R.i.p Umelala na nina imani umelala mkono wa bwana,huu wimbo utakuwa faraja kwa wafuasi wa nyimbo zako na ndugu zako kwa ujumla,Tukutane jerusalem mpya.
Pumnzika kwaamani mtumishi wa baba mwendo umeumaliza,imani umeilinda,aaaaa tutaonana siku ya mwisho bwana atakapo tuvarisha taji,simimitu wala wewe bali kila mtu ambae jina lake limeandikwa ktk kitabu cha uzima,by mpendwa tutaonana asubuhi njema,aaaaamina.
R I P mtumishi 😢😢 ukiwaza hii Dunia unaweza kwanin tulizaliwa but Basi MUNGU muumbaji hutusahaurisha maumivu kwa Muda mchache lkn bado kichapo kikopalepale🙏🙏
Kweli ulijua mwansasu ulale salama mwamba leo umelala kabisa kumbe Kweli tutalala cku moja kama ulivyolala leo Mungu akupokee na akuondolee dhambi mtumishi wetu
Pumzika kwa amani mtumish wa Mungu! Ulieimba ktk roho na kwel, tupo kwenye kipind ambacho ata hofu ya Mungu tumeipoteza, maafa kila kukicha, mafuriko na ajar zimeongezeka ee Mungu tusamehe😢😢😢
Namshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi ya maisha yako, ahsante kwa kazi nzuri uliyoifanya dunia. Umetuachia alama isiyofutika maishani, pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu!
Rip kweli tunatamani kukuita ila tunajua huwezi itika na tunalia ila najua hutuonii ila siku zote mtu anasifiwa akiwa hayupo duniani tena emungu nisaidie na uniongonzee mm kwahakil zangu siwezi nitaishia kulinga tu na vyadunia bila kukumbuka kama siku moja nitalala amen
R.I.P pastor hakika duniani tunapita. Nakumbuka sana miezi kama hii miaka 10 iliopita tulivoongea na ulivotushauri na mchumba wangu, wakati namvalisha pete na kutangaza ndoa kanisani kwako ubungo Pumzika kwa amani
R.I.P mtumishi wa mungu mwansasu tuta kukumbuka daima kazi umeifanya mwendo umeumaliza pumzika kwa amani kipenzi chetu, BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE AMINA.
R .i.p mwasasu hakika akuna aijuaye kesho hii nyimbo ni ya miaka mingi ila leo hii imekuwa kweli pumzika kwa amani umetangulia ila na sisi tunakufuata yatupasa tuyatende mema yampendezayo mungu ili iwe hazina yetu ya kesho ambayo atuijui kila goti litapigwa kwako amen .
😭😭😭Pumzika kwa amani nikiusikia huu wimbo navuta picha siku ndugu zangu wanalia na siwez tena ongea 😢😢😢watatamani hata waone tabasamu langu lakn haitawezekana😭😢😢😢
Kama umeludia kutazama 2024 naomba subscribers zako
Nipo mimi mkuu huyu ndg yangu kabisa nimemkumbuka mjomba wangu 😢😢😢😢😢
Pole.sana.mjomba m2 ira.nakukumbusha usije kumuacha mungu.wako
Kama umerudi kuangalia wimbo huu baada ya taarifa ya kifo like hapa......PUMZIKA KWA AMANI MWANSASU
😭😭😭😭😭 rip
Uyu amishafarik kumbe 😭😭😭
Duuuuh😭😭😭 dunian tunapita jmn
Wimbo huu unanifikisha mbali sana jamani kifo hiki huyu baba nilimpenda sana
Daaaaahhh!!!! Huuu wimbo unanikumbusha kifo chabibi angu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Wanadamu tuwe nakitu Cha kufanya watu watukumbuke mwansansu namkumvuka sana nikisikiliza wimbo huu siku nikilala😢
Shuda wanadamu ni hukumbuka mtu kwa mapaya mtumishi
RIP Pastor. Asante kwa utumishi mwema. Ni kweli tunalia na tutakukumbuka. Mwenyezi Mungu akupokee!
