MKE WA MADEBE ALIVYO PIGWA MASWALI MAZITO, AJIBU TUHUMA ZA KUWA MLEVI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 566

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 8 หลายเดือนก่อน +19

    Huyu dada keshapona maumivu ya huyo baba...safii sanaa

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kbs kawa mkavu moyo usha ushakinai maumivu😂😂

    • @annaevaristo7736
      @annaevaristo7736 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂 Yani had rahaaaa👌riziki atapata tu MUNGU mwema

    • @StellaA-n4i
      @StellaA-n4i 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kwanza dada mwenyewe mrembo sana

    • @tausigulam22
      @tausigulam22 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yan hujakosea nimependa amepona

  • @ABEERSHOP
    @ABEERSHOP 8 หลายเดือนก่อน +31

    Nimependa chanuo jana ulivyomshushua wasafi aliumbuka madebe😂😂😂alibaki mdomo wazi akakosa cha kujibu madebe ni mswahili sana anaonekana tu ata wasanii wake wapo kwa kicheche, clam

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 8 หลายเดือนก่อน +2

      Yani aliumbuka linabaki kusema ooh nimepita jandoni😂😂 jando ndio nini upuuzi tu mambo ya kishamba

    • @ABEERSHOP
      @ABEERSHOP 8 หลายเดือนก่อน

      @@scholamodestus9386 😂😂😂🤣🤣

    • @shanimpenike7568
      @shanimpenike7568 8 หลายเดือนก่อน

      ni kweli madebe hawezi kulea watoto na ni malaya sana

  • @hawajovin
    @hawajovin 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyew mrembo tu Jaman ht kuongea kwake pia anaingea vzr nakupenda sana mwenyez mungu atakujaali utapata Hali yako

  • @wemakalama6458
    @wemakalama6458 8 หลายเดือนก่อน +1

    @mbengo tv msimuhoji tu chanuo mpeni connection huyo mama yuko vizuri jamani alee wanawawe wamaume ni balaa kwa kweli ni mawazo yangu tu jamani #Alamski❤❤❤

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sikatai kila mtu ana mtazamo wake ila Yale mambo ya kizaman kua akilalamika mwanamke anasikilizwa sana ukijumlisha na kilio kutafuta huruma.wakweli walikua wanawake wa kizamani tutambue haki ni kwajinsia zote isichukuliwe kwakua ni mwanamke mwanaume aonekane mbaya utafutwe ukweli wakina ili nani alaaumiwe.sio kumlaumu tu mwanaume kwakua imejijenga vichwani mwa watu kuwa wanaume ndio watesi.tusijisahuulishe chamani wanawake wakizazi hichi baadhi Yao wanawaliza wanaume machozi.wapo wanaopigws na wake zao wapo wanao letewa mpaka mabwana nyumbani na hawasemi wanaumia rohoni.tutendeeni haki Kwa uutafuta ukweli kwanza

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah chanuo umeamua kumove on zidi kuomba mungu akupe subra, sema Dada utoe uchungu moyoni

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ningekua mwanaume ningekuoa lakini ni mwanamke mwanza ko dada hongera unansimamno mkali watu watakutukana lakini we nimpambanaji utapata tu mwanaume mzuri kwa kukuoa😢😢

  • @SelemaniSaidi-np9fm
    @SelemaniSaidi-np9fm 8 หลายเดือนก่อน

    CHANUO NILIKUONA BUZA PALE TULIKUA TUNA NUNUA DAGAA MCHELE nilitaman sana nikupe hai ila nilikua naona kabisa aupo sawa aseee madebe yamalize na uyu dada 🎉🎉🎉🎉

  • @MashakaLukumani
    @MashakaLukumani 7 หลายเดือนก่อน

    Pole sana chanuo uyo madebe sio mtu ila jitu

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaume tuna tamaaaa sasa kifaa kama hichi madebe anakiacha😂😂😂😂

  • @kennedysuwa5910
    @kennedysuwa5910 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mwanamke hukufundwa unatafuta huruma ya watanzania kama aliyekuwa mke wa docta mwaka

    • @augustuscaesar2816
      @augustuscaesar2816 8 หลายเดือนก่อน

      Hakufundwa hata kidogo anatafuta sana attention kupitia Mbengo TV nawasafi

  • @catherinenenula7450
    @catherinenenula7450 8 หลายเดือนก่อน

    Ningekuwa mm chanuo ningemove on ningejikita kwenye kuigiza najua mungu amtupi mja wake kwasababu kipaji ni chake pili nisingehangaika na uyo baba kulea watoto Kuna masingle mother wengi na watoto wanaishi maisha safi tyu move on jmn igiza tafta maisha Yako unahangaika nn Sasa na uyo madebe

