Mashee wote ktk dawah hii Mubarak Allah awaifadhi nawafatilia sana❤❤Niko ndani ya Kenya mmenitoa taka maskioni nilikua hizbiyya. Alhamdulillah na songa mbele na manhaj salafiyyah❤❤❤
Alhamdulillah mahizbi hamwezi kushindana na haki.huyu ashee Allah amwifadhi namfatilia sana sana nko Kenya Nairobi. Kweli hio ni manhaj salima dawah salafiyyah
MARA ZOTE FATWA ZENU MAJADIDA MNAOJIPACHIKA JINA ZURI LA USALAFY MNANUKUU KWA MASHEKHE WENU NA SI KWA MTUME. MARA CHACHE SANA MNAMNUKUU MTUME... NYIE MAGOMVI TU NA RADDI. DAAAH
Dr.Islam endelea kubaki kimya. Kama ambavyo umekuwa, usidhani hii sharri bali hii kheri. Endelea kutupatia faida. "UKAMILIFU NI WA ALLAH SUBHANAHU WATAALA. " Na tunamuomba ALLAH SUBHANAHU WATAALA mshamaha kutokana na sharri za nafsi zetu.
HAKI HAIJIFICHI.DR.ISLAM ANA DAAWA YA HAKI NA HAFUNGAMANI NA MAYAHUDI KABISA. DALILI ZA UYAHUDI WENU MAJADIDA NI KUGAWA UMMA NA KUWA NA CHUKI NA WAISLAM WASIO CHINI YA UJADIDA NA UYAHUDI WENU... ALLAH ANAWAONA NA ATAJUA NINI AWAHUKUMU SIYE TUNAWAOMBEA NUSRA
Hv uislam ushakuwa ni kutafuta elimu ya kuchunguzana sisi kwa sisi na kutoana kasoro tu!! Acheni kutumia elimu vibaya mcheni Allah elimu zenu ziwe dira kwa umma,
Huyu Doctor Islam ana PhD ya secular kwa asilimia zaidi ya 70 , ama kwenye dini ni falsafa tupu hana elimu ya kumayyiz mambo ,hivyo kukaa kwake akasoma ni bora kuliko kudanganyika nq wajinga wakamdhanisha ana elimu ya kutosha . والله المستعان
الأسئلة: س: هل يؤخذ من قصة أبي هريرة مع الشيطان قبول الحق إذا جاء به الكافر أو المبتدع وعدم رد كلامه جملا وتفصيلا؟ الشيخ: أبو هريرة حريص على الخير، والصحابة كذلك، فهو قبله لما عرضه على النبي ﷺ وصدقه النبي ﷺ، لكن كون أبا هريرة أطلقه وهو مجهول يدل على الرحمة، وأن الإنسان إذا جاء فقير يقول إني فقير وإني محتاج وهو مجهول فيتصدق عليه أحسن؛ لأنه قد يكون صادقا، فأبو هريرة تصدق عليه وسمح له ولم ينكر عليه النبي ﷺ فدل على أن من ادعى الفقر والحاجة وأنت لا تعرف حاله تتصدق عليه لأنه قد يكون صادقا، تعطيه ما يسد حاجته إلا إذا علمت أنه كذاب تنصحه.
