MCHENGERWA ATOA MAAGIZO MAZITO "SHERIA YA MAKAO MAKUU YA NCHI IHARAKISHWE HARAKA MNAJIZUNGUSHA TU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemwagiza Katibu Mkuu kwenda kufanya mapitio ili kuhakikisha sherika ya uanzishwaji wa Makao Makuu ya Nchi iharakishwe haraka kabla ya kuvunjwa kwa bunge
    ameyasema hayo katika hafla ya Utiaji saini wa Mkataba ya Ujenzi wa Soko Kuu la Majengo pamoja Ujenzi wa Kituo cha Daladala eneo la Mshikamano Kizota na Nzuguni

ความคิดเห็น • 3

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Samia kila siku yuko Magogoni😢..

  • @EmanuelMandoo
    @EmanuelMandoo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maono ya magu Samia anatelekeza

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama ni maono ni maono ya Mwalimu Nyerere na siyo Magu😂😅