*Maneno ya Wimbo* *Aya ya kwanza* Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe Kwa maana sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu Hapo atakapokuja mwana wa mungu *Koro* Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, Na kila mtu atatoa habari zake Mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja *Aya ya Pili* Mbona twawahukumu ndugu zetu natusihukumiane Kama ndugu akikasirika tumrejeshe kwa upole Tuchukuliane mizigo kwa upendo *Koro* Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe Na kila mtu atatoa habari zake Mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja *Aya ya tatu* Kila mtu ataipokea dhawabu yake mwenyewe Tutalipwa tulivyotaabika ukijiona wajidanganya Mtu aipime kazi yake mwenyewe *Koro* Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe Na kila mtu atatoa habari zake Mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
Niliskiliza huu wimbo nikiwa mtoto na sasa ni mama.
Mungu awabariki
Nimeanza kusikia huu wimbo nikiwa under 10 yet now im 31 na bado nausikiliza God bless the choir who sang 🙏
I can see bicycle and hear that kila Mtu atachuka Mzigo wake mwenyewe
Old is gold- they don’t make songs like this anymore
Kabisa yaani
Ujumbe mzito kweli 🔥🔥
Napoisikia hii nyimbo inanipa amani ya moyo❤❤
Kwa sababu ya roho mtakatifu
This song evokes memories and makes me quite emotional 😢
Tuishi tukiwa na imani pamoja na upendo ❤❤❤❤❤
Great. Nakumbuka Mama alikuwa na cassette ya hii kwaya. Alikuwa anapenda sana kuuimba wakati tukiwa wadogo.
😢
Nashukuru Mungu sana,kwa nyimbo,zinazo kuwa,unyenyekevu,mbere za wokovu
Nirisikia wimbo hu bado mutoto saivi ninawatto4mubarikiw sana utamuwawimbohu raza haipunguw mungu atusameh
My favorite song mather ❤❤❤❤
L😊
sichoki kusikiliza huu wimbo Mungu awabariki sana waimbaji
I started listening this song nikiwa na radio ya mawe moja it's over 30 yrs now
Sijui kwa nini nikiisikiza hi nyimbo nahisi kulia😢😢
That feeling testifies that the song is anointed by the Holy Spirit of God.
It inspires soul searching
Ni wakati wa kumrejea Mungu, Mungu anasema na wewe.
Wimbo huu hunimaliza kabisaa😢😢
Ni tone yake. Ni ya huruma sana
Huu wimbo n mzuli unasema ukweli
Nzuri sana
Nimekubari
nyimbo zenye ujumbe muzito
Kabisa kabisa
Wimbo unaujumbe mzuri sana mbarikiwe san❤
This song reminds me the painful demise of my paternal grand mother way back in 2004. I have never forgotten it till to date.
Good music good friends.. back in days
Makes me remember my late Uncles...
Thank your Excellency Sir Dr William Samoei Arap Ruto,kumbe hakuna Mwamba
Naupnda huu wmbo
Mum continue to RIP...😢😭😭😭 the song reminds me alot
This song remains my favourite. I knew it through Waweru Mburu
May his soul continue rip
Very true this were songs ministering to the heart & mind
Wimbo nzuri sana mbarikiwe watu wa Mungu
Ipo siku mambo itakua real hapa😢
Nyimbo nzuri xana zenye ujumbe mzito
Arero AI watching and listening
Mungu nilehemu😢😢
Mungu atusamehe mara saba sabini😢
Kila Mtu atoa habari zake mwenyewe
Kila Mtu aipime kazi yake mwenyewe
Waliizo ziimba kitambo kile sio hawa, lakini sawa sauti zao zipo.
His Excellency Dr William Samoei Arap Ruto President of the Republic of Kenya, trying his level best that No one is left behind
The Soul from all over the world watching and listening , as the Ps position.... what went wrong?
Amen. Siku hio iko karibu
Hizi nyimbo zinaimalisha misuri ya imani
Naupenda sana huuu mwimbo
Ni kwa sababu watu wengi uliokuwa nao karibu, wakati wimbo huu unatamba sana, kwa sasa hatunao tena.
