MBOWE NA TUNDU LISSU NDIO VIGOGO CHADEMA, WASHINDA KWA KISHINDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 92

  • @rajabusalumu6509
    @rajabusalumu6509 5 ปีที่แล้ว +6

    Hongera kwa kiongozi wetu Mbowe ww ndio mpambanaji wetu makini.

  • @ibrahimmasindi1055
    @ibrahimmasindi1055 5 ปีที่แล้ว +8

    We we ndio mwamba utakae tuvushaaaaa

  • @sophyemmanuel5129
    @sophyemmanuel5129 5 ปีที่แล้ว +1

    Safiiiiiii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 mbowe babalaoooooo

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera makamanda wote mliochaguliwa

  • @prosperndonjekwa5143
    @prosperndonjekwa5143 5 ปีที่แล้ว +6

    Mkimaliza kuchaguana imbeni wimbo huu; Kidumu chama cha mapinduzi.

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣kabisa kabisa waimbe

  • @patrickmahona2826
    @patrickmahona2826 5 ปีที่แล้ว

    Mungu tuangalie nasi .tanzinia ni yetu sote....why wao tu......mungu ibaliki chadema

  • @EdwinKaywanga-ww7jr
    @EdwinKaywanga-ww7jr 8 หลายเดือนก่อน

    Hii ndiyo demosia nani ya chama

  • @edinamwanilwa8094
    @edinamwanilwa8094 5 ปีที่แล้ว

    Namkubali magu ila mm Chadema damu

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 5 ปีที่แล้ว +1

    ✌✌👍

  • @jacksonmgaya5625
    @jacksonmgaya5625 5 ปีที่แล้ว +7

    Saf san kamanda mbowe we ndo utakae okoa jahaz
    Gonga like kama umekubalina na mm

    • @enockkindole2624
      @enockkindole2624 5 ปีที่แล้ว +1

      Pamoja

    • @labannigaluss335
      @labannigaluss335 5 ปีที่แล้ว

      ccm daima kama mbowe

    • @evansmlalo4049
      @evansmlalo4049 5 ปีที่แล้ว

      BILA MBOWE CCM WATAPATA MWANYA WA KUWAGAWA WATANZANIA. CCM ACHENI UJINGA WENU WA KUWANYIMA WENZENU UHURU WA KATIBA. TUTAPIGA KILA KONA. HATUWEZI WAACHA WATANZANIA WAACHE KAZI ZAO KWA AJILI YA KUKOSA DEMOKRASIA. CCM HAWATAKI MARIDHIANO TUTAWATOA KWA NGUVU.

    • @ahmadmasunda8198
      @ahmadmasunda8198 5 ปีที่แล้ว

      @@evansmlalo4049 KAZA MKUU KAZA MKUU USHINDI UNAKARIBIA

  • @nestorykapula1976
    @nestorykapula1976 5 ปีที่แล้ว

    Kama si Mbowe chedema isingedumu naipenda sana chadema yangu.

  • @iddykanani3311
    @iddykanani3311 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana watakoma

  • @hamisizuberi8604
    @hamisizuberi8604 5 ปีที่แล้ว +3

    HONGERENI SANA CHADEMA KWA KUCHAGUA KIONGOZI IMARA NA ASIYEYUMBA MHE,MBOWE

  • @nelykaaya6503
    @nelykaaya6503 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakubaliii

  • @brianosman4465
    @brianosman4465 5 ปีที่แล้ว +2

    Wamezingua... tundu ndo alifaa abebe jahazi

  • @ramadhaniomar2595
    @ramadhaniomar2595 5 ปีที่แล้ว

    Ndo mwene chsma cheke ote fata upepo

  • @raphaelshan4905
    @raphaelshan4905 5 ปีที่แล้ว +3

    Mmh! Li mbowe tena!¿

  • @eustacevenant4567
    @eustacevenant4567 5 ปีที่แล้ว +2

    Tanganyika!!!!!!!
    Mbowee?????????????!!!!
    Mmeanza 😎kuleta ubaguzi!
    RAISI MAGUFURI naomba Uongeze mda wa Uraisi la sivyo nchii hii yetu hitachukuliwa na vibala!

  • @princejosiah2404
    @princejosiah2404 5 ปีที่แล้ว

    Mbowe na lisu sawa

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 5 ปีที่แล้ว +1

    Lisu arudi tumweke ndani au sisi wenyewe tunaopenda Tanzania iwe shwari tutamshughulikia tunavyona sawa kwa usalama wa nchi yetu. Usalama wake asilete pua yake chafu inayoonekana kama taili ambayo haina pumzi hapa Tanzania. Asituletee usenge na mabwana zake wa kizungu.

