إنا لله و انا اليه راجعون. اللهم اجرنا في مصيبتنا وابدلنا خيرا منه
Innalillahi wainna ilayhi rajiun ,Allah akupe safari njema ,akujalie nuru kwenye kaburi lako
Innaalillah wainnailayhi raajiuun, Allah akupe kauli thabiti katika makazi yako, lakini nahisi wivu juu yako shekh bahati sana umeipata mashallaah
Innalillah wainailayirajighuna. Allahumahufirilahum warihamuhum waghafiywaghafughanuhum waaqrimunuzulahum waasqanafilyjanna alimaruhumu shekhe Said Nyange.
Allah akutilie nour ktk kabr lako in sha allah
Sisi ni wa Allah sw na kwake tutarejea, Allah sw amuhifadhi sheikh wetu!
INNA LILLAH WAINAA ILAYHI RAJIUN
Inna lillah wainna ilayhi rajioun
Allah ampe kaul thabit na azipokee ibada zake zote za hija, amiin
Allahumma Aamiin
Allah amridhie ibada zake na iwe ni ufunguo wa pepo yake..Ameen
Innalillah Wainna Ilayh Raajiuun
Allaah Amrehem Ampumzishe Fii'jannah pamoja Wa Islam wote Amiin
nyota..njema..huonekana
nyota njema huonekana mapema allah akbar nasi atujalie mwisho mwema🙏
Allah ampe kauli thabiti sote ni wa allah
innalillah wa inna ilaihi rajiun Allah awajaalie pepo waislamu wote waliotangulia mbele za haki nasi tuliobaki Allah atujaalie husnal hatima
innaalillaahi wainnaa ilayhiraajiuun
اللهم ثبته عند السؤال واجعل قبره روضة من رياض الجنة ولا تجعل قبره حفرة من حفر النار يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين.
Inalilah waynaillah Rajiiun. RIP shekhe wangu, Mungu akuhifadhi pahala pema peponi.
Allah akusamehe makosa yako babamkwe wangu
Inna lillahi wainna ilaihi rajioun
Ameena Inshallah
Innalillah wanna ilaihi rajioon
Mungu amsamehea zambi zakea
Innalilah wainailah. Rajuun
Innalillah wainnaileihy rajiuun
Ameen inshaallah
Inna llillahi wainna ilaihi rajioun
إنالله وإناإليه راجعون اللهم اغفرله ورحمه
Bahati iliyoje kwako kufa ktk mji mtukufu
Innalilah waina ilah rajiuna
Innalillah wainnaileihy rajiuun
Innalilah wainnailayhirajiun ni msiba mkubwa kw wazanzibar na sisi wakasikazini na waaisilam kwaujumla Allah akuweke mahalapema peponi na sis stupe khatima njema ammini
Mungu akusamehe makosa ykofs
Amiin
Ameein
M mungu ampe kauli thabit