Soma 1korintho 14:2 Inasema Anenae kwa Lugha Hasemi na Watu bali Husema na Mungu. Na Hakuna Mwanadamu Awezae Kuelewa Kinachosemwa. Mpaka Roho Mtakatifu Atoe Tafasri. Na Hata Siku Ya Pentecoste Wale Wote Waliokuwepo Walipewa Tafasri na Roho mt. By Rev. Agape Yohana. Toka Tanzania.
Matendo ya mitume 36-10, 4:8 MIUJIZA YAWEZA KUJIRUDIA TENA NA TENA.Maisha Yetu ni ya Vita na VITA VYAWEZA KUJIRUDIA TENA NA TENA kwahiyo TUSIKOME KATIKA KUOMBA Maana yake ndipo tunashinda vita.
Kuna sindano moja ya kutibu kifua inaitwa Christapen sasa mara nyingi ile sindano ina maumivu makali sana lakini ukiandikiwa na daktari na ukachomwa uponyaji wake ni mkubwa sana sasa hii ndio hali ambayo ninayoiona kwa ndugu zetu Waislamu katika hii program ya siku ya leo! MUNGU atusaidie wakati mwingine tukubali kupona kuliko kubisha hata kama sindano ni chungu
Hakuna anayefundishwa kunena kwa lugha --- mwandishi acha kusikiliza ujinga wa watu wa asili wasio jua mambo ya rohoni " mambo ya rohoni yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni" Suala la mtu anayenena kwa lugha,halafu akanyamaza baada ya kutakiwa kunyama,ni sawa,kwasababu mtu anaponena kwa lugha haimaanishi anapoteza kabisa ufahamu na kumbumbu zake,anakuwa na ufahamu,na anaweza kuwasiliana na mazingira yanayomzunguka.
@@SIMULIZIZONEmwandishi,, kunena kwa lugha sio kwamba unaongea kwa lugha ya mbinguni bali inatumika lugha ya mtu mwingine ambapo mtu yyte anaweza akatafsiri mwenye uelewa wa lugha hyo! Na ikitokea mtu amenena kwa lugha ya mbinguni basi hapo kuna mawasiliano ya siri Kati ya yeye anenaye na mwenyezi mungu
we imekuuma nini ? kumkashifu ustadhi ! omba kipindi na ww uelezee unachoweza kusema au kuelezea kinyume ww ni mnafiki usiye na muda wa kutafakari,ustadhi Daniel Mungu akuzidishie neema ya ufunuo kwa ukombozi wa fikra kwa mwanadamu.
Wewe ni kafiri mkubwa sana waambia makafri wenzio asitukuzwe Mungu bali atukuzwe Yesu hiyo kauli yako wewe ni sawa na shetani usirudie tena hiyo kauli ni mbaya sana kwa Mungu wakutukuzwa ni Mungu peke yake na wakuabudiwa ni Mungu peke yake
Yaan huyu jamaa ni kafiri mkubw Majina ya Allah na majini wapii na wapii wakati kila jina lina maana yake iliyo wazi ,Laana tu llah Allah Akuvunje mgongo
Wewe ni muongo uliekubuu toa ushahidi wa hayo unayoongea usilete chuki zako dhidi ya uislamu, maana usituchokoze sisi waislamu hutuwezi tukiamua kuku-deal.
Ninakuelewa sana Yesu akubariki sana.
Hilo ndilo ukweli wa neno la Mungu, hongera sana mishenari kujitoa mwanga kwa ajili ya kazi ya Mungu,
Uislamu haujaletw n Mtume Muhammad bal umeletw n Nabii Adams mwenyew
😂😂😂😂😂
Unahitaji msaada wa mafundisho zaidi
Adamu hakuwa nabii Wala mtume
@@charlesboniphace2249 hata wewe unahitaji mafundisho zaidi.
Soma 1korintho 14:2 Inasema Anenae kwa Lugha Hasemi na Watu bali Husema na Mungu. Na Hakuna Mwanadamu Awezae Kuelewa Kinachosemwa. Mpaka Roho Mtakatifu Atoe Tafasri. Na Hata Siku Ya Pentecoste Wale Wote Waliokuwepo Walipewa Tafasri na Roho mt. By Rev. Agape Yohana. Toka Tanzania.
Matendo ya mitume 36-10, 4:8 MIUJIZA YAWEZA KUJIRUDIA TENA NA TENA.Maisha Yetu ni ya Vita na VITA VYAWEZA KUJIRUDIA TENA NA TENA kwahiyo TUSIKOME KATIKA KUOMBA Maana yake ndipo tunashinda vita.
Basi waislamu wangekuwa na miujiza mingi sana kwa sababu wao wanayakubali majini mazuri
Amina
Kuna sindano moja ya kutibu kifua inaitwa Christapen sasa mara nyingi ile sindano ina maumivu makali sana lakini ukiandikiwa na daktari na ukachomwa uponyaji wake ni mkubwa sana sasa hii ndio hali ambayo ninayoiona kwa ndugu zetu Waislamu katika hii program ya siku ya leo! MUNGU atusaidie wakati mwingine tukubali kupona kuliko kubisha hata kama sindano ni chungu
Nigumu mtu kusukuma mlima kwa mikono yake lakini guvu ya mungu nilaisi sana hacha mungu hatende yote
Mitume wote wamefanya muujiza kwa uwezo wa Mungu kwa nini nyinyi makafri Mungu mnamkwepa
Ushasema mitume sio sisi binadamu tusidanganyane
Hakuna anayefundishwa kunena kwa lugha --- mwandishi acha kusikiliza ujinga wa watu wa asili wasio jua mambo ya rohoni " mambo ya rohoni yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni" Suala la mtu anayenena kwa lugha,halafu akanyamaza baada ya kutakiwa kunyama,ni sawa,kwasababu mtu anaponena kwa lugha haimaanishi anapoteza kabisa ufahamu na kumbumbu zake,anakuwa na ufahamu,na anaweza kuwasiliana na mazingira yanayomzunguka.
