Buana yesu apewe sifa mchungaji Mimi Niko Kenya nimekutana na ushuhuda wako sasa nimefutilia miezi mbili nimekua nikiomba kulingana navile unatufunza, kuanzia nianze kusikiza hushuhuda zako nimeamua kusimama Kwa yesu, Kwa ufupi nakuomba ukiona hi ujumbe wangu uniwieradhi unipee nafasi tuongee ili niweze kukusimulia hadithi ya familia ninayotoka, uniweke Mimi na familiar yangu Kwa maombi, familiar yangu Kwa maombi, yakufunguliwa, imagine mungu amemulinda mamangu Hadi sai ako na 86 years na Hana kiwanja ata nyumba iyo kitu inanisononesha moyoni kilasiku, na imagine tumezaliwa kumi na watatu ingwa wengine washa pumzika na kilamtu Amalia shida akuna awezae kusadia mwengine na masomo inaishiga njiani wenye wamefika kidato cha one akunakazi, ata sai wangu wawili moja aliachia darasa la tano akatoka mwengine akifika kidato cha tatu akatoroka sasaivi Niko namwenye ako kidato cha ine lakini afanyi vizuri na imagine amekua mwerevu akiwa primary ata ndio akifanya vizuri akaitwa kwenye anasomea naomba umuwdke Kwa maombi tafadhali mchungaji, na Mimi pia nakuombea mungu azidi kukutumia ili mungu yesu atufungue watu. wengi pamoja nawewe turned mbinguni AMEN 🙏
Bwana atakutetea Kwa kwake funga hata siku tatu Yuko mtu anatumia nyota zenu funga ndugu yangu ufunguliwe mengine hayawezekani mpaka kufunga na kuomba.
Nimemtukuza Mungu, kwamba utakuja kutueleza zile sura ya kitabu Cha kichawi. Asante Kristo Yesu kumuelekeza mtumishi wako Katekela aeleze yote kama ulivyo muagiza. Barikiweni sana
Muombe kwa sababu hajajua kwamba Muhammad ni antichrist! Anasema kwamba Muhammad ni nabii aletumwa na Mungu kweli!!! Roho Mutakatifu amatembelee kwa sababu anahweza kuwapoteza watu!!!
Hapa kuna ile imeniangukia kijana wangu amekataa shule,alijukua course visuri aka join tu,tokea hapo hataki na hataki,but naamini atakua visuri juu naendelea kuvunja hizi laana ni vile sikua na mpangilio juu nilifunja madhabu nikaacha laana
ila huyu mjamaa🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️tupate wapi tena mtu km huyu???? Manabii wa mchongo km nawaona wanavohaha kummaliza maana anazd kutufungua akili ase mm binafsi ni muhanga
Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri mimi yamenigusa me nifanye nini ili watotongu wangu wakombolewe?watoto Watano hawana ajira na wamesoma mpaka chuo kikuu kila wakiomba hawafanikiwi sijui ni maagano ya kwa mume wangu au be mimi mama ?
NAMBA6 NA7 NACHOMOKA KWA DAMU YA YESUKRISTO NA NENO LA USHUHUDA WANGU KATEKELA KATEKELA UMEJUA KUNIWEKA WAZI NIKO HURU SASA NAKUSHUKURU SANA SANA NAKUITA CHUMA, LKN PIA KWA ALIYEKUELEWA KAMA MIMI HAWEZ KUMCHUKIA MUISLAM TENA LABDA KUWAOMBEA WAKAKUTANA NA NENO AMBAYE NI KRISTO
Lakini hapo mchungaji sijakuelewa unapozungumzia dini manabii na mitume wengine kuwa nao ni wa Mungu. Mf. Uislamu, ukatoliki nk. Sidhani kama ni sahihi kwasababu kiimani tunaona maandiko yanatuasa kutokuwa shirika nao, sasa sijui kama sijakuelewa vizuri lakini nimeona kama unawazungumzia vyema. Na la pili ni pale umesema kwamba Yesu ni nabii/mtume mkuu - nadhani Yesu si mtume ila wanafunzi wake ndiyo mitume YESU NI MWANA WA MUNGU!!
