Muuza madafu ikulu ni Komando? A trend akifananishwa na komando kwa akishuka kwa kamba na helicopter

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 เม.ย. 2024
  • Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
    #bingoonlinetz
    #sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
    Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 511

  • @naqiahmad26
    @naqiahmad26 หลายเดือนก่อน +83

    aliyesanuka em agonge like hapa

    • @user-bv3zj1le5q
      @user-bv3zj1le5q หลายเดือนก่อน +2

      Niyy muuza madafu hakuna ubishi lakini awezi kukubali kamwe

  • @Worldunite
    @Worldunite หลายเดือนก่อน +41

    Msione ajabu wala msishangae, haya ni mambo ya ki-intelijensia 😂😂.MAJEDA OYEEE TANZANIA 🇹🇿 THE BEST

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 หลายเดือนก่อน +15

    Mission completed 👏👏👍
    Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 หลายเดือนก่อน +20

    Mama anajichekea tu😂ngoja na mimi nicheke😂😂😂😂 iloveyou Tz yangu ❤

  • @humphreynyiti516
    @humphreynyiti516 หลายเดือนก่อน +28

    We ukauze madafu ikulu mchezo,haha ila ww jamaa ni noma sana

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 หลายเดือนก่อน +56

    Umeona mama samia anacheka kakumbuka siku ya madafu

    • @johnbernad3990
      @johnbernad3990 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @kennedykassian5269
      @kennedykassian5269 หลายเดือนก่อน

      Tena clip ya mtangazaji wa milllard akimuelekeza aweke silaha vizuri yaan ni yeye na jamaa wana uwezo hata wa sauti kubadilisha

  • @khadijamisayo7476
    @khadijamisayo7476 หลายเดือนก่อน +13

    Tanzania wapelelezi wapo Kila mahali, yaani "ulipo tupo", ni kiasi Cha sisi wananchi kuchunga ndimi zetu na kuheshimu Kila mtu

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 หลายเดือนก่อน +1

      Na Hiyo pia isiwafanye mjisahau kwa kujiona mmemaliza kila kitu "Huwa Allah junudu mafisamawati wal~Ardhwi" Bi maana Allah yeye ndiye mwenye majeshi Angani na Ardhini. unaweza kulindwa Sana na mwisho ukafa Nyuki au Siafu tu. Tendeni haki na mema sio kukandamiza watu Kisha mnaendelea kujitukuza.

  • @alexandermanase8956
    @alexandermanase8956 หลายเดือนก่อน +42

    Huyo anaekataaa nae inawezekana ni usalama wa taifa😂😂,, ila nimependa Sana mbinu za jeshi letu.. ukauze madafu Bure Bure ikulu,, thubutu,,,,,, Sasa usalama mbadilishe mbinu hii tushaijua😂😂😂... Komando muuza madafu oyeeeee

    • @Twahamwela-ch5lz
      @Twahamwela-ch5lz หลายเดือนก่อน +1

      Ha haha haha

    • @MagaliKiswili-bj6yz
      @MagaliKiswili-bj6yz หลายเดือนก่อน +2

      Ndio yeye kule alibadilisha saut

    • @thuwaybarajab6099
      @thuwaybarajab6099 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @dorothmungure9393
      @dorothmungure9393 หลายเดือนก่อน +2

      Oyeeeeeeeee😂

    • @gloriadaniel3827
      @gloriadaniel3827 หลายเดือนก่อน +1

      We Nani umsogelee Rais na vi madafu vyako?. Kwa hili nimeipenda Nchi yangu viongozi wetu wako salama👏

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 หลายเดือนก่อน +24

    Du!,tena full commando,kuna la kujifunza hapa,hasa wale wenye dharau kumuheshimu kila umuonae mbele yako ni jambo muhimu sana.

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 หลายเดือนก่อน

      Ndio

    • @Allybinamour
      @Allybinamour หลายเดือนก่อน

      kweli kabisa

    • @mhinajerome5964
      @mhinajerome5964 หลายเดือนก่อน

      Umeongea chamaana sana niliwahi saidiwa namtu nisie mjua sehemu ngumu sana kumbe jamaa ananijua nayeye niwalewale

  • @micophilemon2080
    @micophilemon2080 หลายเดือนก่อน +2

    kwenye facial recognition tunaangalia paji la uso, mashavu kidevu, mkao wa pua, ukimchek mwamba pua hahhaaa ikulu sio kila mtoto wa baba ananda eeh

  • @user-ix5uo6ks7j
    @user-ix5uo6ks7j หลายเดือนก่อน +20

    Am a Kenyan ❤❤❤❤ i really love this 😂

  • @user-ih1pk1vs4q
    @user-ih1pk1vs4q หลายเดือนก่อน +38

    Sio rahisi kwa raia wa kawaida kupelekwa ikulu inawenyewe hiyo ww fikiria kwa akili ndogo uangue dafu Rufiji ambalo halijahakikiwa akapewe Rais wa nchi mliona wp sisi tuliowajanja tunajua

    • @MubaAlly-gd5jg
      @MubaAlly-gd5jg หลายเดือนก่อน

      saw kabisa

    • @user-vd1vx1dc8p
      @user-vd1vx1dc8p หลายเดือนก่อน

      Jamani tunakiharibu kiswahili chetu badala ya kuandika sawa kabisa unaandika "saw kabisa" ukitafsiri inakuwa "aliona kabisa"

    • @Swahili14
      @Swahili14 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-vd1vx1dc8p😂
      Native speakers use informal speech and slang

    • @anacletferuz4954
      @anacletferuz4954 หลายเดือนก่อน

      Mbona ulikua haujasema kama ulijuwa😊

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql 27 วันที่ผ่านมา

      Kuna jambo lao wanatafuta awa sio bule kwaio ukiwa njiani ujitunze sio kila umuonae ni mtu wa kawaida kwako ao wanaangalia usalam wa nchi chini chini kam nisingemuon apa sku ningekutana nae siku sipo vizuri unaingia kwenye anga zao aisee atakukoa sasa mue walinzi wenyew sio kilA umuonae umzalau ukute wenginne wanafagia barabara we unaon ni washikaji zako unaongea mambo lbda ya bangi wee watakumiga na kukukoa ulinzi wa nnje jmni upo kila mtu awe na uangalifu la sivo mtaishia jera waovu lkn sin uakika nalo 😅😅😅😅 nimependraaaaas😉😉✌👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @agnesmndolwa6245
    @agnesmndolwa6245 หลายเดือนก่อน +34

    Ni yeye Kwa sababu wakati anahojiwa alijichanganya kwamba anaweza karate,hakuna muuza madafu wakusema anaweza karate

    • @jizzotheking9238
      @jizzotheking9238 หลายเดือนก่อน +4

      Acha ushamba karate anajifunza mtu yeyote yy alichosema nikwamba hvyo vitu anaviweza kwan mbn mm nacheza judo mieleka na karate??

    • @KhadijakassimMwaipaya
      @KhadijakassimMwaipaya หลายเดือนก่อน +1

      Ni yeye

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme หลายเดือนก่อน

      Wewe kweli mshamba

    • @agnesmndolwa6245
      @agnesmndolwa6245 หลายเดือนก่อน

      @@Mpakauseme ushamba umetokea wapi hapo tena

    • @YustaMfugale
      @YustaMfugale หลายเดือนก่อน +1

      Hyo karate alijifunza lin make kasema ye ni mwanafunzi wa chuo na umri umesoma namba so pouw

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 หลายเดือนก่อน +2

    Huu mtindo wabadiri maana dunia ikombali sana sasa huyu jamaa hawezi ishi tena kwa amani nakufanya kazi yake kwa weredi maana kila mtu mwenye anajua alichokifanya atakuwa anamuogopa kikubwa hawa jamaa wauza madafu wengi niwatu wa mipakani kupitisha watu wabaya nirahisi sana ndio maana wanakuwepo komandoo elewa huyu nikiongozi wakikosi nayuko nao aisee hii in big up sana