This song is make me to crying
This song reminds me of my late grandmother Mary AOL Oguwi(daughter to the late Joseph Iro of Gem Rae)RIP nyanyangu mpendwa
God is Love
Ninapenda sana this tune
Wimbo wa kitambo sana nikiwa mdpgo,very good song.
Huu wimbo mahubiri tosha
ASANTE sana MUNGU wangu. ❤😊❤ wow today wimbo bado wanjenga kabisa.
Hallelujah, this song makes me feel that there's judgement day, I respect Tanzania 🇹🇿
Wimbo wa kitambo Sana na sasa mi ni mzee
Huu wimbo unanigusa sana moyo wangu, kweli una ujumbe wa maana sana.
My grandfather favorite song 🎵
Mungu atusaindie kuhesabu siku zetu na kutengeneza njia zetu kabla ya siku mbaya hajaja
Amen 🙏 barikiwa kila mtu ataujukua mzigo wake
Huyu babu mpiga gitaa mungu azidi kumtunza kwakweli
2025..such a good song
Zamani zetu wakati ukristo ulheshiika❤
Barikiweni sana mmenifundisha kitu
Give thanks Mantosh ,God above all.
natamani kupata nyimbo hizo nitpataje naomba msaada wenu
ingia kwenye file linaitwa Vidmate..then search nyimbo za za injili za zamani...utaletewa karibia zooooteeee
The best song ever
Amina, Tunashukuru kwa kutuunga mkono.
GOD BLESS YOU SO MUCH.... THAT IS EXACTLY WHAT HAPPENA WHEN YOU DIE...THAT WAS A REVELATION INDEED
The true gospel song. This will never be old, from generation to generation it shall be an anthem
Mungu awabariki
Nyimbo zilizofanya tumpende mungu
*Maneno ya Wimbo*
*Aya ya kwanza*
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Kwa maana sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu
Hapo atakapokuja mwana wa mungu
*Koro*
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe,
Na kila mtu atatoa habari zake
Mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
*Aya ya Pili*
Mbona twawahukumu ndugu zetu natusihukumiane
Kama ndugu akikasirika tumrejeshe kwa upole
Tuchukuliane mizigo kwa upendo
*Koro*
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Na kila mtu atatoa habari zake
Mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
*Aya ya tatu*
Kila mtu ataipokea dhawabu yake mwenyewe
Tutalipwa tulivyotaabika ukijiona wajidanganya
Mtu aipime kazi yake mwenyewe
*Koro*
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Na kila mtu atatoa habari zake
Mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
Good 👍👍👍
Inajenga Imani sana
A good song reminds me so many things, this world is useless
Asanteni kkkt mimi nimeukubali
Oh Lord my Lagage is too heavy for me to carry, I pray you lighten it.
Thank you Lord God, you have eased my Largage.
@@DavidMugabiGLORY TO JESUS
Amiina Mungu
Hii nyimbo ina miaka zaidi ya 50, tungo ya maana kabisa,
Very well organised, very humble in praising God,makes me keep repenting all my shortcomings from one time to the other,,,barikiweni Sana
I really love this song
Glory to God
No longer 40 days for the thiefs,liers and the corrupt
Oh Jesus help the church that when the time comes we shall be ready with no spot
I used to listen to this song back in 1988
ni kweli kila mtu atauchukua mzigo mwenyewe
Amen. Each of us will stand before the Almighty , kilamtu
Solomon perez from 5p.
Unikumbusha mbaaali.
Each of as an individual will stand before the throne of God to give an account of his /her did in this world!God bless brothreness for that reminder!
Hii song inanikumbusha mwalimu wa math alikuwa anaipenda sana😢😢😢God bless Teacher of mathmatic❤
Ni hayo tu kwa sasa 😢😢
I listened to this song more than 20 years ago, it is still fresh in my mind and the message is still very powerful
beautiful rendition!!
Dear God have mercy on us 🙏🙏🙏
Heaven
wimbo unanibatiko sana
I believe in the living GOD
Thank you Lord for reminding me this
More bless
Amen barikiwen sana
This great reminds.i was in primary...howcan I get whole songs of this choir.❤
I am carrying the Air, coloured , Hazard
This song reminds me of Waweru mburu
Wimbo huu umenigusa ,,Ameen
I love this song