Friedric bundala I I love your show I’m from daresalam but I live in USA I love your beautiful show I want you to know you are very good on your job big up bro
Sky nimeanza kumsikiaga kipindi icho R.F.A nilikua mtoto sana nakumbuka muda alikua anazungumza ndio exactly time tunajiandaaa kwenda kanisani namkubali till today nimeoa na nina watoto❤
Interview imebeba mafunzo makubwa . Pamoja na changamoto nyingi tunazopitia si vyema kukata tamaa, Maana ni njia ya kufikia achievement zetu . Mungu akuinue zaidi bro.
Interview imetulia mno anaeuliza yuko very professional na anaejibu yuko vizuri zaidi. TBC imeanza kuchangamka mambo ya kizee naona yameondoka. Endeleeni hivi hivi TBC, hope mmegundua vijana ndio wengi katika mitandao na mmekuja na content zinazovutia zaidi vijana. I like it, keep it up!
The man mentions his wife than anyone in the whole interview. What I learnt is..., they are friends before anything, they grew up together, They fetched the firewoods together so they are enjoying its flame ...How can you disappoint a best friend? No...Wale mnaopata wachumba kwenye maeneo yasiyo rasmi endeleeni😮
Namuombeaga Sana Sky afanikiwe Kwa kweli,uyo jamaa Yuko humble Sana, Much love brother 🇫🇮
Friedric bundala I I love your show I’m from daresalam but I live in USA I love your beautiful show I want you to know you are very good on your job big up bro
I appreciate you, bro Sky
Huyu bro Mungu azidi kumuweka Duniani AMINA
Sky much talented 💯
Sky Walker ni bonge la mtangazaji bora sana
Sky ni mstaarabu sana na hana sikendo za ajabu ajabu.James bundala boss wangu.
Nakukumbuka kila nikuona naona radio free hii hapa
Sintasahau
Sky nimeanza kumsikiaga kipindi icho R.F.A nilikua mtoto sana nakumbuka muda alikua anazungumza ndio exactly time tunajiandaaa kwenda kanisani namkubali till today nimeoa na nina watoto❤
Ana ni inspire sana huyu broo...anajua
Ile rythm yake ya RFA haijawahi kupotea 🎉🎉
Namkubari sanaaa sky ndani ya sns nomaaaa
Interview imebeba mafunzo makubwa . Pamoja na changamoto nyingi tunazopitia si vyema kukata tamaa, Maana ni njia ya kufikia achievement zetu . Mungu akuinue zaidi bro.
Interview imetulia mno anaeuliza yuko very professional na anaejibu yuko vizuri zaidi.
TBC imeanza kuchangamka mambo ya kizee naona yameondoka.
Endeleeni hivi hivi TBC, hope mmegundua vijana ndio wengi katika mitandao na mmekuja na content zinazovutia zaidi vijana.
I like it, keep it up!
Mwamba huyu hapa
Brother Sky ninakusubiria kwa hamu kwenye hicho kipindi chako cha Bullet News.❤❤❤🎉🎉🎉🎉You are so Humble bro.
Nilishaga sema kesho ya sky ni kubwa sana.
Yupo vizuri tangu RFA MWANZA
Namkubal sana mr bundala anaposoma makala zake pale sns
sky nakumbuka nyimbo zako
hasa ester
how can I get it sir
I love sky
MWAMBAA YUKO VZR SANAA FREDRICK BUNDALAA ,SABABU UYU MWAMBA TUMEMFAHAMU TOKEA AKIWA RFA ASEW MWAMBA HANA BAYAA
This man is too humble
Sky enzi za radio Victoria Musoma
👊👍✌️.
Skywizzy
The man mentions his wife than anyone in the whole interview. What I learnt is..., they are friends before anything, they grew up together, They fetched the firewoods together so they are enjoying its flame ...How can you disappoint a best friend? No...Wale mnaopata wachumba kwenye maeneo yasiyo rasmi endeleeni😮
Mama anungilie sana huyo sky ape ata mkuu WA wilaya
Sky unajua sana
Sky ni gwiji
Bundala bana unajimegea pande kama mchapakazi. Kazi zipo tu, kila mtu mchapakazi
sitasahau hiki kipindi kilikua poa sana
Hahahah haya maisha kumbe unaweza kuhoji mtu na wewe kunasiku ukahojiwa 😂😂😂😂
Kaka ulipo nipo karibu crown media
Pacha ya milard ayo
Ukipigwa vibao, vile tunavyosikia vinalia tunaita NYENZE😂😂😂😂
Ufipani
Good to work hard until your people ask who is this guy
Tbc mnazidiwa camera na skay