#15 ELIMU YA NYOTA - Nijuze

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 17

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 ปีที่แล้ว +5

    Leo nimeelewa mambo mazito, elimu hii ya faraqi tunaambiwa tuachane nazo ni shikiri. Kumbe Kuna mambo mazito na ndio Uislamu wenyewe.

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 2 ปีที่แล้ว +3

    Waaleikum Salam, jazzakallah kheir Shukran sana kwa kutujuza yale ambaye tulikuwa hatujui na musichoke KUTUJUZA

  • @ruqayyaoman
    @ruqayyaoman 2 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah Alhamdulilah alaa nurul-Islaam huu ni umuhim wa kuizingatia QUR-AN yetu ina mengi mengi mengi Subhanallah Allah atupe elimu yenye manufaa shukran sana mashekh kwa jitihada zenu

  • @maryammohammed8924
    @maryammohammed8924 2 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah kwakweli tumefaidika vya kutosha na hakuna sababu ya kubabaishwa na watu wenye ushabik tu hawana elimu yoyote juu ya mwez na sheria jamani tumeambiwa tuutafute mwez tuuone kama hatukuuona tukamilishe 30 sio tufate kua utakua ushazaliwa tuwache ushabiki ikiwa mwez ní mmoja mbona basi hauandami na kuonekana dunia nzima wacheni kudanganya watu na kuchezea dini hii dini ina mipangilio maalum tokea nabii Adam hongereni Oman kwa kua nakamati maalum ya kuangalia mwez hata zanzibar ipo kamati hii na wana elimu kama nyinyi wa Oman alhamdulillah Allah akujaze ní kher na naomba muwe mnawasomesha vjana elimu hii kwani umri ndo unakwenda elimu isije kupoteza na mkawa mas ul lazima elimu ya mwez isomeshwe tuondokane na ujinga wa eti UTAPOONEKANA POPOTE FUNGENI wacheni kudanganya watu.

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Alhamdulillah nimepata kujua mengi kupitia kwenu Allah akubarikieni

  • @a.856
    @a.856 2 ปีที่แล้ว +3

    Jazakallah khayran

  • @fatmaalzidy1170
    @fatmaalzidy1170 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah Tabaraka Rahmani

  • @salmaalbarwani5649
    @salmaalbarwani5649 2 ปีที่แล้ว +2

    Jazaka Allahu kheri

  • @nassiromar8834
    @nassiromar8834 2 ปีที่แล้ว +2

    Baraka llah feek 🥰

  • @mariatbirungi6577
    @mariatbirungi6577 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha' Allah.

  • @rashidyunus1835
    @rashidyunus1835 ปีที่แล้ว

    ALHAMDULILLAH nimejifunza kitu kikubwa sana
    ALLAH AWABARIKI SANA

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 5 หลายเดือนก่อน

    ELIMU YA FALAKI NDIO INAYO WAFANYA WAZUNGU KUWA JUU SIKU ZOTE KWASABABU WALISOMA WAKAELEWA NA WAKAFANYIA KAZI SISI TUMEBAKI KUTUKANANA TU NA KUFANYIANA UPINZANI KAMA VYAMA VYA SIASA.

  • @faridfrefre35
    @faridfrefre35 ปีที่แล้ว

    Hibadhi ni kundi potovu

    • @blacknature3691
      @blacknature3691 ปีที่แล้ว

      Juwa kwanza kuandika mjinga wewe hivi wewe wa peponi???

    • @AllyAbdallah-ug3se
      @AllyAbdallah-ug3se ปีที่แล้ว

      Hibadhi 😂😂, tia shadda kabisa

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน

      We salafi na kundi lako hilo ndiyo potovu.

  • @nasraljahadhamy4302
    @nasraljahadhamy4302 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah