Huyu ndiyo super woman sasa. Alafu ni mtu simple sana hajawahi kupitamtu asimpe hai alipo watu wanafurahi sana. I love this creature coz hafosi kuwa mwanaume yeye yupotu hivyo unavyo muona every kind na anavyoongea ndo hivyo hivyo.
Nimekupenda. bure dada 🎉🎉🎉❤mwanamke kujiamini katika maisha ukishajijua weye nani inatosha usiumizwe na mitazamo ya watu kuhusu wewe maana👌ukisha jijua yatosha haina haja ya kuwaaminisha watu💪❤️❤️go girl 💯
Daaah kweli hakuna alie mkuu kuliko Mungu, hongera dada kwa kujiamini na kujikubari kua ni mwanamke, ingekua wengine wajinga wajinga wanhemkufuru Mungu na kujiita mwanaume, hongera Sana kwa kujiamini 🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤nice one 👍 👌 👏 my hero much love ❤ 😍 💖 ❣ 💕 mingi penda sanaa lifestyle safi pamojaa sanaaaaa❤❤❤❤❤❤ wachagaaa tuko vizuri jichanganye tupasukeee❤❤❤
Amkeni amkeni hizi ni mbinu za kufanya tuone haya mambo ni ya kawaida, ila tukiongelea uhalisia kwa spiritually Mungu hajatuumba wanawake tuwe hivi yaani hapa naona kuna wazazi watatamani wawe kama huyo au watoto wawe hivyo kwamba hili jambo la kawaida...mimi nasema si kawaida mwanamke hatakiwi kuwa imagine watoto wakiwa hivi...tunao uhuru wa kuishi tunavyotaka ni kweli lakini kiuhalisia kiroho ki Mungu si sahihi amkeni ndugu zangu wanawake wanapotea na wanaume wanapotea na watoto wetu watapotea .. Kama nilivyowaza sio sahihi basi niko tayari kufahamishwa sababu huo ni mtazamo wangu na wengine pia wanamitazamo yao na pia kuna uhalisia jee unasemaje? je hivi ndivyo tunavyotakiwa wanawake tuwe kama ndio basi na wanaume kuwa wanawake itafika mda tutaona ni sawa pia. Naomba Mungu unisamehe na uniongoze naomba Mungu atuongoze dunia nzima.
Hujaelewa nadhani. Huyu kazaliwa na mwonekano huo lakini ni Mwanamke na ana boyfriend wake. Ni tofauti na hawa wanaojibadilisha kuwa wanaume na kufanya mambo kinyume na Mungu wetu. Naomba usiseme kwamba siyo mpango wa Mungu kwa sababu Kaumbwa na Mungu kama wewe. Hahusiki na Ushoga au Usagaji!!!!
Huyo ni mwanamke kweli na Mungu amemuumba hivyo alivyo... Tuulize sisi wa Arusha tunaomfahamu vizuri... She is so kind, Hana neno na mtu, na hiyo sauti pia Mungu kaimpa.. so usiongee sanaa... Mtukuze Mungu kwa uumbaji wake, na mwacheni huyu binti afanye zake mazoezi, ulitaka avae magauni muanze kumuhoji sauti yake??? Acha unyanyapaaa. Maisha ni yake ni Bora avae hivyo kuliko avae vimini
Dada huyu ako shwarii na amejikubali na ni mwanamke na mungu ndio aliyemuumba so kama kuwa masculinendio shida kwako pole sana dada watu wanampenda hivyo na usirudie kumkosoa mungu tena
Weeeeeh kumb mbna bdo cjaamin kuwa we ni mwanamk duh Dunia inamaajab yke kwl inawezekana lkn mtangazaj Meshafanya taratib za kuhakikisha jinsia yke kma kwl yey Mwanaum au mwanamk sawa ❤❤❤❤
Mbona kuna watu wanaomjua wamekomenti humu ni kweli loveness ni mwanamke na alikua mzuri tuu mazoezi yamemkomaza pamoja na yote ana homoni nyingi za kiume,hata wanaume wapo wenye homoni nyingi za kike
Schizophrenic right now,not to sound rude but hell am wound mixed spaghetti as i share this...I was skimming for such a comment like am I the ONLY 1fkd this much 😂😂😂she make feel like a B 😂in my 40s never questioned shyt about my self and here I am 🤯
@@simonpure109 😂😂😂you are not alone, been watching this over and over but i still can't understand. The more i watch, the more my mind get Fkd up😥 i rather focus on eating fruits for my health
Dada angu Mungu mkubwa auna ulemavu wowote dada angu nakupenda thaaaaaaaaana dada angu mzuriiiiiiii mwenyewe ishi Kama sisi wadogo zako una tofauty yoyoye my love
😂😂 nyinyi watu hunichekesha sana na hizi mada zenyu za usawa wa kijinsia. Mnajidharau na kushindana na wanaume mpaka inafika wakati mnafikiria kufanana na mwanaume ndio kutoboa maisha. Huoni hata mwenyewe unathibitisha kwamba wanaume wamewazidi wake? Like men are the role models of women. Huwezi kuwa bora kuliko role model. Ukweli ni kwamba, mwache kushindana na nature. Waume kwa wake hatuko sawa na hakuna usawa wa kijinsia. Mwanamke kushindana na mwanaume ni wewe mwenyewe kujiumiza. Hatuko sawa physically, spiritually, emotionally, economically vyote ni mwanaume kwanza then mke. Ulimwengu umeumbwa kukidhi mahitaji ya mwanaume na wala sio mwanamke. In fact, mwanamke ni moja ya vitu vilivyo umbwa kukidhi mahitaji ya mwanaume ya ngono na kuzaana, ila mwanamke hata faida ingine zaidi ya hiyo. Ulimwengu unarevolve around men not women. 😂Japo siamini kwa dini yoyote, hata ukisoma vitabu vya dini, vinakuambia kwamba Mungu aliumba mwanaume pekee mwanzo. Kumaanisha haikuwa kwa mawazo yake kuumba mwanamke. Ni baada ya kuona mwanaume amekuwa mpweke, ndio hilo wazo la kuumba mke likaja kwa akili, ila mwanzo akiumba, kilichokuwa akilini mwake ni mwanaume. Imagine hata aliwaza kuumba ng'ombe, mbwa, mbuzi, bata, sungura vyote kwa faida ya mwanaume, ila hakuwaza kuumba mwanamke mpaka alivyo ona upweke ya mwanaume ndipo akaumba mwanamke, sio kwamba ulikuwa mpango wake, maana ungekuwa mpango wake angemuumba toka mwanzo alivyo muumba mwanaume na wanyama wengine, ila alimwumba kukidhi mahitaji ya mume. 😂 There you have it. As a woman, you only compete with men kwa sababu wanaume wamekubali sio kwamba mko na uwezo wa kupigania haki yoyote. Mnyonge kupata haki ni mwenye nguvu kupenda.
Cha pili, huyo hata akiwa ni mwanamke, sisi tunaona hulka za kiume. Angekuwa mwanamke kamili, hangefanana hivyo, so usiseme yeye ni ushahidi kwamba wanawake wanaweza! Mnaweza tu kuzaa. Na pia mwenyewe unadhibitisha kwamba ni lazima basi mke avae hulka za kiume, ajibebe kama mwanaume, afanane kama mwanaume, ndipo aweze. In other words, ukiwa mwanamke, na hulka za kike, huwezi, lazima ufanane mwanaume ndio uweze. By extension, uanaume ndio kuweza.
She is simply a strong beautful woman, Tanzania bodybuilding haijulikani sana na haipewi kipaumbele ndo maana watu wanashangaa kwa level ya misuli aliyofanikiwa kujenga, kuna mtu utaskia akisema sitaki kufanya mazoezi gym kwasababu nitakuwa kama mwanaume Gosh!! Sio rahisi kiivo
Uko vizuri sana, jamaa anaemfanyia mahojiano huyu Dada. Una hoji point muhimu sana, nimekukubali sana.
Mmmmmmmm
Mm nimependa sana alivosema sikwanzi mtu yoyote safi sana
Filam nzuri na tamthilia za kusisimua tembelea TH-cam Channel yetu.
Karibu sana
Mwanamke Bomba😍Kazi y mungu haina makosa, you're fearfully and wonderfully made❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
Tena sana
mwanamke hiyo??????
@@moneymaker4168 follow the vibe u will understand
😂😂😂😂😂😂😂
Huyu ndiyo super woman sasa.
Alafu ni mtu simple sana hajawahi kupitamtu asimpe hai alipo watu wanafurahi sana.
I love this creature coz hafosi kuwa mwanaume yeye yupotu hivyo unavyo muona every kind na anavyoongea ndo hivyo hivyo.
Unafahamu eeh!?
😅😊
Unamjuwa kwani
Nitaendelea kukupenda Loveness tangu nilipoonana na wewe,Kwa namna unavyojiamini.Safi sana
Masha Allah mungu akueke dadangu kwa kujikubali mungu hana makosa katika maumbile yake
Amazing lady! God's creation above world's perceptions and profiling.....Awesome ! Keep going!
Much love to her she's proud to be the way she is and even her face shows up she is a woman and strong
Mungu akujalie my love nakupenda Dada angu usijali maneno ya binadamu kubali uhumbaji wa mwenyenzi mungu 🎊♥🎄🎄🎄🎉🎉🎈🎈🎈🥀🥀🥀🥀🏵🏵🏵🌷💐💐💐🌺🌺💐💐💐
Nimekupenda. bure dada 🎉🎉🎉❤mwanamke kujiamini katika maisha ukishajijua weye nani inatosha usiumizwe na mitazamo ya watu kuhusu wewe maana👌ukisha jijua yatosha haina haja ya kuwaaminisha watu💪❤️❤️go girl 💯
Hujambo Mwanangu Mzuri, ni kweli ni Mwanamke Mimi nilikutana naye wakati napewa TUZO ya Heshima JNIC Dar.
Jina lake Loveness yupo Charming Sana 💪❤💪
❤❤❤❤we love you
She is great ..muonekano si neno❤.
Mungu ni Mkubwa...🇰🇪
Bwana mwandishi bimekukubali sana unajuwa kuhoji vizuri sana😊
Yuko real sana❤Mungu anakupenda dada kwa hilo
Ni mdada jamani, sikilizeni kicheko chake, tumshukuru Mungu. Anajiamin sana
Nimekupenda buree dada yangu.mungu azidi kukubariki ilaa umenichekesha hapo vinyonyo vipoooo😁😁😁😁❤️❤️❤️❤️
Jipange unitembelee
Daaah kweli hakuna alie mkuu kuliko Mungu, hongera dada kwa kujiamini na kujikubari kua ni mwanamke, ingekua wengine wajinga wajinga wanhemkufuru Mungu na kujiita mwanaume, hongera Sana kwa kujiamini 🎉🎉🎉
Sio mwanamke huyo
Nikuowe upo tayali....
@@Binmawanjatokaa apa mnamjua kuzidi sis au
Hongera Sana dada ,,kuna wenzako wengi wanajikataa lkn ww upo wazi wala huna mbambamba,hongera Sana ubarikiwe
Masha Allah, mwenyezi mungu akujalie afya njema loveness.
Sauti very deep kama ya mwanaume...God is good for his creation.
Huyu ni mwanaume 😮😮ata u so kichwa kuongea kila kitu ni mwanaume
She's so humble may the Lord continue to give you strength 🙏
Maumbile ya mungu hayana makosa we love you sister
Hakun uyo.mu onekano wa ki ume ni kwa sabab ayo ma sport
Mtangazaji unauliza maswali mazuri sana,umekidhi hitaji la mtazamaji katika kuhitaji kujua kumuhusu huyu dada.
Anataka kujalibu...
Nimependa ujasiri, kujiamini na uwezo unavyoweza kuweka awaireness kuwa inawezekana kuwa na hali kama hiyo na wewe umejikubali. Big up sana Loveness
Mbona hana
maziwa
Hiyo ya kupigwa na bouncer imenitach...pole sana.
Yuko real sana, big up sana LOVENESS✌🏼, Mungu azidi kubariki hustle zako na maisha yako kiujumla.
Lakini waonekana km jamaa hata kuogea kwako unakuwa km jamaa ila sio mbaya ni powa❤❤❤
Mungu akutie nguvu yote ya Dunia to waseme mwanaume waseme mwanamke mungu akishakujua inatosha
Mwanamke kujiamini ,hongera sana loveness ,unavo jibu kwa kujiamini mi napenda sana kwa kweli
Bora aangaliwe huko chini kama kweli mwanamke
Rahma mtake radhi lovenex umemkoxea adabu fara wewe😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😊😊😊😊😊
Mwandishi naona umepata shida sana kuhoji baadhi ya maswali😀
Big Up Loveness for your confidence
❤❤❤❤❤nice one 👍 👌 👏 my hero much love ❤ 😍 💖 ❣ 💕 mingi penda sanaa lifestyle safi pamojaa sanaaaaa❤❤❤❤❤❤ wachagaaa tuko vizuri jichanganye tupasukeee❤❤❤
Kazuli kenyewe mashallah ❤❤❤❤❤ unajiamini had lah we milionea ujue
😂😂😂
Mungu yu mwema nimekupenda Lovenes Big up
Mungu wako aendelee kukupa ujasiri huohuo wa kujieleza maana unakutana na maswali mengi sana nakupenda sana loveness
Ila ni jasiri sana mungu azidi kukupa furaha nakujiamini inshaalah
Love namjua Mimi tangu udogo wake
Pale Arusha kijenge.ni mcheshi sana.
Mchumba no comment🤔
Bleed no comment🤔
Why no comment kama kweli mwanamke😲
Ashukuliwe Mungu aliehai juuyako nashukulu kwakujipenda Mungu akubariki sana
Hongela ddangu mungu azdi kkupigania amen 🙏 🙌
Anavohojiwa kwenye kwenyepoint ikimugusa anacheka sana duu /Duamkeni nduguzangu👏👏
Amkeni amkeni hizi ni mbinu za kufanya tuone haya mambo ni ya kawaida, ila tukiongelea uhalisia kwa spiritually Mungu hajatuumba wanawake tuwe hivi yaani hapa naona kuna wazazi watatamani wawe kama huyo au watoto wawe hivyo kwamba hili jambo la kawaida...mimi nasema si kawaida mwanamke hatakiwi kuwa imagine watoto wakiwa hivi...tunao uhuru wa kuishi tunavyotaka ni kweli lakini kiuhalisia kiroho ki Mungu si sahihi amkeni ndugu zangu wanawake wanapotea na wanaume wanapotea na watoto wetu watapotea ..
Kama nilivyowaza sio sahihi basi niko tayari kufahamishwa sababu huo ni mtazamo wangu na wengine pia wanamitazamo yao na pia kuna uhalisia jee unasemaje? je hivi ndivyo tunavyotakiwa wanawake tuwe kama ndio basi na wanaume kuwa wanawake itafika mda tutaona ni sawa pia. Naomba Mungu unisamehe na uniongoze naomba Mungu atuongoze dunia nzima.
Hujaelewa nadhani.
Huyu kazaliwa na mwonekano huo lakini ni Mwanamke na ana boyfriend wake. Ni tofauti na hawa wanaojibadilisha kuwa wanaume na kufanya mambo kinyume na Mungu wetu.
Naomba usiseme kwamba siyo mpango wa Mungu kwa sababu Kaumbwa na Mungu kama wewe.
Hahusiki na Ushoga au Usagaji!!!!
Huyo ni mwanamke kweli na Mungu amemuumba hivyo alivyo... Tuulize sisi wa Arusha tunaomfahamu vizuri... She is so kind, Hana neno na mtu, na hiyo sauti pia Mungu kaimpa.. so usiongee sanaa... Mtukuze Mungu kwa uumbaji wake, na mwacheni huyu binti afanye zake mazoezi, ulitaka avae magauni muanze kumuhoji sauti yake??? Acha unyanyapaaa. Maisha ni yake ni Bora avae hivyo kuliko avae vimini
Mh hajajiumba huyo aalietuumba ndie kamuumba , achana na wale wanaojibadilisha kuwa wa kike
.mamb
Dada huyu ako shwarii na amejikubali na ni mwanamke na mungu ndio aliyemuumba so kama kuwa masculinendio shida kwako pole sana dada watu wanampenda hivyo na usirudie kumkosoa mungu tena
Unaujasiri mzur lovenes mpka nimependa kwa kujiamini kwako❤❤❤
Mwana mke kujiamini safi sana chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Pole sana dada.ila mwogope mungu.acha mambo mengi.sisi wenye macho yandani tunakuona.mwogope mungu
Sio transgender huyu kweli??
Nimekupenda sana dada❤❤❤ unajibu kisitarabu❤❤MUNGU akufungulie milango ya kheri ❤❤❤AAMIIN 😊
Iove usiwaze kaz ya mungu haina makosa
Dah!
One love from me
Dada yupo smart sana
Dah hyu jamaa nouma yaan mm namuona kama mwanaume na sio mwanamke
Mm pia naona kama ni mwanaume hata sauti
Iyo siyo mwanamke jaman
Nimekupenda bure dada yangu mrombo mwenzangu, huko kujiamini tumeumbiwa wa Rombo, go girl !
Huyuu ni mwanamme nini kimekusababisha usijibu kama unapata piriad au hupati
Mmm
Mwacheni mungu haitwe mungu huu niumbaji huyunimwanamke nanimpenda michezo halianza na mpira wamiguu
Huyu angekuwa mwanaume, angekuwa very handsome.....i love her
Sababu ni dem Ako aje??
Mashaallah hongera sana dadaang ni
Ekupenda bure.
I just love her confidence ❤️❤️❤️ nimetamani awe shoga angu 😍
Naombeni no zake jamani
Pewa N0.
Wooii😢😢😢😢
Ili msagane😂😂😂
😮 akutombange na vidole?
Kaziii ya molaaa haina makosaaa. best Angu nakukubalii sanaaa
Mm ni mkenya ila nimempenda uyu dada kwa kujieleza vizuri sana bila shauku daah ❤ogera sana na zidi kujiamini na kujituma 👍
Ya mwenyezi Mungu ni mengi walahi.
iseeee,nimekupenda bure dada yangu.Mungu mwacheni aitwe Mungu.
Kwel kbs Mungu ni Mungu tyu
Uhakika avuwe tuone chuchu mana kuna yakike naikiume ziko tofauti❤❤❤
Warombooooo mpoooo congratulations my lovely ciz
Kwa vile mungu ndie muumbaji na hashindwi ktk uumbaji wake mimi nakubali kama huyu ni mwanamke kwa kweli mungu aachwe aitwe mungu subuhana Allah.😢😢😢😢
No.1 on trending
interview nzur maswal mazur sana maana wabongo tungesema kiki mwisho love you lovenes
bravo nime mpenda sana uyo dada ana jiamini na kujituma ❤good work
Weeeeeh kumb mbna bdo cjaamin kuwa we ni mwanamk duh Dunia inamaajab yke kwl inawezekana lkn mtangazaj Meshafanya taratib za kuhakikisha jinsia yke kma kwl yey Mwanaum au mwanamk sawa ❤❤❤❤
Mbona kuna watu wanaomjua wamekomenti humu ni kweli loveness ni mwanamke na alikua mzuri tuu mazoezi yamemkomaza pamoja na yote ana homoni nyingi za kiume,hata wanaume wapo wenye homoni nyingi za kike
Mimi kwakweli nimempenda sana na Mimi natamani sana awe dem wangu.mimi nimemuelewa kabisa na nimempenda sana.
Nenda kajichanganye
Akimzoea kama mpenzi wako siku mkiachana utaenda kuparamia hata mgongo wa ngosha ,
Mwanamke!!!duh mungu nimuweza wakila jambo minaamin
wewe ni jasiri sana hongera dadangu
Huyu sio dada anatafuta followers, Huyu Ni Mwanaume
Jamani Dunia imeisha unahosi nini Kuna Nyuma ya pazia jamani kina swali kaulizwa kagoma kujibu kakwepa//naogopa sana👏👏
Huyu kweli mwanamke nilimuona alivyoshinda Miss Tanzania body builder ana Matako mazur ni Mzuri
Mwaka gani
Kweli ako na matako
Wewe jamaa ni shida
huyo ni meanaume tuuuuu
@@rehemajuma3250kashasema yeye mwanamke mnalzmisha mwanaume ulimzaa???
We love you❤😘 come again in Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 utakua number moja
Kam me nabisha je uko tayar kunithibitishia kimacho!❤😂
Big up sister, wengi wameshajiua kwa sababu hiyo ila ww umepambana. GOD BLESS U
Nimempenda huyu dada jaman your supa woman❤❤❤
Nyie muiteni her na kujinyongorosha na vingereza et I like her so much, nawaambia hivi litawakuta jambo
Nimempenda hajaficha jinsia yake ❤❤❤❤
Allahu kariim ...Maa Shaa Allah.. tabaaraka LLAHU
wanaume wako na ujasiri wah mm huyu namuogopa nitaanzaje kumtongoza
ndugu zangu tambueni mungu akosei kuumba kwaiyo muonekano wa uyu dada usitufanya ss tukamkosea mungu ndugu zangu
I have never been this confused my whole life🤐 ila namwachia Mungu tu😥
😂😂😂
😂😂😂 Me too confusion
@@lucyngigi7720 😥😥
Schizophrenic right now,not to sound rude but hell am wound mixed spaghetti as i share this...I was skimming for such a comment like am I the ONLY 1fkd this much 😂😂😂she make feel like a B 😂in my 40s never questioned shyt about my self and here I am 🤯
@@simonpure109 😂😂😂you are not alone, been watching this over and over but i still can't understand. The more i watch, the more my mind get Fkd up😥 i rather focus on eating fruits for my health
Dada angu Mungu mkubwa auna ulemavu wowote dada angu nakupenda thaaaaaaaaana dada angu mzuriiiiiiii mwenyewe ishi Kama sisi wadogo zako una tofauty yoyoye my love
Wueeeh kumtongoza huyu yahitaji moyo🤭😃😃😃kwanza ata unaanzaje
MBona watu wanafira wanaume wenzao sembuse huyo
@@shabanmaganga9972 hilo nalo neno 🤣🤣🤣🤣roho ngumu
😊😊😊
Duuh kweli Mungu fundi naukitakakujua Mungu nifundi cheki hapa ndiyo utajua ukweli uliopo
Sina mengi Zaid ya kusema mungu mkubwa sanaaa 🙏🙏🙏🙏
Aaamen
Sana
Amen
Nyonyo hata mm cna jaman penda wewe mingimingi ❤
Mimi hata samini Wala sielewi😅
Watudanganya t hawa
Kama mimi daah
Daah nlimuona club XO nkajua n shoga kumbe mwanamke asee
Sema mm hii nimeitazama positive kuwa wanawake tunaweza,in short mwanadamu akiamua anaweza mungu ametupa uwezo mkubwa sana
Yan kuonekaba muonekano wa kiume ndo kuweza hiyo mipango ya mungu
Unaweza kuwa wa kuume ndio kuweza