Rip Mungu ametoa na ametwaa, Jina lake libarikiwe
Du jamani inauma nyimbo zake zilikuwa na ujumbe Mwanga wa milele ukuangazie eebwana
Pumzika katika Bwana Mtumishi wa Mungu,Nenda kaimbe pamoja na malaika,😭
R.i.p Umelala na nina imani umelala mkono wa bwana,huu wimbo utakuwa faraja kwa wafuasi wa nyimbo zako na ndugu zako kwa ujumla,Tukutane jerusalem mpya.
Pumnzika kwaamani mtumishi wa baba mwendo umeumaliza,imani umeilinda,aaaaa tutaonana siku ya mwisho bwana atakapo tuvarisha taji,simimitu wala wewe bali kila mtu ambae jina lake limeandikwa ktk kitabu cha uzima,by mpendwa tutaonana asubuhi njema,aaaaamina.
Hakika kule naimani tutakutana na wapendwa wetu poleni familia,,dah mwasansu😭😭😭😰
Amen mtumishi
@@suziemgata8925 RIP
Yuonane paradiso kaka
Mtumishi wa MUNGU alifunuliwa kwenye wimbo huu sanasana! Maana kama mke au watoto wake wote wangemtangulia hisia za wimbohuu zingepotea kabisa
Kweli kibisa vile unazema mtumishi
Punzika mtumishi kazi uliyotumwa umekamilisha
Nimekuja hapa baada ya kifo cha Rais wangu John Pombe magufuli
Uko na mm hapa
Me too lm here
Tupo wengi
Nimekuja kuusikiliza huu wimbo baada ya kusikia amefariki Pumzika kwa amani Mwansasu nyimbo zako ilikuwa faraja sana.
DAAH JINA LAKE MOLA LIHIMIDIWE MILELE
niko hapa baada ya kupata taarifa ya kifo cha rafiki wangu wa karibu😭💔RIP George 'Namdah' Ochieng🕊till we meet again
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Nitakuwa mgeni wa nan wakati kifo kikinifika😭😭😭Eee Mungu nipe mwisho Mwema 🙏🙏🙏
Mungu naomba siku yangu ya kuondoka niwe salama mikononi mwako🙏🙏🙏
R.i.p rais wangu mpendwa, daima nitakuombea pumzka baba. Mwendo umeumaliza
Rip Mwasasu from Nairobi Kenya 🇰🇪
Mwansasu ni Hazina imeondoka
Do kwel watu kupitia wimbo huu wangeokoka wote,nawaza mwisho wangu utakavyo kuwa,
Yesu naomba unipokee😮
Napenda Sana huu wimbo, Mungu nisaidie, Yuko wapi huyu mtumishi wa Mungu?
Yupo ni mchungaji kwa sasa
Pumzikeni kwa amani wazazi wangu wapendwa niliwapenda Sana mungu awalaze roho yenu mahali pema peponi🙏🙏🙏
Mwimbaji huyu amefariki leo, apumizke kwa amani
Daaaa wimbo huyu kama mwansasu alijiona mingu akuhulumie baba.
Wimbo huu unanikumbusha R.I.P baba mzazi wangu mzee mwl jonn Michael kazamaso tunakukumbuka mzee wetu
I'M SO SORRY
E r mwansasu tangulia ndugu sisi sote tuko nyuma yako
R.I .P mtumishi wa mungu mwansasu 😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu tujalie mwisho mwema Amina
Pumzika kwa Amani Baba Victor... Mume wangu mpendwa 🙏🙏🙏🙏
R.I.P., pastor mwansansu wote njia ni moja mpe hii j.p.m.
Pumzika kwa AMANI Mama Yangu🙏🙏🙏
hakika mungu atupe mwisho mwema ubalikiwe mchungaji kwa ujumbe mzuli tuishi tukitafakali kwamba baada ya kifo ni huku nimeielewa sana
Poleni sana familia ya mtumishi.
Hivi watu huwa wanailewa hii nyimbo kweli, mbona mm inaniingia sana
Barikiwa sana
R I P mtumishi 😢😢 ukiwaza hii Dunia unaweza kwanin tulizaliwa but Basi MUNGU muumbaji hutusahaurisha maumivu kwa Muda mchache lkn bado kichapo kikopalepale🙏🙏
Baba nilikupenda sana hila Mungu ameruhusu ifanyike. Nenda salama dungu yangu ,tutaonana kwenye mji mzuri Bwana wetu alienda kutuandalia😭😭😭😭😭😭😭.
Rest in Peace Mwansasu,was here crying about my dad's death,he loved your songs..just to realise people are typing rest in peace too.greet each other.
Pumunzika kwa amani mwasansu injii uiiihibii asante mungu kwaumbaji wako tusamehe sana mkosa yetu
Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi tulikupena sana lakini mungu kakupenda zaidi lala kaka umeenda na ucheshi wako amina
Kweli ulijua mwansasu ulale salama mwamba leo umelala kabisa kumbe Kweli tutalala cku moja kama ulivyolala leo Mungu akupokee na akuondolee dhambi mtumishi wetu
Amina kweri kabisa, pumzika
Nenda baba umemaliza mwendo salama kazi uliyo tumwa kufanya umekamilisha pumzika kwaamani
Mungu akubariki kwa wimbo huu
Pumnzika baba nenda baba umelala yoooooo baba yooooooo
R.i.p kweli kabisa tunaomboleza Mtumishi 😭😭😭😭
R. I. P Dr. John P Magufuli
Pumzika kwa amani mtumish wa Mungu! Ulieimba ktk roho na kwel, tupo kwenye kipind ambacho ata hofu ya Mungu tumeipoteza, maafa kila kukicha, mafuriko na ajar zimeongezeka ee Mungu tusamehe😢😢😢
Pumzika kwa amani raisi wangu kipenzi... JPM 😭😭
Daaaaah 😭😭😭😭😭magu wetu na yeye jmn
Rest in Peace 29 August 2021💔
Namshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi ya maisha yako, ahsante kwa kazi nzuri uliyoifanya dunia. Umetuachia alama isiyofutika maishani, pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu!
Pumzika kwa amani mtumishi 🖐️
Pumzika kwa amani mzee Marko mbogo ,, pumzika kwa amani mwansasu🙏
Mwenyezi MUNGU akupokee
Rip kweli tunatamani kukuita ila tunajua huwezi itika na tunalia ila najua hutuonii ila siku zote mtu anasifiwa akiwa hayupo duniani tena emungu nisaidie na uniongonzee mm kwahakil zangu siwezi nitaishia kulinga tu na vyadunia bila kukumbuka kama siku moja nitalala amen
Kwa kweli tunalia mtumishi wa mungu nenda kwa aman kazi umeimaliza
R i p mtumishi mwansasu tulikupenda lakini bwana amekupenda zaid
Ama hakika umelala baba Mungu akutunze zaidi huko tukuone tena
R.I.P pastor hakika duniani tunapita. Nakumbuka sana miezi kama hii miaka 10 iliopita tulivoongea na ulivotushauri na mchumba wangu, wakati namvalisha pete na kutangaza ndoa kanisani kwako ubungo Pumzika kwa amani
Pumzika kwa Aman Mama angu!!!!!!Wanao tumekukunbuka saaana;;;;;😭😭😭
Da, umetutoka mtumishi ungali bado tunakuhitaji, ila Mungu anajua yote, tutakukumbuka daima
Rest easy pastor Mwansasu, we are all passing through this world. 🙏🙏🙏
Nipe mwisho mwema Yesu😢
Pumuzika kwa Amani baba yetu n'a huku Burundi tunahujuwa kwa nyimbo zako za kukumbusha watu kutubu
Naumia Sana mm yang jamani Tena hasanikisikia huu wimbo kwaeli uyatima mbaya san
Yaan ni bonge la nyimbo mtumishi❤❤❤😢😢😢🎉🎉🎉
Mwendo umeumaliza imani umeilinda...tuonene paradiso R.I.P Pasta.
R.I.P mtumishi wa mungu mwansasu tuta kukumbuka daima kazi umeifanya mwendo umeumaliza pumzika kwa amani kipenzi chetu, BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE AMINA.
Ni kweli hatuwez kukuamsha pumzika kwa Amani Mtumishi tulikupenda mno
Sikua najua jaman nimeumia san Mungu naomba anipe mwisho mwema
Pumzikeni kwa amani wazazi wangu wapendwa tutawakumbuka daima hakika pengo alizibiki inauma Sana😭😭😭😭😭😭😭
Hakika BWANA ni mwema sana
Tunakutakia mema huko Kwa BWANA pumzika BABA
Pumzika kwa amani baba na mdogo wangu mpendwa
Mungu amsamehe mtumishi kupitia wimbo huu. Alituumiza sana
Pumzika kwa amani mpendwa wetu .aina budi tumshukuru Mungu kwa yote.
🛌😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿 Tulikulilia sana
Pumzikeni kwa amani Babu na bb kizaa mama pia baba mdogo genturu maro
Daah R.i.p kiukweli sioutani Kila niskiapo nyimbo hii naumiaga Sana tu
😢😢😢pumzika kwa amani shujaa wa Bwana.
sijui mini nitakuwa mgeni wa nani ee mungu nisaidie
Hakika umelala Mtumishi. Pumzika sasa, pumzika kwa amani.
Good song bro 🙏🙏🙏
pumzika kwa amani pastor 🙏
Nilikua mdogo Sana leo hii nakujaa kuangalia baada ya kuskia umelala jamn😥😥😥😥😥😥
Nashindwa kujizuia nikisikiliza wimbo huu ,,,rip mwansasu
Umefanya kazi kwa wakati wako baba mwansasu hakika ujumbe wako tutaishi nao daima
Pumzika kwa amani Mtumishi wa Mungu wimbo huu utawaliza Sana mkeo nafamilia kwani Kama uliuimba kuwa utakufa kwa Jeri Mwansasu
Mwenyez mungu ailaze roho yako mahali pema pepon Amina tulikusoma Sana mwansasu
Kazi uliyoifanya ni njema, wengi waliokolewa kupitia jina la Yesu kwa uimbaji wako na uinjilisti wako.
Pumzika kwa amani pastor Leo hakuna wa kukuamsha umetuacha tunalia
😢😢😢dah kifo 😢😮ni fumbo
How I love this song shocked to here today that you died a month ago rest in peace Baba😭😭😭💔
Umelala baba, pumzika mtumishi
R .i.p mwasasu hakika akuna aijuaye kesho hii nyimbo ni ya miaka mingi ila leo hii imekuwa kweli pumzika kwa amani umetangulia ila na sisi tunakufuata yatupasa tuyatende mema yampendezayo mungu ili iwe hazina yetu ya kesho ambayo atuijui kila goti litapigwa kwako amen .
R.I.P wazazi wangu mwanenu nimewamisi sana mlale salama
kweli umelala nA tunakuliliya sana RIP mtumishi sote njiya moja
Legacy itabaki vizazi na vizazi umepigana na mwendo umeumaliza Jina la bwana rihimidiwe amein
Daaaah jmn hii nyimbo ulijiona kuwa utalala.pumxika mtumishi wa Mungu
Rip my cousin Ryan Mungu nitie nguvu wakati huu
Maana kwetu kuishi ni Kristo....na kufa ni faida! Pumzika....bishop.
Pumzika kwa Amani Shujaa Wa injili Bishop Ephraimu mwansasu
Pumunzika kwa amani umetuachia ujumbe
😭😭😭Pumzika kwa amani nikiusikia huu wimbo navuta picha siku ndugu zangu wanalia na siwez tena ongea 😢😢😢watatamani hata waone tabasamu langu lakn haitawezekana😭😢😢😢
Hakika umelala kama ulivoimba.tutakukumbuka daima.
R.I.P bishop uliimba ukweli kabisa, sasahivi umesha lala. Ambae atakuamsha ni Mungu baba pekee
Pumzika kwa Aman Pstor MWANSANSU..