MNYIKA APANGUA MASWALI YA WAANDISHI ''UCHAGUZI UTAKUWA WA HURU NA HAKI /KUHUSU TUHUMA NI KWELI ZIPO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 46

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 15 วันที่ผ่านมา +5

    Huyo yuko na Mbowe wote ni wa ridhiki mantashalla hongera sanaaaa mwandishi kwa kuhoji

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 15 วันที่ผ่านมา +4

    Lisuuuuuuuu

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 15 วันที่ผ่านมา +7

    Tunamtaka lisu tu msipo tuletea lisu basi mtakaa na chama chenu maana tutakuwa tumejua kuwa hicho chama ni cha mbowe na familia yao,haiwezekani mtu mmoja aongoze chama milele.tunaenda na mh lisu na makamu wake j,heche.

  • @EmanuelJohn-o3d
    @EmanuelJohn-o3d 15 วันที่ผ่านมา

    asante katibu wetu chadema safy mungu akutanguly hiyo nafasi imekufaa wewe ndy wazir mkuu wa Tanganyika yetu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 15 วันที่ผ่านมา

    Swali lako nzuri sanaaaa kwa hao wala rushwa

  • @Hfmmngoyafamily
    @Hfmmngoyafamily 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu awasaidie, uchaguzi huu uende vizuri ili ccm wajifunze

  • @NuruNurudin
    @NuruNurudin 15 วันที่ผ่านมา +3

    Hata kama!!! Lisu ndiye wanamtaka wanachadema!

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mnyika kichwa sana

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z 15 วันที่ผ่านมา +2

    Lissu+Heche+Lema(mnyika)🔥🔥🔥🔥🔥 moto utawaka🔥🔥🔥🔥🔥

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 15 วันที่ผ่านมา +2

    Msipo tenda haki mtakiua Chama nawambia kueni makini sana watanzania wanawategemea sana kua ni Chama haki na si vinginevyo

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 14 วันที่ผ่านมา

    Kumchagua lissu ni ujasuri na ukomavu wa wanachama na itaonyesha kweli chadema ni demokrasia......ila kumchagua mbowe ni woga na uchanga wa wanachadema

  • @rulebudodo2301
    @rulebudodo2301 15 วันที่ผ่านมา

    Mmeona mic holder ya ITV ilivyochoka😂😂😂😂😂

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 15 วันที่ผ่านมา +4

    Mnyika upo kwenye Mtego

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 15 วันที่ผ่านมา

    Wekeni Mdahalo kwa Wagombea wote na haki itendeke kwa wizi wq kula usiwepo Mubgu toa jibu

  • @jescageorge-fv8yt
    @jescageorge-fv8yt 15 วันที่ผ่านมา

    Lissuuuu

  • @ndeziboysanga
    @ndeziboysanga 10 วันที่ผ่านมา

    huyu nae kapungua nguvu hana hoja nzuri inambidi abadilike haraka

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 15 วันที่ผ่านมา

    Lisu andika barua Kwa mapendekezo unachotaka yafanyike wakati wa kupiga kura/uchaguzi

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 15 วันที่ผ่านมา +3

    Free Election required

  • @UpendoKakata
    @UpendoKakata 15 วันที่ผ่านมา +1

    Usisaau chama chamapinduzi ccm kuwepo man ndicho chama tawala chenye wafyasi wengi nchini

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l 11 วันที่ผ่านมา

    Msikubali mdahalo mbona hawaulizi ccm alafu huyo jamaa anakiherere sana kuharibu upinzani muhandishi mwenye kiherere sana yeye anazani swala la siasa nchini hamuusu yeye ndio maana anauliziga swali kuzalilisha

  • @JOSEPHATMwesigwa-vi7he
    @JOSEPHATMwesigwa-vi7he 15 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa mkuu

  • @KanumaMussa
    @KanumaMussa 15 วันที่ผ่านมา +1

    Tunakuunga mkono Kwa maelezo yako

  • @NicholasMtoro
    @NicholasMtoro 8 วันที่ผ่านมา

    Hakika kiti hicho lisu hatufai Hana hekima bado anaumwa namashaka nautimamu W akiri Toka apigwe risasi,atavuruga chama

    • @MzeewaslowHusseinAndrew
      @MzeewaslowHusseinAndrew 4 วันที่ผ่านมา

      Kenge wewe ndio hufai hata kuongoza familia yako mpuuzi wewe.