MCH. Katekela nashukuru kwa mafundiisho mazuri sana lakini unapata wachungaji wengi sana hawana neema hii ,hawajui mambo haya.....so ombi langu ni kwamba unisaidie niweze kuvunja haya madhabahu ya familia...sijui kama yawezekana kama niko Nairobi wewe uko Tanzania?
Bikira Maria ni mtakatifu na alikibeba kitakatifu amcaye ni Yesu mwokozi ndo maana wakatoliki wanamtumia kama mwombezi tu hawamwabudu kamwe ila tunamtumia kutuombea kwa sababu yeye ni chanzo cha kumleta mwokozi na kuna wanaomwomba awaombee na wanapata majibu.
Maria hawezi kukuombea wew yeye alikua mtu kama wew akatumika kama chombo na kazi yake aliimaliza yupo amepumzika Mbinguni usimbebeshe majukumu ya kukuombea kwa mungu sio kazi yake ni wew unatakiwa uombe moja kwa moja kwa MUUMBA wako maria mwacheni apumzike na kwanza hata hasikii ni sawh na kuomba mizuka
Hakuna mkatoliki anamwamini bikira Maria ila ni mwombezi tu, Yesu ni kila kitu kwa wakatoliki ndo maana pasaka inakuwaga hot sana kwa wakatoliki so usichanfanye
@@gosbertmuta5421 Kule kwetu ni vikundi vya kina mama waombezi wanaomba alafu wanasema roho amewaonyesha tutoe sadaka ya kuvunja madhabahu Baada mwezi wakija wengine kuomba pia wanaonyweshwa tutoe sadaka ya kuvunja madhabahu I say wajiuliza kwan madhabahu zavunjwa mara ngapi 😊
Kilinge/kilingeni ni chumba cha waganga wa Jadi/wachawi wanahifadhi tunguli zao na pia katika kilinge ndio wanatibia wanaotafuta usaidizi kwao, Chumba maalum cha waganga.Shrine in English
Amina mtumishi wa MUNGU,MUNGU ukutunze baba.
Amina mtumishi wa Mungu unaeleweka vzr
Mungu akulinde Tena natena amieli katekela Asante kwakutu fungua macho yakilo Toka malawi
Ahsante promover TV kwa kuletwa na MUNGU MBARIKIWE ninashukuru sana mtumishi wa BWANA kwa huduma hii
ASANTE SANA YESU KWA AJILI YA MTUMISHI WAKO,NIMEFUNGILIWA SAA HII,
Amen mtumishi wa MUNGU naimani kila kitu changu kimerudi🙏🙏
A blessed pastor,, you are a gift from heaven,, you designed to preach the secret of darkness kingdom,, don't dispise your way of teaching
Barikiwa mtumishi sanaa kwa jina la yesu
Amena Mutumishi wa Mungu tumepokeya zaidi na zaidi, ubarikiwe na team yote.
Mungu akubariki na akuinue kiwango kingine Amina
Ni mambo ya kweli kabisa Mungu atusaidie sana .
