Kama ulikuwa mpenzi wa nyimbo zake, gonga like hapa na Mungu akubariki sana. Tuunge mkono kazi zake Kama unampenda Mungu sema amina Kama unaamini na wewe ipo siku utakufa sema tena aminaa
Mkuu....,Kamanda.... ahsante kwa msimamo wako kwa injili. Wewe ni Jemedari katika ufalme,usafiri salama,tutaonana tena siku ile ya kufufuka.Pumzika baba
pumzika kwa amani kamanda mwendo umeumaliza imani umeilinda, hakika tutakukumbuka sana. tutatesa milele itabaki kuwa moja ya album zenye nyimbo zinazoishi
Nilikua mwizi wamboga sana katika makuzi yangu.ila nilipoanza kuackiaga hizi nyimbo zilinisaidia Sana nikaanza kupunguza wizi.alinisaidia kuanza kubadilika kweli
Ooh my God😭😭😭😭tutakukumbuka daima baba.. Siku nikilala mauti! Heri wenye moyo safi watakwenda, nyimbo zako zitaendelea kuishi..mi nazipenda sana nyimbo zako kwangu ni mpya kila wakati ninapozisikiliza na kuziimba 😭 Eeh Mungu tusaisie tumalize mwendo salama 😭 R I P mtumishi wa Mungu Ephrahim Mwansasu 😭 tulikupenda sana lakin yatupasa kumshukuru Mungu🙏🙏🙏 🙏
Nilinunua hii album kwa mbinde sana maana hali ilikua ngumu na ndio ilikua album yangu ya kwanza ya injili... Amegusa watu wengi sana na amefanya/ ameshawishi vijana wengi kuimba as solo artist. 🙏🙏🙏🙏 Rest in power baba 🙏 🙏
I salute you God's general,I heard you for the first time preaching the gospel at Mikindani Msa it was gospel with manifestation of the power of God R.I.P till we meet again.
Hakika Baba umelala mauti na hakuna alieweza kukuamsha😭😭😭😭😭 Isipokua Mungu Mwenyewe ndiyo awezae kukuamsha ile siku ya misho 😭😭😭 Pumzika kwa Amani Baba 🙏
Umelala baba dah Siamini kabisaa wala siku hiyo sikujua kama umekufa najua kwenye mtandao dah kweli nipo busy Naomba Mungu aniafanyie wepesi nitubu leoo
Imeniuma mnoo kiasi kwamba nataman tungelikufa Mimi na yeye but nakumbuka Sina hata jema nililomfanyiaMungu ndipo Sasa nasema Bora mtumishi wa Mungu yeye keshaifanya kazi ya Mungu mpaka kafikia hapo alipofika na Mungu anisamehe kwa kujiwazia kifo Ni kwamba imeniuma Sana😭😭😭 😭😭😭
R.i.p Umelala na nina imani umelala mkono wa bwana,huu wimbo utakuwa faraja kwa wafuasi wa nyimbo zako na ndugu zako kwa ujumla,Tukutane jerusalem mpya.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 naumia moyo aiseh! inaniuma sana baba kwa kutangulia mbele za haki mapema hivi. Sina budi kukumbali,,vita umevimaliza mwendo umeumaliza. Pumzika kwa amani. Wasalimie Angela Chibalonza,,Emmachichi,,fanuel sedekiah,,na wengineo
Ukiambiwa uhai wa nyimbo ndio hii nyimbo iliimbwa zaman lakin inaishi milemile watunzi tumwombe Mungu atupe nyimbo zinazoishi tuache nyimbo za majungu mambo ya kizungu zungu kimewapata zishapitwa
Kama ulikuwa mpenzi wa nyimbo zake, gonga like hapa na Mungu akubariki sana. Tuunge mkono kazi zake
Kama unampenda Mungu sema amina
Kama unaamini na wewe ipo siku utakufa sema tena aminaa
Nilizipenda sana nyimbo zake
Mungu akulinde na akupe tu amani ya milele nyimbo zako zinaishi kama upo vile du pumzika pot
Mkuu....,Kamanda.... ahsante kwa msimamo wako kwa injili. Wewe ni Jemedari katika ufalme,usafiri salama,tutaonana tena siku ile ya kufufuka.Pumzika baba
Mungu wa Islael amuraze mahari pema,nyimbo hiyi inanibariki sana,siku nikirara
Kama unaangalia ii nyimbo baada ya kusikia msiba wake gonga like apa tujuane..
Nasikitika sana ameondoka mwimbaji
pumzika kwa amani my pastor
@@matildasaili1981 nasikia chozi maana siijui siku yangu
tupo hapa
Apunzike kwa jamani nimeumia sana
Nimeumia kuskia ulifariki, rest in peace ulitoa huduma kupitia nyimbo, Mungu akupe tunzo mbinguni
Hakika mwendo umeumaliza mtumishi wa mungu na kamwe hautosahaulika kwa nyimbo zako daima.
pumzika kwa amani kamanda mwendo umeumaliza imani umeilinda, hakika tutakukumbuka sana. tutatesa milele itabaki kuwa moja ya album zenye nyimbo zinazoishi
Nilikua mwizi wamboga sana katika makuzi yangu.ila nilipoanza kuackiaga hizi nyimbo zilinisaidia Sana nikaanza kupunguza wizi.alinisaidia kuanza kubadilika kweli
Ooh my God😭😭😭😭tutakukumbuka daima baba.. Siku nikilala mauti! Heri wenye moyo safi watakwenda, nyimbo zako zitaendelea kuishi..mi nazipenda sana nyimbo zako kwangu ni mpya kila wakati ninapozisikiliza na kuziimba 😭 Eeh Mungu tusaisie tumalize mwendo salama 😭 R I P mtumishi wa Mungu Ephrahim Mwansasu 😭 tulikupenda sana lakin yatupasa kumshukuru Mungu🙏🙏🙏 🙏
Maombolezo kwa mtumishi wa MUNGU E mwansasu RIP
daaa jamani shida nini ilikuwa nini mpka umauti kumkuta mwamba huyu wa gospal
Ameniumiza sana mtumishi Mwansasu, lala salama mjomba kazi zako ulizoacha zitadumu milele
Daa😥
KWAKWEL KAMA VITA AMEVIPIGA NAKZ AMEMALIZA AKAPUMZIKE
Nilinunua hii album kwa mbinde sana maana hali ilikua ngumu na ndio ilikua album yangu ya kwanza ya injili... Amegusa watu wengi sana na amefanya/ ameshawishi vijana wengi kuimba as solo artist. 🙏🙏🙏🙏 Rest in power baba 🙏 🙏
Nimeushika huu wimbo tangu nikiwa mdogo sana hakika nakumbuka mbali sana mtumishi.barikiwa Sana Baba
Kwaheri baba, tunamshukuru Mungu kwa maisha yako hapa duniani..umevipiga vita vilivyo vizuri mwendo umeumaliza Imani umeilinda 😭😭😭😭😭
Rest in peace servant of God. This song was a great prophecy...pumzika kwa amani
Nice song powerful message
I loved your songs and still love them, you were a true Gods minister, rest in eternal peace.
What am shocked, what happened?
Kwani alikufa ak 😭😭😭ni mara yangu ya kwanza kuutegea huu wimbo umenigusa saana
@@naomytom1646 ni mipango ya Mungu tu
00000000000000000ⁿ
I salute you God's general,I heard you for the first time preaching the gospel at Mikindani Msa it was gospel with manifestation of the power of God R.I.P till we meet again.
He was realy a Gods called minister, sikujua aliaga R. I. P
Pumzika kwa amani! Nimetafuta nyimbo zako kukumbuka uhai wako😭
Lala salama huko Mtumishi nakumbuka sana nyimbo zako
Zidi kupumzka kwa aman baba Mungu peke yake aimulike ile nuru ya milele upumzke kwa amani ,,,,awe faraja ya familia yako baba,,,mtumishi
Kweli umelala daaaah mwimbaji wangu Bora kabisa wa wakati wote
Hakika Baba umelala mauti na hakuna alieweza kukuamsha😭😭😭😭😭
Isipokua Mungu Mwenyewe ndiyo awezae kukuamsha ile siku ya misho 😭😭😭
Pumzika kwa Amani Baba 🙏
Tutakukumbuka Diama ...Nimeanza kusikia NYIMBO zako nikiwa mdogo..hadi nimekuwa sijaacha kusikiliza nyimbo zako😭😭😭R.I.P
Baba nitakukumbuka sana baba dah mwansasu tangulia baba utuombee Kwa mungu
Hakika umelala Efrahim Mwasansu umemaliza kazi uliyoitiwa na Mungu baba
Nyimbo zako zote zpo good pia znaujumbe mwenye kuxikia amexikia mungu akubarik mtumixh wa mungu uzdi kuxonga mbele
Ametutoka hayupo pamoja nasi tena
R.I.P my lovely father of gospel songs,,, ikitima
I'm deeply wounded by His Excellency Bishop Ephraim Mwansasu's demise....
Holy God has harvested his Holy Product.
R .I.P
Pumzika Kwa aman mchungaj nakumbuka mikutano Yako kule kyela nimelia sana
Hakika Kaka nyimbo zako zinatisha mungu akubaliki
Woooi😭😭😭😭pumuzika kwa amani mtume....
Pumzika kwa amani mchungaji wetu nyimbo zako zitaishi milele kizazi na kizazi
Ndg na jamaa wataliaa lakn hata hvo stowaskia,,,,😭😭😭😭😭
Umelala baba dah Siamini kabisaa wala siku hiyo sikujua kama umekufa najua kwenye mtandao dah kweli nipo busy Naomba Mungu aniafanyie wepesi nitubu leoo
Nilikupenda Kwa uimbaji wako wa pekee ila Sina Namna brother huko uliko ulipata Taji la kuongoza Malaika 😢😢😭
Hongera na barikiwa mtumishi
Am really blessed by this song
Rest In peace Mtumishi wa Mungu...Swali ni moja tuu tukilalal tuna lala ktk nani?...Bwana Yesu nipe mwisho mema
Akika wimbo umetukumbusha nyakati zijazo, ee mungu tuongoze.
Wimbo uliojaa ujumbe mzuri
Pumzika kw amani na mungu akupe raha ya milele kw kazi nzuri uliyomfanyia humu duniani
Prophetic song!Rest in peace Mwansasu
🙈🙈🙈😭😭😭😭Eee Mungu wangu unisamehe dhambi zangu,R.I.P pastor 😭😭😭😭😭😭
Mungu akupe Raha ya milele Raha ya milele umpe we bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani amina
Pumzika kwa Amani Kaka Mwambie Mosesi Krola Imani tunailinda
Imeniuma mnoo kiasi kwamba nataman tungelikufa Mimi na yeye but nakumbuka Sina hata jema nililomfanyiaMungu ndipo Sasa nasema Bora mtumishi wa Mungu yeye keshaifanya kazi ya Mungu mpaka kafikia hapo alipofika na Mungu anisamehe kwa kujiwazia kifo Ni kwamba imeniuma Sana😭😭😭 😭😭😭
Mwendo umeumaliza alama umeiacha nenda shujaa Vita njema umepigana Imani umeilinda🙏🙏
R.i.p Umelala na nina imani umelala mkono wa bwana,huu wimbo utakuwa faraja kwa wafuasi wa nyimbo zako na ndugu zako kwa ujumla,Tukutane jerusalem mpya.
Kwa huu wimbo unanionyesha Dunia tunapita tangulia Mwansasu huduma yako haikuwa bure mbele za Mungu
Unaimba vizuli Sana 👏👏👏
Finally he rest in peace 😭😭😭😭
Mungu akupumzishe mahali pema peponi amina mch.mwansasu
R.I.P Gospel music Legendary
Hatimaye umelala baba na huwezi kutusikia tena. Tutakukumbuka.
Pumzika kwa Amani Mtumishi wa Mungu E.Mwansasu Daima tutakukumbuka xana Mafundisho yako ya Mungu Kupitia Nyimbo Zako.
Duniani sote tu wapitaji , Mungu tupe neema ya mwisho muzuri baba
😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya tutakumiss mtumishi kwa huduma yako
jana nime download msigombane l will miss u tusigombane asema bwana
nenda kaimbe na malaika wa bwana
God bless you
Pumzika Mtumishi wa Mungu, umetumikia shauri la Bwana kwa muda uliopewa hapa duniani
R.I.P my Brother Dickson Mayunga,you loved this song
Umelala usingizi wa milele, umetuachia wimbo unaotukumbusha siku zetu za mwisho. Rest well Ephraim, the true melody of Nyakyusa.
Edgar, What a legacy
Kwani alikufa?
You mean he has passed away
Neno la Mungu linaishi ubarikiwe sana
Hatimae neno limetimia, pumzikla kwa amani bishop mtumishi wa Mungu
Inaumiza sana but ni mpango wa MUNGU Ameeeen
Nmemkumbuka sana aunt yangu. Rest in peace my lovely aunt
Dah naumia sana sio wongo 😭😭😭
Lala salama Baba
Mwenyezi Ailaze Roho yako mahali pema peponi
Mungu..akuagaziye..wgawamilele
Pumzika kwa amani Pastor
Mungu awabaliki saaaana
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 naumia moyo aiseh! inaniuma sana baba kwa kutangulia mbele za haki mapema hivi. Sina budi kukumbali,,vita umevimaliza mwendo umeumaliza. Pumzika kwa amani. Wasalimie Angela Chibalonza,,Emmachichi,,fanuel sedekiah,,na wengineo
Mungu akupokee mtumishi
Daaah ni huzuni sana RIP Bishop mwansasu
R.i.p brother we will met again Glory of God
Mwendo umeumalizaaaa mtumishi wa mungu
Pumzika kwa amani Mtumishi wa Mungu Mchungaji Mwansasu. Tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi.
Mungu akupokeee mtumishi
Ukiambiwa uhai wa nyimbo ndio hii nyimbo iliimbwa zaman lakin inaishi milemile watunzi tumwombe Mungu atupe nyimbo zinazoishi tuache nyimbo za majungu mambo ya kizungu zungu kimewapata zishapitwa
Touchable message
😭😭😭 R I P baba wa iman pumzika katika yeye atupaye uhai umetangulia mbele yako nyuma yetu baba inauma ilaa hatuna budi😭😭😭😭😭🙆😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Rest easy pastor😭😭😭
Allah akulaze mahala pema pepon
Daaaah MUNGU ampokee mtumishi wake
It was last year when you came to our church now you are no more😥😥😥😥😥😥😥you will be miss....rip
Mungu tujalie tumalize safar salama.
Nyimbo zako nyng zlkuwa znalenga unyakuo..hii inadhhrsha ulitumw kutukumbusha nyakat...lala kwa amn baba😭😭😭
HEBU LIONDOE WAZO HILOOOOO YAKWAMBA UTATUBU UTAKAPO KUFAA,,,,dah R.I.P
Hatimae umelala pastor na tunalia kwl lakin hautusikii....tuonane bandarini kule
Ulale salama mzee Mwansasu
Mungu amlaze mahali pema peponi,
Duh,aridhi imetafuna Legendary wengi Sanaa
Jamani sikama nimemwona boney mwaitege
Mungu akulinde baba yetu
Mungu wangu unaliza huu wimbo
🎉mungu u mwema
Mbele yake,nyuma yetu😭😭,,R.I.P Mwansansu
Jamani mungu amemchukua mtoto wake
Daah huyu jamaa alikuwa chanzo cha iman yangu kukua kila kukicha kila ninaposikiliza nyimbo zake R.I.P
Lala salama mtumishi.
Dah jaman hii dunia kwa ninj inachukua watu ninaowapenda eeee Mwenyezi Mungu 😭😭😭
A great man
Nilivosikia umefarikia nikaingia TH-cam kuusikikiza tena wimbo Huu, hakika duniani tu wapitaji, RIP Bishop Mwansasu, hakika tunalia kuondoka kwako.