Katika Viumbe Vyote, Barabara 13 - Neno la Bwana Lililomjia Yona

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2012
  • Neno la Bwana Lililomjia Yona likisema: " Ondoka, Uende Ninawi mji ule mkubwa ukapige kelele kwa maana uovu wake umetanda juu mbele za mungu." lakini Yona akaondoka kwenda Tarshishi
  • เพลง

ความคิดเห็น • 85

  • @MiragorethLaswai
    @MiragorethLaswai 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nikisikia tuu vyombo napata kupona kweli waliimba kwa ustadi huku roho mtakatifu akiwatumia ameen

  • @ambrosewalimbwa3796
    @ambrosewalimbwa3796 2 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo hizi zina ujumbe wa kubariki na mafunzo ajabu ya Roho. Sifa ni kwa Mungu aliyewapa hawa ndugu na dada kipawa mashuhuri cha uwimbaji. Mbarikiwe sana. Mungu azidi kuwatumia.

  • @dicksonakyoo8222
    @dicksonakyoo8222 9 หลายเดือนก่อน

    Sijui kama mmefatilia hvyo vyombo vizuri vinavyopigwa,,Hawa watu waliujua sana muziki, MUNGU awape umri mrefu Kwa wale ambao bado wapo hai na Kwa wale ambao wameshatangulia mbele za haki MUNGU akawape pumziko la milele,nawapenda mno ulyankulu choir,nataman nijue japo mmoja wao anapopatikana niende nikamuone nitoe na sadaka yangu🙏🙏🙏

  • @lamecklameck8921
    @lamecklameck8921 4 ปีที่แล้ว +4

    Hakka mungu aliwatumia ktk hak yote ujumbe mwema mavaz yaliyo tukuka wala akuna kuluka luka km ngwasuma za leo. Amen

  • @medionindagijimana9020
    @medionindagijimana9020 5 ปีที่แล้ว +4

    Hakika MUNGU Awabariki sana waimbaji nyimbo zenu nifundisho kwawatu wote wenye mwili

    • @daimonyohana1906
      @daimonyohana1906 4 ปีที่แล้ว

      Ila kwakwel zamani kulikuwa na vpaji halisi kutoka kwa mungu ebu sikiliza ujumbe pia kasome biblia ndipo utagundua hawa walimu walikuwa wanaongozwa na mungu mbarikiwe sana watumishi wa mungu

  • @francisfelician3527
    @francisfelician3527 7 ปีที่แล้ว +5

    jamani hadi raha old is GOLD aisee h
    izo nyimbo ujumbe twaupata sana mbarikiwe sana popote mlipo jamani hizo sauti zimenyooka tofauti na sasa watu wapata ujumbe wa dancing too

  • @tonnyford5782
    @tonnyford5782 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda had naumwa,kwel mungu aliwapa kibar Cha kumwimbia

  • @simonkabuchojudiciary
    @simonkabuchojudiciary 5 หลายเดือนก่อน +1

    My Favorite till now. Ulyankulu Choir. Mungu awapende zaidi na awape Maisha marefu

  • @boymosiagi4071
    @boymosiagi4071 5 ปีที่แล้ว +8

    Nice songs from our brothers TZ keep it up and have a blessed time.

  • @petergatuna1316
    @petergatuna1316 5 ปีที่แล้ว +5

    huu wimbo uko na ujumbe wa kipekee na wanikumbusha nikiwa mdogo jumapili asubuhi nikijitayarisha kwenda kanisani.

  • @InnocentKisangaTZ
    @InnocentKisangaTZ 7 ปีที่แล้ว +11

    Those days I was doing my Sunday School. I really miss this kind of Gospel ministry. Bless and Love.

  • @franklinathuman1363
    @franklinathuman1363 4 ปีที่แล้ว +3

    Viva saaaaaaana Kwa Viumbe Choir

  • @birorialex
    @birorialex 7 ปีที่แล้ว +7

    aksante kabisa MUNGU awajaliye ninyi na uzao wenu wote
    huku rwanda nasi twamusifu mungu

  • @bonifacembilinyi5576
    @bonifacembilinyi5576 5 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri ulyankulu nawapenda sana na albamu zao zote , Wapiga gitaa mko vizuri sana . Mungu awabariki Sana.

  • @user-fq7rs5yd8k
    @user-fq7rs5yd8k 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awakum uke. Na awabariki pamoja na kizazi chao. Jameni.

  • @ChrisperMalamshacrispaseve
    @ChrisperMalamshacrispaseve 4 ปีที่แล้ว +4

    Wakati huo injili ilikuwa inaimbwa kwa heshima ya hali ya juu, kiasi cha kufanya hata wale wasiosoma biblia wanaweza kupata neno kupitia kwaya lakini sikuhizi waganga njaa wameharibu kilakitu kwaajili ya pesa.

  • @Jean-ki6gl
    @Jean-ki6gl 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa waimbaji mungu aliwajalia kilakitu..kwaajili ya kuwafikishia watu ujumbe.