Mashekh sasa mmekuwa mashetan mnajidhalilisha siku zote mitandaon kubishan tu. Alaf kuna wenzenu wa tabrii mnasema hawna elim lakn hawabishan na mtu .mna rafik yang alitoka na tabrii kalud swala 5 na tunamuita Shekh. Kasim we huwez kaz hii badirika
Mm namshauri dkt islam asijibu hili kwasababu kumepinduliwa maneno ambayo yeye hakusema dkt katenganisha maneno nakesema shk usaimin kaenda mbali zaid kisha ndio kaleta hayo maneno ya shk usaimin kwanini ahojiwe maneno ya nyuma HII INAITWA KUPINDULIANA MANENO HALAFU NYOTE NI WATU WA SUNNA ILA SIJUI TUMEKUMBWA NA NINI
Kama Abu hureira Alitahadharishwa siku mbili kuwa ni muongo lakini alislikiza siku ya tatu akaenda kuuliza kwa Rasuul na sisi tuache madharau tuskilize tukualze masheikh
Sheikh Qasim Mafuta,mbona wewe umesoma kwa masufi hao wa Tamta na unakiri umesoma miaka mingi kuliko kwa masalafy na unakiri kua umesoma vitabu vingi kwa msufi sheikh Yusuf Subqi
Naona hata Mtume Sallallwahu Alayhi Wasallam kwa mujibu wa Shekh Alikosea kusema صدقك Ni muongo sheitan ila kamsemea Mtume Sallallwahu Alayhi Wasallam ya kwamba amesema ukweli
Ndio mtu akikwambia Haqq ni mmoja katika kukufindisha Allah asema Waqul Jaal Haqq wazaqa l Baatwiil Innal Baatwila kana Zahuqa ni muhimu kifuata kuna dua maallum ya kielimu Allahumma Arinal Haqqan haqqan warzikna Tiba'a...
Shukran Sheikh Allah akupe kheri ya Dunia na Akhera
Mashee wote ktk dawah hii Mubarak Allah awaifadhi nawafatilia sana❤❤Niko ndani ya Kenya mmenitoa taka maskioni nilikua hizbiyya. Alhamdulillah na songa mbele na manhaj salafiyyah❤❤❤
Alhamdulillah mahizbi hamwezi kushindana na haki.huyu ashee Allah amwifadhi namfatilia sana sana nko Kenya Nairobi. Kweli hio ni manhaj salima dawah salafiyyah
We shekhe umefeli sana kwa hili ukilala ukiamka ni Salim Barahiyan au Dr Islam.acha ujadida wako huo
Wala hana ilmu kama alonayo Dr.islam
Huyu ana wivu na hasad juu Dr.islam
Kamzulia ibn Uthaymeen au hapana?
sasa ndugu zangu shekh kaasimu anatoa höja,nyie hamtoi hoja munampiga vijembe tu na maneno ya kejeli,acheni kuumia mashekh zenu wakielekezwa
Asantaa abul fadhil zidi kubainishaa alhadulilah
hatujibu majaahil
MARA ZOTE FATWA ZENU MAJADIDA MNAOJIPACHIKA JINA ZURI LA USALAFY MNANUKUU KWA MASHEKHE WENU NA SI KWA MTUME.
MARA CHACHE SANA MNAMNUKUU MTUME...
NYIE MAGOMVI TU NA RADDI.
DAAAH
Dr islam sema keli hayo maneno umeyatowa wapiiiiii
Acha ujadidaww
Kamzulia ibn Uthaymeen au hapana?
Dr.Islam endelea kubaki kimya. Kama ambavyo umekuwa, usidhani hii sharri bali hii kheri. Endelea kutupatia faida.
"UKAMILIFU NI WA ALLAH SUBHANAHU WATAALA. "
Na tunamuomba ALLAH SUBHANAHU WATAALA mshamaha kutokana na sharri za nafsi zetu.
Naona Doktoor akusemesha tu
HAKI HAIJIFICHI.DR.ISLAM ANA DAAWA YA HAKI NA HAFUNGAMANI NA MAYAHUDI KABISA.
DALILI ZA UYAHUDI WENU MAJADIDA NI KUGAWA UMMA NA KUWA NA CHUKI NA WAISLAM WASIO CHINI YA UJADIDA NA UYAHUDI WENU...
ALLAH ANAWAONA NA ATAJUA NINI AWAHUKUMU
SIYE TUNAWAOMBEA NUSRA
Wazee wa khusuma ktk ubora wao. Daawa hii haina asili katika Uislamu.