  • @tanishahassan-nc5qc
    @tanishahassan-nc5qc 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanaume sio mtu wakumuamini hata kidogo mume wangu wa ndoa kabisa nimemkuta mission town nikamuonea huruma nilikuwa na kiakiba changu nikampa milion 2 aangalie biashara akiwekeze ili tujiendeleze nilipompa hiyo pesa kweli alifungua biashara alipofungua alinigeuka nikimuuliza vipi biashara inaendeleaje ananitukana na kuniambia ainihusu wakati mm ndio nimempa mtaji tangu siku hiyo naishi nae kwa akili sana pesa yangu ni hali hata mia

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 7 หลายเดือนก่อน

    Najenga ila kiukweli sijengi mimi hata mke wangu ana mchango mkubwa sana siwezi sema uongo wanawake wengi hawapendi kuishi kwenye nyumba za kupanga wanatamani kuwa ma kwao....Huwa ananisisitiza sana huyo fala kuna anguko linamjia kwa dhuluma ya nguvu za watu

  • @SophieKipengele
    @SophieKipengele 5 หลายเดือนก่อน +1

    Skushangai dada chanuo hila watu wa kusini ndo walivyo hta sion ajabu kwa baba watoto wako wamwela ni watu wabinafs sana ususani wakiwa na kipato

  • @nusrathmanyawa4501
    @nusrathmanyawa4501 8 หลายเดือนก่อน

    Asikuchoshe bibieeeee pambana na maisha nyumba utapata ya kwako na kila kitu huyo ni mshamba na roho mbaya yake

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 8 หลายเดือนก่อน

    Hap ndo wanaume sasa ,mungu akusimamie kipenz

  • @athumanikatundu386
    @athumanikatundu386 8 หลายเดือนก่อน +6

    4:02 ww dada nakuelewa sana dah

  • @MsuyaMgeta
    @MsuyaMgeta 8 หลายเดือนก่อน

    mm sina jambo la kuweka ila dada kwa hayo yote unayoongea hata kama uko sawa kumbuka mungu ushamkosea tyr umeongea mengi sana,ulitakiwa kuwa kimya tyu ukaamini mungu hakika angekujibu ila hayo mambo mliozozana mungu hapeni atawahukumu vyombo vya habar havitawasaidia zaid ya kuchafuana tz nzima na pia kuwaingizia kipato hao alafu waaandishi acheni umbeya

  • @trillionthamani
    @trillionthamani 8 หลายเดือนก่อน

    Haya mambo yanahitaji sheria ,namshauri apate mwanasheria mzuri mbona huyo mapipa atanyoka uswahili na sheria kipi ni kipi

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 8 หลายเดือนก่อน

    Pole Chanuo wewe nimrembo sana achana nalile zee

  • @SaminiChangawa-r4x
    @SaminiChangawa-r4x 8 หลายเดือนก่อน

    Chanuo mm nakuhitaji niko malindi achana na madebe mshenzi hajui kutunza ndoa njoo kwngu plz nitumie namba yako

  • @MohamedKijazi-n4v
    @MohamedKijazi-n4v 8 หลายเดือนก่อน

    Hila mm navo juwa waparee ni majehurii sana na tatizo lahao kubuwa wanatakaha kuwamiliky muwaname mimi siweziy kukuamini kuwasababu nilishamuwa paharee Wa amukubalihi makosaa yenu munajiyona kwa nyinyi ni bora zaidy kuliko mume munaeshinae

    • @noelgodson9756
      @noelgodson9756 8 หลายเดือนก่อน

      Ww achaga uwongo

  • @chimamilion
    @chimamilion 8 หลายเดือนก่อน

    Oya we tupo nachanua uyu dda namkubali sana lkn nabede anamtoa mjini dda embu kazana kufanya kz wanaume hawana lolote fanyakz zko dd ingiza ela ww ni star mkubwa kuliko uyo Madebe unajua mpk unajua tena

  • @fredykephacy5166
    @fredykephacy5166 8 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke akipata tu vihela anachukuwa nafas ya mwanaume m1 ndo inajenga nyumba na hujioni ulivonawili hujawah pewa kitu mbon umenawili sana

  • @HappyKaskile-sx5yt
    @HappyKaskile-sx5yt 8 หลายเดือนก่อน

    Anatabia ngumu Sana mtu asiependa mgeni uyo hana maana katika dunia

  • @dianamoshi167
    @dianamoshi167 8 หลายเดือนก่อน

    Chanuo mtafute Queen masanja mwanamke jasiri, mpambanaji aliyejinasua kwa mume fedhuli, atakupa dira ya maisha

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 8 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢pole sana usimwamin mwanaume kwny kujenga,,, mwenzio mie mpk sasa nimuhanga ktk hilo la kushare kujenga na MUME.

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 8 หลายเดือนก่อน

      Wee kwer 😢😢😢Pole mi naogopa wanaume

  • @ShabanRashidi-g4i
    @ShabanRashidi-g4i 8 หลายเดือนก่อน +1

    We sio mwanmke kabisa wa kuishi na mume ndo tofauti kati ya mke na mwanmke

    • @augustuscaesar2816
      @augustuscaesar2816 8 หลายเดือนก่อน

      Wala huyu dada ukimfatilia kwanza anamdomo sana hilo nitatizo aisee

  • @advinofficial6570
    @advinofficial6570 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ww ni mwanamke mpumbavu chanuo ulipokutana na madebe hukuja kweny media

    • @augustuscaesar2816
      @augustuscaesar2816 8 หลายเดือนก่อน

      Nasoma comments nimeanza kuona watu sasa wanaanza kufunguka akili😂

  • @gracewairimu800
    @gracewairimu800 8 หลายเดือนก่อน

    Yani ningekua na uwezo ningeanzisha makao ya wanawake wanaopitia mambo kama haya

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 8 หลายเดือนก่อน

    Wasani mna mambo sasa tushike yapi huku kuna chanuo nchakala na kule kuna haji manara v/s DM # zeylisa,duuuh.

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwà hiyo madebe anawariga wanawake ndio maana wanamngangania hivyo? Kwani ana nini mbona ni mwanaume wa kawaida tu? Au ni mimi tu ndio naona

    • @faridanurdin9635
      @faridanurdin9635 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂nimecheka

  • @iddysonyo1356
    @iddysonyo1356 8 หลายเดือนก่อน

    huenda yuko sahihi lakini ukirudia alivyoizungzia taraka aliyotumiwa pindi yupo kenya ilionyesha hakulizikanayo

  • @SbOm-b7k
    @SbOm-b7k 8 หลายเดือนก่อน +2

    Makubwa, 😅 bi dada umetishaa, ilaa sio vizuri kuta ngaza mambo mabaya tuu, hivi ,miaka yote mloishi hadi kupata watoto, hakuna memaa alokutendeaa? Na tatizo lenu hamjatofautisha maisha ndoa na maisha ya sanaa,hapo ndioo shida ilipo, kilakitu mnaona kama sanaaatu

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 8 หลายเดือนก่อน

      yaah wewe ndie umenena vizuri !!! watu wanachukulia ndia n maigizo yan imefikia hatua yakutangaza mambo ya ndoa kwenye media !!!! kama hii tabia wanawake woke wakifanya hv basi ndoa haina maana tena kwenye hii dunia

    • @Fatmajereko-mz2rs
      @Fatmajereko-mz2rs 8 หลายเดือนก่อน

      Kwan hamjui km Hao wote ni master kwaiyo nyie mashabiki tulizen mishono km limekukera acha kuangalia sio lazima😂😂😂

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 8 หลายเดือนก่อน

      hahaha !!! bas vizuri kama umelitambua hilo hao wote n waigizaji kama m2 anaweza kuigiza muvi bas anaweza kuigiza maisha vile vile !!!!

    • @augustuscaesar2816
      @augustuscaesar2816 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli kbs

  • @AminaTupa
    @AminaTupa 8 หลายเดือนก่อน

    Pole san

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 8 หลายเดือนก่อน

    Manara alitakiwa amuoe chanuo alafu amheshimishe kama alivyomheshimisha zaylissa hapo madebe ndiyo angejua umuhimu wa mwanamke na uzuri wake 😅😅

  • @FathimaOman-j5g
    @FathimaOman-j5g 8 หลายเดือนก่อน

    Yan ww mwanaume unavomnunulia pombe alaf unajifanya mrevi aya uwongo ww mwanaume

  • @damianikimario5695
    @damianikimario5695 8 หลายเดือนก่อน

    Sawaa... tatizo mnaanika mamboyenu ya ndani mtandaoni kumbukeni mnawatoto watakuja kuona huwo ujinga wenu yamalizeni kimyakimya 👄👄

    • @nicethgabriel3319
      @nicethgabriel3319 8 หลายเดือนก่อน

      Wacha waone, hujui maumivu yake, watoto nao wajue waone tu Madudu yake

  • @estherlisahelifuraha9312
    @estherlisahelifuraha9312 8 หลายเดือนก่อน

    Kwahy chanuo unasemaje yan bn we lea watoto bn mbn masingle mzaa tupo kibao

  • @sirjafricatv
    @sirjafricatv 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi nampendanga chanuo, akunje kenya nimuoe