    • @adrophwilliam3225
      @adrophwilliam3225 5 ปีที่แล้ว

      Huhitaji kitu kingine chochote isipokuwa elim.Ukisha pata elim unaweza ukawa mkosoaji wa selikari kuliko hata Lisu.

  • @huseinkanen7056
    @huseinkanen7056 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaaaa,tehe tehe tehe😁😁😁

  • @ramadhanmanko4614
    @ramadhanmanko4614 5 ปีที่แล้ว

    Safiiiii

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 9 หลายเดือนก่อน

    Inawezekana Rais asiwe mzalendo lakini sifa ya Rais lazima awe mzalendo.
    Huyu mzre kbe akili yake tope. Anachanga ya mada

  • @elizabethmatilia9527
    @elizabethmatilia9527 5 ปีที่แล้ว

    Yaan ni rahaaaaaaaaaaaaa

  • @curiositygenius9207
    @curiositygenius9207 5 ปีที่แล้ว +2

    ✌✌✌✌✌👏👏👏👏👏👏

  • @godfrysangi6343
    @godfrysangi6343 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu mwema nimefurahi sana

  • @richardkayuguyugu9489
    @richardkayuguyugu9489 5 ปีที่แล้ว

    Haya ni maigizo kama ni kubeti bac mhindi angeliwa vibaya sana maana wenye chama chao ndo wamechukuwa sasa hii danganya toto

  • @applestru_cape2219
    @applestru_cape2219 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaani siku mbowe akigombania na lissu mbowe ataachwa mbali kabisa

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbowe alijua kabisa Angegombea na Lisu angepigwa mbali balaa

    • @emmanuelmoshi4938
      @emmanuelmoshi4938 4 ปีที่แล้ว

      Juma Maduka wew ulijuaj kam yeye alijua hivy?

  • @rebecamgimwa5554
    @rebecamgimwa5554 5 ปีที่แล้ว +1

    Maigizo ya demokrasia

  • @jumaedward7110
    @jumaedward7110 5 ปีที่แล้ว +1

    Aaaa! Lissu una nyota Kali sana!!!

  • @labannigaluss335
    @labannigaluss335 5 ปีที่แล้ว +4

    chadema manyumbu kumbe amna jipya mlilonalo. magu daima ccm daima amtaki mjinyonge

  • @severinmmassy7627
    @severinmmassy7627 5 ปีที่แล้ว

    Hakika kwahil ccm watakonda sanaaa

  • @Kisaboleonards
    @Kisaboleonards 5 ปีที่แล้ว

    Ilijulikana toka mwanzo maana alisema sum haionjwi nani ange onja?

  • @abdallaafandi204
    @abdallaafandi204 5 ปีที่แล้ว

    Safi sn mbove chadema ndio tegemezi pekee kwa Tanzania kuiangusha ccm 2020

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 5 ปีที่แล้ว

      Sahau kwani ukiangalia team ya CCM imekaa kuangushwa kisenge senge subutuuuu bado sana tena sasa hivi ndio iko ngangali kinomaaaaa.

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 5 ปีที่แล้ว

      Subutuuuuuu mtaanzia wapi na mtapita njia gani, nyie mtabaki kuwa wapinzani tuuu mtapiga kelele mpaka lakini kuitoa CCM hamuwezi, watu wamejipanga hatari

  • @abuumussa2390
    @abuumussa2390 5 ปีที่แล้ว

    Kwa uchaguzi wa dizai hiyo bado hawajafikia chama cha mapinduzi

  • @pascalmstaarabu4372
    @pascalmstaarabu4372 5 ปีที่แล้ว

    Komamanga asili yake nini!??? Mjusi anawez acha miguu yake!??? Mbwembwe za vumbi ndani ya upepo

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbowe hunahata aibu

  • @shaibualex4515
    @shaibualex4515 5 ปีที่แล้ว

    Mmh yani kula 50 kweli

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 ปีที่แล้ว +1

    Hyo matokeo mfukon ubabaishaji unaendelea

  • @barakakilindi3751
    @barakakilindi3751 5 ปีที่แล้ว

    Tuvushu mwamba tuvushe mwamb

  • @mathiasmsese6128
    @mathiasmsese6128 5 ปีที่แล้ว +1

    Saccos bwana eti umeenda chuo mboe yupo, umepata kazi mboe yupo, umeoa mboe yupo, umepata mtoto mboe yupo, mtoto amenza chule mboe yupo .... WHAT IS NEXT.