  • @moseskapyuku114
    @moseskapyuku114 3 ปีที่แล้ว

    Mungu anawaona ninyi wajumbe wa shetan mnaodislike nyimbo hizii

  • @dicksonakyoo8222
    @dicksonakyoo8222 8 หลายเดือนก่อน

    Sema Yona nae huyu mwamba alikua jeuri sana

  • @JosephatKisimbi
    @JosephatKisimbi 24 วันที่ผ่านมา

    Imagine for those many years lakini zabariki ajabu.Mungu awabariki walipo

  • @rehemaa597
    @rehemaa597 4 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ndio nyimbo za dini sio za sasa stail zimechanganyikana na nyimbo za kidunia

  • @methodnishimwe6044
    @methodnishimwe6044 8 ปีที่แล้ว +3

    God bless our singers and give them a long time to life in the live to them. [AMEN]

  • @danadon6782
    @danadon6782 5 หลายเดือนก่อน

    Wakamkamataaaaaa na kumtupaaaa ❤❤ jan 2024

  • @pamelaowino3317
    @pamelaowino3317 ปีที่แล้ว +1

    This Great Team is really Blessed by Its Great God...
    Glory be to God.

  • @khadijajacobo627
    @khadijajacobo627 ปีที่แล้ว

    Wamama walkua wakiimba wamejistiri sana

  • @davidobeyo4538
    @davidobeyo4538 ปีที่แล้ว

    Ujumbe kamili kutoka kwa Bwana

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 2 ปีที่แล้ว +2

    2022 still on 🔥🔥🔥🔥

  • @deomwanicheta553
    @deomwanicheta553 3 ปีที่แล้ว +2

    Nani nipo nae 2021

  • @ChrisperMalamshacrispaseve
    @ChrisperMalamshacrispaseve 4 ปีที่แล้ว +3

    It reminds me of those good old days when god was worshiped with high respect and reverence. Tunabarikiwa tena 2020!

  • @godfreysanziki1461
    @godfreysanziki1461 หลายเดือนก่อน

    Mungu awatunze🙏

  • @dicksonakyoo8222
    @dicksonakyoo8222 8 หลายเดือนก่อน

    Sema Yona alikua jeuri sana

  • @rehemaa597
    @rehemaa597 4 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo za dini za cku hizi majanga ukisema hutaki kumckia daimond ikienda kanisanini unakuta kwaya inadanc kama mond

  • @emmanuelraymondsalema3110
    @emmanuelraymondsalema3110 8 ปีที่แล้ว +2

    kumsikiliza Mungu ni muhimu sana

  • @meshackkwigize9848
    @meshackkwigize9848 4 ปีที่แล้ว +1

    INJILI KWA NJIA YA UIMBAJI ULIISHIA HAPO, CKU HIZI NI ndombolo

  • @mamanbella5460
    @mamanbella5460 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana m'nanibatiki m'no,namungu azidi kuwabariki popote m'lipo,sio nyimbo zaleo watu wanakata miuno utafikiri wapo sokoni kujiuza

  • @dicksonakyoo8222
    @dicksonakyoo8222 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ondokaaa,uendeee,ninawi mji ule mkubwaaaa,ukapige kelele kwamanaa uovu umepanda juu mbele zangu🙏🙏😭

  • @ombatiSarah
    @ombatiSarah 2 หลายเดือนก่อน

    Hats sauti zao pia zinapendeza

  • @philesnyimbozaozikonaupako3620
    @philesnyimbozaozikonaupako3620 7 ปีที่แล้ว +7

    ziko na upakp ameni kutoka kenya

  • @tricycharly
    @tricycharly 4 ปีที่แล้ว +3

    2019 ❤️❤️❤️

  • @eliewahanoah204
    @eliewahanoah204 4 ปีที่แล้ว

    Namuomba sana Mungu azidi kunipa uzima siku moja nitawatembelea waimbaji hawa , Mungu awaweke hai pia ili hata niweze kuwaona baadhi yao kama itakavyompendeza Mungu wa Mbinguni.. Wabarikiwe sana na Mungu kwa injili yao inavyonigusa na kuwagusa wengine. Aaaammmmeeeeennnn

  • @lydiahomandi354
    @lydiahomandi354 6 ปีที่แล้ว +2

    Wow watching this in 2018

  • @simonshija2476
    @simonshija2476 2 ปีที่แล้ว +1

    ukiweza pata album ya Nzega town choir (amka usinziae) na Maluamo ( Enyi mataifa yote) tafadhali ziweke nazo!!

