KWELI ZA UNABII. (12) Marekani katika Unabii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @danielmwita1989
    @danielmwita1989 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @zacharynganga2124
    @zacharynganga2124 2 ปีที่แล้ว +1

    Umekua mwalimu wangu......barikiwa sana

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 ปีที่แล้ว

    Well done Eng Machota

  • @Tabbywanja7624
    @Tabbywanja7624 4 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa kuwa mwalimu na mwelekezi wangu nikiwa nchi hii ya ugeni ambako hakuna mahubiri kama haya..asante kuyaleta mitandaoni...niko Saudi Arabia from Kenya

  • @hamadiyasini4810
    @hamadiyasini4810 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali mtumishi

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo nimeona sehemu popu ameruhusu ndoa za jinsia moja..apa maandiko yanatimia kutoka ktk Daniel na ufunuo wa yohana

  • @isackpaul7552
    @isackpaul7552 3 ปีที่แล้ว +2

    Nashukuru xanaaa Mtumishi maana umenifundisha Mambo mengi kuhusu kuijua kweli

  • @patrickmutiso6540
    @patrickmutiso6540 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndunia iko ukingoni kweli mambo ya bibilia sasa yanaendelea kuonekana na kutimia

  • @daudibomani1940
    @daudibomani1940 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nimepata kitu chakuondoka nacho

  • @mosejanjes6479
    @mosejanjes6479 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli mchungaji mashalti mazuri barikiwa

  • @nurumasud1962
    @nurumasud1962 4 ปีที่แล้ว +2

    tunashukuru mm nimepata kuelewa sana kupitia wewee asanteeee sana mungu akupe miaka ming ukomboe weng kupitia wewee nikwel watu weng wanaona aibu kusali sabato kisa wataonekana washamba lakin akiambiwa mroma anaonekana mjanja zote hizo ni mbinu za shetan tu hamna kingne lakin shetan kaifedhehesha sabato ya mungu ili watu waite et ni siku c din jaman mbona mungu ameikazia sana sabato inamaana nayye aliiabudu siku??? maana amesema mkinipenda mtazishika sabato zangu sasa hapo vip mbona hajasema mkinipenda mtaishika siku ya kwanza ya juma ?? fikiri chukua hatua mpendwa na sio wasabato kuwa wanaishika siku hapana wanaikumbuka siku iliyotakaswa na mungu mwanzo 2:2--3

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongoze mtumishi wa Mungu..akuna kanisa linalo weza ongea aya ...makanisa mengi yamesimama kwenye maombi ya baraka na miujiza na sio kumtafuta Mungu wa kweli na ibada ya kweli ....wengine wanakufa kwa kukanyaga mafuta 🙄🙄kweli jesus kasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa

  • @isackcharles6035
    @isackcharles6035 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman sisi sote ni wapitaji tu katika dunia cha msingi shika ulichonacho asije muovu akakubeba hatuokolewi kwa uwezo wetu bali ni kwa neema ya Yesu pekee

  • @haronotindo
    @haronotindo 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda mahupiri yako sana Mungu akuongezeye na akupariki

  • @neemasamwel8968
    @neemasamwel8968 ปีที่แล้ว

    Napenda mafundisho yako

  • @daud8785
    @daud8785 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Sana

  • @nurumasud1962
    @nurumasud1962 4 ปีที่แล้ว +1

    mwinjilist mung akubariki sana tukumbushe tuluoanguka katika kweli ya biblia

  • @nurumasud1962
    @nurumasud1962 4 ปีที่แล้ว +1

    mwinjilist mungu akubariki sana maana hauipotosh kweli ya biblia

  • @rafoursamiol5244
    @rafoursamiol5244 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubirk sana mwinjilist

  • @sogone_tz_art
    @sogone_tz_art 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother Ubalikiwe

  • @meddyakimana4104
    @meddyakimana4104 4 ปีที่แล้ว +3

    Asanten sana watumishi wa Bwana Balaka za Bwana na Amani yake yawe kwenu daima.

    • @MwinjilistiMachota
      @MwinjilistiMachota  4 ปีที่แล้ว

      Amina sana, Mungu akubariki kwa kuwa mfuatiliji mzuri wa mikutano hii, endelea kushirikisha wengine mibaraka hii, tukiendelea kujiandaa kumlaki Kristo ajapo Mara ya pili

    • @NewageNewage-nf1wl
      @NewageNewage-nf1wl 4 ปีที่แล้ว

      @@MwinjilistiMachota Ahsante Sana Mtumishi Wa Mungu Mwenye Nguvu Na Uwezo Wote. Pokea Salaam Zaangu

  • @nurumasud1962
    @nurumasud1962 4 ปีที่แล้ว +1

    hata yesu pia nae aliitunza SABATHO luka 4:16 je wewe nan hutak kuitunzaa sabato .Ama kweliii sabato ni ya mungu hakika imesimikwaaa na mungu mwenyewe haleluyaaaa

  • @beatricemaji9036
    @beatricemaji9036 4 ปีที่แล้ว +1

    I'm blessed

  • @jesusnetworkministry
    @jesusnetworkministry 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi Wa Mungu mimi ni mlokole je ? Walokole na sisi tu watoto wa mama wa makahaba ( R.C)
    Tafadhali nisaidie katika hilo

  • @hezroncjuma1089
    @hezroncjuma1089 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Sana mwinjiristi