Kwaio kijana wa miaka 20 naa ni ngumu kupata Visa ya USA kwasababu wengi wanaweza kukosa uthibisho wa maandishi Kuwait watarudi, kama ulivo sema uoneshe kazi au mali au familia na Kama ni vigumu (Kama ngamia kupenya katika tundu la shindano,) he tufanye ili kuwe na wepesi apo wa kupata visa?
Hello bro Niko Kenya na Niko na Mae son amejaribu mara mbili kutafta visa hajafanikiwa kupata,mara ya kwanza aliambiwa ajaribu next time na mara ya pili ilikua date 16 may 2023 akaambiwa aridi baada ya 60 days ndio karibu sinaisha naomba plzzz nisaidie anakuja kwa nyanyake Washington naomba nisaidie plzz
Hongera kwa kazi nzuri,naomba kuuliza ninapohitaji kusafiri kwenda Marekani na watoto wa kaka yangu kwa lengo la kutembea natakiwa niwe na viambatanisho gani ili kupata visa? Ikiwa wazazi wao hawaendi?
kwa majina itwa isaka kuza kwanza nashukuri sana kwa mafundiosho yako kuhusu sisi tunatafuta visa ya marekani swali langu ni hivi naomba uniheleweshe vitambulisho gani vina itjika zaidi sana ukihenda kuomba visa ya marekani unitajiye vyote kisha unihandikie hapo moja pahada ya nyingine ju mimi wa zazi wanahishi arizona naninahenda interwiew mwezi watatu tarehe 7
Nimependa maelezo Yako ,,,nashukuru sana,,Mimi naitaji kuja huko lakini Sina kazi nimemaliza shule kidato Cha nne 2020 na Nina shangazi zangu huko ,what's the right procedure
na pia kabla ujaenda interwiew unafaa kwanza kulipia tiketi ya ndege ndio uwende nayo uko embassy ama unalipa ukisha maliza interwiew naombba pia nihelewe apo
nauli hutegemeana na muda gani unanunua ticket, jimbo/mji unaoenda, msimu wa kusafiri nk...kwa USA kutokea East Africa inakuwa mara nyingi kati ya dola 1000 hadi 2000 kwenda na kurudi. Ila unaweza kupata deals hata za chini ya dola 1000
Je kwa mtu anayetaka kwenda kutembelea ndugu yake UK lakini ni mwanafunzi aliyepostphone studies until next year, akamwone ndugu yake ambaye amepata mtoto na hawajaonana kwa karibu miaka mitano na wamekuwa pamoja wakiwa wiwili tu anategemea wazazi atatumia nini kuwaconvince
Mimi naitaji namba zako ili niwe kuuliza maswali na kufahamu mengi zaidi Naomba kaka angu Nina shida kuna mtu Ana taka nitoe dollar 1000 ili nipate visa
Apa sasa ume nichaniwa kichwa mana nna mpango wakuja marekani kutafuta kazi ila nataka nije kwa njia ya matembezi nikifika nitafute kazi mana viza ya kazi ina tabu sana kama huna ofa job
sasa nikiomba kwamba unitumie mwaliko ila garama zote nita fanya pia nikifika tutakulipa juu niko na pesa za kutosha kweny akaunti yangu ya banki ila mimi kwa sasa niko naishi nairobi na mimi ni mkongomani wazazi wako hapo phoenix arizona
Sasa mkubwa wamalekani wanakuja huku hawajui kiswahili sisi bila kujuwa kingeleza tunapewa visa hapo nisaidie kwasababu mimi nafanya biashara dsm unamkuta jinana wakizungu anakuja dukan hata namna yakuuliza bei hajuwi hapo huwa wanaangaria kigezogan
Asante kaka yangu kwaushauri wako
Kazi nzuri sana , je ikiwa upo europe unaweza kuomba visitor visa ukiwa huko huko europe au n lazima urudi nyumbani ndo uombe?
Kaka shikamo nakupatia vizuri sana Mungu akubaliki sana.
Thank you brother nimekusoma sana
Unafanya vizuri sana Ebm
Asante sana kwa kazi yako unayo fanya mungu awe pamoja nawe kaka
9⁰
Asante sana kaka
Kati ya clip zote nilizo angalia wew ndonimekuelewa
Imeeleweka Sana mkuu
Kazi nzuri sana
Bomba sana
Vinzuri sana
Hello nimejaza form yote na kumaliza kila kitu but sijapewa control number ili nilipie
Daaah kikwete itsa big father daah yaaani kenya wanakimbiza Fursa tu mwendazake sijui alikuaje kwenye Diplomasia aiseee eti mabeberu.
Kwaio kijana wa miaka 20 naa ni ngumu kupata Visa ya USA kwasababu wengi wanaweza kukosa uthibisho wa maandishi Kuwait watarudi, kama ulivo sema uoneshe kazi au mali au familia na Kama ni vigumu (Kama ngamia kupenya katika tundu la shindano,) he tufanye ili kuwe na wepesi apo wa kupata visa?
Hello bro Niko Kenya na Niko na Mae son amejaribu mara mbili kutafta visa hajafanikiwa kupata,mara ya kwanza aliambiwa ajaribu next time na mara ya pili ilikua date 16 may 2023 akaambiwa aridi baada ya 60 days ndio karibu sinaisha naomba plzzz nisaidie anakuja kwa nyanyake Washington naomba nisaidie plzz
Hongera kwa kazi nzuri,naomba kuuliza ninapohitaji kusafiri kwenda Marekani na watoto wa kaka yangu kwa lengo la kutembea natakiwa niwe na viambatanisho gani ili kupata visa? Ikiwa wazazi wao hawaendi?
Nikihenda embassy naweza henda nava ring kweny mukono wakati nimefanya hakusi ama inakataza
Haaah 🤣 😄😂😂😂 ulaya na marekani tutapasikiaga tu 🤣🤣😁
😂😂😂😂 yaaan nimeangalia video hadi nimeogopa nina25 yrs na nilikuwa na plan za kwenda uko ila hayo mashart duh😂😂😂
na pia kuna hela inahitajika kwenda nayo kwenye interwiew ju ya kulipo visa
Ndiyo
natamani kutembelea marekani.
kwa majina itwa isaka kuza kwanza nashukuri sana kwa mafundiosho yako kuhusu sisi tunatafuta visa ya marekani swali langu ni hivi naomba uniheleweshe vitambulisho gani vina itjika zaidi sana ukihenda kuomba visa ya marekani unitajiye vyote kisha unihandikie hapo moja pahada ya nyingine ju mimi wa zazi wanahishi arizona naninahenda interwiew mwezi watatu tarehe 7
hii document pia hinahitajika hinaitwa ds 160 pia ni muhimu
Hujambo! Ernest .Nilijaribu Nairobi kwa mara ya kwanza na nikakufa moyo
Pole saana
Tutumie link ya gren card lottery
NIMEJIFUNZA KITU UKITAKA KUPATA VIZA YA MAREKANI. JIPANGE
UWENA MADOKIMENTI YAKO VIZURU USIKURUPUKE. .UTAPATA VIZA MAPEMA SANA
Nices broo
Kaka makulilo je ni rahisi mimi nikija kutembea huko ninaweza kupata kibali cha kufanya kazi kabla ya kurudi Tz?
❤❤❤
samahan father kama hujui english
Kama auna ela kati account Yako Mimi nilie alikwa itakuwaje na Sina viwanja ila Nina mtoto wa miaka 7 je itasaidia
Naomba kuuliza mtu ambaye amegimbea UBUNGE na sifa zote alikizi lakini akushida awezi tumia Docmets izo kupata Visa ki laisi.
Kaka nakutafuta sana
Kaka shikamoo
Account unatakiwa uwe na pesa kiasi gani
Mi nimekuelewa kabisa kaka Sasa endapo visa yako imekwisha,ukiomba overstay na ukiomba kuongeza muda inakuaje?
Je kma nakuja kutafta maisha mimi kama mm na nataka nifate sheria zote
Hey mi nataka kuja marekani unanisaidiaje brother
Bro ningeomba uzumzie kuhusu mahusiano kuhusu kuhowa marekani faida zake na hasara zake
Utampata nani Kirahisi??
Je kama hujui English utawezaje kufanyiwa Interview Ubalozi wa Marekani?.Naomba jibu Kaka.
Ubalozi unaongea lugha yako unayoweza kuongea sio lazima kingereza
@@For_the_gram Ahsante sana Kaka
Uwe na kiasi gani bank
Mi nataka kujua ni vp naweza kupata viza kw embassy wakati nimetumiwa working permit papers yangu ya miaka 2
Bei ya visa
Asant kaka kwa maelekezo mazuri.sasa naomba mimi unitumie mwaliko nije kutembea.lakini sitozamia ntarudi nyumbani Tanzania
Hahaha
nipe namba ya kwako
Cowpia visa kaks
Nauli ni shilingi ngapi
Brother mimi mke wangu anahishi umarekani sasa nitafanyaje ili nipate visa ya USA 🇺🇸
Yani mke wako anaishi marekani, harafu hawezi kukusaidia,😂 had uje kuomba huku msaada ,
Ongea na mkeo vizuri kaka kuna kitu hakipo sawa hapo.
@@ignasiissaya1718😅😅😅
Nimependa maelezo Yako ,,,nashukuru sana,,Mimi naitaji kuja huko lakini Sina kazi nimemaliza shule kidato Cha nne 2020 na Nina shangazi zangu huko ,what's the right procedure
Umefanikiwa kupata nafasi ya kwenda ulaya
Waambie wakuarike kama rafiki
SAFI BRATH
na pia kabla ujaenda interwiew unafaa kwanza kulipia tiketi ya ndege ndio uwende nayo uko embassy ama unalipa ukisha maliza interwiew naombba pia nihelewe apo
Tusaidie
Je kwa Mimi nitafanya nini ili nifike marekani
Kaka visa ya USA mwisho huwa inakuruhusu kukaa kW mda gn
Mwaka
Makulilo vipi kuhusu visa ya masomo
Unaweza kuomba viza ya miazi miwili
Ndiyo hata wiki 1
Kaka Kama Hujuwi Kingereza inawezekana Kuomba visa ??
Inawezekana kama una ndugu anakuarika
unyama mwingi chief, tunashukuru kwa madini yako. hope tutafanikiwa kuvuka mpaka wa visa
Pole saana
❤❤❤😂poooooooooo😢
mimi naomba unipee invitation letter ya matembezi
Nauli shilingi ngap ticket ya ndege
Naomba namba zako plz Daddy nataka kuja marekani
Me natakutaka uniasaidie
Kaka mimi naitaji unidhamini nataka kuja kutembea
Oya ernest nitumie invitational letter, nataka nije marekani kutembea kwa mwezi mmoja
Mfuate in box
Kaka nauli naomba kujua
nauli hutegemeana na muda gani unanunua ticket, jimbo/mji unaoenda, msimu wa kusafiri nk...kwa USA kutokea East Africa inakuwa mara nyingi kati ya dola 1000 hadi 2000 kwenda na kurudi. Ila unaweza kupata deals hata za chini ya dola 1000
Je kwa mtu anayetaka kwenda kutembelea ndugu yake UK lakini ni mwanafunzi aliyepostphone studies until next year, akamwone ndugu yake ambaye amepata mtoto na hawajaonana kwa karibu miaka mitano na wamekuwa pamoja wakiwa wiwili tu anategemea wazazi atatumia nini kuwaconvince
Wale ndugu wamuarike ni Rahisi
Mimi naitaji namba zako ili niwe kuuliza maswali na kufahamu mengi zaidi Naomba kaka angu Nina shida kuna mtu Ana taka nitoe dollar 1000 ili nipate visa
Muongo
Hata mimi wameniambia ni maagent wanaoshuhulikia visa
🇹🇿
Kaka garama shingapi kufka marekani
Haparayaco veza maksla
Sasa naomba kujua kwasasa wanatoa visa? Nategemea kuja may to Juni
Lkn application visa na Anza Sasa hivi
Kwa sasa labda uende Calfonia summer time Dysney Land
MIMI NI MTZ NINA 40 MIAKA NI TRUCK DRIVER NAITAJI MWONGOZO WA KUFANYA KAZI AMERICA
Je kama unataka kuja kutafuta maisha huko inakuaje prosesi zake
Kama unaenda kumtembelea mpemzi wako kutakuwa na vizuizi gani
Naomba namba yako kak yangu
niko ndani kutoka Kenya-Nairobi
Nabaomba number ya WhatsApp prz tunagushukulu kwa ushawuli ambao munatupa kira sikuu
Apa sasa ume nichaniwa kichwa mana nna mpango wakuja marekani kutafuta kazi ila nataka nije kwa njia ya matembezi nikifika nitafute kazi mana viza ya kazi ina tabu sana kama huna ofa job
Wazo zuri
Jamani kwani hiyo invitation later mimpaka serekali yaulaya ikubali ao mnatumiana nyie kwa nyie ao VIP,?
Kaka nifanyie Mipango nije uko
Sasa kaka kama nataka kuja kutembea mwenyewe na kuja kumtembelea mtu je galama zake inakuwaje
Mfano mm ni mwana funzi nime alikwa na mama united state kumtembelea nita prove asset gn zaku nifanya ni rudi kwenye nchi yngu
vipi maswali kama hujui kiingeleza inakuaje
sasa nikiomba kwamba unitumie mwaliko ila garama zote nita fanya pia nikifika tutakulipa juu niko na pesa za kutosha kweny akaunti yangu ya banki ila mimi kwa sasa niko naishi nairobi na mimi ni mkongomani wazazi wako hapo phoenix arizona
Nataman kujakutembea huko
Weka namba yako ya simu
Naitajikuja uko USA Ni barua ya mwaliko tsyari
Me nataka jaman niliomba nikakosa
Jekwamtu ambae hajasoma kuja marekana
Niomba number yako simu
Tutakutana kiyama wote tukiwa uchi (wazungu vs waafrika
Sasa mkubwa wamalekani wanakuja huku hawajui kiswahili sisi bila kujuwa kingeleza tunapewa visa hapo nisaidie kwasababu mimi nafanya biashara dsm unamkuta jinana wakizungu anakuja dukan hata namna yakuuliza bei hajuwi hapo huwa wanaangaria kigezogan
Unaweza usihofu
TUPE MAELEKEZO KUPATA VISA YA TOURIST YA CANADA
.
Njia rahisi ya kupata ukaazi wa kudumu Canada.
th-cam.com/video/EpfaRSIzyhQ/w-d-xo.html
Ndugu zangu naombeni mnisaidie niweze kupata nafasi ya kuja Canada help me please.
Hahah degree alafu unabet kazi huna!
nauli ya kuja marekani ni kama sh gapi
Million 2 na laki 2 TS shiling kwa dollar shiling ni 1000 apo kwenda
Kwaiyo kwenda na kuludi ni milioni 5 tuseme .kumbe ukiwa na milioni 20 unaenjoy marekani
Makin broo naomba unichek WhatsApp number hii 0754247878 na ishu ya private nataka nikuulize sory
Kuwa makin wasikutapeli watu kujiita ebm
Tutakutana kiyama wote tukiwa uchi (wazungu vs waafrika