Mboowe Angepata heshima kubwa tz had I ulaya,km tu angesema nang'atuka ilikuwa heshima. Kwa sasa hana heshima tena,wala hawezi itwa kwenye mambo ya demokrasia Kazidiwa na zito kabwe.Aiiiiibu mbowe . Sisi wananchi tunamtaka lisu simba.
@dennisungonella205 hiyo ndiyo yakula kwa sababu haipigi kelele kwenye box,na watakuwa wajinga kuhongwa harafu ukashindwa kuangalia nini unaenda kufanya. Wakifanya kosa tu kumpa mbowe wananchi watageuka akili za ukombozi zitaamia Act na chadema itakuwa kama trip.
Namkubari lissu alipambana na magu nakumbuka akifunga njia kati ya misugusugu au kibaha anaweza siasa ngumu alimpelekesha rais magu mpaka kambi ya rais ilipoteana kampeni zikabaki za lissu leo kampeni ya chama labda afukuzwe leo au wakodiwe tamisemi waje wasinamie na polis bila ivyo mtachemka
Lisu anajitahidi kutafuta kiti lakini atawavuruga mpaka mtashangaa. Lisu ni msomi ila Hana heshima Wala adabu na hakika hafai kuongoza maana si mstahimilivu. Mnaomtaka Lisu badilikeni huyu ni mchochezi WA vita siyo mstaarabu atakidhalilisha chama Mbowe ni kiongozi mstahimilivu jasiri na mwenye uwezo mpana kitaifa na kimataifa. Badilikeni acheni kukimblia upepo wa kisulisuli, kelele na mapepe
Leo hii mnataka kulazimisha mbowe abakie ila tusije tukawasikia kwamba mnasema ccm ni chama cha dicter kw7bu hawataki kuondoka madarakani kama mnataka ccm iondoke madarakani basi anzeni kwa mbowe kwanza aondoke na awaachie wengine
Kwani huyu silaha ni Chama gani? hivyo kwanini watu wanaoongea uongo kama silaa wasichukuliwe hatua we mama hizo pesa ametoa wapi? hizo ni propaganda za kumchafua Rais lakini pia kumchafua Mbowe Silaha anaongea kwa chuki binafsi.
Hongera Sana Tanga, Lissu Ndio msemo wa Sasa hivi
Hongereni sana watu wa nyumbani Tanga kwa kumuunga mkono Tundu Lissu ❤
LISU Daima nyuma mwiko
Tunaenda na Lisu popote pale
Asante tanga mko makini na mna akili mungu asimame nasi🇹🇿✌️✌️❤lisu 4rever🚣♂️🚣♀️🚣🚣🚣♂️🚣♀️🚣🚣♀️🚣🚣♂️🚣♀️🚣
lissu ndo kila kitu bhana, Mbowe aheshimiwe kwa yale aliyofanya
Mboowe Angepata heshima kubwa tz had I ulaya,km tu angesema nang'atuka ilikuwa heshima.
Kwa sasa hana heshima tena,wala hawezi itwa kwenye mambo ya demokrasia
Kazidiwa na zito kabwe.Aiiiiibu mbowe .
Sisi wananchi tunamtaka lisu simba.
Yaani Kuna tuhuma ya pesa kutembezwaa, duh
@dennisungonella205 hiyo ndiyo yakula kwa sababu haipigi kelele kwenye box,na watakuwa wajinga kuhongwa harafu ukashindwa kuangalia nini unaenda kufanya.
Wakifanya kosa tu kumpa mbowe wananchi watageuka akili za ukombozi zitaamia Act na chadema itakuwa kama trip.