😂😂 nyinyi watu hunichekesha sana na hizi mada zenyu za usawa wa kijinsia. Mnajidharau na kushindana na wanaume mpaka inafika wakati mnafikiria kufanana na mwanaume ndio kutoboa maisha. Huoni hata mwenyewe unathibitisha kwamba wanaume wamewazidi wake? Like men are the role models of women. Huwezi kuwa bora kuliko role model. Ukweli ni kwamba, mwache kushindana na nature. Waume kwa wake hatuko sawa na hakuna usawa wa kijinsia. Mwanamke kushindana na mwanaume ni wewe mwenyewe kujiumiza. Hatuko sawa physically, spiritually, emotionally, economically vyote ni mwanaume kwanza then mke. Ulimwengu umeumbwa kukidhi mahitaji ya mwanaume na wala sio mwanamke. In fact, mwanamke ni moja ya vitu vilivyo umbwa kukidhi mahitaji ya mwanaume ya ngono na kuzaana, ila mwanamke hata faida ingine zaidi ya hiyo. Ulimwengu unarevolve around men not women. 😂Japo siamini kwa dini yoyote, hata ukisoma vitabu vya dini, vinakuambia kwamba Mungu aliumba mwanaume pekee mwanzo. Kumaanisha haikuwa kwa mawazo yake kuumba mwanamke. Ni baada ya kuona mwanaume amekuwa mpweke, ndio hilo wazo la kuumba mke likaja kwa akili, ila mwanzo akiumba, kilichokuwa akilini mwake ni mwanaume. Imagine hata aliwaza kuumba ng'ombe, mbwa, mbuzi, bata, sungura vyote kwa faida ya mwanaume, ila hakuwaza kuumba mwanamke mpaka alivyo ona upweke ya mwanaume ndipo akaumba mwanamke, sio kwamba ulikuwa mpango wake, maana ungekuwa mpango wake angemuumba toka mwanzo alivyo muumba mwanaume na wanyama wengine, ila alimwumba kukidhi mahitaji ya mume. 😂 There you have it. As a woman, you only compete with men kwa sababu wanaume wamekubali sio kwamba mko na uwezo wa kupigania haki yoyote. Mnyonge kupata haki ni mwenye nguvu kupenda.
Cha pili, huyo hata akiwa ni mwanamke, sisi tunaona hulka za kiume. Angekuwa mwanamke kamili, hangefanana hivyo, so usiseme yeye ni ushahidi kwamba wanawake wanaweza! Mnaweza tu kuzaa. Na pia mwenyewe unadhibitisha kwamba ni lazima basi mke avae hulka za kiume, ajibebe kama mwanaume, afanane kama mwanaume, ndipo aweze. In other words, ukiwa mwanamke, na hulka za kike, huwezi, lazima ufanane mwanaume ndio uweze. By extension, uanaume ndio kuweza.
Mi nilivyoelewa ukiamua kujitoa ufahamu kufanya kazi za kuuharibu mwili unaweza Ila sio kuwa MWANAUME ndo kuweza hahaha
Eee mungu ni wa mipango kweli.mipango yke ni ya ajabu.mungu hana makosa
She is simply a strong beautful woman, Tanzania bodybuilding haijulikani sana na haipewi kipaumbele ndo maana watu wanashangaa kwa level ya misuli aliyofanikiwa kujenga, kuna mtu utaskia akisema sitaki kufanya mazoezi gym kwasababu nitakuwa kama mwanaume Gosh!! Sio rahisi kiivo
Kweli mungu ndiye anaye panga apendevyo....Bt jina lake kamili haitwaje
Aki mungu ni wa maajabu
😮 ohh ma goodness!! I cannot believe it until I show heaven!!
Hapa hata hakuna majabu yoyote mwanangu zoezi mwanaume zoezi big up lovenss watu wakikuchezea unawachapa kinoma zoezi muhimu
Sina la kusema mungu ndio muweza wa kila jambo
Kila kitu mungu ndio anajua
Muumba ni mungu siowanadam tusinyanyasane. Jamn
Kajala haya ndio mazoezi sasa😊😊😊
I love this my fellow masculine gal, yenye nimepitia naona ameyapitia pia. Proud of you my dear sister 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mamb
@@AlexMakungu poa sana mkuu
I salute you mrembo for your confidence. Be proud of your God creation.
Umenihamasisha sana ,japo sijaamini kama ni kweli ila unapitia changamoto nyingi
Jamani eeeh mungu ni mungu tu jamani tuseme allahuakbar
Allahu Akbar
Hongera kwa kujiamini. Very strong girl