Unaonekana una point, swali langu kwako, yale maneno yanayonenwa kwa lugha, yanatafsirika kwa lugha ya wanadamu, au ni Mungu tu ndio anaelewa?
@@SIMULIZIZONEmwandishi,, kunena kwa lugha sio kwamba unaongea kwa lugha ya mbinguni bali inatumika lugha ya mtu mwingine ambapo mtu yyte anaweza akatafsiri mwenye uelewa wa lugha hyo!
Na ikitokea mtu amenena kwa lugha ya mbinguni basi hapo kuna mawasiliano ya siri Kati ya yeye anenaye na mwenyezi mungu
Heri yako mwenye ufahamu tufundishe vya kwako
Anaeweza kukusaidia siyo mwanadam bali ROHO MTAKATIFU maana binadam hana kipimo tuchunge ndimi zetu
Kwahio yesu nae ni tapeli?❤
we imekuuma nini ? kumkashifu ustadhi ! omba kipindi na ww uelezee unachoweza kusema au kuelezea kinyume ww ni mnafiki usiye na muda wa kutafakari,ustadhi Daniel Mungu akuzidishie neema ya ufunuo kwa ukombozi wa fikra kwa mwanadamu.
Vizuri hakusema
safi
Unapotosha SANA.POLE SANA.Naomba soma Luka 24:45
naona. Uposawa Rohomtakatifu. hafundishwi. Mtu kunena nimtu namungu kumtafutalohomtakatifu wanofundisha. Ndiohoo. Wanawauwasi hoo. Wenye vitambaa wenye mafuta wenyemiujiza. halafu. hawamtaji. YESU sana hatamafundisho. yao. Ukiyachunguza. yanaulakini
Uislamu ulikuwepo kabla Jesus alipokuja hapo Ustadhi Daniël eka maneno yako sahihi
Kaseme vizur 😭😭
History ulisoma?
Ikisha baadhi ya wakristo wanamuona bonge la mwalimu 😂😂😂
@@samxx411 aiseee!!! Ila Hana lolote
@@samxx411 just imagine 😂😂
Wacha Uwongo.
Dah jamanii jitahidini msome acheni ushabiki huyu mtu anaongea uongo kabisa. Mungu atusaidie sana juu ya wanafiki wa namna hii
Daniel ni kichwa ni kiboko ya waislamu pia ni zaidi ya ndacha anaongea yaliyo ya kweli
Ukiwa na elimu utajua sio kiboko kwa lolote, ila kwenu tu kwa sababu hampendi kusoma .wachungaji ndo huwasomea.
Uko vzr ww nizaidi ya Mwalimu
Huna elimu wew hamna anacho jua huyo ni mjing tu
Daniel ni kibaraka wa wayahudi kwahiyo kwake uislamu ni adui yupo tofaut na wakristo wengne
Mtu yoyo atampimwa na amri Za MUNGU hata wewe tutakupima Kwa amri)
Hiyo ilikuwa wakati wa torati
Bonge la kafiri alafu bonge la muongo kama huna elimu ya dini ya uislamu naelimu ya tiba no right to speak..
Aki ya Mungu wewe daniel ni mjinga kabisa , kwani jina la Allah lina matatizo gani unachanganya watu.
Huyu ni mwalimu wa waongo ila ni ngumu kumfaamu kwani anatekniki nyingi sana za kudanganya wale wasio na elimu.
Wewe ni kafiri mkubwa sana waambia makafri wenzio asitukuzwe Mungu bali atukuzwe Yesu hiyo kauli yako wewe ni sawa na shetani usirudie tena hiyo kauli ni mbaya sana kwa Mungu wakutukuzwa ni Mungu peke yake na wakuabudiwa ni Mungu peke yake
Uislamu ni ukafiri mana umekuja kupinga ukiristo ulio tangulia
Wewe ni kafiri na ni shetwani upo gizani ndomana huwezi elewa kinacho fundisha hapa kwa ustadi mwankemwa
Huyu Ni mealimu, anayetaka kujifundisha aululize Swali sio kukimbilia kashifa
Yaan huyu jamaa ni kafiri mkubw Majina ya Allah na majini wapii na wapii wakati kila jina lina maana yake iliyo wazi ,Laana tu llah Allah Akuvunje mgongo
Uwez mvuta mwislam kweny dini yako kwa kuongea uongo labda unafanya ivo kuwalizisha ao wa iman yako wabaki uongo mtuuupu
Ndacha hakukosea kuwaita nyie wanafiki tena muongo mkubwa wewe Daniel
Allah is not God it is gods full stop
Sure
Strong true
Hili kafiri liongo
Itaisha mdaharo akitoe makamasi
Wewe ni kafiri, na ukafiri wako umepita kiazi
Usipotoshe watu, Uislamu haujaletwa karne ya 7. Ulikuwepo tangu wakati wa Nabii Adam.