🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • 🔴#LIVE: MAGUFULI Amuweka MTU KATI ALIYEKUWA Mbunge wa MKURANGA...
    RAIS Dkt John Magufuli, ameanza safari ya kurudi Dar akitokea mkoani Mtwara alipokwenda kumzika Hayati Mkapa...
    Akiwa njiani amesimama katika maeneo mbalimbali na kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero zao...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 17

  • @binbaya923
    @binbaya923 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Mh. Raisi kama kawaida kwa kazi na utawala wako mzuri. Mola ndio atakulipa yaliyo mema

  • @neemamturi3273
    @neemamturi3273 4 ปีที่แล้ว

    Huyo mbunge anaheshima na anamoyo wa kujitolea sana au kamuogopa Mheshimiwa Mungu akulinde Raisi wetu.

  • @kulwaluge1710
    @kulwaluge1710 3 ปีที่แล้ว

    Always we misss father

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbunge wa mkuranga yuko vzr

  • @menyajoseph9729
    @menyajoseph9729 4 ปีที่แล้ว

    sasa wa Tanzania muweke makalio chini macho kwenye mtandao muwone rais wanainchi aridhi ipewe wanainchi jameni watanzania mukimusahau rais magufuli kwa kwenye box ya nyinyi pia mta sahawuliwa binguni mimi nikiwa mtanzania magufuli na muchagua Mara kumi magufuli juuuuuuUUUU 100%

  • @angellamwanri8414
    @angellamwanri8414 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @arafathamis5636
    @arafathamis5636 4 ปีที่แล้ว

    huyu aliekua mbunge ni mweny heshima, anajituma, anaongea ukwel na anaonekana ni mwnye uzalendo na nchi yke wana mkuranga wamchague tna huyu kma anagombea kwa maendleo yao👏👏

  • @beatricesizya3525
    @beatricesizya3525 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkuranga oyeeee

    • @cantonaeric5338
      @cantonaeric5338 4 ปีที่แล้ว

      Mh rais Kuna mengi hapo mkuranga hayo machache kwa vile humewashutukiza wananchi fanya update mda ukatumbue watu

    • @theopeter2242
      @theopeter2242 4 ปีที่แล้ว

      Mungu akubarik baba

  • @allymwilamba1180
    @allymwilamba1180 4 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa rais,huyu DC,ni mkinga,mwenzangu naomba mhurumie asifukuzwe kaz,jamani,sanga jitahid,kuwa,mkweli,kwa mkuu,wa nchi

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 4 ปีที่แล้ว

      Natamani siku moja nionane na Rais Magufuri ,Kuna raia ananinyanyasa Sana mtu ambae anaweza kunisaidia tatizo langu Ni Mungu na Rais Magufuri,

  • @jonathankessy1908
    @jonathankessy1908 4 ปีที่แล้ว

    Pita mpaka Tambani A babaaa

  • @stellasanga1008
    @stellasanga1008 4 ปีที่แล้ว

    Sanga mwenza tetea wananchi

  • @azmiabdallaazmi5931
    @azmiabdallaazmi5931 4 ปีที่แล้ว

    Oh Mr Magufuli kazi unayo watendaji wako hawana moyo wa dhati na nchi yao

  • @ludovickmushi6214
    @ludovickmushi6214 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais wawanyonge