MAJONZI: MWANAMKE ALIYEFARIKI KWA KUNG’ATWA NA NYOKA MAGUGU, WANANCHI WAFUNGUKA, TUNANYAYASIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +25

    Wanao walaani hao madactari kama mimi gonga like apa

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mungu shuka tusaidie, Baadhi ya hospital nyingi za serikali huduma ni mbovu mbovu mbovu mnooo.

  • @JosephAhimidiwe
    @JosephAhimidiwe 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Hiyo hali Nikila mahali Tanzania hali sio nzuri Hosptal za Serikali tunavumilia tu

  • @gililwise
    @gililwise 39 นาทีที่ผ่านมา +3

    Apandacho mtu ndo atakachovuna.manesi na madaktari mna watoto na ndugu nao watafanyiwa hivyohivyo.

  • @mariammathayo-hg9ij
    @mariammathayo-hg9ij 28 นาทีที่ผ่านมา +1

    Mimi ni mkazi wa magugu nimeshaenda na mama angu anatakiwa kujifungua ilikuwa saa6 usiku hawana gari wakasema tuende babati alafu mama angu mtoto tumboni kajitwisha chupa kichwani..hawana huruma...na ukienda unakuta wamekaa kaa tuu hawakuhuduumii...

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hapo madokta wanataka kutuambia " No money No honey

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 15 นาทีที่ผ่านมา

    Wafungwe tuu sio mbaya wauaji wakubwa hao 😢

  • @Samwel_tz
    @Samwel_tz ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu atasema na hao madaktar upuuz wa hali ya juu pesa n nn kwenye uhai wa mtu 😢

  • @TaNiiOfficial
    @TaNiiOfficial 16 นาทีที่ผ่านมา

    Kwanin nchi yangu inashindwa kuiga mfano mzuri kwa wenzetu wanaojali raia wao na huduma zote za afya kuwekwa bure . Serekali iliangalie hili kwa Macho mawili hakika wananchi wengi haswa wa vijijini vipato vyao ni vya chini snh
    Kutoka oman 🇴🇲

  • @stanslauslupelele5726
    @stanslauslupelele5726 8 นาทีที่ผ่านมา

    Duu R.I.P MAGUFULI Huuu ujinga haukuwepo

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Waziri wa afya upo hapo?

  • @ADELADamus
    @ADELADamus ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kunamateso jmn mungu baba atuvushe Amin

  • @WilliamBennett-j3l
    @WilliamBennett-j3l 45 นาทีที่ผ่านมา

    Ishanikuta hospital ya kcmc nime.ng'atwa na nyoka toka saa1 adi saa5 ndo napewa huduma visa havieleweki na nilikua nabima adi dawa zikasubiriwe kwenye foleni na ni emergency 😢 sitosahau niliona kifo hiki hapa.

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 20 นาทีที่ผ่านมา

    Poleni jamani

  • @GUWANGIRRGATORS
    @GUWANGIRRGATORS ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ninaomba serikali waangalie sana kwa kitengo cha afya kwa jicho la huruma maana inauma sana wakati mwingine

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 45 นาทีที่ผ่านมา

    wananchi wanahasira jamani Serkali bora mufanye transfer muwahamishie pengine wageni waje ili kupunguza hasira za wananchi

  • @Rawdha-y8t
    @Rawdha-y8t ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    wananunua magoli kwa mamilioni halafu dawa ya dharura kama hiyo inauzwa tutafika mbinguni kweli?

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawatoi dawa ata kwa watoto wadogo ukipeleka wanaandika tu dawa kanunue duka la dawa

  • @danielmgonja9906
    @danielmgonja9906 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiukweli huduma ya hospital ya rufaa magugu ni changamoto, watumishi hawatoi huduma Kwa wagonjwa mkpa utoe rushwa ndo utahudumiwa vizur, huyu mama kifo chake ni uzembe wa madaktari wa hospital ya magugu kbisa

  • @basilrevocatus272
    @basilrevocatus272 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ailaze roho yake mahara pema peponi, , na hospital nyingi zinawanyanyasa watu wenye hali duni

  • @priscamboya3091
    @priscamboya3091 4 นาทีที่ผ่านมา

    RIP Magu

  • @PiusLaurian
    @PiusLaurian 47 นาทีที่ผ่านมา

    Serikali nashauri iweke askari wapelelezi bila watumishi wa hospitali kujua. Askari wapelekwe mfano kama wafanya usafi au wahasibu na nk

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 17 นาทีที่ผ่านมา

    Manesi na madakitari wana matusi sana afu viburi unafika unamkuta anachat

  • @BakariMalembeka
    @BakariMalembeka 18 นาทีที่ผ่านมา

    Mtihani mkubwa Sana uwajibikaji mbovuu na kazi za mjuwano watt wa nan?tutafika 2kwa uwezo was mungu?

  • @PaulinaReginald
    @PaulinaReginald 14 นาทีที่ผ่านมา

    Wafukuzwe kazi wengine wanaobaki watashika adabu

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 6 นาทีที่ผ่านมา

    Waziri wa afya tutetee tunaisha

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miongoni mwa sehemu zilizo oza kwenye tumishi za serikali ni hispital hawa watumishi wameaminiwa sana na serikali lakini wao wanafanya khiyana sana hasa kwenye mambo ya uzazi mpaka mm nawaamini wakunga kuliko hispital maana wanao kwenda kujifungua wanalalamika sana wanawasimanga sana dada zetu wakienda kujifungua mara wanawazimisha kufunga vizazi mara wanawaambia msitusumbue mlivyokula chipsi sisi hamkutuita tuje kula wote

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Madactari wannahurumia kutoa dawa kwa wagonhwa unaambiwa nenda kanunue duka la dawa

  • @ProperMwashiwawa
    @ProperMwashiwawa ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kipindi chamagufuli huduma maosptarin zilikua vizur sana namadakitali walikua nanizamu lakini saizi selekali iliyokomadalakan inajali wanyama poli sio wanadamu jaman

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nchi ndio imefka hapa iyo serekari inachangia uzembe Kwan raisi Hana huongozi mzuri sasa unazani watuwake wa chin watakuwa na nizamu gan

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaona sasa pesa nyingi za serikali zatekea kwenye mipira kununua midenge lkn hospitali hazina huduma safi hii ni aibu sana

    • @justinemasweta2877
      @justinemasweta2877 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora hiyo kuna kiongozi ananunua magoli

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@justinemasweta2877😂😂😂😂Mana nacheka km mazr pesa baada wafanye maendeleo wananunua magoli Mungu tusaidie tu

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 47 นาทีที่ผ่านมา +1

      Pesa zinaishia kwa wasanii na starehe badala kupeleka kwenye huduma muhimu

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 53 นาทีที่ผ่านมา

    😢

  • @BuruhaniAdamWawa
    @BuruhaniAdamWawa ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wafukuzwe kazi wote

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    yaani kilichobakia ni kumuomba tu MUNGU atulinde na magonjwa maana hakuna msaada mwingine zaidi ya alietuumba.

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Comeni moto hicho kituo

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Serikali iwe makini Na hao hospital jaman

  • @farajapeasonmagota8226
    @farajapeasonmagota8226 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hifi Rais unawaona hawa madaktar wafukuzee

  • @IsakoKino
    @IsakoKino 57 นาทีที่ผ่านมา

    Wakusanywe wawekwe chumba kimoja walipuliwe na bomu hawafai

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 นาทีที่ผ่านมา

      Acha hasira ndugu