Yaani kwenye chadema mpaka zinatumika pesa, dah mambo yanabadilika😂😂
Muwe wakweli Nyinyi mtawauza WATANZANIA 😊
Huu ni wakati wa kula mahela, kuleni pesa, kura kwa lissu, bila lissu hakuna chadema
Haaah,kumbe lisu ni ccm, ndio maana slaa anamsupport, kweli chadema imeingiliwa
Namkubari lissu alipambana na magu nakumbuka akifunga njia kati ya misugusugu au kibaha anaweza siasa ngumu alimpelekesha rais magu mpaka kambi ya rais ilipoteana kampeni zikabaki za lissu leo kampeni ya chama labda afukuzwe leo au wakodiwe tamisemi waje wasinamie na polis bila ivyo mtachemka
Lisu ni mwamba asee
Yaani mbowe ameshinda kweupe
bado Kanda ya kati
Kura.kwa.lisu.tanzania.inawatu.wasio.naoga.kama.lisu.tulia.sipika.munge.ndunia.hati.nnyerre.magufuli.na.wengi.tusiowajua.wasaidieni.kihekima.busara.matakwa.kwa.wanachi.tulia.jisikie.mungu.amekugua.unàpotaka.msaada.hekima.utapata.kuijomea.ww.pekee.lisu.pia.awe.anajiombea.mungu.ampe.nguvu.amini
Mbowe mbele kwa mbele huo ndio ukweli
Angaliyeni mnaweza kuhujumiwa kayeni chonjo
.
Ukitukana mtu kwq mavazi unatangaza udhaifu wako
Lissu anafaa kumridhi mbowe
Kwani chadema wana sare? Naombeni kuuliza...
Ni zaidi ya CCM😂😂😂
Huyu silaa nn nani kweye chama
Wewe ulitaka awe nani?
Lisu ni ccm, ndio yuko naslaa
Slaa ni Nani chadema??? Si alienda ccm... Hahaha
Kigaila unamupenda MBOWE mpaka iunafikia kuongea uwongo itafika sehemu utaulizwa swali mke wako unamupenda utajibu mpaka iandaliwe katiba kigaila wewe nakuamini usijitowe ufahamu
Kura ni siri ya mtu je kwenye box
Hapo kwenye maombi mbona tumesikia maombi yapo kwenye Imani moja ya kikiristo tu imekaje hii
Acha udini
Inatosha, MUNGU ni mmoja tu!
yanidoktasla ndo mshauri kudadeki mmeuzwa hundouchaguzi mku unavyovurugwagwa ivo nawajinga kamahawa
Haja vaa sare
Tunasubiri January 21
Kura ni maamuzi YA MTU sio kulazimishana
Kuna aina ya siasa sisi kama watanzania hatujawa tayari kuona. Tumezoea uvumilivu na kuheshimiana
Mjinga mnafiki wewe unaonekana chawa wa ccm Umeshindwa kuvaa share ya chama
Lisu anajitahidi kutafuta kiti lakini atawavuruga mpaka mtashangaa. Lisu ni msomi ila Hana heshima Wala adabu na hakika hafai kuongoza maana si mstahimilivu. Mnaomtaka Lisu badilikeni huyu ni mchochezi WA vita siyo mstaarabu atakidhalilisha chama Mbowe ni kiongozi mstahimilivu jasiri na mwenye uwezo mpana kitaifa na kimataifa. Badilikeni acheni kukimblia upepo wa kisulisuli, kelele na mapepe
Leo hii mnataka kulazimisha mbowe abakie ila tusije tukawasikia kwamba mnasema ccm ni chama cha dicter kw7bu hawataki kuondoka madarakani kama mnataka ccm iondoke madarakani basi anzeni kwa mbowe kwanza aondoke na awaachie wengine
Sisi tunamtaka lisu mm ni mjumbe
LISSU NI YEYE NI MSAFI NI MUWAZI AMENYOOKA KAMA RULA
Hao wenye heshima tumewafaidi nini yangi huu Mfumo Wa kidemokrasia uanze? Wewe acha ujinga kwa Sasa za Sasa tunamtaka lisu.
Hakuna hoja hapo acha ujinga wewe
Kwamba Mshauri wenu mkuu ni Dr Slaa mwana CCM
Ushauri Mzuri unatotoka kwa yeyote
@@GodfreyOsward😂😂 angekua mbowe mngesema kala asalo, leo slaa ccm yuko na lisu aliekula hela ya abdul
Mitano kwa Fam
Hujaandika mingine. Maana amekuwa katika madaraka kwa 21 years😂😂😂
Mbowe amebakia na wenyeviti wa kanda tu, hii imeenda - dignity & legitimacy yake imeporomoka mno
Kwani huyu silaha ni Chama gani? hivyo kwanini watu wanaoongea uongo kama silaa wasichukuliwe hatua we mama hizo pesa ametoa wapi? hizo ni propaganda za kumchafua Rais lakini pia kumchafua Mbowe Silaha anaongea kwa chuki binafsi.
Haha vaa sare chawa wewe😊