Hadithi Mpya ya Kusisimua: SIMANI na Kibuyu cha AJABU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Simani ni mtoto pekee katika familia yao. Anaishi na mama yake katika kijiji cha Ngirikisande. Maisha yao yamegubikwa na umaskini uliokithiri baada ya baba yake kupotea katika mazingira ya kutatanisha (wakati Simani akiwa mtoto mchanga) alipoenda kuwinda kwenye pori la Mtevyamajini linalohofiwa kuwa na majini yalayo watu.
    Simani anafichwa siri hiyo hadi anapokuja kuifahamu akiwa na miaka kumi na mbili. Akiwa amechoshwa na maisha ya kutokuwa na baba na kutaniwa na marafiki zake kijijini hapo, Simani na mbwa wake Boji wanatoroka na kufunga safari ya kwenda kumsaka baba yake kwenye pori la Mtevyamajini, lenye majini hatari.

ความคิดเห็น • 86

  • @florahmdoli6641
    @florahmdoli6641 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaaan tunataman nyingine Tena hadithi nzuri sanaaa ha hiyo sauti yaman nzuri sanaaa wooo nice

  • @mahmoudjuma3825
    @mahmoudjuma3825 4 ปีที่แล้ว +4

    Dah wewa ni bingwa bro nimependa sna sna hii story

  • @haimahaima9473
    @haimahaima9473 4 ปีที่แล้ว +4

    Ple unapojarb kukata tamaa ya maisha kisha unaktn na hadith kma hi!!!! Inabdi uamke na upambane🤝

  • @hopechidera
    @hopechidera 4 ปีที่แล้ว +7

    Awww! dakika 48:33 kwa hii hadithi ni kama 00:33 jaman hata nataman isingeisha👂🏽❤,vitu kama hivi vya kuumbia mtu imani ndo napendaga sana yaan never give up,asante sana ndugu🙏🏽

  • @EMMA-BOY
    @EMMA-BOY ปีที่แล้ว

    Kali ya mwaka

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 ปีที่แล้ว +3

    Daaah story nzuri sana

  • @eneolatukio8493
    @eneolatukio8493 4 ปีที่แล้ว +9

    Daah kama umesoma mawazo yangu, i really needed this now that im sick😰

  • @mrdopetz4558
    @mrdopetz4558 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah nimeipenda sana hi hadisi imenitowa nachozii

  • @amenahussien6134
    @amenahussien6134 4 ปีที่แล้ว +6

    Nice

  • @nizzomtz5178
    @nizzomtz5178 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah kk nimeipenda hi hadithi sjui naipataje kaka sky

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 ปีที่แล้ว +1

    Adisi nzuri 😂Asanteeeeé 🎉

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana jmn SNS😙😙😙😍😍😍❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙

  • @felixalinoti8144
    @felixalinoti8144 4 ปีที่แล้ว +5

    I love it

  • @dannyunatuparahababu4740
    @dannyunatuparahababu4740 4 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni sana story nzuri hakika mulikua mumetusahau tangu muliyo tupa sima na panya ni zamani sana

  • @amaniramadhani3867
    @amaniramadhani3867 4 ปีที่แล้ว +7

    Hii ndio SnS ya zamani bhana

  • @benjatech91
    @benjatech91 4 ปีที่แล้ว +2

    Sns mnajua Sana 💪💪

  • @bertharaymond4869
    @bertharaymond4869 4 ปีที่แล้ว +1

    Like it

  • @jamil1547
    @jamil1547 4 ปีที่แล้ว +3

    Asanteni kwa simulizi mzuri unatuliwaza na kipindi kigumu tunachopitia kipindi hiki cha corona

  • @mwitamahende3836
    @mwitamahende3836 4 ปีที่แล้ว +2

    Unajua sana kaka

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว +2

    Wooow Ahsante

  • @shabanihassan1180
    @shabanihassan1180 3 ปีที่แล้ว

    Pa1 xanaa Kaka unasauti Kama ya Millard ayo Hongera sana @# WaNyuMbaN

  • @polycarpmnali1084
    @polycarpmnali1084 4 ปีที่แล้ว +3

    duuh aise mmenikumbusha mbali sana kwa hii hadithi ndio zilizotufanya wengine tuish vizuli kwa mafundisho yake mbarikiwe sana waandaaji