Acha hasad zako kwa Dr
Islam
Kamzulia ibn Uthaymeen au hapana?
simba bachu atawaekasawa wanachama wa salafi
Doktoor hawezi mjibu
Uziri dr.islam hana muda wakujibu twamiachia bachu amjibu
Hv uislam ushakuwa ni kutafuta elimu ya kuchunguzana sisi kwa sisi na kutoana kasoro tu!!
Acheni kutumia elimu vibaya mcheni Allah elimu zenu ziwe dira kwa umma,
Kasim anatafuta kiki kwasababu amesaulika akuna anaemsililiza uyu asidi
Huyu Doctor Islam ana PhD ya secular kwa asilimia zaidi ya 70 , ama kwenye dini ni falsafa tupu hana elimu ya kumayyiz mambo ,hivyo kukaa kwake akasoma ni bora kuliko kudanganyika nq wajinga wakamdhanisha ana elimu ya kutosha .
والله المستعان
الأسئلة:
س: هل يؤخذ من قصة أبي هريرة مع الشيطان قبول الحق إذا جاء به الكافر أو المبتدع وعدم رد كلامه جملا وتفصيلا؟
الشيخ: أبو هريرة حريص على الخير، والصحابة كذلك، فهو قبله لما عرضه على النبي ﷺ وصدقه النبي ﷺ، لكن كون أبا هريرة أطلقه وهو مجهول يدل على الرحمة، وأن الإنسان إذا جاء فقير يقول إني فقير وإني محتاج وهو مجهول فيتصدق عليه أحسن؛ لأنه قد يكون صادقا، فأبو هريرة تصدق عليه وسمح له ولم ينكر عليه النبي ﷺ فدل على أن من ادعى الفقر والحاجة وأنت لا تعرف حاله تتصدق عليه لأنه قد يكون صادقا، تعطيه ما يسد حاجته إلا إذا علمت أنه كذاب تنصحه.
Kupitia Doktoor Islam viewers mutapata,
Shekh apo umeteleza elimu no bahari unajiuza halafu unajijibu mwenyewe habari ya abuhuraira mche allah
Ww ndio humwelewi abul fadhil nikama una uhizbi ndani yako😂😂
Pewa nyundo penda usipende dawah salafiyyah ndio kusema Kenya hoyeeee🎉 pigwa miti. Ww adui wa masalafi we don't care about your shit😂
Mashekh sasa mmekuwa mashetan mnajidhalilisha siku zote mitandaon kubishan tu. Alaf kuna wenzenu wa tabrii mnasema hawna elim lakn hawabishan na mtu .mna rafik yang alitoka na tabrii kalud swala 5 na tunamuita Shekh. Kasim we huwez kaz hii badirika
Wanahitaji subscribe hao, biashara tu hii
Hayo Maswali Muulizeni Bachu...Nyny maswali Ya Bachu Hamjibu... lakini mwataka Dr islam Awajiibu
Ndio maana mwaka mzima anasubiria jibu wala hajajibu
Sheikh Qassim Mafuta akereka sana na hichi cheo cha DOKTOOR 😂. Si mara ya kwanza kumu attack Dr. Islam sababu ya hichi cheo.
س: ما هو الدليل الآخر؟
الشيخ: لكن الحق يقبل من أدلة أخرى، من جاء بالحق وجب قبول الحق ولو أتى من كافر.
س:...؟
صدقت ١٠٠%فتح الله عليك ويسرالله لك و زادك الله توفيق في القول والعمل
امين يا رب!
jadida soma acha kubidiisha watu.
Mawahabi mwaka huyu mtajulikana tu nyiye nimayahudi yani hujuwi maneno kayatowa wapi ila haraka kumpinga 😂😂😂😂😂😂😂. Uwahabi ni ukafiri kbs
Haya ni maneno ya mtu ambaye hajaenda madrasa za kielimu
Aliyesoma hata kama ni Sufi hawezi kusema hivi
Kwaiyo unathibitisha kwamba mawahabi ni makafiri?
unapumuliwa
Naomba kuuliza yule kaka ake Kishki sheikh Abdulqadir Al Ahdal ni salafy?