Mungu akubaliki mutumishi wa Mungu
Buana yesu apewe sifa mchungaji Mimi Niko Kenya nimekutana na ushuhuda wako sasa nimefutilia miezi mbili nimekua nikiomba kulingana navile unatufunza, kuanzia nianze kusikiza hushuhuda zako nimeamua kusimama Kwa yesu, Kwa ufupi nakuomba ukiona hi ujumbe wangu uniwieradhi unipee nafasi tuongee ili niweze kukusimulia hadithi ya familia ninayotoka, uniweke Mimi na familiar yangu Kwa maombi, familiar yangu Kwa maombi, yakufunguliwa, imagine mungu amemulinda mamangu Hadi sai ako na 86 years na Hana kiwanja ata nyumba iyo kitu inanisononesha moyoni kilasiku, na imagine tumezaliwa kumi na watatu ingwa wengine washa pumzika na kilamtu Amalia shida akuna awezae kusadia mwengine na masomo inaishiga njiani wenye wamefika kidato cha one akunakazi, ata sai wangu wawili moja aliachia darasa la tano akatoka mwengine akifika kidato cha tatu akatoroka sasaivi Niko namwenye ako kidato cha ine lakini afanyi vizuri na imagine amekua mwerevu akiwa primary ata ndio akifanya vizuri akaitwa kwenye anasomea naomba umuwdke Kwa maombi tafadhali mchungaji, na Mimi pia nakuombea mungu azidi kukutumia ili mungu yesu atufungue watu. wengi pamoja nawewe turned mbinguni AMEN 🙏
Nimejikuta nalia ase lkn yote hayo amesema jaribu halikuwapata ispokua kawaida bali yeye Mungu atafanya na mlango wa kutokea
Bwana atakutetea Kwa kwake funga hata siku tatu Yuko mtu anatumia nyota zenu funga ndugu yangu ufunguliwe mengine hayawezekani mpaka kufunga na kuomba.
Pole Sana mtumishi
Mawasliano yako ni yapi!
Thank u so much mchungaji kutufunza maisha ya hii duniani
Nimemtukuza Mungu, kwamba utakuja kutueleza zile sura ya kitabu Cha kichawi. Asante Kristo Yesu kumuelekeza mtumishi wako Katekela aeleze yote kama ulivyo muagiza. Barikiweni sana
Amen.maagano yote kwa maisha yangu yamevunjika kwa jina la Yesu...
Ameen nimefunguliwa kwa damu ya yesu kristo
Asante yesu
Mchungaji wa kweli kabisa.YESU ni BWANA.
Amen Asante pastor mafudisho masuri nabarikiwa sana
Asante sana katekera
Amen Mungu tusaidie
Ubarikiwe san mtumishi kwa maombi ya kuniombea kukombollewa
Ubarikiwe muchungaji am waching from oman be blessed katekera
Glory to God kwa upendo wake sisi wanadamu
YAANI MTUMISHI MAFUNDISHO YAKO KAMA YA MTUMISHI WETU MAHANAHIMU CHURCH.UBARIKIWE SIJAPOTEA❤❤❤
Ujumbe wako unatuponya mch ubarikiwe sana karbu pia mkoa wa Simiyu ili nasi tuokolewe🙏
Highly Supportive , God Bless You
Mtumishi Amiel mungu akuinue daima
Amen Amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana Asante sana kwa mafundisho mazuri
Muombe kwa sababu hajajua kwamba Muhammad ni antichrist! Anasema kwamba Muhammad ni nabii aletumwa na Mungu kweli!!! Roho Mutakatifu amatembelee kwa sababu anahweza kuwapoteza watu!!!
Amen sana
MUNGU akubariki sana
Warundi tunakufuata 5/5. Ubarikiwe sana mchungaji
Amina mtumishi WA MUNGU
Amen ubarikiwe Mtumishi, watching from Belgium
Amen thanks for this eye opening
Mungu azidi kukutumia
Amen Amen 🙏 🙌 ni kweli kabisaa yale umesema
Amen mtumishi
Ubarikiwe mtumish, watching from kenya.