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah, nice 😘😍😍

  • @ollgfgv9872
    @ollgfgv9872 4 ปีที่แล้ว +2

    hadithi kali mno

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว +1

    Nzur sana hongera yenu wana sns sisikilizi simulizi tu nasikiliza na anao simulia uko sawa kakaa👌👏👏👏

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 4 ปีที่แล้ว +7

    Noma Sanaaaaa.
    Nimependa Hii Sanaaaaa..
    Hahahahahaaa.
    Nimependa iyo lugha ya majini.
    Kiarabu si Kiarabu, Kihindi si Kihindi, Kituruki si Kituruki.
    #sky inabidi unifundishe hii Lugha.
    Hahahahahaaa😁😁😁

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 4 ปีที่แล้ว +2

    Muwe mnatuletea simulizi kama hzi
    Big up Sana SNS tunawahidi hatutawaangusha
    Jpo simulizi moja kwa wiki inatosha

  • @cendrillonnam4549
    @cendrillonnam4549 2 ปีที่แล้ว

    Listening from usa 🇺🇸 2022

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 ปีที่แล้ว +4

    Woow,that is nice story. 👌❤

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 4 ปีที่แล้ว

    nimeipenda

  • @abdulnuruhassan8611
    @abdulnuruhassan8611 2 ปีที่แล้ว

    Hasante kaka simulizi zuri

  • @hassanisufiani636
    @hassanisufiani636 4 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana lkn ukimalize basi

  • @sarass8749
    @sarass8749 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka

  • @shabanabdul1614
    @shabanabdul1614 4 ปีที่แล้ว +3

    That's great

  • @theodorendikumana5433
    @theodorendikumana5433 4 ปีที่แล้ว +2

    Thanks Sns , the end ya hadith is exciting

  • @azizamussa546
    @azizamussa546 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka😘😘

  • @zaharatoto8004
    @zaharatoto8004 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana. Simulizi yanko kidogo Ina fanana Naya. Babaangu. I wish siku hata siku moja tu arundi

  • @christinamichaeel9713
    @christinamichaeel9713 4 ปีที่แล้ว

    Tatizo hua mnaziachia njiani hamalizi kama hukumu ya mbunge hata sijui kwann hamkuimalizia nilikua naipenda sana

  • @meshackmgunda8789
    @meshackmgunda8789 4 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sky

  • @mohammedkhamis6893
    @mohammedkhamis6893 4 ปีที่แล้ว

    Nice story

  • @mullajuma1977
    @mullajuma1977 4 ปีที่แล้ว +7

    Sns hadi mwisho thank you💙💙 all the way from🇮🇱🇮🇱🇮🇱

  • @jamilahassan6432
    @jamilahassan6432 4 ปีที่แล้ว

    Shukurani sky

  • @fedricklubigisa139
    @fedricklubigisa139 4 ปีที่แล้ว +1

    Story tamuuuuu sanaaa ,,,, Nimejikuta tu imeisha bila hata kuijua vizuri lugha ya Iposika

  • @nlylyn1443
    @nlylyn1443 4 ปีที่แล้ว +3

    WOW AMAZING 😍

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 4 ปีที่แล้ว

    Nice bro umetisha sana❤️

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana bro

  • @selemanally126
    @selemanally126 3 ปีที่แล้ว

    Iyo password ya iposika kwenye kibuyu ni hatar 🤣🤣🤣🤣🤣 big upo SYK

  • @thiithurea5666
    @thiithurea5666 4 ปีที่แล้ว +2

    *Tunaipataje DUNIA HADA*

  • @jamilahassan6432
    @jamilahassan6432 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 ปีที่แล้ว +2

    Please brother muendelezo jmn dah

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 4 ปีที่แล้ว +2

    Naelewa,sana hawa jamaa maana,wanajuwa kunifurahisha

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว

    Sauti 😋😋😋😋😋😋😘😘😘jamani

  • @assiakwinnj4910
    @assiakwinnj4910 4 ปีที่แล้ว

    I HADITHI nimeisikiliza siku3👌🔥👋🏃'