    • @ramadhanbofu3144
      @ramadhanbofu3144 5 ปีที่แล้ว

      The next is son of mbowe

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 5 ปีที่แล้ว +1

      🚮🚮 Wivu Ni Kitu Mbaya Sana

    • @emmanuelmoshi4938
      @emmanuelmoshi4938 4 ปีที่แล้ว

      Mathias Msese next chadema itachukua nch

    • @mathiasmsese6128
      @mathiasmsese6128 4 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelmoshi4938tuliozaliwa miaka ya 70 tunaeleqa siasa za nchi hii na watu wake. Ccm imewapa shule miaka yote lkn hawataki kuamka. Vyama vuote hapo myuma vilinguka kwa sababu tu ya kuendeleza siasa za harakati. Tukianza na Mzee makabachori watu tulimfuata kama kam kumbikumbi tukaja na chama jogoo tukarudi na wazee wa haki sawa ndio wakaingia wazee wa harakati wasionyumbulika.wanajiua wenyewe sababu ya harakati nijuavyo wangeingia kwenye siasa za utawala wangekua stable mfano kulikua na haja gani ya kuendwleza siasa za matukio au harajati kama kwenye jiji la dar es salaam Wakati walishashinda karibu majibu yote

  • @accessme8481
    @accessme8481 5 ปีที่แล้ว

    Alesema Aleja, Alesema Aleja, magufuli selema,,..ash!!! Mbowe selema Aleja mbowe selema Aleja . Alikael Selema Aleja. Alesema Aleja mbowe selema Aleja

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 5 ปีที่แล้ว

    Huu uchaguzi ulikuwa unajulikana tu. Macho na masikio yetu yangekuwa juu juu kama Lisu angekuwemo kwenye kuisaka ndoo

  • @mbwanarajaamsuya6834
    @mbwanarajaamsuya6834 5 ปีที่แล้ว

    Aisee.....

    • @labannigaluss335
      @labannigaluss335 5 ปีที่แล้ว

      maigizo aya ww

    • @adrophwilliam3225
      @adrophwilliam3225 5 ปีที่แล้ว

      @@labannigaluss335 Milembe wanafanya kosa kukuacha mtaani ukizulula maana sio muda mrefu utazulu wa sio na hatia.

  • @kelvinkajuna6689
    @kelvinkajuna6689 5 ปีที่แล้ว

    Hebu jielewen,,tanganyika ndo nn mnashindwa kusema bara,,,,wabaguz nyie

    • @emmanuelmoshi4938
      @emmanuelmoshi4938 4 ปีที่แล้ว

      KELVIN KAJUNA bara ndo nn WAP ulion hii nch ikaitwa bara hii n Tanganyika

  • @patiencekelvin4453
    @patiencekelvin4453 5 ปีที่แล้ว

    Shdnt a strong p party have strong leaders?

  • @albertnshunju4172
    @albertnshunju4172 5 ปีที่แล้ว +1

    Usanii mtupu

    • @adrophwilliam3225
      @adrophwilliam3225 5 ปีที่แล้ว

      Ipo siku utajua umuhimu wa watu hao unao wa beza,maana hata mwalim Nyerere kipindi cha harakati za ukombozi wa Tanganyika alibezwa sana na watanganyika walio wengi mazezeta.Na ndiyo maana hata siku ya mchakato wa kuingia kwenye vyama vingi walio wengi walisema tuendelee na chama kimoja.ila cha ajabu mtu mwenye akili nyingi haijapata kutokea nchini Tanzania alikaa upande wa watu wachache waliosema tuwe na mfumo wa vyama vingi.

  • @sheikhyahyamsangi2191
    @sheikhyahyamsangi2191 5 ปีที่แล้ว

    Jinga letu limerudi

  • @malcomx4067
    @malcomx4067 5 ปีที่แล้ว +2

    Demokrasia haipo Chadema. Hakima hamstahili kupewa nchi. Mbowe anauchu wa madaraka.

    • @davyndonga
      @davyndonga 5 ปีที่แล้ว +1

      edumakono Zetho hata matako yako ana uchu nayo ukikaa vibaya anapita nayo

    • @binamungu4991
      @binamungu4991 5 ปีที่แล้ว

      Mwambie huyo

    • @januarymalaysia667
      @januarymalaysia667 5 ปีที่แล้ว +1

      @@davyndonga mbowe hana mvuto hata kidogo

    • @davyndonga
      @davyndonga 5 ปีที่แล้ว +1

      January Malaysia mkundu wako ndio una mvuto ungeupeleka ukagombee. Mwanaume hana mvuto ila akili yake ina mvuto

    • @curiositygenius9207
      @curiositygenius9207 5 ปีที่แล้ว +1

      edumakono Zetho kama huna la kuongea au kuandika si upite kimya kimya tu? Maana unaonekana mpumbavu tu.

  • @nestorykapula1976
    @nestorykapula1976 5 ปีที่แล้ว

    Kama si Mbowe chedema isingedumu naipenda sana chadema yangu.