VIONGOZI WA MAJIMBO YA MKOA WA MBEYA WATOA TAMKO KUMUUNGA MKONO LISSU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025
  • #JAMBO TV...........Tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii

ความคิดเห็น • 272

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +34

    Mbeya Ahsanteni sana,heshima kwenu ninawapa

  • @jumskibona3261
    @jumskibona3261 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +26

    Nilitaka kushangaa sana mbeya ninayoijua iwe team mbowe

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +23

    Hongerani Sana Wana Mbeya, simameni imara na Tindu Lissu.

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +24

    Muonyesheni mwenyekiti wenu wa kanda kwamba hambabaishwi na rushwa za Mbowe na watu wake, hongerani Sana makamanda lissu oyeeeeeee!

  • @veranmusigula8832
    @veranmusigula8832 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    mbeya mmetutoa kimasomaso.Hongereni sn

  • @kaitabaendrew8199
    @kaitabaendrew8199 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +18

    Mungu msaidie Lissu awe mwenyekiti ❤

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Hongereni wajumbe, sikilizeni maoni ya wananchi, kwa sasa lissu ndo Chaguo hasa la umma, mbowe abaki mshauri

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Uyo Dada Hadi Raha... 🔥🔥🔥🥰🥰

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Ahsanten sana makamanda hajatuangusha kabisa,lissu anatosha!

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Mbeya mmetisha mungu awabaliki mlete tundu lissu

  • @James-sz4ec
    @James-sz4ec 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hongera sana wanambeya mbowe awe na busala

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    Nimecheka hadi machozi yamenitoka, kumbe kuna faida mno ukiwa mtu wa haki na kuwatetea watu, wajumbe wanaojitambua wameamua kutuwakilisha watanzania, MUNGU awabariki sana, teamu mbowe poleni, mmekwamisha demokrasia muda mrefu

    • @MaximeMasinga
      @MaximeMasinga 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂💪💪💪🤝

    • @nakalikyumile3234
      @nakalikyumile3234 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Watanzania tuna hasira

  • @MarcoHamis-d4s
    @MarcoHamis-d4s 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +18

    Lisu na Heche ndio tunaondokanao

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Safi kabisa mumeupiga mwingi sana

  • @Hence2008
    @Hence2008 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Tundu Antipas Mughwai Lissu

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Asante dada umeongea vema binafsi nimeshiriki kujenga ofisi ya chama kata yetu ya itezi mbeya mjini

  • @PaulMsema
    @PaulMsema 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Mm ni mwanza Moja lakini watu wa mbeya huwa ninawakubali "wide minded people" hasa kwenye jambo lao

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Asante wenyeviti mko vizuri....

  • @michaelmakenji855
    @michaelmakenji855 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Dada umeongea vitu,big up

    • @GodfreyBaritelemi
      @GodfreyBaritelemi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @PolycapySilayo-g9w
      @PolycapySilayo-g9w 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hivi mnagombana wenyewe hebu tumieni busara ,kwani nchi c kijiji ,wengi wape mbona mpo wachache ,kwa hizo fitina hamfai wote tokeni hapa mtaiuza nchi yetu.

    • @PolycapySilayo-g9w
      @PolycapySilayo-g9w 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wote mna njaa mtaiuza nchi yetu ,tiyaache masisiemu yatuburuzempaka tujitambue ,

  • @moseslekumok
    @moseslekumok 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Imeisha iyo kanda ya nyasa ndio kanda kubwa tz lisu mshindi tayari

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Woote wanao muunga mkono lissu,,mungu awabariki saana ili watesi wake wakapate kushindwa,,na wenye hila na lissu mungu akawapige upofu tare 21/2 /2925

    • @robbyman6213
      @robbyman6213 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      RUDIA TAREHE VZR

    • @kaguripenina63
      @kaguripenina63 29 นาทีที่ผ่านมา

      Mwezi haujakaa sawa

  • @peteromary8764
    @peteromary8764 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ahsanteni sana wanambeya na mkifanya hvo tutawasapot sana hata ck mkija kutuomba misaada tutawachangia vzr

  • @CeciliaKagoma
    @CeciliaKagoma 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hongereni sana.

  • @TITOSAMSON-e7e
    @TITOSAMSON-e7e 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hii ndio 🇹🇿 tunayoitaka🎉🎉🎉

  • @PetroPmibulo
    @PetroPmibulo 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Lisu...... Lisu ..... Lisu ki ukweli namuelewa

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Sasa tupo pamoja aiwezekani mtu aongoze miaka 21 na bado anataka tena apana ni lisu tu saivi

  • @MichaelMgudula
    @MichaelMgudula 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Tunaenda nalisuu

  • @chezariboy
    @chezariboy 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe saaafi sana hongera kwa kuwalea watu wameelimika na matunda ndio haya wanataka mabadiliko na wanakuheshimu hongera sana Mbowe.. kwasasa jamii kubwa kwa Kamanda Tundu lisu hongera mbowe kwa kuilea jamii kuielewa democrasia. Lisu oyaaaa🎉🎉

