ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Asante mr kelvin nmepata kujua nkitaka kwenda china natakiwa niwe na pesa kubwq
Shukran sana
hiži 2.5M-3M ni dolla ama ni Tsh.?
Naomba nijuwe shirika la ndege gani ambalo Lina bei nafuu.Pia viza Kwa mwanafunzi anaeenda kimasomo
2.5M-3M Usafiri ni total go and return amount or ni go or return peke yake?
hio 2.5 -3m kwa maana ya dolla ama Tsh?
Naweza kupata no yako kwamaelezo zaidi?
Mungu akubariki sana,maana nilishapigwa
Jipange upya
Habari. Naomba kujua garama za kupata visa zina range bei gani
Natamani sana kujua kuhusu hela inatakiwa usafiri na dollar au unafanyaje samahani naomba kujua zaidi hapo
Naomba kujuwa napataje viza nagharama ya viza nikiasi gani naomba naomba muongozo
Kaka naomba unipe maelekezo ya kupata Visa
Vipi kuhusu upatikanaji wa visa ni rahisi kupata kaka au unachukua muda ukiomba?
Ni siku 2 tu
Kwani passport zinapatikana wapi Kwa kuanza
Nenda ofisi yoyote ya uhamiaji utapata maelekezo
kaka bonanza inauzwaje china
Sawa mfano nauli ninayo,kwenda china naweza Anza na mtaji wa Bei gani kima Cha chini?
Mtaji inategemea na kitu unachoendaa kununua. Mtaji wa Underwear ni towauti na anayeenda kununua Mafridge
Mimi naomba nijue kwa mfano ndo nimejianda kwenda china wasitani Ili nisteseke niwe na mtaji kiasi gani kaka naomba ufafanuzi
Unasafili ,Galama
USAFIRI WA KWENDA CHINA NI 2,500,000 HADI 3,000,000
Acha uogo mbuz mkubwa
Niliambiwa na rafiki yangu lazma uwe na pesa milion 30 kwa account
Kupata Visa kuna vitu vinaangaliwa na hicho ni kigezo kimojawapo
Natamani kupata connection ya masoko mfano wewe umeenda kule unajua nikitaka hiki napata wapi
Ndioo
Na kupata wauzaji sahihi
Yees wauzaji ni muhimu✍️
Asante mr kelvin nmepata kujua nkitaka kwenda china natakiwa niwe na pesa kubwq
Shukran sana
hiži 2.5M-3M ni dolla ama ni Tsh.?
Naomba nijuwe shirika la ndege gani ambalo Lina bei nafuu.
Pia viza Kwa mwanafunzi anaeenda kimasomo