𝐑𝐀𝐃𝐃 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐏𝐈𝐆𝐀 𝐑𝐀𝐌𝐋𝐈 (𝐌𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈𝐍𝐀) 𝐃𝐑. 𝐒𝐔𝐋𝐄 ...... SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 55

  • @katan671
    @katan671 2 หลายเดือนก่อน +3

    SULE JICHAWI KUBWA HILO.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 2 หลายเดือนก่อน

    HUYO SULE SIO SHEIKH ANAWALIBIA MASHEIKH MAJINA TANZANIA MPAKA WAKEZAKE KAWAINGIZA USHILIKINANI MUNGU TUPE MWISHO MWEMA 😢😢😢😢😢😢😢

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Toboa kila kitu Sule...waislamu mumeficha haya mambo kwa mda mwingi😂

  • @AboudAli-y6p
    @AboudAli-y6p 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaalla sheikh uko sawa

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu Dr Sule yuko dhima kubwa san mbele y Allah kwa kuaaminisha watu juu y nyota na majini . Hkika n hatar san

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 2 หลายเดือนก่อน

      @@zanlec7357 acha ujinga huoo
      Kwani majini hawakutajwa kwenye qur Ani ? Na elimu ya mambo ya nyota ipoo na watu wanasomeaa kama jambo huamini Bora ukae kimya kuliko kukosoa jambo usilokuwa na elimu nalooo

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mushriki mkubwa huyu kama masufi wenzake

    • @dawatul-salafi129
      @dawatul-salafi129  2 หลายเดือนก่อน +2

      Hakika

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 2 หลายเดือนก่อน

      @@dawatul-salafi129 mungu mtu 🤣🤣🤣 ety kwahiyoo me nikiwa sio salafi nikifa naenda motoni ??🤣🤣🤣🤣

    • @shawegally1367
      @shawegally1367 2 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUALLY-ch5jr Allah akuongoze we akh pia akuondolee kiburi

  • @KaramaKarama-jm7qo
    @KaramaKarama-jm7qo 2 หลายเดือนก่อน

    Wajua Kenya HUYU sule Hadi kuitwa Dr,Sana Sana linatokana na kabila la wakamba.Manake wakamba wakishikika kidogo tu,utawasikia wanaenda kwa daktari wa kienyeji.Ewe sule uko na makaratasi ya kuitwa Dr?Kwanzia na leo utaitwa mchawi au mganga sule waonaje hapo?Na Kama hutaki kuitwa hivi basi Rudi kwa ALLAH KISHA MCHE ALLAH TOKA KATIKA HIZI BIASHARA ZA KINA ABULAHAB BANA.

  • @erishaaboumpangaje8597
    @erishaaboumpangaje8597 2 หลายเดือนก่อน

    Abuhalab

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mchawi ni kafiri sasa huyu anachokifanya sule ni ukafiri mtupu,ikisimama dola ya kiislamu hukmu ya watu kama hawa ni kuuliwa mchawi ni kafiri sabu huyu sule anapewa wahy na masheitwan mtu kama huyu akifa hivi haina haja ya kumsomea duwa akitubia sawwa allah amuongoze kweli

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KWA MATUSI TU NYINYI NI SALAFI KABISAAA
    NA SIDHANI KAMA KUNA SALAFI KAMA NYINYI KWA MATUSI KISHA MNAITA HAYO MATUSI NI SUNNA!!
    NYIE NI WAHUNI TU

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo ni muongo mkubwa na Allah amuongoze ikiwa anataka uongofu na amdhalilishe ikiwa hataki uongofu

  • @abduwahabi7019
    @abduwahabi7019 2 หลายเดือนก่อน +2

    Majuzi alikuwa kanda ya ziwa akiwauzia watu maji eti ya elfukumi yapoo na ya elfu tano yapooo. Mwizi mkubwa huyu anajua anachokifanya anawaibia waislaam.

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pia ni mshenzi kama washenzi wengine

  • @HabibuNammohe
    @HabibuNammohe 2 หลายเดือนก่อน

    Masalaf tukisema muzingatie mapema sio kila siku nyei kuwa wamwisho kujuwa sisi tulisema wakati uleee wakati akidai hakuna pepo ya wenye kuswal kwambal huyu sio shekhe wakusikilizwa masufi nyinyi mukaja juu

  • @lovepipy4811
    @lovepipy4811 2 หลายเดือนก่อน +4

    Dr Sule ni Dayuth,Jaahil,mushrik na hana Ushekhe wala u doctor ni Mshirikina .

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 2 หลายเดือนก่อน +1

      Usimtukane ikaonekana ni usalafy kutukana ongea tu makosa yake TANBIH

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 2 หลายเดือนก่อน

    Wambie hao wahabi inawezekana wakaacha

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah anasema ndani ya qur Ani wala musizitukuze nafsi zenu yeye Allah pekee anajuaa ni nani aliekuwa mchamungu kwenu .hii ayaa ni mahsusi Kwa nyinyi wapuuzi wa kisalafi mnaojitakasaa na kujiona wachaamungu kuliko wengine

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 2 หลายเดือนก่อน +3

      Ikiwa kujiita salafi na kukosoa watu wakosefu ni kujitakasa basi wewe pia wajitakasa kwa kujiita muislamu maana atakae jiita muislamu pia kajitakasa je walijua hilo?

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 2 หลายเดือนก่อน

      @@AbuuBakar1 hayoo sio maneno yangu Bali ni maneno ya muumba ameshatwambia tusijitakase tukajiona watakatifu kuliko wengine huenda ukamkosoa mtu kumbee mbele ya mwenyezimungu akawa yupoo sahihi na wewe unaejiona upoo sahihi ukawa upoo kwenye makosaa ,na huu ujinga ndio mulokuwa nao nyinyi masalafi kujionaa mupoo sahihi Kwa Kila kitu ila nakupeni ushauri kama kweli munataka hakii basi kwanza rekebisheni akida zenu potovu mulonazoo za kiyahudii

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 2 หลายเดือนก่อน

      @@AbuuBakar1 na pia ukisema muislamu anajitakasa maana yake anajiepushaa na makatazo ya Allah s.w ndio maana ya kujitakasa na pia kujitaka huja maana ya kujitukuzaa nyinyi masalafi munajitukuzaa Kwa maana munajiona kundi Bora kuliko wengine kazi yenu kudanganya watu tu mbwaa nyiee

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 2 หลายเดือนก่อน

      @@AbuuBakar1 na pia nyinyi munasoma Kwa kutaka kujionesha Kwa watu kuwa munaelimu ila kiukweli hakuna watu wajinga kama nyinyi kazi kuchafua sifaa za watu basi hamuna jengine

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

      Mtu anatangaza uchawi hadharani unasema kujitakasa hakki kubali hakki batwili kubali batwili shekh huyu yupo sahihi masufi mmechafuwa sana dini kwa mambo ya kichawi ushirikina hukmu ya mchawi ikibainika naye kakili ni kukatwa kichwa na panga ikiwa nchi itaongoza dola ya kiislamu mtume kawakemea Hawa watu na katoa hukumu ya kuzuliwa ww wamtetea jitu lichawi Allah ndo kasema mchawi ni kafiri sasa mtu anajitangaza hadharani uchawi wake mlizoea kufanya mambo ya ushirikina mnavungiana hamsemani sasa vijana wamesoma dini wakikataza mnawaita wahabi yani nyi mmekalilishwa kila kitu wahaby wahaby basi ikiwa kukataza shirki na uchawi basi mtume muhammadi atakuwa wahabi wa kwanza