  • @drdd774
    @drdd774 หลายเดือนก่อน +9

    Mpaka mtu anasema kama mazoezi na kareti anafanya mnashindwa kujiongeza

  • @user-ix9zu1zk5c
    @user-ix9zu1zk5c หลายเดือนก่อน +12

    😂😂😂 ndio yeye sauti ina echo tu, ila zinafanana, tue makini

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน +2

    Serikali yetu nzuri haswaaa ina ulinzi mzuri sanaaaa

  • @saidothman6342
    @saidothman6342 หลายเดือนก่อน +3

    Kama ingekuwa issue ya Usalama tu basi rahisi kuamini ila hapo anananisibishwa na na huyo kiongozi wa Makomandoo aliyeshuka kwenye helicopta hapo...kwa akili ya kawaida tu Kiongozi wa makomandoo tena Kapteni wa jeshi atapat wapi mda wote huo wa kukaa pale Salenda kuuza madafu...ingekuwa amenasibishwa na usalama wa taifa hapo ingeingia akilini

  • @user-er8qt4rx8n
    @user-er8qt4rx8n หลายเดือนก่อน +10

    mama mweenyewee anafurahi heee huyu si yule muuza madafu itakuwa hata yeeye alikkuwa hajui hili

    • @elizanyange2010
      @elizanyange2010 หลายเดือนก่อน

      Mama anajuwa hiv unafkiria wangekua watu wakawaida wangeruhusiwa kuingia ikulu kirahis rahis

    • @stanchi138
      @stanchi138 หลายเดือนก่อน

      Muuza mafafu gani ata kofia hakuivua ikulu,,,,,serikali ina mkono mref,

  • @Economically-Growth-Musicians
    @Economically-Growth-Musicians 14 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂😂 Bongo ni Nchi ngumu sana😂😂😂😂

  • @jillydezanzibar4435
    @jillydezanzibar4435 หลายเดือนก่อน +3

    Mi sijui kufananisha ila huyu sio yeye" Tusitake kuheadlines

  • @mussachessa6404
    @mussachessa6404 หลายเดือนก่อน +20

    Yes hata huyo jamaa wapembeni ndie yuleyule walie kua pamoja kupeleka madafu Ikuru. huyo alievaa kitambilisho

    • @fanuelykitambule5542
      @fanuelykitambule5542 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ukimuangalia vizur machoni huyo wapembeni kama ni yeye iv

  • @MubaMgaya
    @MubaMgaya หลายเดือนก่อน +6

    Kwapembeni namwona mjomba hija khaji mgumya one love jombi

  • @user-so3gy2io8l
    @user-so3gy2io8l หลายเดือนก่อน +15

    Tena ni captain halooo

  • @iddmussa3763
    @iddmussa3763 หลายเดือนก่อน +1

    km ni yeye basi ujue swala la kupeleka madafu halikuwa bahati mbaya na swala la yeye kuonekana hapo km kiongozi pia sio bahati mbaya yani kila kitu kimepangwa
    ila wamefanana zaidi jaribu kuangalia facial features mfano fupa la shavuni utaona kuwa ni tofauti ila utafauti huokwa jamii ya watu hao unaweza ukawa wa kutengeneza pia
    tujaribu kusikiliza vocal - ila ya huyualiekuwa anaongea kwa mic huipati vizuri ila up and down za sauti kmzinataka kufanana ila yote kwa yote big up kwa vyombo vyetu

  • @AlexMumoMalonza
    @AlexMumoMalonza หลายเดือนก่อน +28

    Acheni kufichua siri zenu za kijeshi!!! Adui atakua na kazi rahisi kuwafunika

    • @devanse9718
      @devanse9718 หลายเดือนก่อน

      KAZI YA NYOKO

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 หลายเดือนก่อน

      ​@@devanse9718Ukweli ndio huo

    • @United-Bantu-People
      @United-Bantu-People หลายเดือนก่อน

      it means dont underestimate Tanzanians

    • @mhinajerome5964
      @mhinajerome5964 หลายเดือนก่อน

      Nafikiri hii sasa jeshi lijiongeze kutokana na technology maana wengine huficha sura kwakuwa niwatu wanaojulikana sana mitaani so wabadiri mbinu

  • @CruzchicagoNyandindi
    @CruzchicagoNyandindi หลายเดือนก่อน +2

    Mama abakie yy tu ikuru miaka yote nampenda sana rais wng

  • @dominickndomba4474
    @dominickndomba4474 หลายเดือนก่อน +2

    Sio yeye muuza madafu akiongea analamba ulimi lakini huyo commando halambi ulimi huo ndio utofauti wa kitabia halisi sisi wapelelezi tunajua hilo Tanx saaaaana kwa kufananisha

  • @ElizeusDadira
    @ElizeusDadira หลายเดือนก่อน +1

    Unaweza mungu akuzidishie

  • @MichaelCNtaho
    @MichaelCNtaho หลายเดือนก่อน +15

    Ukitaka kujua ni yeye mwambie huyo mwandishi akamtafute tena pale kijiweni alipokuwa ana uzia madafu kama atamkuta..

