ADAM HAJI:Wakristo hawajui Mungu anavyowapenda•Alshabab waliua mke wangu baada tu ya kufunga ndoa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ธ.ค. 2024
- JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV
Aiseee
Kuna watu wanampenda Yesu mpka naogopa ee MUNGU huyu baba kaniliza 😭😭na nimepata ujasiri wa kuendelea kumpenda Yesu pia ❤
Amen Amen halleluya ujaziri wa huyu mtumishi wa Mungu jameni kiwango kingine
BWANA YESU atusaidie YESU nisamehe naomba Asante sana mtumishi BWANA YESU Akuinue Akubariki saaaaana nimejifinza kitu jamani
Ubarikiwe sana mtumish wa BWANA YESU.Adam haji nimesikia ushuhuda wako miaka mingi mama yangu alinisimulia leo nimekuona Tz.Mungu awabariki watumishi mliomleta mwana wa Mungu Adamu Haji🔥🔥🔥🔥
Duh injili ni moto unachoma pande zote. Bila huvumilivu hakuna atakaye toboa. Mungu akutie nguvu
Adam Haj Mungu azidi kukubariki nimefurahi kukuona tena ukiwa ktk viwango vya juu zaidi
Amen mpila nishasahau namshukulu mungu kiu ya mpila Sina tena 🙏🙏
I just love this man of God 😍
Pastor, Ubarikiweeeeee sana BWANA YESU KRISTO asiwe sana kwa ajili ako
Promoter TV mko vizuri kumpata huyu mtumishi
Naamini Mungu anijua vema na kuijua nia yangu kwa unyenyekevu woote ipo siku atanisaidia kutimiza ndoto yangu hii kubwa maishani. Naomba Mungu anisaidie❤️🙏🙏🙏
Tunampenda sana uyu mchungaji, Mwenyezi Mungu ambariki sana.
Amen, tunakua watakatfu kwa kumpenda yesu 4th Dec 24
Nmejifunza Sana kwakwel yaan uvumiliv wakristo haupo
Adam Haji ni true disciple of Jesus kama wale mitume wa Yesu 12.
Ubarikiwe sana sana Mtumishi wa MUNGU BWANAYESUKRISTO tusaidie kuvumilia
Amen Amen .....Asante Yesu kwa Neno Lako la wakati ulituma ili tupone
Amen, namshukuru Bwana Yesu nimeokoka jmn nampenda Bwana Yesu. Hakika huyu mtumishi ni mtu wa Mungu. Bwana Yesu akulinde jmn mtumishi wa Mungu kutoka Kenya au Somalia. Bwana Yesu akufunike akulinde, akuinue hadi Mbinguni. Amen.
Glory to God. Ahsante kwa mafundisho na injili isiyogoshiwa
Hongera sana mtumishi ulivyogusa mpira wamekaa kimya ....mama Yanga na Simba kuanzia juu Hadi watoto.Aibu mbele za Yesu kanisa BWANA YESU aponye kanisa lake!!
Yaani,,utakuta mtu anayesema ameokoka lakini timu ya ni simba au yanga au anashangalia timu fulani ulaya,ndugu hatupaswi kabisa kuambatana na mpira kwasababu Kuna mambo ya ushirikina wa kutupa usiokuwa wa kawaida,kwa hiyo hata kama siyo wewe unayefanya huo ushirikina lkn inakuwa unafanya dhambi ya kushiriana na watendao
Yaani simba na yanga wamekuwa miungu na wanaabudiwa kwa bidii kubwa sana.Mungu aponye hili janga
Amen baba tunataka tuwe watakatifu wa vile Yesu ni mzuri mnoo
Ubarikiwe mtumishi wa bwana YESU KRISTO
mahubiri ya kweli kabisa! ubarikiwe zaidi mtumishi wa mungu
Amen man of God Adam hajii. Be blessed great word more grace
Kindly share this testimony watoto wa Mungu,Adam hajj amekuwa wa baraka kwa watoto wa Mungu aliye hai.
Waaaa ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa kweli safari ya mbinguni sio rahisi inahitaji uvumilivu nimebarikiwa na nimejifunza mengi
Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU
Hii naitaka hii kwa neema yako YESU
Amen niombea nikuwe kama wewe
Nakuelewa sana hapo kwny kusujudu kwa kweli wakristo tunatakiwa kubadilika
Amen amen nawapenda sana mungu awabariki sana sana nyinyi na family zeni nauduma zeni
Amen, praise Jesus Christ 🙌🙌
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa neno zuri
AMEN Mafundisho mazuri sana
Amen 🙏 barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Wao, Mungu anatumis this is a good one.