  • @angelinemutua3634
    @angelinemutua3634 8 หลายเดือนก่อน

    nyimbo Zuri xana.....❤ so inspiring ..nazipenda

  • @khadijajacobo627
    @khadijajacobo627 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zenye uvuvio wa roho mtakatifu

  • @daudimollel5785
    @daudimollel5785 8 ปีที่แล้ว +4

    Tanzanian

    • @fredozz6760
      @fredozz6760 3 ปีที่แล้ว

      They actually burundians refuges

  • @RisperBosibori-uf2uw
    @RisperBosibori-uf2uw 10 หลายเดือนก่อน

    Nice song indeed ❤

  • @annahayoyi4012
    @annahayoyi4012 7 ปีที่แล้ว +2

    ujumbe naupokea...napenda sauti nyororo, pia mavazi,sio kama ya wenye kujiita eti digital

    • @johnbuya965
      @johnbuya965 2 ปีที่แล้ว

      Safi sana kwa nyimbo nzuri

  • @linanoella4641
    @linanoella4641 3 ปีที่แล้ว +1

    These are beautiful memories

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 7 ปีที่แล้ว +4

    Zama hizo za injili tulikuwa tukiziimba kwa nidhamu siyo leo

  • @user-eg8hk6ng4b
    @user-eg8hk6ng4b 4 หลายเดือนก่อน

    Injili kwenye Ubora wake

  • @ezraaldin6061
    @ezraaldin6061 8 ปีที่แล้ว +1

    Big up,nice songs

  • @hfufghvbvbv7905
    @hfufghvbvbv7905 8 ปีที่แล้ว +1

    Tamu sana na mafunzo

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 ปีที่แล้ว

    Beautiful servants of God

  • @CarrenCheptoo-jk1xp
    @CarrenCheptoo-jk1xp 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @alexandranduwayo4305
    @alexandranduwayo4305 2 ปีที่แล้ว

    These songs no number one.

  • @emmanuelraymondsalema909
    @emmanuelraymondsalema909 6 หลายเดือนก่อน

    Remind me years ago

  • @otienoowino3830
    @otienoowino3830 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +1

    Mie hata sichoki hata kama sioni wanavyoimba

  • @jameschengwali1051
    @jameschengwali1051 ปีที่แล้ว

    Wakati ambao injili ilikuwa injili

  • @nicholauscharles6674
    @nicholauscharles6674 2 ปีที่แล้ว

    September 2021 still watching mbarikiwe sasa

  • @Acts17.2Apologetics
    @Acts17.2Apologetics 11 ปีที่แล้ว +1

    love it

  • @kingherry351
    @kingherry351 3 ปีที่แล้ว

    2020 whos here

  • @fatumadarabu7379
    @fatumadarabu7379 6 ปีที่แล้ว +1

    amina

  • @jobsila8356
    @jobsila8356 3 ปีที่แล้ว

    In God we trust fully

  • @samsonstephano6747
    @samsonstephano6747 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu awabariki kwaujumbe wenu

    • @fanuelopisa7988
      @fanuelopisa7988 4 ปีที่แล้ว

      Sijui Kama waimbaji wa Leo wanaziona na kuskia nyimbo izi.

    • @mimimanirakiza6478
      @mimimanirakiza6478 3 ปีที่แล้ว +1

      Safi Sana naomba hata namba za simu za moja wao kamazipo

  • @daudipaulghuliku2413
    @daudipaulghuliku2413 2 ปีที่แล้ว +1

    It was when I am studying at ifunda school

  • @gwamakamwakyambiki3963
    @gwamakamwakyambiki3963 10 ปีที่แล้ว +1

    ndio!

  • @bernardjosephmulokozi3901
    @bernardjosephmulokozi3901 ปีที่แล้ว

    Sikiliza namna hadi vyombo vilivyokuwa vikimtukuza Mungu 4:00

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 3 ปีที่แล้ว

    😍

  • @user-fq7rs5yd8k
    @user-fq7rs5yd8k 3 หลายเดือนก่อน

    Tutapata wapi waimbi Kama Hawa wapi jameni
    Na wacheza vyombo waocheza kwa usitadi hivi ?

  • @ClementManirabona-eg6yd
    @ClementManirabona-eg6yd 6 หลายเดือนก่อน

    Bit

  • @dicksonakyoo8222
    @dicksonakyoo8222 9 หลายเดือนก่อน +4

    Sijui kama mmefatilia hvyo vyombo vizuri vinavyopigwa,,Hawa watu waliujua sana muziki, MUNGU awape umri mrefu Kwa wale ambao bado wapo hai na Kwa wale ambao wameshatangulia mbele za haki MUNGU akawape pumziko la milele,nawapenda mno ulyankulu choir,nataman nijue japo mmoja wao anapopatikana niende nikamuone nitoe na sadaka yangu🙏🙏🙏

    • @laurenciaelias3978
      @laurenciaelias3978 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa

    • @charleslyuki691
      @charleslyuki691 4 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo anae piga gita yupo anaishi barabara ya 13 ulyankulu Tabora ( makazi ya wakimbizi wa Burudi )
      Hao walikua wakimbizi wa kutoka burundi kabla kipewa uraia na alie kua rais wa awamu ya nne Kikwete .

    • @MiragorethLaswai
      @MiragorethLaswai 3 หลายเดือนก่อน

      Hata mm napenda kuonana nao sana

    • @angelalema4804
      @angelalema4804 20 วันที่ผ่านมา

      Mnopend kuonana na Ulyankulu tujuane tutafte namna tukawaon