    • @agnerapius7244
      @agnerapius7244 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @bernaberna4159
      @bernaberna4159 หลายเดือนก่อน

      Madafu km madaf😂😂😂

    • @dinosiasa5600
      @dinosiasa5600 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite หลายเดือนก่อน +25

    Natena nikiongonzi kabisa daah 😅🔥

    • @Mwanah27
      @Mwanah27 หลายเดือนก่อน

      Yan bonge la cheo

  • @bilqisnjama1387
    @bilqisnjama1387 2 วันที่ผ่านมา

    Siye yule muuza madafu ana very prominent cheek bone huyu askari ana shavu kidogo
    Muuza madafu mweusi sana kuliko askari

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 wabongo bana mnachunguza sana mnataka msipate tena madafu.

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 หลายเดือนก่อน +8

    Sio yeye tena hata hawafanani kwa sura pengine tumfananishe rangi tu lkn ni watu wa2 tofaut kabisa

    • @mudrikramadhani32
      @mudrikramadhani32 หลายเดือนก่อน +1

      Unashida ya macho

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน +1

      Pua pia tofaut moja ana pua nene alafu fupi mmoja pua nyembamba ndfu

    • @AbdulrahmanMwambasi-gh7bv
      @AbdulrahmanMwambasi-gh7bv หลายเดือนก่อน

      Hata sauti ni tofauti kabisa.

    • @violettemitchel6772
      @violettemitchel6772 หลายเดือนก่อน

      Nami nimeona Hilo. Pua tofauti kabisaaaa​@@MohamedAhmada-ie7ke

  • @user-sy1vv6ej1m
    @user-sy1vv6ej1m หลายเดือนก่อน +5

    Sisi tuliosoma Cuba 🇨🇺 tulishamjua tangia siku ile ndio mana mnaambiwa msizarau watu

    • @aliferuzi1537
      @aliferuzi1537 หลายเดือนก่อน

      Hata hivyo tunaoelewa nadharia tulipinge suala HILI LA kumfunua mtu majani hasa waTu nyeti KWA taifa watu kama Hawa hata ukimjua umuachie sio kumtungia, stori

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน

      Umesoma Cuba ata kumtambua mtu huwez tizama pua tu hizo ndio zitakwambia kama ni watu wa wili tafaut

  • @davidmigoha1706
    @davidmigoha1706 หลายเดือนก่อน +3

    Kama watu tofauti basi andaeni interview wote wawili wawepo I will pay

  • @ngalukomcharo9841
    @ngalukomcharo9841 หลายเดือนก่อน +10

    Ukitazama vizuri pichani siku akiuza madafu body posture inaonesha kabisa ni mtu mwenye military skills.

    • @leahdeogratius2069
      @leahdeogratius2069 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @SaidKondo-rw8wb
      @SaidKondo-rw8wb หลายเดือนก่อน

      Sana sana tu

    • @raheltimothydoday8990
      @raheltimothydoday8990 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli

    • @WakiliHaule
      @WakiliHaule หลายเดือนก่อน

      Na kipindi anahojiwa kama ulimfuatilia alipigiwa sim arafu sekunde chache likapita gari ya makomandoo wa jeshi siku ile

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 หลายเดือนก่อน +2

    Lkn hata mwandishi mambo kama HAYA sio ya kufatilia mtu aliejifunika majani usoni mnaharibu Sana ila KWA sababu SERIKALI LABDA Imenyamaz WAANDISHI mambo mengine nyeti mskone natoa story MNAKOSEA nchi

    • @HamisTerry
      @HamisTerry หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi matumizi mabaya ya habari

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyewe bana

  • @janetlazarus-kv7rg
    @janetlazarus-kv7rg หลายเดือนก่อน +29

    Sio yeye wanafanana tu hata sauti zao hazifanani wabongo bwana😂

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 หลายเดือนก่อน +2

      Hpn ni yy, rudia yl maijiano utagundua kitu, alikua anajikanyaga kwenye maswali mengine, ujue kuukataa uhalisia wk ni kz.