  • @AsiaBakari-rb2ok
    @AsiaBakari-rb2ok 8 หลายเดือนก่อน

    Umesha zaa nae usitoe nengi dad jamn

  • @binrashid1638
    @binrashid1638 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanawake mdio chanzo caha wanaume kuwa na matatizo, mana waliweza kufanikiwa kumtowa mwanaume peponi

  • @chimamilion
    @chimamilion 8 หลายเดือนก่อน

    Ile barua ya selikali za mitaa ukiiskiliza utajua imeandikwa kibabe

  • @ghhyhh7591
    @ghhyhh7591 8 หลายเดือนก่อน

    Eti nnaubavu kwa m.baba yule😂😂😂😂

  • @youngchezo2744
    @youngchezo2744 8 หลายเดือนก่อน

    Ogopa sana mdada kama uyu kumbuka uyo ni Baba watoto wako unamchafua ili iweje

  • @mfungonishauri4234
    @mfungonishauri4234 8 หลายเดือนก่อน

    Warudia interview... Sbb hili la serikali ya mtaa alishaliongelea

  • @PtahEnki-go3io
    @PtahEnki-go3io 8 หลายเดือนก่อน

    Achana na hio ng'onbe ndume halina akili timamu ni ukahaba tuu

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 8 หลายเดือนก่อน

    Kama kweli ni mke wa ndoa atumie njia za kisheria haki atapata.

  • @AbuuMbecha
    @AbuuMbecha 8 หลายเดือนก่อน

    Jimbo lipo wazi toto la kitanga❤

  • @ZaidSeifSuleiman-q9w
    @ZaidSeifSuleiman-q9w 8 หลายเดือนก่อน

    Uwongo mtupu

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 8 หลายเดือนก่อน

    Narudia tena Madebe ni kahaba professionally

  • @omarikhalfan1079
    @omarikhalfan1079 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ni muongo barua inasema kwa hiyari yake bila kushawishiwa na mtu yeyote na akasaini,nendeni ofc ya mtaa lubakaya ipo chanika

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 8 หลายเดือนก่อน

      Pekee ako ndo hujaelewa pole

  • @QueenAngel-zh9st
    @QueenAngel-zh9st 8 หลายเดือนก่อน +133

    Mi nipo upande wako chanuo uyo madebe ni mshenzi alimuoa rafiki yangu yusra alimfuja akawa km mzee😢 mpk asichana wa watu akaomba taraka ni nafuu sahvi yupo sawa na alimpata uko kwenye mambo ya kuigiza....chanuo upo sawa ni naushaidi wa 100/100 uyo madebe ni balaaa

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 8 หลายเดือนก่อน +5

      ni wakati wa wote walioshalilishwa na huyu mwanamme wajitokeze.

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 8 หลายเดือนก่อน +2

      ili iweje ???

    • @alimwadima254
      @alimwadima254 8 หลายเดือนก่อน +4

      Musijaji upande mmoja...

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 8 หลายเดือนก่อน +1

      ya kweli

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 8 หลายเดือนก่อน +10

      Nitashangaa kuon mtu atajiita mwanaume alaf ambeze madebe awe upande wa shetani labd liwe punga kwatulioishi na hivi viumbe hatusumbuki nao Ni wasenge

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 8 หลายเดือนก่อน +11

    Yule baba hafai i hope watu wataacha kumsupport. Jitu lishenzi kama kitu gani

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 20 วันที่ผ่านมา +1

    Eti wageni mjinga kweli wanasema Mgeni siku mbili yatatu mpejembe alime 😢😂😂😂😂😂😂
    Maisha magumu ndugu madebe😢

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 20 วันที่ผ่านมา +1

    Akakanamuke kabaya huwezi weka wazi mumewako . Uliolewa nampango waku chafua familia ya Madebe😢. Utashindwa kwajina la ….

  • @HappyNicholas-be2yn
    @HappyNicholas-be2yn 8 หลายเดือนก่อน +17

    Huo ndo uwanamke chanuo ukilialia ndo anakuona hauna cha kufanya nakupenda bure dadangu pambana mungu atakutangulia kwa kila njia

  • @MojamojaMojamoja-lw2ph
    @MojamojaMojamoja-lw2ph 8 หลายเดือนก่อน +4

    Lakini k
    Bakiza maneno dada huyo baba wa wanao nahuku kweny mtandao unasaidika ama nikujitangaza tu

  • @elizabethdamas-zp9xl
    @elizabethdamas-zp9xl 8 หลายเดือนก่อน +7

    kama hayajakukuta hamuwezi kumwelewa uyu dada jamni

    • @sharifabahar9905
      @sharifabahar9905 8 หลายเดือนก่อน

      Mm hayaja nikuta ili nimeumia sana

    • @MaryamaAlly
      @MaryamaAlly 8 หลายเดือนก่อน

      👏👏

    • @Fatmajereko-mz2rs
      @Fatmajereko-mz2rs 8 หลายเดือนก่อน

      Nikwel daa apo umeongea

  • @suzanmaganga
    @suzanmaganga 8 หลายเดือนก่อน +13

    Uyo mwanaume ni mshenzi ndo maana anaoa na anaacha na uyo aliye muoa ataachika tu pole chanuo mungu yupo na wewe

    • @LeilaShah-ib4td
      @LeilaShah-ib4td 8 หลายเดือนก่อน

      Kwani chanuo mini shida chanini nitakipata lini kaza buti, kwani yeye nani,watoto watapata baba mwengine wee tulia tu

    • @LeilaShah-ib4td
      @LeilaShah-ib4td 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu tu ndio hatakae kuua sio yeye

  • @Mwaka-f1m
    @Mwaka-f1m 8 หลายเดือนก่อน +29

    Napenda unavyo nyoosha maneno halafu husahau ulicho kisema hio ni dhahiri kuwa hii ni stori ya kweli Mungu yuko kipenzi kila kitu kitakua sawa mamy❤❤❤❤❤❤❤

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 8 หลายเดือนก่อน

      hahaha !!!! sifa ya Muongo huwa anakukumbukumbu ukiona m2 kadanganya halafu kasahau ujue huyo sio Muongo ndio anajifunza !!!! kwahy kutosahau alichokisema inawezekana kwasababu n ukweli mtupu au kwasababu kabobea kwenye uongo kwahy hapo sio kila anaekumbuka n Mkweli😄😄😄

    • @DamsariDamsari-l2c
      @DamsariDamsari-l2c 8 หลายเดือนก่อน

      Hata mim nimemkubali kwa hilo ananyoosha san maelez yake

    • @NajmaHassan792
      @NajmaHassan792 8 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@herimornchriston6083Si kwel nko n babangu mdogo n muongo kwel n akiongea kitu sai ukimuuliza tena badae hajui n yeye ndio amesema yani ana mtoto wke amemriti kila kitu😂😂😂😂

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 8 หลายเดือนก่อน

      Muongo msahaurifu huyo s Muongo wakumuogopa kwasababu utajua wapi kwakukamatia shida n Mwongo mwenye kumbukumbu na kila Muongo mwenye kumbukumbu alianza kua muongo msaaurifu !!! in short uongo sio mzuri

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 8 หลายเดือนก่อน

      yaah lazima anyooshe maelezo kwasababu hakwenda kwenye media kwakushtukizwa kajipanga vzr hasa sasa atapindishaje maelezo kwamfano

  • @lilwiz_07
    @lilwiz_07 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawake acheni ujinga
    Masuala ya ndoa yanafuata nn mtandaoni
    Ujinga umekujaa chanuo 😡😡😡

  • @latwiffahpeter6417
    @latwiffahpeter6417 8 หลายเดือนก่อน +12

    Mungu atakusaidia mwanamke mwenzangu move on fanya mambo yako mama mtangulize mungu mbele utaona maajabu yake wote tumelelewa na tumekuwa na tunakuza na watotowetu vizuri kabisa, wanaume wazuri wapo mama yangu weeee na wanaojua nini thaman ya mwanamke amini hilo ,usije ukachukia wanaume wotee na wala usije ukachukia kuolewa tena hapana ,kama ulivyo muona zailisa kaachwa kaolewa tena na anaamani ya moyo maisha yanaendelea hivyoo yan, mungu atakubariki ameen🙏.

    • @lilwiz_07
      @lilwiz_07 8 หลายเดือนก่อน

      Unapoandika neno Mungu anza na herufi kubwa

    • @jumamnyampanda6133
      @jumamnyampanda6133 8 หลายเดือนก่อน

      😂zaylisa hamna mke pale

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 8 หลายเดือนก่อน +4

    Eti what is really happening!!!! Unapenda hii statement!
    So nikusaidie......*what really happened*?

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 8 หลายเดือนก่อน +9

    HUYU DADA MTANGAZAJI NI MTANGAZAJI MZURI. KWANINI CLOUDS FM HAWAMUONI? LOVE FROM EUROPE

  • @allyshabani3404
    @allyshabani3404 8 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana chanuo penye kuna shamba panakosekana wakulima . Mimi nipo Rwanda ndo naeshi ila mrembo kama wewe niko rizaa ya kutowa posa

  • @anitamollel8982
    @anitamollel8982 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mm ki ukweli nimemuelewa sana huyu dada anacho kipitia wanawake huwa tunabeba matatizo ya familia kama chanuo angekuwa anaongopa kataja watu wengi sana wa karibu na madebe na wana ona interview zote lazima wangekasirika na kupinga ukimya wao unaonyesha dhahir kama vyote anavyo viongea ni vya kweli jamani wanaume mtuhurumie mnaumiza sana watoto wa ckuhiz hawaoni tena dhamani ya ndoa wala familia wanajilea wenyewe mwisho wanaharibikiwa na kupoteza maisha kwa umri mdogo mm nipo nje ya nchi naona watanzania wadogo sana wana fanya mambo ya ajabu yote haya yanaanza majumbani mwetu tupigeni vita unyayasaji wa kijinsia 😢😢😢😢

  • @roselyimo3676
    @roselyimo3676 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe. Binti mzuri tulia tu Mungu hamtupi mja wake dr mwaka alivuma. Mitandaoni lakini leo kila mtu anaishi maisha yake ya furaha. So achana na haya maneno ya mitandaoni. Nadhani kuna familia nyingi ambazo zina changamoto kama zakwako lakini hawaaniki mitandaoni. Watu washajua tabia ya madebe na sasa ni wakati wamatendo kwake wafuatiliaji wa muvi zake waache maana hazina uhalisia wowote. Muombee mungu ambadilishe tabia yake awe mume mwema. Mungu huwa ana majibu sana kuliko kawaida na sisi wanawake mungu anatusikia sana. Piga goti mama ubadilishe maisha yako

  • @MariamAbinala-m2k
    @MariamAbinala-m2k 8 หลายเดือนก่อน +4

    Msichana mdogo lakini unajua kuuliza maswali vizuri❤❤❤❤

  • @Sanjey-vp1fm
    @Sanjey-vp1fm 8 หลายเดือนก่อน +19

    Njoo zanzibar uje upumzike hata kama utakuja na watoto fresh tu utakula na kulala tena bure. Karibu sana, nakukubali sanaaaa.

    • @FaithChabayanga
      @FaithChabayanga 8 หลายเดือนก่อน

      Nsaidie kaz na mimi nanyanyasiks

    • @kibelaame5178
      @kibelaame5178 8 หลายเดือนก่อน

      Hahaha nyumbani aje

    • @sonicaghendewa9886
      @sonicaghendewa9886 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @fatumaamiri9404
      @fatumaamiri9404 8 หลายเดือนก่อน

      Naomba namm nije au nitafutie kazi jmn maisha magumu masika hii

  • @zuheilarama6233
    @zuheilarama6233 8 หลายเดือนก่อน +5

    Chanuo unaongea ukweli kabsa..,madebe n mwanaume mbaya xna..,lakini anjuwe vle anavyoliza wanawake.,Mungu atampa kiboko chake

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kiboko chake ni Mwenyezi Mungu,Nina matumaini ana mpango wake

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu anajicho kubwa kushindwa nyinyi , kama mkitaka yeye aamue atawaadhibu wote wawili kwa kadri walivyokosea !!!! lakin tusijaji sana je wewe unayajua maisha yanyuma ya chanuo ? utajuaje kama hii n adhabu yake chanuo??? kikweli mambo yandoa za watu msiingilie mnafahamu aliofanyiwa lakin hamuwez jua alieyafanya !!!! je hv sasa ndoa inaheshimiwa ??? mbn hamujaji chanuo kitendo chakutangaza matatizo yandoa kwenye media ??? au wewe ukipata dhoruba kwenye ndoa ndio utakavyofanya???

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 8 หลายเดือนก่อน

      @@herimornchriston6083 ukiona madebe alikuwa anakubalika Ila Sasa anavulia nguo ujue Kuna jambo ndo maana tunasemawenyezi Mungu Ana mpango wake ukifanya maovu sirini ukivuka mipaka Mwenyezi Mungu anakudharirisha,mwenye kumdharirisha mja wa Allah,Allah atamdharirisha yeye,Kuna mafundisho hapo

    • @zuheilarama6233
      @zuheilarama6233 8 หลายเดือนก่อน

      @@herimornchriston6083 cjui bt naomba tu uelewe kuwa madebe Ako na wanawake wengi xana.,na Kila mwanamke amezaa naye ,alafu anaachana nao.,kwa iyo Kila mwanamke ana uchungu na madebe.,alafukwa kwa iyo hao wanawake wte n wabaya haujapata mzuri anayeweza kukaa naye.,
      Kila cku atakuwa anaoa tu.,c vizur kudharirisha wanawake., Mwenyezi Mungu atampa kiboko chake.,hajampa mali adharirishe wanawake.,umenielewa

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 8 หลายเดือนก่อน +2

    Chanuo Mzazi mwenza ameongea kuwa Uheshimu japo Ndoa...Usitoe ya Ndani Social media Nyote munadalilika usione unamdhalilisha madebe tu...

    • @augustuscaesar2816
      @augustuscaesar2816 8 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana me nasoma comment zawanaojielewa wote😂

  • @muhsiniissa8151
    @muhsiniissa8151 8 หลายเดือนก่อน +4

    Maisha ya ndani mnayatoa mitandaoni,,amani utakuepo kweli?,mnajidhalilisha2

    • @maryremmy9112
      @maryremmy9112 8 หลายเดือนก่อน

      Uwe na kiasi cha kuongea😊

  • @JoelRichard-hj3bi
    @JoelRichard-hj3bi 8 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mwanamuke yuko vizuri sana zaidi ya sana, Atapata mwanamume bora zaidi na mwenye akili.

  • @jumamnyampanda6133
    @jumamnyampanda6133 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa akiongelea din unaweza sema ni bonge la shekh kumbe mbuz😂young lunya

  • @simonmaige3580
    @simonmaige3580 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie mbona mnachimba ndoa ya watu haijakaa sawa chanuo unajidharirisha

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mbona huyo dada bado mdogo kwanza namtaka mtoto mrembo huyo ❤❤❤❤❤

    • @AzzatyAbdallah
      @AzzatyAbdallah 8 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @LeilaShah-ib4td
      @LeilaShah-ib4td 8 หลายเดือนก่อน

      Husirudie tena mwanaume nimajini Fanya yako kivyakooo

  • @IssaMukucha
    @IssaMukucha 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sema unampenda mumeo,na kizuri kujishusha dadaangu,murudiane,ndoa ni mchakato,onbeaneni misaa na Mungu atawapa sawabu,Mimi ninacho kishauri ni chema kwa ajili ya wanenu,siyo vizuri watoto kuishi na mzazi mmoja maana Kuna kuwa na upungufu wa maadili.

  • @UU_ONLINETV
    @UU_ONLINETV หลายเดือนก่อน

    Uyu mwanamke tunamjua mtaani mpaka waume za watu walikuaga wanamchukia anapotosha sana wanawake alishapigwaga na mwanajeshi mpaka akachaniwa dera uyo namjua vzur nmekaa nae chanika lubakaya njoon muulze majirani mbona mnakoseaga sana

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo simuelewi huyu dada kama unamuogopa madebe ni mchawi kwa anavyo jieleza na hivyo tisho vyako ungekwenda ktk media kumuanika kiasi hicho!!?sidhani wala sifikiri kama unamuogopa mademe kwa vitisho vya huyo babu yake .

  • @Joe-ht8mz
    @Joe-ht8mz 7 หลายเดือนก่อน

    Wanawake wengi Hua wagomvi Sana kwenye ndo alaf wanatoa huruma kwenye jamii mm naamin huyu dada aliona huu upepo aishi Nae nmetizama interview zake Kadha lkn kwa jinsi anavyongea utajua kbsa huyu dada ako kimaslahi Zaidi nnmtazamo wangu tu msiniue kwa maneno

  • @Bombwejr18
    @Bombwejr18 7 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi tu kuwa amekuwa mkavu vzuri hii inaonesha amekuwa mkomavu hivi ndo inavotakiwa halfu hizi interview ziwe mwisho now fanya maisha Yako sitetei upande wowote but wanaume kuna muda tunazingua wanawake wanaotukubali but kila mtu afanye maisha Yake now

  • @FaroukMpwapwa
    @FaroukMpwapwa 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwan nyinyi wasaniii mbona mnataka kila kitu mpaka watu tujue mi naona mambo mengne mfanye siri siyo mukitak kuoana tujue mukipata changamoto kwenye ndoa yenu tujue mukidaihana talaka tujue munataka kuhachana tujue vitu vingne mufanye siri bana siyo kila kitu mpaka muhenfe media

