Hata mayahudi Mtume Sallallwahu Alayhi Wasallam Asema musiwakadhibishe na wala musiwasadiki, hadi pale maneno yao yatakapo afiki kitabu kwalo hilo walilo lisemea watakuwa wamesema kweli
Wewe elimu yako nabachu ya mtandaoni ndio maana hamna adabu hata punje nyinyi niwafuasi wa yahya Al hajuri na muhamad imam nyinyi hizbi vip mbona mnakua remixer hamueleweki
Tatizo sio kosa tatizo ni je kosa liliofanywa limekidhi vigezo vya kumtoa mtu kwenye manhaj???ikiwa kama kila kosa linamtoa mtu kwenye manhaj hakuna atayebaki na uislamu ila tunabakia kuwa waislamu kwa kuwa makosa tunayotenda si yenye kututoa kwenye uislamu. Nadhani hili jambo lipo wazi, ishu sio kosa ishu ni aina ya kosa
UST qassim akimzungumza Dr Islam unadhihir udhaifu wa UST qassim na hii nikutokana na busara ya Dr Islam ndio maana RADD zake ZOTE ziliulia ni khutba Moja tu aliyo itoa Dr Islam bas UST qassim Bado hajawa mtu mzima ni mtu apenda kubishana na hii sio haiba ya mtu mwenye elim na inavyo onekana lao Dr Islam anaamuna kumuandama bas unadhihir udhaifu wa UST qassim.allah ndio mjuzi zaid
@@SugowFarah-up3db masalafy ni mapimbi walahi,hata kutumia akili pia shida,tanauliza makosa aliyofanya imam suyuti mbona hamtengii?Dr islam islam anafata wanazuoni akiwemo imam suyuti ssa anzeni na imam suyuti kisha shee ibn taymia pia alikaribisha shee wa masufi pia mtupe hukumu yake.
@@YusuphSadiki mmi namfuata mtume saw na makhalifa wanne,wanavyuoni wanakosea na wanapata ila mmi sio salafy wa kuwachagua maulamaa na kuwatukana wengine.
Wacha kujifanya huelewi point ,,, Point ni kuchukua ilmu kwa shetani ?,,,,je alosema abuu huraira kachukua ilmu kwa sheitan ni dr islaam au ni mtume saw? Ungeuliza hivi ungekuwa mwadilifu ,lkn ulivyouliza yani wajitahidi kukwepa haqq
Kabla ya yote we Kasimu ni àlim? Umefikia kwenye manzila ya kuwatoa watu katika Sunnah? Kama alivyo Dr Islam taalibul-ịlm na wewe uko manzila hiyo hiyo. Muhimu endelea kusomesha, maana hata wanafunzi wako hawatakuelewa. Fika manzila ya kukuweka katika jarh wa taàdil ndio uweze kuwatoa watu katika sunnah. Acha kujizakkii, na hilo kosa la dhahir ulilonalo. Anasema Mtume Sallallahu Alayhi Wasallam kila mwanadamu anakosea , kwa shikamana na ahlusunnah wenzako. Hawaa zitakuumbua. Alkamaalulillah.
Kwani akisema fulani sio salafy huwa hana hoja ? Mbona yuko na hoja tu ,,,, Naomba ukosoe zile hoja zake anazotolea mtu katika usalafy ,,,hebu pinga zile sababu zake kwanza
@@ABUUJAAFAR92 Allah ihfadhak , kassim mwenyewe katoa kisa cha wakati wa imam Hasan al basri, baada ya kuulizwa swali wanafunzi wakarukia na ndio walioanzisha Mu'tazila. Na yeye asubirie awe Àlim ndio aweke hizo hoja. Allah atuhifadhi sote na atuondoshee hii aibu iliyovamiwa katika safu za ahlusunnah.