    • @subiransasi8029
      @subiransasi8029 หลายเดือนก่อน +1

      Sauti hiyo ni kwenye maic

    • @paulmafuru7283
      @paulmafuru7283 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo anaongea kwa ukakamavu mzee ,mwanajeshi mtaani n tofauti na kazin sauti zinakuwa mbili tofauti

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 หลายเดือนก่อน +2

      Ndio yeye %98 kama unabisha basi nawe ni mmoja wao we muuza madafu unapata wapi muda wa mazoezi 😂

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior หลายเดือนก่อน +1

      MWAMBA NI YEYE 99%

  • @user-kn8pw7vk4e
    @user-kn8pw7vk4e หลายเดือนก่อน +2

    Sio yeye 100% hamuoni ata sura ni tofauti

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 หลายเดือนก่อน +10

    Ndo mana pembeni wanacheka😂😂😂

  • @bilqisnjama1387
    @bilqisnjama1387 2 วันที่ผ่านมา

    Siyee sauti tofauti

  • @user-wb1fg1fk8o
    @user-wb1fg1fk8o หลายเดือนก่อน +1

    Kweli video nimeyiludia malanyingi niyeye mungu amutiyenguvu kwanyota yake😊

  • @exclusvetztv9011
    @exclusvetztv9011 หลายเดือนก่อน +2

    Nanukuukwa marehemu ruge mtawba : ugopa sanaa digital 😂😂😂😅😅 usiongepeee utakamatwaa tuu tuu na record hizi sio zana za miaka 10 iliyopita

  • @jakalwambemanyalla6287
    @jakalwambemanyalla6287 หลายเดือนก่อน +5

    Mpaka sauti

  • @JamilaShabani-oj9rt
    @JamilaShabani-oj9rt หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awe nanyi makomando wetu😊❤❤❤

  • @TheJackriss
    @TheJackriss หลายเดือนก่อน +1

    Wamefanana tu ila sio yeye😂😂😂

    • @AbrahBuraheze
      @AbrahBuraheze หลายเดือนก่อน

      nakubaliana na wewe

  • @lawamajohn2303
    @lawamajohn2303 หลายเดือนก่อน

    Proud of my tz ❤❤

  • @amosdesdery8482
    @amosdesdery8482 หลายเดือนก่อน +4

    Mkimpata Tena Niko paleeeee😂😂😂😂😂😂

  • @user-vl1yt4nb9o
    @user-vl1yt4nb9o หลายเดือนก่อน +4

    Achana na sura hata sauti ni ile ile ya kuuzia madafu

  • @BOB_SHEBY_NINJA
    @BOB_SHEBY_NINJA หลายเดือนก่อน +1

    Now time ajira ni ngumu mpaka COMMANDO anaamuwa kuuza madafu
    Gonga like basi mbona unapita tu 😂😂

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab หลายเดือนก่อน

    Ayo Mambo Sio Ya Kucholesha Sana Kwenye Mitandao Nazani Inatosha Wana Habari Kuchimba Ayo Mambo Angalieni Mengine

  • @user-gm1pu8zl7z
    @user-gm1pu8zl7z หลายเดือนก่อน

    Siioni sababu ya kulitangaza sana jambo hili kama la ajabu sana.
    Mbona ni kama tunajidhalilisha sana ? Na isitoshe kujifunua Kwa maadui. Atakuwa kwenye wakati mgumu sana kwenye kutekelezanmajukumu yake.

  • @dannykimoko9293
    @dannykimoko9293 หลายเดือนก่อน

    Ndio huyo huyo alieshuka na elkopta huyo ni usalama tena komando.yaani uende ukauze madafu ikulu kirahisi no ngastuka meku.