  • @VicentMichael-l6p
    @VicentMichael-l6p 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +20

    Tunakoelekea atabaki yeriko pekeyake 😅

    • @wiliamkatala
      @wiliamkatala 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Na Ntobi😂😂😂😂😂😂

    • @geraldleger5793
      @geraldleger5793 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @barnaba3037
      @barnaba3037 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yeriko nilivyomsikiliza anaonekana akili yake ndogo sana

    • @Teddy-z4i
      @Teddy-z4i 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa yaani

  • @JooLusajo
    @JooLusajo 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +24

    Asante makamanda tare21 tukaonyeshe majabu mbowe akalee families yake

    • @givembwilo141
      @givembwilo141 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      akiba ya maneno ni njema sana,lolote laweza kutokea usiweke 100%

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tupeni lisu ❤ siasa za sasa lisu ataludisha wakilishi bungeni tumechoka na wabunge wa chama kimoja ambao kilakitu ni ndio lisu atatuludisha kusikiliza taarifa ya habari ivo tu

  • @MussaHajikimwaga
    @MussaHajikimwaga 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sana makamanda mungu awabariki trh 21 mmchague lisu

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hongereni sanabeya

  • @JimokuMhela
    @JimokuMhela 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Kimbunga Cha Lissu hakizuiliki. Ni mafuriko, huwezi kuyazuia. Ni upepo ambao ukiuzuia unapasuka kifua. Mbowe Hana namna, ubabe wake umefikia ukomo. Huwezi kushndana na wakati.

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa kabisa

    • @victormalelemba4324
      @victormalelemba4324 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hahaha kiukweli mpaka sasa dikteta ana presha

  • @OSCARMWAIBAMBE
    @OSCARMWAIBAMBE 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hongereni Sana ni ukomavu mkubwa😅😅😅

  • @gidionchami9958
    @gidionchami9958 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asante sana Mbeya mna sehemu yenu peponi

  • @LusajoCornelius
    @LusajoCornelius 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    I'm proud of you mbeya!!

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Heshima kwenu vijana. Hivi ndivyo mtasimama kulijebga taiga lenu. Ni nyinyi vijana Taifa ni lenu. Kusini tupo tunajielewa.
    Ni Lisu mtu sahihi.

  • @Ntuli-o4w
    @Ntuli-o4w 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nilijua Mbeya mumeungana na Sugu nilitaka nishangae sana ! Mbeya hatunaga biashara ya uchawa, Kwa kweli nawapongeza! Na kwa alichokifanya Sugu nahisi, ni vema msimusimashe kama mbunge , kushindana na Tulia.

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nakufahamu kiongozi vizuri sana

    • @ellymaembe487
      @ellymaembe487 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mungu akusaidie kamanda lisu

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sana sana viongozi

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi mwenyekiti lisu oyee

  • @nyamisimbaonlinetv9757
    @nyamisimbaonlinetv9757 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Vakukaye Asanteni mungu awape uhai waku tosha

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asanteni sana Mbeya.

  • @shabanimirambo4652
    @shabanimirambo4652 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Lissu ndokila kitu

  • @peteromary8764
    @peteromary8764 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hapo sawa lkn kama mnatuzuga hlf mkampigie yule dikteta wenu mbowe aisse kamwe msije kutuomba misaada tutawaachia chama lenu

  • @EliasMwakibete-s7q
    @EliasMwakibete-s7q 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Saaana viongozi kafanyeni kazi hiyo.

  • @mathewilomo8345
    @mathewilomo8345 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi imeisha wana Mbeya. Mbowe zama zake zimeisha kama Musa na sasa tunamuhitaji Joshua ambaye ndiye Lissu. 💘💘💘

  • @salama1113
    @salama1113 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Eti leo wanao isemaga chadema leo wanajifanya wanamuunga mkono mkuu hata yule aliyo kuwa mdaiwa wa hayati😂😂😂😂😂

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ningewashangaa makamanda! Hamjawahi kuiangusha chadema na demokrasia😊

  • @JuliasMsongole-c5k
    @JuliasMsongole-c5k 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera Wana mbeya

  • @RwechungulaBegumisa
    @RwechungulaBegumisa 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mko vizuri Sana

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mbeya hoyeeee...kumbe waliokwenda kwa mbowe ni chawa wake na viroboto....

  • @PapaaMashana
    @PapaaMashana 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Lisu ameshinda naheche ameshida aminini

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kusema ukweli Freeman Mbowe anataka kuharibu kazi yake yake njema aliyoifanya kwa muda mrefu sana. Wenje amemdanganya sana mzee wetu Freeman Mbowe.

