Niliwahi kunyimwa visa ya US kwasababu kwenye interview Mie nilikuwa naeleza umuhimu wa mimi kwenda kule badala ya kuwaaminisha kwamba lazima nirudi TZ baada ya visit yangu. Baada ya kugundua kosa hilo nikarudi ubalozi in two weeks na wakanipa VISA. Niliongeza barua ya Muajiri na barua ya chuo Coz nilikuwa nafanya Masters na huo mwaka nilikuwa na dissertation ya kudefend.
They don’t ask for any documentation these days due to corona. So this formula is not applicable anymore, may be you should educate people on how they should fill the form properly & answer key question which is why are you going to USA? This is your only goal nothing else.
sasa EBM kwa mazingira ya tz dolla 300 ni salary ya majority, naona eligibility ni ndogo sana hapo kaka, wataenda directors wenye levels za 1000 dolla huko....whats your comment?
Je huwa Kuna visa ya kwenda kufanya kazi?? Kwa mfano kazi ambazo hazihitaji Elimu ya hali ya juu, je inawezekana mimi kupewa visa? Kwa mfano mimi ni Truck driver what Can I do
Kiongozi , nina swali nauliza, kwenye hiyo interview ya kupata visa mimi ni mjasiriamali kwamaana nimejiajiri mwenyewe sina mshahara maalumu wala sina bank statement kuhusu kwenye kipengele hicho wakiniuliza kuhusu kipato changu hata nikiwajibu kwamba ni dola 1000 kwa mwezi wataniamini vipi kwa hili ? Nisaidie kunijibu
Habari, Nimekufutilia Muda Sana Nimekupata vizuri Sana Unatoa mafunzo mazuri
Niliwahi kunyimwa visa ya US kwasababu kwenye interview Mie nilikuwa naeleza umuhimu wa mimi kwenda kule badala ya kuwaaminisha kwamba lazima nirudi TZ baada ya visit yangu. Baada ya kugundua kosa hilo nikarudi ubalozi in two weeks na wakanipa VISA. Niliongeza barua ya Muajiri na barua ya chuo Coz nilikuwa nafanya Masters na huo mwaka nilikuwa na dissertation ya kudefend.
Habari yako kaka, mimi ni raia na mkazi wa Burundi. Naweza kupata mawasiliano yako nikakuhoji vitu privete...? Tafadhali !
EBM forever!!! Thanks bro🙏
Nice message
On est ensemble 5/5 🇨🇩🇨🇩
Mbona mkali bro 🤣🤣🤣🤣🤣
Nitumie no zk.
Kwa kifupi sisi masikini tusiokua hata na kiwanja hatutafika huko hata kama wanaotualika wanagharamikia kila kitu
USISEME IVO KUMBUKA WW MAISHA YAKO CHINI YA MUNGU
Shukrani sana
Ahsante Sana mkuu kwa Elimu yako
Nashukuru sana
Mungu akubariki sana bro
They don’t ask for any documentation these days due to corona. So this formula is not applicable anymore, may be you should educate people on how they should fill the form properly & answer key question which is why are you going to USA? This is your only goal nothing else.
True I was rejected was never asked about any documents for proof...
Mimi nataka kuuliza kama una mke na watoto na una evidence ya cheti cha ndoa na bank statement tu unaweza kupata visa
Hakika nilikuwa gizani ukweli umenifunguwa naomba niwemmoja wapo wakuja kupambana kutafuta maisha
Mhhh hi ngumu baba
Kaka naomba kuuliza kama naenda kufanya kazi zaviwangani? Naweza nyimwa viza?
Kama sijasoma naweza kupata viza kama sijasoma
Kaka kwema samahani naomba unitumie namba yako tuzungumze wsp
Alikupa no yake
sasa EBM kwa mazingira ya tz dolla 300 ni salary ya majority, naona eligibility ni ndogo sana hapo kaka, wataenda directors wenye levels za 1000 dolla huko....whats your comment?
Daah mchakatooo
hahaha yap mkuu
Je huwa Kuna visa ya kwenda kufanya kazi??
Kwa mfano kazi ambazo hazihitaji Elimu ya hali ya juu, je inawezekana mimi kupewa visa? Kwa mfano mimi ni Truck driver what Can I do
Naomba namba zako tafadhari za wathupp
Kiongozi , nina swali nauliza, kwenye hiyo interview ya kupata visa mimi ni mjasiriamali kwamaana nimejiajiri mwenyewe sina mshahara maalumu wala sina bank statement kuhusu kwenye kipengele hicho wakiniuliza kuhusu kipato changu hata nikiwajibu kwamba ni dola 1000 kwa mwezi wataniamini vipi kwa hili ? Nisaidie kunijibu
Hajibugi Meseji huyu Jamaaa
Una madini mengi sanaa broo
Asante kwa elimu hiyo brother
Naomba no yako nikulize kitu maana mimi hapa nahitaji kwenda kanada nataka nianze mchakato huo
On est ensemble 5/5 🇨🇩🇨🇩