  • @umlaith5202
    @umlaith5202 หลายเดือนก่อน

    Usicheze na CCM
    Ndio ile ile....❤

  • @JustusMackenzie
    @JustusMackenzie หลายเดือนก่อน

    Well done bro I like it

  • @aikaM74
    @aikaM74 หลายเดือนก่อน

    Haya mbadilishe mbinu ya madafu tumeijua, Nikiona muuza madafu popote pale nakimbia balaa, sasa muuze pipi

  • @adamrajabu231
    @adamrajabu231 หลายเดือนก่อน +7

    MUOGOPE SANA MUNGU NA KIASI IOGOPE TECHNOLOGY 😂😂

  • @user-pv2ez1nd3h
    @user-pv2ez1nd3h หลายเดือนก่อน +2

    Ndiyeeee mbwana kabisa

  • @Safia-hg7pq
    @Safia-hg7pq หลายเดือนก่อน +5

    Ni yeye kuanzia sura na hata sauti pia ila watu inabidi wafikirie kwa sababu apo yupo kazini anatekeleza majukumu yake awezi kuongea kama anauza madafu jmn we mwenyew hauogopi tumien akili

  • @elreina
    @elreina หลายเดือนก่อน +1

    Sauti hazifanani kabisaaa hawa watu wawili tofauti

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo mbona lipowàzi kabisa maana eneo lolote la nchi lenye uongozi wa juu wa nchi au nyala za selikal watu wanaolizunguka jengo hilo asalimia 60 ni askali!! Wauza madafu machungwa fundi viatu wauza magazet wat wa tigo pesa watu wa dini waubil na maustadhi watoa dahawa wote ni askali kanzu ubadilika kutokana na mazingira.

    • @dorothmungure9393
      @dorothmungure9393 หลายเดือนก่อน

      Aisee umenifundisha kitu kikubwa sana

  • @user-ex9sd8wm4l
    @user-ex9sd8wm4l หลายเดือนก่อน +12

    Niyeye aisee ucje uka mdharau mtu ndomaana yake

    • @hellennehemia9269
      @hellennehemia9269 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 หลายเดือนก่อน

      Au ukataka kupigana na mtu njiani usiyemjua mm nashangaa wewe minazi na madafu wazaramo madafu wanauza waha😂😂😂

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio Tz ..... unaweza ukakaa au kuwa pamoja na mtu akiwa kawaida lakini kumbe ...

  • @FredMlelwa
    @FredMlelwa หลายเดือนก่อน

    Mungu ibariki Tanzania.🇹🇿🇹🇿

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 หลายเดือนก่อน

    Aliingiaje wakati ni sehemu nyeti msitudanganye bhana

  • @jamalabdillahi3575
    @jamalabdillahi3575 หลายเดือนก่อน +1

    Pia Kuna komando muuza mkaa 😂😂😂😂

  • @uqbahzahor2340
    @uqbahzahor2340 หลายเดือนก่อน

    Hageuki hata kidog niyule Yule yaaani hapa hamnambii kitu

  • @EmmaSimukoko
    @EmmaSimukoko หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉😂😂

  • @Qs3557
    @Qs3557 หลายเดือนก่อน

    Kama kwel n usalama asingekuwa Sana front kwenye matukio ya mama

  • @rassjouker1257
    @rassjouker1257 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli wamefana lakini upande wa sauti hawajafanana kabisa je anabadili sauti ili sie tusimjue or

  • @suzeynnasebastian8223
    @suzeynnasebastian8223 หลายเดือนก่อน

    Mungu ibaraki
    Tanzania ukumbusho❤❤❤❤

  • @ikrahtune
    @ikrahtune หลายเดือนก่อน

    Wew uyo jamaa wa upande wa kushoto si ndie alie kua nae kule kwenye madafu jaman jaman tuwe makin

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 หลายเดือนก่อน

    Kwa jinsi maisha yanavyotupeleka huku kitaa, huwezi kupata muda wa kufanya mazoezi. Maana mshikeshike tu wa kusaka mkate 🍞 wa kika siku ni mazoezi tosha ktk maisha haya yenye mfumo wa kibepari.

  • @user-yy6gf4my9f
    @user-yy6gf4my9f หลายเดือนก่อน +10

    Asante sana ESPERARENCE de TUNIS sisi yanga tumefurahi sana

    • @godfreydavid6996
      @godfreydavid6996 หลายเดือนก่อน

      Wamefanyaje hao ndugu zetu waarabu 😂

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi หลายเดือนก่อน

      Wamempiga adui yetu aliyetudhulumu goli huko south​@@godfreydavid6996

    • @samimalindimya6211
      @samimalindimya6211 หลายเดือนก่อน +3

      Wamempiga mtu nje ndani

    • @mlekwa
      @mlekwa หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @vibetz9991
      @vibetz9991 หลายเดือนก่อน

      Ssanaaaaaaaaa😂😂😂😂😂

  • @user-gm1pu8zl7z
    @user-gm1pu8zl7z หลายเดือนก่อน

    Ila na ninyi mngefanya kuvaa mask bhana ili kupoteza hiyo taharuki iliyoibuka nchini na kufanya kuwa ajenda Kwa Kila mmoja. Waandishi wa habari imekuwa ndiyo njia ya kujipatia viewers ! Kiusalama si sahihi.