    • @laizerstudio
      @laizerstudio 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      wenje ni mjanja mjanja mzee wa faida angejikita tu kwenye udalali atatoboa sana dalali wa viwanja ama dalali wa wachezaji wa mpira dalali wa ng'ombe atatoboa sana

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    LISU Daima nyuma mwiko

  • @jumannejisena3117
    @jumannejisena3117 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi mbeya

  • @yusuphmtuga4951
    @yusuphmtuga4951 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pamoja na lisu let's go

  • @CostarbatoniMwaleleka
    @CostarbatoniMwaleleka 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safiiiii sana makamanda twende na lissu

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Heshima Kwenu

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Sisi tunaenda na tundu lissu mbeba maono

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mama Dada thank you usiwe mnafiki waeleze ukweli

  • @rubenkaguwe
    @rubenkaguwe 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaah mbeya mbarikiwe mko seriously na mambo

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kwani Mbowe ana matatizo hawezi kuona kama hatakiwi tena na amesha zeeka aachie damu changa akalee wajukuu.

  • @AmosmJeremia-u9j
    @AmosmJeremia-u9j 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mbowe kujitoa sio udhaifu ila ni kutunza heshima yako

    • @givembwilo141
      @givembwilo141 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ni udhaifu kutaka atoke,mpigieni kura mnaemtaka sio atoke,acheni woga

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    TANZANIA INA MIKOWA ZAID YA 36 BADO HAMJAWA NA UHALALI WA LISU KUSHINDA UWENYEKETI WA CHAMA CHA SIASA CHA CHADEMA UPANDE WA LISU,✌✌✌🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wapiga kura tunakuombeni mchagueni lissu jamaniii mimi Natoka Zanzibar ila naomba niko chin ya miguu yenu mpeni Lissuuuu

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    LISU tosha

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbeya mko safi Sana, Lissu ndo mtu sahihi kwa Sasa!

  • @peteromary8764
    @peteromary8764 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Shikamaneni msilumbuniwe na hela za mbowe..kama atawapa hela kuleni lkn cc tuleteeni lissu

  • @Georgemselyamwaluko
    @Georgemselyamwaluko 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nawapongeza sana wana mbeya

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    LiSUuuuuuuuuu hoyeeee

  • @Uswegehamza-s1p
    @Uswegehamza-s1p 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    lissu n top mbowe hapat kula hata moja

  • @ElinaMbura-h7w
    @ElinaMbura-h7w 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hiyo ndo nguvu ya umma kwa viongoz Kama Lissu na Heche Ccm ingeondoka Jana sio Leo hawa ni seriously tupeni Mhe Lissu na Mhe Heche hii ni miamba hata ccm haiwahitaji

  • @yustodonald9772
    @yustodonald9772 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbeya wanajielewa sanaa ningeshangaa kama wangemuunga mkono mbowe

  • @AlexMaige
    @AlexMaige 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chadema ni mpango wa mungu

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kimeumana....

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mchaga kwishnei hahahahah hahahh viva TUNDU ANTIPAS LISSU

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    KUSINI OYEEE LISSU ✅✅✅

  • @asibwenemwaipopo4863
    @asibwenemwaipopo4863 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ingefaa mikoa na Kanda nyingine ziseme misimamo yao ya uchaguzi.

  • @charlesmwasambili8883
    @charlesmwasambili8883 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbeya tunakwenda na lisu Asante sana

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chunga sana mbeya wakiungana na kutoa tamko,huwa ni hatari mno ukiwapuuza,maana baada ya hapo "LOLOTE LAWEZA KUKUTOKEA ULIYEWAPUUZA" hili mbowe awe macho, chama kinaweza mfia

  • @SaimonKidamaa
    @SaimonKidamaa 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    All the best lissu

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu dada angu mbeya huko. Daaah ila daaah

  • @BonaventurePardon
    @BonaventurePardon 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona ni kama Jamaa mwenye tie hapo yuko serious sana

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bs

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Sugu ka ufyata ,rushwa inakukosesha amani

  • @mosesm1608
    @mosesm1608 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbeya kibokoooooooooo!!!!

  • @givembwilo141
    @givembwilo141 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mbowe mshindi😂 mapema tu

  • @MaendaDickson
    @MaendaDickson 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    TUNDU LISSU pekee ndo anafaa kua mwenyekiti kuliko MBOWE. MBOWE HANA JIPYA

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mkiwazalau watu wa nje ambao Si wapiga kura na Wana nchi mtajimaliza.acheni mchezo wa kuchezewa .unaoonekana wazi.

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kumchagua tundulissu.....ni ukomavu mkubwa na kujitambua Kwa wanachama....kumchagua mbowe ni woga na uchanga wawanachama

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naona Lisu akishinda kwa 99%

  • @givembwilo141
    @givembwilo141 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    wanaomtaka tumbo lisu ni mikoa 6 tu ndio wamejitokeza,wengine wapo kwa mbowe😂😂😂😂

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tundu Lissu ni Rais Ajaye.
    Hutaki acha

  • @mashaurikihute3369
    @mashaurikihute3369 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hakika Tz tunaenda kupata Uhuru wakweli! Lissu anaenda kubadili mambo mengi kwenye utawala wa nchi hii

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nkurunzinza muda wakutupisha umefika

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dada anapiga mkwala mtu anaweza akazimia😂😂

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @geraldleger5793
      @geraldleger5793 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂!

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Viva TAL ...

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Looo!!! Kazi ya Mwabukudi Aibu mubwa kwa wa Mwanambeya.