
Unaongelea Israel wakati baba wa huyo Israel anaempa jeuri kasema akifa ni Iran kahusika, nyie mpo Dunia gani hata mnashindwa kufuatilia habari? Baba wa Israel ambae ni Marekani anamjua Iran nani
@minicooper9642 Iran mwenyewe tangu Israel imtandike pamoja na zile air defence system zao za china na Russia.. mpaka Leo ameshindwa kujibu pigo Hilo...kazi ni kelele Tu... walisema watajibu vipi mbona hawafanyi chochote 😂😂😂
Naona wengi mmesha Anza kumponza Iran et marekani ajipange😂 kwa hichi ki sikeretoni kimoja? Daah huyu kwa marekani mnaenda mbari sana 😢 izilaer tu inatosha kuigeuza Iran ghaza ngoja wamalizie hizo nini zao kutengeneza halafu walete mrejesho kama tayari wako ft ipigwe mechi Moja ya kibabe 😮😮Kisha ulimwenguni kote zisikike yowe play for Iran 😡 hizi kelele zisiwape wazim watu wanajihami 😡🙌
😅😅 israel na iran au umesem israel na baba yak marekani wapigane na iran hapo saw ila sio israel vs iran kwa maan israel bado bado kupmbn n iran bila kumtegemea marekani..
Ujielewi ww ndio unafkiri Iran ingekuwa nyonge kihivyo Marekani na Islael wangesha ishambulia toka kitambo na jinsi walivyokuwa awaipend ila wanaujua moto wa Irani yan kitanuka tu
@@fikirininasoro5272 Sasa wanashambulia Nini wakati Irani mwenyewe kasha jichokea kiuchumi😂😂 nikuharibu tu Risasi🧐 ndio maana wanacho kifanya wakigundua tu Kuna kiongozi ana mdomo sana Wana mshugulikia ,akiibuka mwingine ana kelele Wana Luka nae ukiona wame muacha ujue wamegundua nyuki wa mashineni hana madhara🤭
@@Hussein-gx4qu izilaer aliamua kuiacha Irani ipenyeze tukombora twake dhaifu ili ipate sababu ya kuisambaratisha kabsa😒 sema Kuna namna wakaona Hawa tukiamua kuwa piga kwa pamoja hamasi Hezbollah na Irani tutazua taharuki kubwa Dunia 🥱 ngoja kwanza tuwatie adabu Hawa majirani🤣 ndo vile ilivyo fanywa gazha na baadhi ya maeneo ya Lebanon Lile ni onyo tu we huogopi🤣
Iran kuna makundi mengi hawana umoja kama hamas, raia gaza na hamas ni kitu kimoja, mwenye siraha haonyeshi iran kila siku inasema itaiangamiza ezrael wayaudi kauli yao moja toka kwenye tourati aangamie kwanza yeye anayetaka kuiangamiza ezrael, palestina naye anasema myaudi ana laana, myaudi anasema palestina ana laana laana ni ya kutomwamini kristo pekee wakistopisha mapigano ndipo yesu anaonekana mfalme wa amani hamas na wafungwa wa kiyaudi wanapeana zawadi
WAAJEMI HAWAKOSEI kabisa🎉🎉
Kwasis waislm hatushangai kwan allah ametwambia katika waumin kuna wanaume wakisawasaw ......,
Uislamu umeingiaje hapo
Kwenye vitisho pia niushindi, Asante IRAN 🇮🇷
kazi nzuri Kwa Iran 🥷🏾🥷🏾🧠
Iran sio omba omba kama isreal 😅
Kabisa 😂😂 Iran 🇮🇷 kiboko yao
Irani kiboko Yao wakati ilidundwa na Israeli na haijajibu tena
@mchjohnmasegese8193 tuonyeshe video za Iran akipigwa ?! tuonyeshe mvua ya mabomu uko TelAviv 😂😂😂
@@mchjohnmasegese8193Israel ni mtoto kwa Iran tambua hilo
Wangap wame uwawa hapo hapo Iran na wame tulia tuuu maana yake nini Sasa pia ubalozi wake kulipuliwa Syria na viongozi wame kufa nao wame tulia tuu maana yake nn xx
Huyu jamaa noma
ALLAH awalinde
Ameen yaa Rabbi🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽
😂😂😂😂 Hezbollah shwaa, Hamas shwaaa, Syria shwaa ...bado mnaomba ulinzi!?
nilikua nakusbr sana ally masud angalau uitaje iran yaliojiri karibun twaskia kwa vyomb vyemgne tu asante
#SaluteIran
#RespectIran
Iran haigusiki. Wangekuwa wameshaipiga siku nyingi sana
😂😂😂😂... jiandae kustaajabishwa
Wakwanza leo
Wanaumee
AHSANTE SANA SOR.
