Meaning to say, you're the measure of truth. My dear brother, no one is a fool, as you think. No one doesn't know what happened during the regime of the late President John Pombe Magufuli. The truth will make you free, Jn 8:32.
Wewe msiba hawa waandishi wahbr unawapataje na unatumwa na nani na wanakulipa nn,baya zaidi bado Kuna watu uliowachafua kisiasa,kimaadili wakakufungulia madai mhkmani wakakusamehe lkn huko.i?mbona unYozungumza hayahusiani na uchaguzi wa cdm?
Et mzee Magufuli alimpiga risasi Ben Saa 8 kwa mkono wake?Kabendera mjinga sana,yote haya yametengenezwa na wazungu ayaseme.Watu weusi sisi wajinga sana,tumepewa elimu fake tunaabudu wazungu.Uko sawa mzee Musiba
Musiba wewe ni tatizo kubwa sana kwa nchi. Awamu iliyopita ulichochea mambo mengi ambayo yaliumiza familia nyingi na sasa umeanza tena kuleta maneno ya uchochezi. Waandishi na wanaharakati wapo kila mahali duniani na kazi zao zinajulikana na kuheshimika. Umeongea kwa muda mrefu lakini hujasema lolote la maana. Unataja majina ya watu bila kusema ni nini wamefanya au kusema kumchafua kiongozi au nchi. Unashabikia waandishi au wanaharakati kushikwa au kufungwa kwa lipi? Umewataja viongozi kama Fidel Castol, Mandela, na nchi tulizozisaidia kukombolewa… wote hao na wengine walikimbilia nchi zingine na kupiga kelele kwa yale yaliyokuwa yanatokea ktk nchi zao. Mama Samia na wananchi wanaojielewa watakosea sana kumsikiliza mtu kama wewe. Kuna maumivu mengi ulisababisha kwa wananchi wengine ktk awamu iliyopita… you need to stop. Toa hoja zenye kusimama ktk haki na kweli. Lugha chafu haimuuwi mtu wala kumnyima usingizi mwenye haki na mkweli… kama Yesu alipigwa na kutukanwa ktk ukuu wake, mimi binadamu ni nani mbele zake? Sikubaliani na wala kushabikia lugha chafu kwa viongozi BALI tusimame ktk kusema kweli, kupigania HAKI, kutetea wanyonge, kuwa sauti ya wasio na sauti, kukemea maovu, unyanyasaji, ubadhilifu nk. Mwisho… sema ni nini kimesemwa na kufanywa na hao unaowatuhumu… na kumbuka bado kuna mambo ya hovyo yanayoendelea nchini SIO lazima kuwa yanafanywa na serikali bali yanapaswa kutolewa maelezo au suluhisho🤷🏿♂️ utekwaji, vifo tata, kubambikiwa kesi nk. ACHA UCHAWA HUSIO NA FAIDA KWA TAIFA.
Unafiki tu
Sawa kabisa Cyprian msiba
Umeshalipa deni la Membe?
Chadema haifai kuliongoza Taifa
Huyu akili sizani kama akili zake ziko vzr
Membe alishamroga...
Mmmmmmmmmmmmm taarifa mbaya Musiba, ndugu zangu watanzania tuvumilie,tuuzoeeee
Wew hujui unachosema kwani baba na mama wakifa NAMI ndo nife kwa kuuwawa acha nife MWENYEWE.
Meaning to say, you're the measure of truth. My dear brother, no one is a fool, as you think. No one doesn't know what happened during the regime of the late President John Pombe Magufuli. The truth will make you free, Jn 8:32.
Watanzania wote wanaishi kwa amani kama wewe?
Bila ya kumsahau D Silaha na nadhania wanapata maslahi makubwa kwa kufanya hayo
hadi wamesahau maslahi mapana ya Taifa.
Acha kujipa umuhimu kwenye mambo ya watu!
Watu wasio wema wako kwenye chama chako.
Sura ngumu hakuna teuzi wewe boya
Sawa mkuu msiba
Wewe msiba hawa waandishi wahbr unawapataje na unatumwa na nani na wanakulipa nn,baya zaidi bado Kuna watu uliowachafua kisiasa,kimaadili wakakufungulia madai mhkmani wakakusamehe lkn huko.i?mbona unYozungumza hayahusiani na uchaguzi wa cdm?
Musiba hmmmmmmm
Kitabu kimefungwa? So kina soka wapo honey moon one day watarejea?😅
Jambo nao mnafuata watu akili yai
Kwani yeye ameshawachafua wangapi
Hao viongozi wa nchi ni malaika?
Wewe mtu mawazo yako hua ni mafupi sanaaa
Et mzee Magufuli alimpiga risasi Ben Saa 8 kwa mkono wake?Kabendera mjinga sana,yote haya yametengenezwa na wazungu ayaseme.Watu weusi sisi wajinga sana,tumepewa elimu fake tunaabudu wazungu.Uko sawa mzee Musiba
🤐