  • @NicholasMtoro
    @NicholasMtoro 8 วันที่ผ่านมา

    Lisu hatosh I acheni mihemko

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 15 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi chawa mbona hamjaonyesha maridhiano live

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 15 วันที่ผ่านมา

    Hicho Chama kinatakiwa kuisahihisha Ccm maana wizi umezidi na watu hawapati Ajira Ajira ni kwa familia zao tu

  • @zakayomjengi7146
    @zakayomjengi7146 15 วันที่ผ่านมา +1

    Akina Ntobi walisema kwamba Kati ya uchaguzi wa Lissu na Nyalandu,kwamba Nyalandu alishinda lakini alitangazwa Lissu je! kuna uhakika kwenye hili?

  • @KishiwaMaganga-g1r
    @KishiwaMaganga-g1r 15 วันที่ผ่านมา

    Vicent bunzali kenge wewe ondoka halaka mbwa wewe umekisaidia nn chama matako wewe wAtu hatuna shklani kama mbowe amewasadia wng amewapa mpaka magali mf lisu wakifakiwa wanamtukana mbowe

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 13 วันที่ผ่านมา

      @@KishiwaMaganga-g1r katika watu wanaofikili kwa kutumia makalio Ni wewe kishiwa maganga wewe na huyo unaemtetea ni kenge nambar 1 kunguru mkubwa Kama unanshadadia mbowe kuongoza milele chadema siyo Mali ya familia nenda wewe na familia yako ukaolewe kwa mbowe ili mmpe hizo kura sisi watanzania tunaojielewa tunaenda na lisu wewe nenda na hiyo ccm b yako wewe na mbowe Malaya wakubwa.awamu hii hakuna cha maliziano ya kupokea pesa toka ccm Ni mwendo wa haki tu

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 15 วันที่ผ่านมา +1

    Aachen kusema uchaguzi ni huru na haki, waki kura feki wajumbe feki ndio mipango yao, mnabaki kuilalamikia setikali yetu, kumbe nyie ndio wezi wa kura feki

    • @AnthonyChaula-d8l
      @AnthonyChaula-d8l 15 วันที่ผ่านมา +1

      Acha uzezeta na ww kura feki zipo wapo to me i will never vote for CCM the entire of my life other watekaji na wauwaji wamepatikana

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 15 วันที่ผ่านมา +3

    Lisu ni chizi mtapata taabu sana kwa sababu nimpenda vurugu

    • @ambitiousholyspirit395
      @ambitiousholyspirit395 15 วันที่ผ่านมา +2

      Vurugu za CCM kwenye uchaguzi hujaziona vurugu zitajibiwa Kwa vurugu.

    • @simonmwasile4377
      @simonmwasile4377 15 วันที่ผ่านมา +2

      Kuma la mamako, chizi ni babako ambaye alikupata kilabuni

    • @OscarKasalile
      @OscarKasalile 15 วันที่ผ่านมา +3

      Chizi ndio tunamtaka kwa hapa tulipofikia

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 15 วันที่ผ่านมา

      Chizi ni wewe na machizi wenzako machawa nyooooo!!!?

    • @stevenmpangalampangallah1520
      @stevenmpangalampangallah1520 15 วันที่ผ่านมา

      @@simonmwasile4377 jaribu kuheshimu wazazi wa wenzio, kwanini usimtukane yeye mwenyewe, sio busara kwenda maungoni mwa wazazi, je hili tusi angekutukania mama ako mzazi ungejiskiaje. Tuweni na hofu yamungu

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z 15 วันที่ผ่านมา

    Ila mnyika na mbowe umechukua hela kw samia ili mbowe ashinde

    • @kaimukasimu7164
      @kaimukasimu7164 15 วันที่ผ่านมา

      Una ushahidi Futa hii kauli

    • @JibeMwaijibe-p1z
      @JibeMwaijibe-p1z 15 วันที่ผ่านมา

      @kaimukasimu7164 siufuti ukweli mtanifanya nini na ushahidi ninao.

  • @JOSEPHATMwesigwa-vi7he
    @JOSEPHATMwesigwa-vi7he 15 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa mkuu