Munaipenda sana ilan nakipamba lakin ilan bado sana kuwa taifa kubwa
Jidanganye juzi tu ila china namba moja kiuchumi
mbona sasa mpaka sasa ni taifa kubwa kijeshi
Unajidanganya ww we unafkiri Iran ingekuwa nyonge kihivyo Marekani na Islael wangesha ishambulia toka zaman na kuuangusha utawala wa khamenei ila wanaujua moto wa Irani
Je unaeza ifananisha Iran na inchi gani Africa
@jumakibwana1810 uchumi wa ilan unazidiwa na afrika kusin
Hamakatiki Huyu Mwanaume
Akidundwa Huwa mnalia Lia.
@mchjohnmasegese8193 labda we mgeni siasa za kimataifa, km kupigwa angepigwa siku nyingi
Angekuwa kashapgwa siku nyng tena anavyoitimbwiza Israel kupitia makund yke
WAMAREKANI WANAIPIGA VIKWAZO LAKINI IRAN HELA YAKE INASHUKA THAMANI NA MAMBO YAKE YANAENDA KAMA KAWAIDA NANI BINGWA 😂😂😂😂
sasa ule si ulikuwa ni mambo ya uwongo uwongo tu
Tuache ushabiki silaha za Iran ni bora kuliko Marekani, mwaka jana tumeshuhudia mengi yakiwemo:
1) Houthi kudondosha drone 13 za MQ-9 Reaper za Marekani.
2) Houthi wameidungua ndege ya kivita ya Marekani ya F-18
3) Houthi wameishambulia aircraft carriers za Marekani ambazo ni USS Harry Truman na USS Gerald R. Ford
4) Iran alirepua mfumo wa ulinzi wa anga wa Marekani wa THAAD katika shambulio lake la pili la (True Promise 2)
5)Hesbollah wameharibu mifumo ya anga ya Israel ambayo ni Iron dome, david sling na arrow 3
6) Hamas wamerepua vifaru vingi vya Merkava kwa kutumia mabomu ya sukari.
Mwisho: Marekani yupo vizuri kwa propaganda lakini kwa silaha hamna kitu, hata hivyo silaha za Iran ni rahisi na zina uharibifu (kali).
Kweli kabisa
🙏🍯✋✋✋
Na ipo chini ya vikwazo.Tatizo west zinajipa sana promo.jamaa wanajitambua hongera wao na korea kaskazini. Sisi tz na africa tuzidi kuomba mikopo na misaada tu.inazidi kutulemaza tu.Tupo chini yao.
hiyo ni sera ya china kitu cha elfu 3000 kinalipua kifaru cha milioni 40😅😅
Hii ni kubwa mnoooo
Ujengewe sanamu
IRAN Cuma ❤❤❤
❤❤❤ viva
Mbona kinyonge sana
Pro west
Wengi tunafeli tunaeka udini badala ya kuwapa hongera
Kweli nch maskin kaz tunayo kuzuiwa dawa za ukimw tuna limeliaa ona hawa jamaa wanaongoza kwa vkwazo dunian lkn bad Wana endelea kubuni madude🙆
Na wana vikwazo. Sisi kukatiwa misaada tunalalamika😂😂😂😂.
Safi 😂
tanzania hatuna makombora au air craftcarry
Mkajambe mfe
Viva 🇮🇷
Vikwazo ni Africa tu lkn sio Iran na wengne
Awa jamaa wanavikwazo vingi ila bado wanasonga sisi kunyimwa Masaada tuko hoi
Waajemi watu wasije kuwasahau ni watu wenye akili nyingi sana
Masubi ingelikua meli hiyo ni ya marekani au urusi ungelisema "ni ya kisasa walivyosema wenyewe"
🎉🎉🎉
Marekani ajipange
Kwalipi? Usione Israel kairipua iyo meli 😂😂😂
@@InnocentZamkuluisrael alifanya nn alivyoshambulia iran na itan alifanya nn ndani ya irael angali video iko you tube usikariri kuambiwa
@@InnocentZamkulu
🦍🦍🦍🐒🐒🐒🐄🐄🐄💯😂😂😂
Trump Ata kufa kwa presha
Hizi ni nchi za kale sana alafu hawa jamaaa ukisoma historia muajemi alikuwepo miaka mingi sana ya kale BC koo hata ki technology wako vzr sana na ndio maana Israel wanaumiza kichwa sana jinsi ya kumshambulia
Muajemi. Kashindikana 😂😂
Dunia inaendelea kuchangamka kwa kasi kwelikweli
Tunajiandaa Kwa vita vya tatu vya dunia
Mimi natamani wafuge nyuki kwenye mzinga ,halafu wakamwage izrael waenee nchi nzima,maana naona kila adhabu haiwatoshi
😂😂😂😂
🎉
Marekani kazi anayo 😅😅😅😅😅
Jamani muda ndio huu tuandamane tumuombe mchina alete dawa za ukimwi
Nenda Kenya
Alisema ataipiga islael au vipi?