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 2 ปีที่แล้ว

    Great lakini mkiziekea animation zinakuwa best zaidi

  • @Markhomestz
    @Markhomestz 2 ปีที่แล้ว +1

    Amazing story ❤

  • @amaniramadhani3867
    @amaniramadhani3867 4 ปีที่แล้ว +2

    🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yani bro sky unanifuraisha sana nahayo majini story tamu bala

  • @hassanisufiani636
    @hassanisufiani636 4 ปีที่แล้ว +1

    Maana sisi tuliko lockdown SA inatuhusu sana hii

  • @talazain1017
    @talazain1017 4 ปีที่แล้ว +2

    Sky na kibuyu cha Ajabu

  • @sadeeqcrucial9194
    @sadeeqcrucial9194 4 ปีที่แล้ว +3

    Bro hivi story ya KIMO haina muendelezo?

  • @starbornsimbaking4553
    @starbornsimbaking4553 4 ปีที่แล้ว +3

    Naomba iyoo xehem mumtafut mtiga ili mwendelez hii xanaa maan hii ni kali xn nawaomba mtafuten mtiga plz sns

    • @eugenejr.8844
      @eugenejr.8844 4 ปีที่แล้ว

      He don't deserve to seats on Fred's Chairs..... Since RFA.

    • @starbornsimbaking4553
      @starbornsimbaking4553 4 ปีที่แล้ว

      Mtig ndo mweny xaut ya kipekee hp tz

  • @وهجالمعرفة-ش5ح
    @وهجالمعرفة-ش5ح 4 ปีที่แล้ว +3

    Napend San ilaa uwa amu maliz

  • @shebyone976
    @shebyone976 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii lugha naelewa mm tu 😁😁

  • @sarahrashidi9558
    @sarahrashidi9558 4 ปีที่แล้ว +1

    S

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 4 ปีที่แล้ว +3

    Assange sana Sky nimefarijika asbh ya leo ila nimecheka sana izo sauti za majini 😂😂😂

  • @magnificententertainment9328
    @magnificententertainment9328 4 ปีที่แล้ว +4

    Idea mbona Kama ya Aladdin.....
    🏋️🏋️🏋️

  • @amaniramadhani3867
    @amaniramadhani3867 4 ปีที่แล้ว

    Tunahitaji muendelezo wa DUNIA HADAA maana mmetuacha njiani hatujui nn kinachoendelea

  • @saumuathuman206
    @saumuathuman206 4 ปีที่แล้ว

    hata nimelia

  • @McheshiOnlineTv
    @McheshiOnlineTv 4 ปีที่แล้ว

    Shida ni kua hua hutumalizii hadidhi

  • @florahmdoli6641
    @florahmdoli6641 4 ปีที่แล้ว

    Muendelezo please

  • @jokhasuley3661
    @jokhasuley3661 4 ปีที่แล้ว +2

    🤭 😋

  • @Babyzay178
    @Babyzay178 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba ya Dunia Hadaa Please

  • @irenengowi8657
    @irenengowi8657 หลายเดือนก่อน

    Miaka minne iliyopita kulikua hakuna kuomba like, ila sahvii watu utaona wanaomba like badala watoe maonii😂😂😂😂 tim 2024 nimesoma comment sijaona aliyekua anaomba like😂😂

  • @solangekubota9487
    @solangekubota9487 4 ปีที่แล้ว +1

    Akoseaki SNS

  • @sarahrashidi9558
    @sarahrashidi9558 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahahahajaja

  • @thiithurea5666
    @thiithurea5666 4 ปีที่แล้ว +2

    *Swali langu moja tu. Hivi hawa wanao dislike wako timamu kweli*

    • @haimahaima9473
      @haimahaima9473 4 ปีที่แล้ว

      Najiuliza🤣🤣🤣🤣🤣lbda wanajua pakudanlod🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sifabuhendwa2907
      @sifabuhendwa2907 4 ปีที่แล้ว

      Hawako kweli

    • @Nderemi786
      @Nderemi786 4 ปีที่แล้ว

      @@haimahaima9473 I think hawaelewi

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 4 ปีที่แล้ว +5

    Nice