Pastor Mimi nakufwatilia from Kenya.....naomba number yako ya simu......naomba umuombe ndugu yangu.......tulimzika....but kutokana na mahubiri yako huenda ni kama alifanywa msukule
Alitolewa kafara na rafiki yake WA dhati.........tena alimuulia Kwa nyumba yake .......alidanganywa Kwa kupigiwa simu.....aendee akasimamie harusii......kumbe ndo walikua wamempangia kifo....huyo aliyemuita ndo bestfrnd yake.....kulikua hamnaa harusii.....walikua wamempangia kifo ...wakamulia hapo Kwa nyumba yake
Mungu alimwambia Musa waambie watoe dhahabu na pesa, weka vyombo viwili, cha fedha ni chako na dhahabu yangu, Nabii akamwambia nipe nile kwanza, kabla ya Nabii kumtakia yule mama wa Serepta ilikuwa imeandikwa. wapi? , Unaelezea historia yako sawa ndiyo ulivyokuwa, onyesha basi ulicho pata.kwa Mungu, watu wanashida, onyesha Mungu wako, sio kubeza huduma za wenzako, sijawahi kuona Alphalukao na T,b, Joshua na Bushiri wakihubiri huduma za wengine bali Kristo
Ni ngumu kusema lakini Ukweli ni kwamba hakuna hubiri wala fundisho la mambo ya nyota katika biblia, hayo ni mambo ya kichawi/giza, kipimo ni biblia na Yesu Kristo pekee, tuoneshane ni wapi Yesu au biblia ilionesha au kufundisha mambo ya nyota. Shirki ipo kurogwa kupo ila biblia imetambuaje suala la nyota au imefundisha nini juu ya hilo??
@@samwelstephen6376 njoo na hoja za kwenye biblia sio za masimuliz ya mtu leta mistari ya biblia maana haijasahau jambo lolote. Uchawi upo kazi za mwovu zipo ila je biblia uasema nn juu ya nyota??
@@lilianmbeyu ile ilikua nyota ya Yesu ?? Wapi imeandikwa?? MUNGU alitumia nyota kuwaongoza tu wafike pale kama alivyotumia moto kwa wana wa israel kule jangwani. Wapi neno limesema ile ni nyota ya Ya Yesu au mahali bible ikasema eti Nayo nyota y Ibrahim ikang'aa au Eti Naye Daudi alikua na nyota ya Uongozi. Hakuna ishu za Nyota wanatumia watu wa shirki . Kwa Mungu kuna baraka tu sio ishu za nyota.
pole sababu ufunuo wako kaka uko chini isitoshe labda wewe si wa kristo ungekuwa ungeelewa karibu basi ujiunge na hii familia ya wakristo ili anene nawe uelewe ni kimo ndani ya mafunzo haya maana mimi mwenyewe nimushuhuda wa hili kabla hata nisikie mafunzo kuhusu nyota niliiona nyota yangu,karibu kwa Yesu
@@yesuanikumbukejanuary8363 badala ya kufundisha jinsi ya kumcha Mungu ye anafundisha kazi za shetani, zitakusaidia nini ukishazijua ? Ukiwa na Mungu anatosha, mjue Mungu zaidi sio shetan.
@@joshuamakota6714Ndugu bila haya mafundisho tusingejua mambo mengi na bado tungeishi kimazoea na kujiona ni sawa kumbe tulikua tunajidanganya. Bila haya mafundisho je hawa manabii wa uongo walivyo chachamaa na kuangamiza watu je tungewajua? na uzuri si yeye peke yake anae fundisha kuhusu hawa watu na hata mafundisho ya nyota wanafundisha wengi sasa we ukipinga sawa ila Mama Jusi wale walioona Nyota ya Yesu kuzaliwa kwani hawapo kwenye Biblia? na hao mama Jusi walikua na kazi gani kwenye Biblia? kama unasali Roman Katoliki basi haya mafundisho hutokubali au la kama baadhi ya vitu anavyo ongea unavishiriki lazima umuone hafai na nimuongo bila hivyo ulipaswa ushukuru kujua hayo mambo.
Amen, nimebarikiwa kabisa kupitiya hili neno la MUNGU, mungu akubariki sana mchungaji
Wow! Mungu ana watu wake imara namna hii. Umebarikiwa mchungaji
Amen ,Mungu Ni mwema
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Amen Amen nimebarikiwa sana WATUMISHI WA Mungu jactan na amiel Mungu WA Baraka asiwapungukie kabisa
Yesu nisaidie
Mungu akubariki xana mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe mchungaji Katekela
Nakuelewa Sana MCH.🙏 Mtaijua kwel nayo kwel itawaweka huru
I'm so blessed God bless you Man of God❤
Amina.
Amen I received
Amen nimebarikiwa sana
Amena kubwa MUNGU akubariki sana mtumishi
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Amen Yesu mweza wa yote
Baba itoshe kusema nakupenda unabomoa sana
Pastor Mimi nakufwatilia from Kenya.....naomba number yako ya simu......naomba umuombe ndugu yangu.......tulimzika....but kutokana na mahubiri yako huenda ni kama alifanywa msukule
Alitolewa kafara na rafiki yake WA dhati.........tena alimuulia Kwa nyumba yake .......alidanganywa Kwa kupigiwa simu.....aendee akasimamie harusii......kumbe ndo walikua wamempangia kifo....huyo aliyemuita ndo bestfrnd yake.....kulikua hamnaa harusii.....walikua wamempangia kifo ...wakamulia hapo Kwa nyumba yake
Huenda ndugu yangu alifanywa msukule na hatujuii ......nimekua nikikuskiza daily .......and I beliv you can help us
Hiyo nikweli baba nimatesotu kuwa na mume mpagani baba Yangu muwenatuombeya 🙌
Amen 🙌🙌🙌🙌🙌
Amen amen.
Amen 🙏 ❤
Amen
Amen Amen
Duu ukomboz wa nyota jaman waafrica tuna shida sana wenzetu wametuacha mbal sana Kwa mambo ya Dunia hii sjui shida nn
Mayele ndio nani???
"Haleluya"
Mungu alimwambia Musa waambie watoe dhahabu na pesa, weka vyombo viwili, cha fedha ni chako na dhahabu yangu, Nabii akamwambia nipe nile kwanza, kabla ya Nabii kumtakia yule mama wa Serepta ilikuwa imeandikwa. wapi? , Unaelezea historia yako sawa ndiyo ulivyokuwa, onyesha basi ulicho pata.kwa Mungu, watu wanashida, onyesha Mungu wako, sio kubeza huduma za wenzako, sijawahi kuona Alphalukao na T,b, Joshua na Bushiri wakihubiri huduma za wengine bali Kristo
Hujaelewa nini hapo? Mwenzio anakwambia kimpangia mshirika kiwango. Kwenye hayo maandiko kuna aliyepangiwa kiwango?
Niombee mm pamoja na watoto wangu amiel katekela psy
Natama nifundishw na wew ili nimjuw mung namushukulu mung kuwalet watumiash kam ww ubalikiw
Sikweli yapo yesu alipozaliwa mamajusi walihiyona nyota yake wakaenda kumusujudia
Diamond alipewa biblia asome neno
Ni ngumu kusema lakini Ukweli ni kwamba hakuna hubiri wala fundisho la mambo ya nyota katika biblia, hayo ni mambo ya kichawi/giza, kipimo ni biblia na Yesu Kristo pekee, tuoneshane ni wapi Yesu au biblia ilionesha au kufundisha mambo ya nyota. Shirki ipo kurogwa kupo ila biblia imetambuaje suala la nyota au imefundisha nini juu ya hilo??
Wewe siyo Mkristo,
Kama ndiyo, basi hujaelewa sehemu.
@@samwelstephen6376 njoo na hoja za kwenye biblia sio za masimuliz ya mtu leta mistari ya biblia maana haijasahau jambo lolote. Uchawi upo kazi za mwovu zipo ila je biblia uasema nn juu ya nyota??
kwani walifikaje mamajusi mahali alipokuwa Yesu kazaliwa je hawakuongozwa na nyota ya Yesu,au unataka mafundisho gani kuhusu nyota
@@lilianmbeyu ile ilikua nyota ya Yesu ?? Wapi imeandikwa?? MUNGU alitumia nyota kuwaongoza tu wafike pale kama alivyotumia moto kwa wana wa israel kule jangwani. Wapi neno limesema ile ni nyota ya Ya Yesu au mahali bible ikasema eti Nayo nyota y Ibrahim ikang'aa au Eti Naye Daudi alikua na nyota ya Uongozi. Hakuna ishu za Nyota wanatumia watu wa shirki . Kwa Mungu kuna baraka tu sio ishu za nyota.
pole sababu ufunuo wako kaka uko chini isitoshe labda wewe si wa kristo ungekuwa ungeelewa karibu basi ujiunge na hii familia ya wakristo ili anene nawe uelewe ni kimo ndani ya mafunzo haya maana mimi mwenyewe nimushuhuda wa hili kabla hata nisikie mafunzo kuhusu nyota niliiona nyota yangu,karibu kwa Yesu
Kumbe na wewe ni mganga wa kienyeji tu somo lako tu linakushuhudia
alisha okoka anatufundisha jinsi shetani na maraika wake wanavyo fanya kazi alisha acha AMEOKOKA.
Bora wewe umetambua Maana hiyo ni shirki tu hakuna fundisho la Nyota ndani ya biblia.

YESU anaokoa
Amen
Amen
Amen