yani leo hii unampania mwenzako kumshusha na vikwazo kumbe mwenzako nae anakuandalia drone 😅😅😅tena sio drone tu na meli zake zinazo kusogezea pale ulipo ili wakupate tu kama kawaida haya sasa acha sisi tutakuwa kunatazama kama kawaida.ila mimi naona kuna makombora ambayo lazima yatakuwa yanafika marekani ??
Sio tishio kwa Israel tu ila kwa mfadhili wake mmarekan na adui zake wote
USS F Kennedy imestaafu ko so 11 tena
Ni kuutia tu kasi< atapigwa mtu tako tisini per second!!
Geographical ya Iran inakuwa ngumu kuishambulia japo Iran anajiwezaga miaka yote
anajienga siku zote kivita😅😅atakae jichanganya lazima kitamlamba tu kwa njia yoyote
Vikwazo vimewafunza vingi ajabu sisi huku tumeanza kutafutana maana Trump anakata misaada afrika na tuna karibu kilakitu
Mie huwa naona irani inae nyenzo ila hawaga akili kwenye miti hapana wajenzi
haya sasa huo ni ugunduzi wa iran kwa drone zako hakuna nchi yoyote duniani ambayo imesha fanyaga ugunduzi wa hii kitu.ila hii meli inamambo mengi 🤣🤣
Mashallah Hapa sasa TRUMP ajipange akitaka kuishambulia Iran ajue nini kitaenda kumtokea
Unajidanganya sana yaani irani ipambane na Marekani
Watengenezeee nyuklia kama kiduku trumpu ataogopa tuuu
Na eti hapo tunatangaziwa kuwa Iran imewekewa vikwazo Kila Idara😂😂😂😂😂😂 swali ni je kabla ya Marekani kuwa super power na Iran ikiitwa Pashian kingdom waliishi vipi walimiliki vipi utawala wao? Na ndio eti Sasa washindwe kwa jina la Vikwazo
Ilan Kwa marekan kiukwel bdo sana
Ilan ndy nchi Gani?😅
🇹🇿
Sisi tuambie uchawa tu na utelezi,watu walikua sirias na hii dunia hao.tena na vikwazo juu.sisi tumegoma kabisa kuacha uboya.
Marekani alishatengeneza hizi kwankupewa tecnology na ISRAEL miaka ya 1980 😂😂😂 iran ndo anaanza tengeneza izi NAVY SHIP 2025😂😂😂
Wacha tuone
Akunakituhapo nimajigambotu, Ata wanajuwa wawezipigana na marekani
si Wanakula kichapo huko yucreni, Gaza, Yêmen, na vile walikimbia, Afganistan, huko kwa Taliban, Sasa ubingwa Ganai wa Marikani unaesifia hapo😂😂😂😂😂😂😂
shida sio mpaka mpige marekani ila shida inakuja pale marekani itakapo mshusha marekani kutoka pale juu mpaka kufanana na yemen.maana najua pale mashariki ya kati kama kuna chimbo la marekani lisilo julikana na iran
Mtoto wake ndekaji kala kichapo na wahuth wake wayemen na makomando wa gaza kakubali yaishe vita ni malengo sio kuua raia wasio na hatia wazee wanapiga moyo kambi ndege za kizazi cha tano kanyosha mikono Palestine 2 simchezo😂😂😂
Iran kuna makundi mengi hawana umoja kama hamas
Alie kwambis HAMAS hawana umoja nani😅
@@aminaali792 muulize kwani anae weka ushawishi kwa hamas ni nani
Hivi huyu Netapaka muda wote anawaza kutoa roho za watu daaah ila tuko Tofauti Sana. Yaani hapa kama Mimi kumtukana mtu naona kama namtoa uhai yeye anawaza kuua ndo apate Amani kichwani.
Alon mask anatengeza robot marekan hukoo wesubir msiwaone marekan wajingaaa😂😂😂
sasa kwenye vita usije ukajaribu kuweka robot maan robot ni kitu chepes san n nirahis kushindw kufany kazi
@nellymans-f1v lakin wanajesh wangu hawafii wako wanapungua elewa neno robot alf akosei mjomba kasetiwa🤗
Tuletee technology ambayo Soviet union walijaribu kuiba ya Marekani
bomu la kufata
Wanapoteza time...si waanzishe vita... Israel bado inamsubiri ajichanganye 🤣
Unaongelea Israel wakati baba wa huyo Israel anaempa jeuri kasema akifa ni Iran kahusika, nyie mpo Dunia gani hata mnashindwa kufuatilia habari? Baba wa Israel ambae ni Marekani anamjua Iran nani
@@minicooper9642iyo ana akili acha nanae anajuwa iran aitegemei msada wowote kama ao mashoga wakizayun😂😂
@minicooper9642 Iran mwenyewe tangu Israel imtandike pamoja na zile air defence system zao za china na Russia.. mpaka Leo ameshindwa kujibu pigo Hilo...kazi ni kelele Tu... walisema watajibu vipi mbona hawafanyi chochote 😂😂😂
Wewe umepigana na nani uchumi wako2 una kushinda kolo kweli wewe
@@omondiowino7875mbona walijibu ukuona wakasema Iran wameingilia ugomvi😂😂
Naona wengi mmesha Anza kumponza Iran et marekani ajipange😂 kwa hichi ki sikeretoni kimoja? Daah huyu kwa marekani mnaenda mbari sana 😢 izilaer tu inatosha kuigeuza Iran ghaza ngoja wamalizie hizo nini zao kutengeneza halafu walete mrejesho kama tayari wako ft ipigwe mechi Moja ya kibabe 😮😮Kisha ulimwenguni kote zisikike yowe play for Iran 😡 hizi kelele zisiwape wazim watu wanajihami 😡🙌
😅😅 israel na iran au umesem israel na baba yak marekani wapigane na iran hapo saw ila sio israel vs iran kwa maan israel bado bado kupmbn n iran bila kumtegemea marekani..
Ujielewi ww ndio unafkiri Iran ingekuwa nyonge kihivyo Marekani na Islael wangesha ishambulia toka kitambo na jinsi walivyokuwa awaipend ila wanaujua moto wa Irani yan kitanuka tu
@@fikirininasoro5272 Sasa wanashambulia Nini wakati Irani mwenyewe kasha jichokea kiuchumi😂😂 nikuharibu tu Risasi🧐 ndio maana wanacho kifanya wakigundua tu Kuna kiongozi ana mdomo sana Wana mshugulikia ,akiibuka mwingine ana kelele Wana Luka nae ukiona wame muacha ujue wamegundua nyuki wa mashineni hana madhara🤭
Mbona mechi imeshapigwa na hao Israeli wako walipigwa vibaya mbona hawakuigeuza Gaza ?
@@Hussein-gx4qu izilaer aliamua kuiacha Irani ipenyeze tukombora twake dhaifu ili ipate sababu ya kuisambaratisha kabsa😒 sema Kuna namna wakaona Hawa tukiamua kuwa piga kwa pamoja hamasi Hezbollah na Irani tutazua taharuki kubwa Dunia 🥱 ngoja kwanza tuwatie adabu Hawa majirani🤣 ndo vile ilivyo fanywa gazha na baadhi ya maeneo ya Lebanon Lile ni onyo tu we huogopi🤣
Iran kuna makundi mengi hawana umoja kama hamas, raia gaza na hamas ni kitu kimoja, mwenye siraha haonyeshi iran kila siku inasema itaiangamiza ezrael wayaudi kauli yao moja toka kwenye tourati aangamie kwanza yeye anayetaka kuiangamiza ezrael, palestina naye anasema myaudi ana laana, myaudi anasema palestina ana laana laana ni ya kutomwamini kristo pekee wakistopisha mapigano ndipo yesu anaonekana mfalme wa amani hamas na wafungwa wa kiyaudi wanapeana zawadi
Kafirwe na Israel 🦍🐒🐕💯
rudia tena