Sahihi kabisa mchungaji
Hapa kuna ile imeniangukia kijana wangu amekataa shule,alijukua course visuri aka join tu,tokea hapo hataki na hataki,but naamini atakua visuri juu naendelea kuvunja hizi laana ni vile sikua na mpangilio juu nilifunja madhabu nikaacha laana
Kweli kabisa
Amen 🙏 MUNGU Akutunze
Ni kwel kabisa mchungaji watu wengi wametoka makanisan Kwa maneno ya uongo kisa ndoto
Yani na mie nipo humo kabla sijakoka, but tangu niokoke Namshukuru Mungu
Amen 🙏🏽
Je tuombeje ili tutoke kwenye laana za ukooo,? Ubarikiwe. Sana
Kwani mtumishi, Roho ya Moses Kulola hii juu Yako, Kuna mda nasikia unazungumza kama yeye, harafu inakuwa na nguvu zaidi
Nilishavishwa mie
Wakristo wengi wanahitaji discernment of spirits!!!
ila huyu mjamaa🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️tupate wapi tena mtu km huyu????
Manabii wa mchongo km nawaona wanavohaha kummaliza maana anazd kutufungua akili ase mm binafsi ni muhanga
Napokea kufunguliwa
@@lydiamakenge5613 amen
Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri mimi yamenigusa me nifanye nini ili watotongu wangu wakombolewe?watoto Watano hawana ajira na wamesoma mpaka chuo kikuu kila wakiomba hawafanikiwi sijui ni maagano ya kwa mume wangu au be mimi mama ?
NAMBA6 NA7 NACHOMOKA KWA DAMU YA YESUKRISTO NA NENO LA USHUHUDA WANGU
KATEKELA KATEKELA UMEJUA KUNIWEKA WAZI NIKO HURU SASA NAKUSHUKURU SANA SANA NAKUITA CHUMA, LKN PIA KWA ALIYEKUELEWA KAMA MIMI HAWEZ KUMCHUKIA MUISLAM TENA LABDA KUWAOMBEA WAKAKUTANA NA NENO AMBAYE NI KRISTO
Amen 🙏🙏🙏 glory glory glory hallelujah
Ameen
Kila maagano na laana zinazo fatilia zimeshindwa kwa jina la Yesu
Amen
🙏🙏
Basi tufundishe kujitoa katika hizo laana ili tuwe salama mchungaji
Mimi mtumishi nasingiziwa uchawi na ndugu wa mume leo nimejua
Natumia aje sadaka yangu kupitia m-pesa nikiwa Kenya?
Ameeeen Ameeeen Ameeeen
😢😢mi huota nawangiwa
Lakini hapo mchungaji sijakuelewa unapozungumzia dini manabii na mitume wengine kuwa nao ni wa Mungu. Mf. Uislamu, ukatoliki nk. Sidhani kama ni sahihi kwasababu kiimani tunaona maandiko yanatuasa kutokuwa shirika nao, sasa sijui kama sijakuelewa vizuri lakini nimeona kama unawazungumzia vyema. Na la pili ni pale umesema kwamba Yesu ni nabii/mtume mkuu - nadhani Yesu si mtume ila wanafunzi wake ndiyo mitume YESU NI MWANA WA MUNGU!!
napenda caana kumsikiliza amieli katekela, maana napata mafundisho mazuri
MCH. Katekela nashukuru kwa mafundiisho mazuri sana lakini unapata wachungaji wengi sana hawana neema hii ,hawajui mambo haya.....so ombi langu ni kwamba unisaidie niweze kuvunja haya madhabahu ya familia...sijui kama yawezekana kama niko Nairobi wewe uko Tanzania?
Ukiwa wafu hawapumziki basi utaelezaje Muhibiri tisa?
Amen 🙏🙏🇰🇪
MUNGU atusaidie na familia zetu zipone
Bikira Maria ni mtakatifu na alikibeba kitakatifu amcaye ni Yesu mwokozi ndo maana wakatoliki wanamtumia kama mwombezi tu hawamwabudu kamwe ila tunamtumia kutuombea kwa sababu yeye ni chanzo cha kumleta mwokozi na kuna wanaomwomba awaombee na wanapata majibu.
