IJUE NYOTA YAKO (SAMAKI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @christianngowi
    @christianngowi ปีที่แล้ว +3

    Asante shekhe ila naomba niulize kama umesha muoa mwenye nyota ya mbuzi na ww ni samak unafanyaje

  • @UmmyFarheart
    @UmmyFarheart หลายเดือนก่อน

    Samahai shk sasa ukikua katika mahusiano na mwenye hio nyota ya samaki je

  • @XggsFfshi
    @XggsFfshi 3 หลายเดือนก่อน

    Kwelii aseee kila kitu ni kweliio

  • @noorischmutisch5321
    @noorischmutisch5321 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana,kila ulichokisema ni kweli kuhusu Pisces,mm ni mmoja wao sheikh..

  • @ZahraYahya-lh2lb
    @ZahraYahya-lh2lb 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah 🌷🥀

  • @FatumaMwaduga
    @FatumaMwaduga 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh Aslam alykum! Hujasema biashara gan inafaa kwa nyota hii ya samaki

  • @abdukhandede341
    @abdukhandede341 2 ปีที่แล้ว +1

    Asant shekh mungu akulipe San naona nawe unanyota ya samaki

  • @ramadhanyahaya8303
    @ramadhanyahaya8303 2 ปีที่แล้ว +1

    Wenye nyota ya samaki wanatawaliwa na mardhi gan

  • @laylasaid8406
    @laylasaid8406 3 ปีที่แล้ว +1

    Waalaykum msalam warahmatullah wabarakatuh Wwewww MashaAlla MashaAlla MashaAlla 💖🌹leo mambo ni motoooooo 🔥🔥🔥🔥🔥👌MashaAlla shukurani🙏 shehe Allah Akubariki sana na Akuongoze daima 🤲🌠💫💫💫

  • @Dantaata
    @Dantaata 2 ปีที่แล้ว +2

    sheikh mimi nyota yangu ni ndoo mke wangu ni samaki,, nimeshtuka kusikia uadui wake ni nyota ya ndoo

  • @kabaissahemedi1386
    @kabaissahemedi1386 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbna nimezaliwa mwez huo,lkn sion kufanana na hayo maelezo,afadhali ya nyota mshale inanihus sana

  • @mohammedmuddy4117
    @mohammedmuddy4117 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli hiyo kazi ya kupiga picha na kuprint

  • @leylaadamuadamuleyla2789
    @leylaadamuadamuleyla2789 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @mudrikabdullah8556
    @mudrikabdullah8556 2 ปีที่แล้ว +1

    nikwel kabisa mimi ninanyota ya ndoo tupo kweny ugomvi na mtu ananyota y samaki

  • @Rashidi-kp9vu
    @Rashidi-kp9vu ปีที่แล้ว +1

    Waalayka salaam shekh mfano tarehe yangu ya kuzaliwa naifaham lkn tarehe yangu na herufi yangu yakwanz ya jina zinapingan je nitumie nyota gani katika mbili hizo

  • @lucaszabron5252
    @lucaszabron5252 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mm mm simo kwa tarehe hiyo sasa

  • @cbecollege723
    @cbecollege723 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @assanyaru4966
    @assanyaru4966 3 ปีที่แล้ว +1

    Jee hiyo yota utaoga kwasiku ngapi

  • @abubakarmusa6990
    @abubakarmusa6990 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah nizurizaidi

  • @lucashaule2542
    @lucashaule2542 3 หลายเดือนก่อน

    S alykhm! Sasa kama nyota ya samaki nima mtoto wa nyota ndoo inakuwaje hapo

  • @AlexJustine-jj7rh
    @AlexJustine-jj7rh 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa

  • @zuenamkindi6848
    @zuenamkindi6848 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah azid kuwahifadhi

  • @mohamedabdalla8832
    @mohamedabdalla8832 2 ปีที่แล้ว +1

    Jee samaki aeza kuona na nyota gani

  • @anuarabdul9801
    @anuarabdul9801 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja sheikh Aball

  • @saraphillipa1464
    @saraphillipa1464 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni wa kuzaliwa tarehe 20 mwezi wa pili. Na ni ukweli mimi ufanya duwa usiku sana ndio niweze kushinda adui yangu

  • @mussayusuph6568
    @mussayusuph6568 ปีที่แล้ว +1

    KWAIYO HATA PETE YENYE KITO CHA BLUU BAHARI NI SAWA ?

  • @zayoumaus8235
    @zayoumaus8235 2 ปีที่แล้ว +1

    Na watu wa Mizaan je

  • @Arya-me7cx
    @Arya-me7cx 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila Abal Mungu anakuona ujue 😢😢 unatufunza mashallah lakini unatutesa upande wa simulizi😒😒 hebu panga muda utumalizie ile simulizi ya WITCHER'S WAR WHO IS A WINNER? Ume stick second episode haya malizia ya mwisho basi

  • @vitukovyatiktok3103
    @vitukovyatiktok3103 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalam aleykum ustadh watu wa tarehe20 January mpak 19 Feb umewasahau au umpendezewa sana na nyota ya samaki otherwise upo salama tushakumiss vyakutosha tunakuomba kikuona tu hata kama hutosema kitu post video tu tukuone uko salama mwalimu wetu InshAllah Mungu akubariki uliko

  • @nadiaali9147
    @nadiaali9147 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ustadh mwanangu kazaliwa tarehe 11/9 ni nyota ya aina gani?

    • @Tima-g4d
      @Tima-g4d 27 วันที่ผ่านมา

      Ya scorpion ngee

  • @ahmadiabrahamani8702
    @ahmadiabrahamani8702 ปีที่แล้ว +1

    Shehe mim ni miongoni walio zaliwa ndani yatalehe hiyo lakini kuna mfasili mmoja ameniambia nambali yangu yabàhatini 8 napete ni yenye kito cha almasi nyeupe hii iko vp shehe ??

  • @ZainZain-ki5lg
    @ZainZain-ki5lg 3 ปีที่แล้ว +1

    moto

  • @kombohassan2802
    @kombohassan2802 3 ปีที่แล้ว +1

    She umakini uzigatiwe naona huko sawa naogopa

  • @mohammedabdallah518
    @mohammedabdallah518 2 ปีที่แล้ว +1

    A,alaykum sheh nimekuelewa ila nyota nyengine zinasema nyota samaki na punda zinaendana inakuaje

  • @ramayasly4584
    @ramayasly4584 3 ปีที่แล้ว +2

    Moto

  • @longwejalabusa4970
    @longwejalabusa4970 2 ปีที่แล้ว +1

    Moto

  • @williammbinda-9877
    @williammbinda-9877 ปีที่แล้ว +1

    Moto

  • @MaryMbote-dg7lu
    @MaryMbote-dg7lu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Moto