  • @MohamedKachale-rn2gx
    @MohamedKachale-rn2gx หลายเดือนก่อน

    Saw

  • @user-ft3mb2pl7c
    @user-ft3mb2pl7c หลายเดือนก่อน +4

    Ni yeye kabisaaaaaaa!

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 หลายเดือนก่อน

    Sasa wee muone mtu anauza zake madafu alafu jichanganye.

  • @SamsonKena
    @SamsonKena หลายเดือนก่อน

    Dar anaweza mungu amri nde.

  • @jameskamau8438
    @jameskamau8438 หลายเดือนก่อน

    Mimi mkenya nko hapa kusoma kiswahili chenyu chapendeza 😊😊

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅pande gani huko James

  • @Eacko87
    @Eacko87 หลายเดือนก่อน

    Siyoo yy

  • @AbdulyMaga-ct9uy
    @AbdulyMaga-ct9uy หลายเดือนก่อน +1

    Ila watu😂😂😂😊

  • @dorotheasamwel8071
    @dorotheasamwel8071 หลายเดือนก่อน

    Hii ya kubeba mizigo huwa inarahaa. Sisi tulibeba toka kemondo hadi hadi kishanje..

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa napenda sana niwe mwanajeshi niilinde nchi Yetu Tanzania

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anatochora anataka kutufanya hatujui kitu wakati ni yeye 😂😂😂😂

  • @YajuFilms
    @YajuFilms หลายเดือนก่อน

    Now wanapambana kuthibitisha kuwa siyo yeye.
    Ila kumbuka UKIJA BILA GADI UTAPEWA ZA WASTANI

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 หลายเดือนก่อน +3

    Ni yeye banaaaa

  • @kassimtanda7321
    @kassimtanda7321 หลายเดือนก่อน +1

    Dha we jamaa muongo😂😂😂

  • @HermanNtahilaja
    @HermanNtahilaja หลายเดือนก่อน

    Jamani huyo siye yeye kwa kuwa wengine tunatoka kijiji kimoja katika wilaya yaBuhigwe. Tumwombee pengine serikali imuone imeendelezwa kwani anao kaka zake wawili wa baba mkubwa wake wote ni wanajeshi

  • @richardsembelu6359
    @richardsembelu6359 หลายเดือนก่อน

    Sura na sauti...Ndio yeyeee

  • @mussaabraham1475
    @mussaabraham1475 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @ndorobocarworks-dx4pf
    @ndorobocarworks-dx4pf หลายเดือนก่อน

    Mm nilishangaa ameweza kumshawishi mama kula madafu kumbe ni poti aisee

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack หลายเดือนก่อน

    Huwez kwenda Ikulu kirahc km co part ya jeshi Wakuruhuc raia wa kawaida,halaf baadae ukabwe utoe Siri za mazingira ya Ikulu Weee 😂😂😂😂

  • @ShelaAbasi
    @ShelaAbasi หลายเดือนก่อน

    Kama cyo yeye bc hao waandishi wakamtafute tena pale kijiweni mana kasema pale yeye ni mda mrefu

  • @user-gj9hu7fd9h
    @user-gj9hu7fd9h หลายเดือนก่อน

    Hivi vyombo vya habari vingine bwana. Ndo maana Huwa vinafungiwa mnatoa siri za nchi. Huo sio uzalendo

  • @frankjacob2216
    @frankjacob2216 หลายเดือนก่อน +2

    Ni yeyeeeee😂

  • @GazaBoy-to7jc
    @GazaBoy-to7jc หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @aikaM74
    @aikaM74 หลายเดือนก่อน

    Nani aliyekwambia apelekwe madafu, halafu ilikuwaje mama ayanunue halafu ilikuwaje kwani?