Maria hawezi kukuombea wew yeye alikua mtu kama wew akatumika kama chombo na kazi yake aliimaliza yupo amepumzika Mbinguni usimbebeshe majukumu ya kukuombea kwa mungu sio kazi yake ni wew unatakiwa uombe moja kwa moja kwa MUUMBA wako maria mwacheni apumzike na kwanza hata hasikii ni sawh na kuomba mizuka
Kwani unachotaka ni sauti ya moses au kupona?
Hakuna mkatoliki anamwamini bikira Maria ila ni mwombezi tu, Yesu ni kila kitu kwa wakatoliki ndo maana pasaka inakuwaga hot sana kwa wakatoliki so usichanfanye
Wapi imeandikwa bikira maria kazi yake ni mwombezi usiwe mpumbavu
Asifiwe yesu Niko Kenya nimefurahia ushuuda wako Niki taka kuja nitakupata aje ani wapi?
Sakramenti ya Ubatizo,Ekaristi na Kipaimara huondoa Laana za dhambi.Sakramenti ya Ekaristi ni Damu na Mwili wa Yesu Kristo.
Mafundisho haya ni kioo kwangu najiona wapi nipo ila tufundishe namna ya kujinasua
Sasa nifanye nn mpaka vinitoke hivi mtumishi
Shukurani kwa mafunzo ss huyu aliye bebewa kizazi atafanyaje ili aolewe
Mbona mtumishi unanisema mm haya mambo yote?? Naomba nikutane na wewe nisiwe next victim
Sasa una wambiya wamuombeye Muhammed iweje ?asamehewe aene mbinguni
Naweza pata number ya huyu mchungaji?
Tafuta no za promova tv ndio akuunganishe nae
😢 Waombezi wengi wamechkua sadaka za family wakidai wanavunja madhabahu na hakuna mabadliko yoyote tunayo ipata
Poleni sana Mungu awatetee
Mmepigwa pole sana
@@kihilamasuke6976 unakutana na mtu anakwambia leta nywele za utosn na kucha naww kwaakili zako unapeleka😅😅😅😅😅😅😅Mungu atusaidie sana
@@gosbertmuta5421 Kule kwetu ni vikundi vya kina mama waombezi wanaomba alafu wanasema roho amewaonyesha tutoe sadaka ya kuvunja madhabahu
Baada mwezi wakija wengine kuomba pia wanaonyweshwa tutoe sadaka ya kuvunja madhabahu I say wajiuliza kwan madhabahu zavunjwa mara ngapi 😊
Caroline Deri waa sasa umeshajua njia shukru Mungu
Huu Jama hajajua kwamba Muhammad ni antichrist kweli!!! Ako na Roho Mtajatifu kweli?
Mchungaji, kilingeni ndo nini sielewi
Kilinge/kilingeni ni chumba cha waganga wa Jadi/wachawi wanahifadhi tunguli zao na pia katika kilinge ndio wanatibia wanaotafuta usaidizi kwao, Chumba maalum cha waganga.Shrine in English
Mchungaji katekela Mungu akubariki sana sana.
Una ongeya vitu gani una Washauri wa Islam waendeleye kumu ombeya Muhammad;mbona una wadanganya hatuwezi kuombeya mutu ariye Kufa asamehewe.
Kaa chini utulie uelewe vizuri ❤
Jrb kuelewa kama MB zimekuishia weka bandle aloo 🎉🎉
Ndio mafundisho yako ni mazuri lakini Wacha kabisa kuongea lugha za kishetani siulishatoka huko??hizo lugha Zina bore sana
Kwani mtumishi, Roho ya Moses Kulola hii juu Yako, Kuna mda nasikia unazungumza kama yeye, harafu inakuwa na nguvu zaidi
Amen 🙏
Kwani mtumishi, Roho ya Moses Kulola hii juu Yako, Kuna mda nasikia unazungumza kama yeye, harafu inakuwa na nguvu zaidi