@@ABUUJAAFAR92 Hoja kubwa ni kuingilia kazi iliyo juu ya uwezo wake. Masuala mengi au yote yaliyo dhidi ya ahlusunnah amekua anajigongagonga sana, tena mara moja moja hata dhidi ya watu bidàh anajigongagonga. Muhimu hakufikia manzila ya Ùlamaa. Kwani hoja zake dhidi ya kina dr islam , barahiani ni za kuungaunga tena kutoka kwa kauli za Ùlamaa wachache kiasi kwamba indhihiri kwa Taàsub na Ùlamaa hao tu. Na yeye siku zote anakataza Taàsub. Inashangaza sana. Allah atuhifadhi na atuunganishe ahlusunnah wote.
Allah akuhufadhi sheikh Abul fadhl
Shekh ower Dr Islam kakaa kimya hakujib hatak kabisa hii inaonekana ni mwenye hekma sana wewe bishana na bachu Ndo munaendana.
Nyinyi mbona mwasapoti upindaji watu wa taasubi
الله المستعان
Hata mayahudi Mtume Sallallwahu Alayhi Wasallam Asema musiwakadhibishe na wala musiwasadiki, hadi pale maneno yao yatakapo afiki kitabu kwalo hilo walilo lisemea watakuwa wamesema kweli
Umefikia level ya ibnu Umar! Au wewe ni nani katika huu umma hadi kutoa fatwa za kutenga Wana wavioni
Wewe wasikiliza kuelewa ama kukasirika
tushakujua mafuta elimu yak tia tia maji 😂😂😂 jibu hoja za bachu uko akukaange
Wewe elimu yako nabachu ya mtandaoni ndio maana hamna adabu hata punje nyinyi niwafuasi wa yahya Al hajuri na muhamad imam nyinyi hizbi vip mbona mnakua remixer hamueleweki
الله مستعان
Na ni nni hukmu ya wwe shee mafuta kusajili taasisi yako baada ya wwe kulipinga?
Tatizo sio kosa tatizo ni je kosa liliofanywa limekidhi vigezo vya kumtoa mtu kwenye manhaj???ikiwa kama kila kosa linamtoa mtu kwenye manhaj hakuna atayebaki na uislamu ila tunabakia kuwa waislamu kwa kuwa makosa tunayotenda si yenye kututoa kwenye uislamu. Nadhani hili jambo lipo wazi, ishu sio kosa ishu ni aina ya kosa
Usisahau pia kwamba huyo anayekosea ni katika wale wanazuoni mujtahidun au sio mujtahid
UST qassim akimzungumza Dr Islam unadhihir udhaifu wa UST qassim na hii nikutokana na busara ya Dr Islam ndio maana RADD zake ZOTE ziliulia ni khutba Moja tu aliyo itoa Dr Islam bas UST qassim Bado hajawa mtu mzima ni mtu apenda kubishana na hii sio haiba ya mtu mwenye elim na inavyo onekana lao Dr Islam anaamuna kumuandama bas unadhihir udhaifu wa UST qassim.allah ndio mjuzi zaid
Alaf ajajib swali la mohamad bachu swali la bachu je? Imam suyutw ana makosa mangapi mbna bado hamumtoi kwny manhaji salaf
Acha makasiriko na kibri skiliza haki ufate
@@abumuhsinminaniabdoullahas9185 niwafuate nyinyi wenye kuona cc sote makafir kasor nyie......
Muogope mola wako akhy lini mulikufurishwa ? @@KhalfanMakota
Unao huo ushahid kuwa pamesemwa waislam wote makafir isipokuwa masalafiy? @@KhalfanMakota
Watu walianza kujiiita salafy katka karne gani?ssa ni nni hukmu ya imam suyuti?au kosa la ibn taymia ya kumkaribisha shee wa sufi?
Kwani imaam Suyut na Dr. Islaam ni level moja❓
@@SugowFarah-up3db masalafy ni mapimbi walahi,hata kutumia akili pia shida,tanauliza makosa aliyofanya imam suyuti mbona hamtengii?Dr islam islam anafata wanazuoni akiwemo imam suyuti ssa anzeni na imam suyuti kisha shee ibn taymia pia alikaribisha shee wa masufi pia mtupe hukumu yake.
