@pastorbarakangata606 naomba nikusisitizie Jina la YESU nitaikaloitika Amen ni huyu wa herufi kubwa ila si wa herufi ndogo kwani Jina lake ni juu ya majina yote Mbinguni na Duniani.
Na mimi natamani nijawe na huyo roho mtakatifu anifundishe na aniongoze ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa kufundisha umuhimu wa roho mtakatifu akiingia ndani ya mtu anamfanya mpyaaa ameni!
Amina baba nabarikiwa Sana,, mtumishi jactan tuletee ule ujumbe wa pastor Enigma wa south Africa namsikia tiktok maono yake yanafanana na ya nabii Aston mbaya
Mtumishi ubarikiwe naomba uniombee Mimi na familia yangu tumetekwa sana na familia yangu Kila tunachofanya atufanikiwi tumekuwa watu wakukaliwa bila sababu naamka hata usiku wa manane lakini mambo ni magumu
AMEEN mtumish mungu akubariki sana endelea kutufungua baba je mchungaji mwana. mke kuvaa suruali ni Dha mbi na kama ni Dha mbi mbona hadi wachungaji wa kike wanavaa??????
Nakupenda Sana sana sana sana vraiment mungu azidi kukubariki mtumishi wa mungu
Ukweli Mtupuu,ubarikiwe sana Mch katika JINA LA YESU KRISTO
Ahsante Mungu wangu kwawema wako na Iman japo tuna fwatilia maombi aya kwenye mtandao but kwauweza wa mwenyezi Mungu tuta funguliwa Amen🙏🙏🙏🙏
Naomba nikombolewe kutoka kifungo hicho cha single mother.Mpango wa MUNGU utimie kwa maisha yangu.
vifunguke vifungo kwa jina la yesu mume uliokusudiwa akuone katika jina la yesu
@pastorbarakangata606 naomba nikusisitizie Jina la YESU nitaikaloitika Amen ni huyu wa herufi kubwa ila si wa herufi ndogo kwani Jina lake ni juu ya majina yote Mbinguni na Duniani.
@@esthermordecai4679 ok barikiwa
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU kwamafundisho mazuri ♥️❤️
Mungu akubarik mtumishi❤❤❤
Hallelujah ubarikiwe Mchungaji.
Wewe ni wa baraka nashukuru Mungu kuniongoza kukupata hapo promover tv. Forever greatful
Amen baba Mungu aendelee kukutumia kwa kueneza injili ya kweli ya Mungu
Nakupitia huu ujumbe Mungu anitumie Adam wangu maisha ya kuamka pekeyangu siyataki tena
Umenibadisha sana
Mtumishi ubarikiwe sana Mungu aendelee kukutumia utujenge ni sahihi unaosema utuomber kweli tuko kwenye connectin
Mungu mwema
Na mimi natamani nijawe na huyo roho mtakatifu anifundishe na aniongoze ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa kufundisha umuhimu wa roho mtakatifu akiingia ndani ya mtu anamfanya mpyaaa ameni!
Amen
❤Ameen ameen Barikiwa Sana kwa mahubiri haya sema nasi tupone
Amenman of God Amielikatekela nafwatilia kenya
AMEN ni kweli mtumishi wa wa MUNGU hatupaswi kuhukumu
MUNGU aturehemu na atusaidie
Amina baba nabarikiwa Sana,, mtumishi jactan tuletee ule ujumbe wa pastor Enigma wa south Africa namsikia tiktok maono yake yanafanana na ya nabii Aston mbaya
Amen,sawa kwa neema ya Mungu tutauleta
Ameeeen@@PromovertvTz
Amina sana nabarikiwa
Asante baba kwa mafundisha
Amina hallelujah
Powerful man of God
Tupo pamoja
Asante Kwan uchube
Amina
Amen 🙏🙏🙏
Roho Mtakatifu atufundishe tupate kusalimika
Wa TAG EAGT hapa na heren zao wanaumia baba unawagonga nyumdo😂
Akiunga ukristo bi
Msimazi wa vyombo weka sauti sawa ya mic
Mtumishi ubarikiwe naomba uniombee Mimi na familia yangu tumetekwa sana na familia yangu Kila tunachofanya atufanikiwi tumekuwa watu wakukaliwa bila sababu naamka hata usiku wa manane lakini mambo ni magumu
Ila kujazwa rohomutakatifu
AMEEN mtumish mungu akubariki sana endelea kutufungua baba je mchungaji mwana. mke kuvaa suruali ni Dha mbi na kama ni Dha mbi mbona hadi wachungaji wa kike wanavaa??????
Kuvaa suruali ni machukizo soma kumbukumbu 22:5 usitishwe na wanaovaa fata neno linasemaje
@@ElizabethSimon-g8n amani asante sana mungu akubariki
@@HalimaPaskal amen barikiwa!
Usifuatishe wanaovaa mpnz tuangalie MUNGU alivyotuambia katika Neno lake takatifu@@HalimaPaskal
Mungu atusaidie kwasababu manabii wa uwongo wamejaa ubarikiwe mtumishi wa mungu
Naomba nishirikishsafari yako ughaibuni Nina ujumbe wa kupeleka huko hasa Maekani.Nisaidie kuliombea Hilo.
Amen