Salafi ni marhem. Yani aliyetangulia. Je uyo unaemuuliza kisha kufa?
Sio salafi
Mm namshauri dkt islam asijibu hili kwasababu kumepinduliwa maneno ambayo yeye hakusema dkt katenganisha maneno nakesema shk usaimin kaenda mbali zaid kisha ndio kaleta hayo maneno ya shk usaimin kwanini ahojiwe maneno ya nyuma HII INAITWA KUPINDULIANA MANENO
HALAFU NYOTE NI WATU WA SUNNA ILA SIJUI TUMEKUMBWA NA NINI
Dr ilsam hana muda
Sisi kwetu hakuna watu wasunna je tusisome kwa masufu naomba jawabu
Asalam aleykum warhmatullah wabarakat unaishi maeneo gani Al akhy
Usiende Kwa masufi tafuta masufi itikadi zao potovu
Kama Abu hureira Alitahadharishwa siku mbili kuwa ni muongo lakini alislikiza siku ya tatu akaenda kuuliza kwa Rasuul na sisi tuache madharau tuskilize tukualze masheikh
Sheikh Qasim Mafuta,mbona wewe umesoma kwa masufi hao wa Tamta na unakiri umesoma miaka mingi kuliko kwa masalafy na unakiri kua umesoma vitabu vingi kwa msufi sheikh Yusuf Subqi
Labda kabla ya kujua manhaj kaka, lakini sasa keshajua, wengi wetu tulipitia kwa makhurafi lakini kabla ya kujua sunna.
@@مبغضالبدع-ع9صkwli wngi wenu ila kuna wengine Pia hawajapitia huko ,Katka ukhurafi Allah katujaliia neema hyo
Naona hata Mtume Sallallwahu Alayhi Wasallam kwa mujibu wa Shekh Alikosea kusema صدقك
Ni muongo sheitan ila kamsemea Mtume Sallallwahu Alayhi Wasallam ya kwamba amesema ukweli
Kwa maana kile alicho kisema ni kweli hakiwezi kuwa ni madhara, makosa ni kumfanya kuwa ni mkweli wa jumla
ASIPOJIBU ITAKUWA HAJUI AU AMEKUPUUZA?
Asipojibu atakua hana jawabu. 😂😂😂😂😂
@@مبغضالبدع-ع9ص na shekh qasmu anapoulizwa na shekh bachu na anakua hajibu ni HAJUI AU ANAPUUZA?
Swali,kwa nini unataka akaechini afundishe hali ya kuwa unajua kuwa ni hzb?
Mtu akifundisha anasoma kabisa ndio anajirekebisha kaka, nafkiri ndio malengo.
@@مبغضالبدع-ع9ص kwa kuwa unafikiri sawa,
huyo n muft wa majadida ametoa fatwa chuki n hasad zitawauwa
Mbona br islam unamvasana? Maswali uloulizwa ulishindwa kuajibu achakurukaruka maliza yamwanzo
Hii Qaul ya Ibnu Baaz mwisho asema hata kama ni kaafir maadamu kazungumza haqq yachukuliwa usipuuze
Je akikwambia haki ndio unakuwa umesoma kwake ?
Ndio mtu akikwambia Haqq ni mmoja katika kukufindisha Allah asema Waqul Jaal Haqq wazaqa l Baatwiil Innal Baatwila kana Zahuqa ni muhimu kifuata kuna dua maallum ya kielimu Allahumma Arinal Haqqan haqqan warzikna Tiba'a...
@@swalehmohamed4849 hilo hakuna aliyelikataa , nunachokuuliza je mtu akikwambia neno la haki ndo anakuwa shekh wako !?