@@bacteria5184 wewe ni Bacteria kwel nimegundua
Hebu kaauko na ubacteria wako huko ndio maana lifuasi la Yaya hajuri mpuuzi nn
@@YusuphSadiki mmi namfuata mtume saw na makhalifa wanne,wanavyuoni wanakosea na wanapata ila mmi sio salafy wa kuwachagua maulamaa na kuwatukana wengine.
Baarakallah fiyka shekh Abul Faadhil Qasim mafuta
Alosema sheitan kasema kweli ni Mtume Sallallwahu Alayhi Wasallam au ni Doktoor Islam kazusha?
Wacha kujifanya huelewi point ,,,
Point ni kuchukua ilmu kwa shetani ?,,,,je alosema abuu huraira kachukua ilmu kwa sheitan ni dr islaam au ni mtume saw?
Ungeuliza hivi ungekuwa mwadilifu ,lkn ulivyouliza yani wajitahidi kukwepa haqq
@@ABUUJAAFAR92wewe unamsemeje Dr Islam na mafuta nipime akili yako kama ni nzima
Sawa nimeelew kuwa kosa moja tu latosha kumtoa mtu kwny manhaj salaf swali imam suyutw ana makosa mangap mbn mwamuitaqid kuwa ni salaf...
Mpk mtu anafika level za doktur katika mustawa wa elim bado mwasema cio mujtahid kwel?hz ni asad aya kwa maon yako ni kwamba zama zetu mujtahid hawapo
Kabla ya yote we Kasimu ni àlim? Umefikia kwenye manzila ya kuwatoa watu katika Sunnah? Kama alivyo Dr Islam taalibul-ịlm na wewe uko manzila hiyo hiyo. Muhimu endelea kusomesha, maana hata wanafunzi wako hawatakuelewa. Fika manzila ya kukuweka katika jarh wa taàdil ndio uweze kuwatoa watu katika sunnah. Acha kujizakkii, na hilo kosa la dhahir ulilonalo. Anasema Mtume Sallallahu Alayhi Wasallam kila mwanadamu anakosea , kwa shikamana na ahlusunnah wenzako. Hawaa zitakuumbua. Alkamaalulillah.
Kwani akisema fulani sio salafy huwa hana hoja ?
Mbona yuko na hoja tu ,,,,
Naomba ukosoe zile hoja zake anazotolea mtu katika usalafy ,,,hebu pinga zile sababu zake kwanza
@@ABUUJAAFAR92 Allah ihfadhak , kassim mwenyewe katoa kisa cha wakati wa imam Hasan al basri, baada ya kuulizwa swali wanafunzi wakarukia na ndio walioanzisha Mu'tazila. Na yeye asubirie awe Àlim ndio aweke hizo hoja. Allah atuhifadhi sote na atuondoshee hii aibu iliyovamiwa katika safu za ahlusunnah.
@SalehSaleh-re1ud kwani hoja aliweka yeye ?
Si anatumia hoja zilizowekwa ni maulamaa ,,,ama sheikh qaasim ametunga zake ?
@@ABUUJAAFAR92 Hoja kubwa ni kuingilia kazi iliyo juu ya uwezo wake. Masuala mengi au yote yaliyo dhidi ya ahlusunnah amekua anajigongagonga sana, tena mara moja moja hata dhidi ya watu bidàh anajigongagonga. Muhimu hakufikia manzila ya Ùlamaa. Kwani hoja zake dhidi ya kina dr islam , barahiani ni za kuungaunga tena kutoka kwa kauli za Ùlamaa wachache kiasi kwamba indhihiri kwa Taàsub na Ùlamaa hao tu. Na yeye siku zote anakataza Taàsub. Inashangaza sana. Allah atuhifadhi na atuunganishe ahlusunnah wote.
Hizo mnazo leta ni shubha ndogo saana mbele ya sheikh abul fadhil ni sawa na utandu wa buibui