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 8 หลายเดือนก่อน

    Sikatai kila mtu ana mtazamo wake ila Yale mambo ya kizaman kua akilalamika mwanamke anasikilizwa sana ukijumlisha na kilio kutafuta huruma.wakweli walikua wanawake wa kizamani tutambue haki ni kwajinsia zote isichukuliwe kwakua ni mwanamke mwanaume aonekane mbaya utafutwe ukweli wakina ili nani alaaumiwe.sio kumlaumu tu mwanaume kwakua imejijenga vichwani mwa watu kuwa wanaume ndio watesi.tusijisahuulishe chamani wanawake wakizazi hichi baadhi Yao wanawaliza wanaume machozi.wapo wanaopigws na wake zao wapo wanao letewa mpaka mabwana nyumbani na hawasemi wanaumia rohoni.tutendeeni haki Kwa uutafuta ukweli kwanza

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa njaa ndio umpeleke mtoto ktk sehem sio salama watajifunza nini kwa hao mashoga?kwanini usiwapeleke watoto kwa baba zake au bibi zake?ukikaanao hao watoto unawapeleka kwa watu dizain kama hiyo simtihani huo?

  • @mwanaharucramadhan7141
    @mwanaharucramadhan7141 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni star Dada funguka tu wanawake tunanyanyaswa sana za Ma zle za kuambiwa tunajaza vyoo zmepta sasa kwakua tunapambana wao wanatumia fulsa kutudhulumu kwakua wewe ni star wapo watakaojifunza kupitia wewe wanawake tuamke sasa hawa watu sio wakuwapa vipato vyetu tuchekenao tu lkn

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa wote malaya wewe kama umeanzakutombwa ovyo na miaka 15 unazani hapa Kuna nn na kama mwana mke wewe sio msungo ungewezaje kutoa siri za mumeo katika vyombo vya habari

  • @lucasshirima2880
    @lucasshirima2880 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona kuna point kaitoa huyu Dada umeiruka...akimanisha madebe alikwenda kusema ukweli?

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 8 หลายเดือนก่อน

    Na wewe madebe movi zenu zinaelomisha sana ila nyinyi wenyewe hamna heshima hamuweleweki kilamtuanajuwa utumbowenu ambao muneufanya mumekuwa hamjuwi samani zaa ndoa tena za kiislamu

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Mali hapa comment hazikujengi ww unashndana na mmeo huko unatuletea tukusaidie nn unakamia kumharibia mtu umezaa naye ili iweje hunamaadili kabsa

  • @aminamzuri9933
    @aminamzuri9933 8 หลายเดือนก่อน +11

    Madebe hata usoni anaonekana mnafiki,mzushi mungu atakuwezesha

  • @Mohamudnoor5821-gw5qg
    @Mohamudnoor5821-gw5qg 8 หลายเดือนก่อน

    Yaani mtangazaji wetu Rey ulivyokuwa mrembo hivo unajianika mtandaoni bila stara nawe ni binti wa kiislamu?

  • @emanuelneriwa6619
    @emanuelneriwa6619 8 หลายเดือนก่อน

    Unajua madebe anajua wazii wanawake wananpenda kwasababu ya umarufu wake ndio maana anawachezea 😂huenda kabla hajawa maarufu walikuwa wanawita nyani so analipizaa😂

  • @ChristinaKanyika-l9n
    @ChristinaKanyika-l9n 8 หลายเดือนก่อน

    Madebe malaya unajifanya mjumbe wa namba tano mjumbe gan ww unaimbia nn jamiii sura baya mchafuvkuoga ila duuu unajiona sana lea watoto

  • @Platnumz11
    @Platnumz11 8 หลายเดือนก่อน +2

    dah uyu sister kasema ukweli kabisa dada movie on

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 7 หลายเดือนก่อน

    kwaiyo bongo idadi ya watu millioni 120 wandishi wa habar ni wasanii pekee ndio munaona i say umbeya kazi

  • @fredmbossa-kc3qn
    @fredmbossa-kc3qn 8 หลายเดือนก่อน

    wanasemaga wapenzi wakigombana chukua ndoo ukaoge ,,usishangae baadae siku zijazo madebe wakarudiana na chanua

  • @naswiheart5687
    @naswiheart5687 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani huyu dada mtangazaji anajikataa. Yaani kutana nae sehemu aisee anasema wao ni mapacha sasa sijui hajiamini😂😂😂😂 dada Layna jiamini bhana mbona kazi unayoifanya ni nzuri!!!!!!!

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kwanza m🇰🇪 mimi ckumuelewa hakuwa na jipya hata dida alimteta sn

    • @prezgal8869
      @prezgal8869 8 หลายเดือนก่อน

      Hata alichoongea hakikueleweka yule baba mbabaishaji