9. Moto wa Kigeni ( Strange Fire)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @mbularose1525
    @mbularose1525 5 ปีที่แล้ว +2

    Nashukuru Mungu kwa kunijibu swara langu kupitia vidio hii.Pia Mimi huwa najijza Daundi na Miriam walimsifu Mungu nguo zikaanguka.Huwa najiuliza kwa nini wana SDA huimba mbila kurukaruka..Asante Mungu kwa kunijibu.🙏🙏

    • @lawimuthuri5814
      @lawimuthuri5814 5 ปีที่แล้ว

      BWANA Asifiwe, samahani dada siulizi kwa ubaya,, unaweza kunipa andiko katika Biblia linalosema daudi aliimba Nguo zikaanguka, Barikiwa unapo jivu

  • @jaclinedavid1356
    @jaclinedavid1356 6 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa sana kaka

  • @sarahmakwetamakweta9794
    @sarahmakwetamakweta9794 6 ปีที่แล้ว +2

    Amina.nabarikiwa sana

  • @estherkoya8410
    @estherkoya8410 5 ปีที่แล้ว +2

    YESU wangu tusaidie

  • @nikitumarthinne8909
    @nikitumarthinne8909 5 ปีที่แล้ว +2

    huyu ndio ukweli wa Biblia upende usipende kwakweli MUNGU akubaliki sana tena sana

  • @nariyahgrace6612
    @nariyahgrace6612 5 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe naomba Mungu akusimamishe zaid na zaid kutufikia kwa masomo haya...
    unatufungua ktk vifungo Vya usingizi mzito vya ujinga..be blessed

  • @jacksonmagola1824
    @jacksonmagola1824 2 ปีที่แล้ว

    Naona unakosoa TU...Bali masahihisho hujatuonyesha

  • @patatipatata1857
    @patatipatata1857 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Mungu akubariki sana
    Ila nina ushauri kidogo hio back ground mnayoyatumia kwenye kosoma mafungu na nukuu mbali mbali 🌈 msiitumie maana kwa sasa inatumika vibaya tafuteni nyingine

  • @financialloan9818
    @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว +4

    Baba angu alikua mlokole na mama angu nimezaliwa kwenye ukristo baadae wakaamia sabato nikabatizwa kwenye usabato na mpaka leo wazeee wangu WaPo sabato.but mimi nikawa nasali makanisa tofauti miaka mingi mnoo nimeacha sabato na sasa nipo out of Tanzania so nilikua nimepanga kuokoka nikiludi Tanzania na kumtumikia bwana ila nilikua nawaza mnoo kanisa gani nitasali ilo lilikua linaniumiza na mchumba angu kasema nikiludi lzm nijiunge nae kanisani kwao ata ndoa tutafungia kanisani kwao ila niliwah mgusia kama mimi msabato akasema yy awez usabato ata kidogo inabidi akinioa nimfate yy ambae ni Roma ingawa sikuwah kukubali lkn swali likawa linanisumbua kanisa gani nitasali.siku moja usiku nimelala kwenye ndoto mtoto wangu kapotea nikawa namtafuta mala ghafla nikamkuta na watu weupe kama wazungu ivi wamemshika wale watu wakanikalibisha sana wakasema wao ni wasabato na mimi natakiwa kumtumikia mungu kupitia ili kanisa nikaambiwa niache pombe na sigara ili niwe mkamilifu mala nikaamka .kwaiyo apa nikifika tz Nina kazi kubwa ya kumuelekeza mwezangu kuusu kanisa la kweli .nampenda yesu sana

    • @MwinjilistiMachota
      @MwinjilistiMachota  5 ปีที่แล้ว +2

      Amen, ushuhuda una nguvu Mungu akusaidie kusikiliza sauti yake na amsaidie mchumba wako, lakini hata akigoma ni heri kumsikiliza Mungu kuliko mwanadamu

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว +2

      @@MwinjilistiMachota amen mtumishi wa mungu nitafanya kama mungu alivyo niambia barikiwa sana kwa mafundisho yako akika najifunza mengi sana kutoka katika vipindi vyako barikiwa sana

  • @hermanlukantiza2985
    @hermanlukantiza2985 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @jacksonmagola1824
    @jacksonmagola1824 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi nimekuelewa lakini hujatuonyesha jinsi gani ya kusali...

  • @Tabbywanja7624
    @Tabbywanja7624 4 ปีที่แล้ว

    Huu ni ukweli mtupu kutoka kwa roho wa mungu kupitia kwako mwinjilisti Machota

  • @leonardmshana9381
    @leonardmshana9381 5 ปีที่แล้ว

    Mtumishi kweli mengi tunayaona endelea kutuelimisha ile kweli !

  • @jamesmgonda
    @jamesmgonda 6 ปีที่แล้ว +3

    Amen
    ev

  • @lawimuthuri5814
    @lawimuthuri5814 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana mtu wa MUNGU

  • @sbcheruiyot4419
    @sbcheruiyot4419 5 ปีที่แล้ว +2

    36:20

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 ปีที่แล้ว +1

    Am really blessed by your teachings, Do you have dvds for this teachings and where can I find find them in Kenya?

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 5 ปีที่แล้ว

    amina sana mtumish

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 5 ปีที่แล้ว

    amina Sana mtumish

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 5 ปีที่แล้ว

    Amen that's true, good preaching

  • @philibethmagenge8217
    @philibethmagenge8217 5 ปีที่แล้ว +1

    endelea kutuerimisha

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 ปีที่แล้ว

    Sabato ni siku sio din

    • @rafoursamiol5244
      @rafoursamiol5244 5 ปีที่แล้ว

      Sawa wewe wasema ila waroman wanakiri wao ndio walibadili sabato kutoka jumamos kwnda jumapili

  • @mashakamkolwi7829
    @mashakamkolwi7829 5 ปีที่แล้ว

    enderea kutuletea ukweli.

  • @robertlyimo4361
    @robertlyimo4361 5 ปีที่แล้ว

    Hapo kuna tatizo gani

  • @jacksonmagola1824
    @jacksonmagola1824 2 ปีที่แล้ว

    Naona unakosoa TU...Bali masahihisho hujatuonyesha

  • @yudathadei8172
    @yudathadei8172 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana