- 27
- 307 781
BISHOP EPHRAIM MWANSASU
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 2 มิ.ย. 2020
Bishop Ephraim R Mwansasu ni muhubiri wa injili kupitia nyimbo na neno la Mungu pia ni mhasisi wa huduma ya HOSSANA GOSPEL CENTER ambayo makao yake makuu yapo dar_es_salam mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa +255694363255 +255756502127
KARIBU TUMTUMIKIE MUNGU KWA UMOJA NA KWA PAMOJA KILA MTU SAWA ALIVYOJALIWA NA MUNGU,
ZABURI 118:13
KARIBU TUMTUMIKIE MUNGU KWA UMOJA NA KWA PAMOJA KILA MTU SAWA ALIVYOJALIWA NA MUNGU,
ZABURI 118:13
วีดีโอ
Bishop_Ephraim_Mwansasu_ -_Nina ndoto {official_audio_Mp4}
มุมมอง 1.6K8 หลายเดือนก่อน
Mwansasu , #ninandoto
mtoto wa Bishop Mwansasu akiimba ibadani nyimbo ya baba yake wakati wa shukrani
มุมมอง 541ปีที่แล้ว
mtoto wa Bishop Mwansasu akiimba ibadani nyimbo ya baba yake wakati wa shukrani
Amthibitisha aliyepakwa mafuta ya uwimbaji kiuwalali na Pastor MWANSASU
มุมมอง 91ปีที่แล้ว
Amthibitisha aliyepakwa mafuta ya uwimbaji kiuwalali na Pastor MWANSASU
Ibada ya kumbukumbu ya kutimiza miaka 2 ya marehemu pastor MWANSASU
มุมมอง 55ปีที่แล้ว
Ibada ya kumbukumbu ya kutimiza miaka 2 ya marehemu pastor MWANSASU
NGUVU YA KUUMBA part 1
มุมมอง 2.3K4 ปีที่แล้ว
Ipo nguvu ya kuumba itokayo kwa Mungu ndani ya watoto wa Mungu...
Heri wenye moyo safi
มุมมอง 5K4 ปีที่แล้ว
Wimbo niliopewa na roho wa Mungu ili kulikumbusha kanisa na ulimwengu wote matengenezo ya moyo kwa ajiri ya Mungu na maisha ya baadaye yanayokuja. Ameen
Wosia wa baba
มุมมอง 3.4K4 ปีที่แล้ว
Wimbo unaokumbusha wengi wasijisahau kuamini kila mtu aliye mbele yake.
VUMILIA
มุมมอง 6104 ปีที่แล้ว
Wimbo huu natamani Sana kuona unakutia moyo wa kuendelea mbele ktk safari yako na ndoto yako
MAISHA YANAPANGWA NA MUNGU
มุมมอง 2.5K4 ปีที่แล้ว
Wanadamu hawana nguvu ya kupanga maisha yako, ila Mungu anaweza kuwatumia kwa lolote, na shetani anaweza kuwatumia kukuyumbisha ili ufadhaike... Nakusihi kwa jina Yesu usikubari kunyauka moyo wako, songa mbele. Ameeeen
Amina mtumish
Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu aliye hai. Nitakukumbuka daima.
Naendelea kubarikiwa na ujumbe mzuri, 2024 ujumbe bado mpya🙏 tuvumilie wapendwa, taji zipo
Nita kumbuka Sana Maana nyimbo zako zilinifariji Sana nyimbo ulizo kuwa ukiziimba zilikuwa zimebarikiwa na mungu
R l P mwansasu
Oh my God nyimbo za mwisho hizi kabla hajapumzika
Anafanana na mtumishi mwansasu😢much love and memories from Kenya
2024 🎉 September
Tuko pamoja sana
😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏 Rest in peace Father 😭😭
Kisasi ni cha Bwana
R.i.p
Nakumbuka sana wainjilist wa miaka hyo ilyopita na sasa dah! Nyimbo unaiskilza mok choz
Pumzika kwa Amani baba Tutakukumbuka daima na Neno lako bado linaishi
Pumzika Kwa aman mchungaj nakumbuka mikutano Yako kule kyela nimelia sana
Jamani sikama nimemwona boney mwaitege
balikiwa sana mtu wa Mungu
Familia moja iliyopo kitongoji cha Loliondo Mtaa wa Mbopo kata ya Mabwepande Jimbo la Kawe Dar es Salaam wameiomba Serikali na Watanzania kwa ujumla kuwasaidia mahitaji ya msingi baada ya Mama wa familia hii kulemewa. Mkoi Tv Online ilifika inapoishi familia hii ILIYOPO Mbopo kwenye Jimbo la Baba Askofu Josephat Gwajima na kushuhudia jinsi wanavyopita njia ngumu ya kulala kwenye mkeka miaka yote huku wakishindia UJI siku nzima wakati mwingine kupiga pasi ndefu wakila asubuhi hadi kesho asubuhi. Aidha mama wa familia hii ameliomba Jeshi la Polisi Wilaya ya Mabwepande kumchukulia hatua baba mtoto wake kwani anampiga sana, huku akitupa vidonge vyake vya kufubaza maambukizi ya Ukimwi aliyokuwa nayo. Karibu utazame makala hii ya kusikitisha na kama umeguswa na ungependa kuichangia familia hii basi piga simuy namba +255713 575718 Chochote hata ukiwa na nguo, sukari, chumvi, unga, mchele, Lakini hitaji lao kubwa ni sehemuya kuishi. VIDEO HII HAPA...! FAMILIA YASHINDIA UJI WA CHUMVI DAR,WALALA KWENYE MKEKA, BABA AMUAMBUKIZA UKIMWI MAMA, YAOMBA MSAADA th-cam.com/video/RHaeLYi1BDU/w-d-xo.html

Amen
God bless dady kwa ujumbe mkubwa ....!!
kweli niyakunitia moyo mutumizi wamungu 1:40 1:43
Allah akulaze mahala pema pepon
Ubarikiwe baba kwa nyimbo zako
❤❤
nakukumbuka Baba yangu Dar nilihis upo safar kumbe umeendaa Baba
Nimeipenda uwandishi wake
Amaiznggg
Weka like nyingi kama na wewe una ndoto unahitaji mungu aifanikishe kwenye maisha yako,,,AIMEN 🙏
Amazing song
Nyimbo hii imenibariki sana
Amina
mungu atunze ndoto yangu ...Mungu abariki sana kwa ujumbe huu...!! tunakuombea baba umekufa ila nyimbo zako zipo zinaishi
I like it
thank karibu sana
Amen
barikiwa baba
Amen
Ubarikiwe
Wawooooo ubarikiweee mnooo ndugu yangu nzovweeee oyeeeeeeeeee
Rest in peace Mwansasu
Danilod
R I P 😭😭😭😭😭
Rip
Restin peace😭😭😭
Daaaa,mungu uilaze pema peponi roho ya mtumishi wako mwansasu kwa heri mtumishi tutaonana pumzika baba
❤❤❤kifo silaumu namuachia Mungu
RIP ndugu yetu
Pumzika Kwa amani legend of gospel
5:51 nimeona mtu kama Bonny Mwaitege.
Nami ipo siku nitalala mauti
🎉mungu u mwema
Pumzika kwa amani mwaka 2023, hiyo.
I can't believe this voice is not with us in flesh again
One of best songo
R.I.P Mwansasu