Huyu mtumishi Haj ananafasi ya pekee kifuani mwa Kristo.
Unafukuzwa nyumbani unakimbilia miguuni mwa Bwana. Hiiiii ni ya pekeèee.
Utakatifu Amen. Sasa makoza niya mwiibaji.... ama niya yule dada coz mwibaji hakujua kuna dada amefaa kipepo.
Amen amen amen mtumishi Mungu akubariki sana sana sana neema yake hizidi kuwa naww siku sote hapa chini hadi mbele ya ufalme wake.
Amina pasta naipenda injiri yako
Ahsante YESU ❤
Asante baba this is deep sisi tunajaributu ila mtakatifu ni Mungu pekee
Mungu akubariki mtumishi..., adam❤
Bwana yesu ni muweza yote vumilia😊
What a message!! God Almighty bless you a servant of the LORD God Almighty.
Karibu sana katavi mpanda utuletee injili....maana mahubiri ya shuhuda yako yanatisha sana
Asante adam haj
Amen past Adam Haji
This man always bless my soul
Ooh Lord give me the grace and courage to pay the price for my salvation 😢
Haji namjua vizuri -AMANI CHRISTIAN CENTER Mungu amrehemu
Kwa Ask Kameta eeh miaka hiyo rafiki....
Barikiwa mtumishi wa mungu
Amen yesu ni bwana ❤
Kuna kitu nimepata Mungu asante
Amen sana kweli baba Mchungaji
Glory To God Jesus Christ Amen Amen Amen
Amina mtumishi
Chombo Cha Bwana Yesu
injili ya uwamusho kabisa mungu azidi kukupa nguvu ya kuitangaza injili ya ukombozi,nime pokeya mengi
Hallelujah
Amina!! Amina!!! Amina!!!
Nanabarikiwa kwa jina la Yesu
Uwiiiiiiii kichwa cha wahindi mungu tusaidie
Nimepona kwa injili hii
Powerful
Ubarikiwe mnooo
AMINA..
MUNGU NIPE KUVUMILIA😢
Jaman haya mafundisho yamenitoa machoz .mafundisho kama haya tunahitaji Sana
Mimi pia
Huu ujumbe umenivusha sana
Ubarikiwe mtumishi
Nimefurahiya kuipata neno
Promover tv mtafuteni huyu mtumishi aelezee kila kitu jamani😊
Nilimfatilia huyu mtumishi wee..nilishindwa kuimaliza😢😢amepitia yanii..daaah...
Hongera Adam hadji
Mungu wangu!!!!!!
Bwana yesu nisameh
Amen Amen mtumishi wa Mungu
Powerful!
Iko deep and touching sana
Asante kwa neno
Chukuwa chako mapesa pesa ipo hapo huku kuna Mungu sio utajiri sasa pole kwa kuchagua pesa
Kwani utajiri ni dhambi? Ibrahim, Ayubu walikuwa matajiri wakutupwa hao na wapo mbinguni umasikini sio njia ya kwenda mbinguni
Bora utajiri kuliko mohamedi
@NancyPatrick-il8zj aaka mwezangu unauhuru wa kuchagua upendalo pepo au moto
@@SabihaibrahimRajabu kweli kabisa na mimi ndio nimeshachagua pepo sasa Yesu Kristu
@NancyPatrick-il8zj wapi andiko unapelrkwa peponi ukimchagua kiristo
🙌🏻🙏👏🏼
mmh ukwelmtumishi umenigusa hapo uliposema ukifungiwa mlango songambele namaombi haponimeelewa kumbeukipitia magumu niyesu amekumis
34:10
Amina
Haleluya
amina
Ameeeeen
❤
Oh my God
Camera man pole Leo una kazi nzito kumtafuta mhubiri!!! Let me finish to listen then I will come back for comments
huyu mtumishi huwaga ana point nzito🔥sifa kwa YESU KRISTO. walioitwa na YESU utawajua tu. ni tofautu na waliojiita na walioitwa na devil
Nimeelewa mno😂😂😂
😢😢😢😢❤❤❤
Amina amina
Dah hii injili ilikuwa wapi jamani?
mmh ukwelmtumishi umenigusa hapo uliposema ukifungiwa mlango songambele namaombi haponimeelewa kumbeukipitia magumu niyesu amekumis
Kichwa cha mhindiiii
Ni sehemu gani huu mkutano upo jamani nataka kuja leo au naomba namba ya cm please
Kinyerezi
Kinyerezi mwisho ama unasemaje niko njiani kuelekea huko
Da akika vyombo vya Bwana bado vipo
Waaa promoter balikiweni kwa kuleta huyu mtumishi
Ameen am really blessed 🇰🇪🙏