kisima _Bhazunije Official Audio

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 204

  • @busungu_tv
    @busungu_tv 4 หลายเดือนก่อน +16

    Kisima majabala seeema tukupe nini mashabiki jamaaan nawaomba wasukuma wote kila kona tumpe supports msanii wety azidi kufanya vizuri zaidi ya hapo maana juhudi zake zinajidhihirisha kabisa kuwa amekuwa msanii mwenye mashairi safi, nyimbo zenye mafundisho na maadili, nyimbo amabazo ynaweza kusikiliza ukiwa na familia hakuna matusi wala maloloso yaani nyimbo haina KAVIVI💥💥💥💥💥KISIMA💫MAJABALA💫💥💥💥

  • @AlliPo-21
    @AlliPo-21 4 หลายเดือนก่อน +11

    nilikuwa nasubil nyimbo ya kibabe kama hii 👍👍👍👍👍

  • @IkambulaMtunga4670
    @IkambulaMtunga4670 4 หลายเดือนก่อน +7

    Piga kazi Mwamba mtu yoyote anayejitambua lazima aheshimu unachokifanya wewe ni mtu wa watu kazi yako ishaonekana kitambo na ikashemika kwa kila mtu
    Mungu tu ndiye mwenye uwezo wa kushusha piga kazi kwenda mbele hakuna kurudi nyuma tupe tunachostahili mashabiki zako na sisi hatutachoka kukusupport.
    Majabala Traditional Culture. 👏👏👏👏💪💪❤❤🙏

  • @kadegeasilitv-zt9bv
    @kadegeasilitv-zt9bv 4 หลายเดือนก่อน +10

    Nitacoment mara moja tu ....ni kwamba....ulichokifanya kutoa nyimbo sehemu mbali mbali. 👉🙏. umefanya vzr sanaaa moja wapo wa kujua sehemu gn nafeli kimziki lkn kufikia hapo nakupa👉🙏🙏🙏🙏%%%%%%zote

  • @imanwelisuby
    @imanwelisuby 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli hii nyimbo iko vzl wapizan lazima wajipange hawatakuweza zindi kuwakela baka wachoke wenyewe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥

  • @daud652
    @daud652 11 วันที่ผ่านมา +1

    bonge la nyimbo kama unampenda kisima like hapa

  • @ibrahimbaraka5262
    @ibrahimbaraka5262 4 หลายเดือนก่อน +6

    Umeniliwaza kisima nilikofikia najilaniangu niligonge alisikilize blo nakukubali nakuombea uwendereye namungu akubariki upatekingi zaid mungu yupo nawew❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BoniphaceNghwaya
    @BoniphaceNghwaya 4 หลายเดือนก่อน +5

    We noma sana

  • @user-zg7gm3cy1j
    @user-zg7gm3cy1j 4 หลายเดือนก่อน +5

    Unaakili sana MWAMBA , na cku zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawe kaka , Niko nawe MWAMBA mpaka wakuue

  • @mahungujulius1788
    @mahungujulius1788 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi Nzur sana Iko poa mno Hongera sana

  • @user-vi5pn9gm2e
    @user-vi5pn9gm2e 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzur hakika we nijabar

  • @manambavideoproduction8394
    @manambavideoproduction8394 4 หลายเดือนก่อน +7

    Moto fire mwaka huu Salamiti imefika tayari kwa DJ JUMA MANAMBA

  • @massanja221
    @massanja221 4 หลายเดือนก่อน +4

    Goma kali sana 🎉🎉🎉🎉 greatest singer in wapi jaman! Sukuma land tribe

  • @gumadambiti4071
    @gumadambiti4071 4 หลายเดือนก่อน +4

    Pamoja saaana kaka angu kisima tunakupenda sana msanii wetu kisima nyumbn kwtu bariad simiyu

  • @user-rw2vq6zt5o
    @user-rw2vq6zt5o 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nakuelewa sana ndg, nitazidi kuwa shabiki wako. Kisima Mungu akubariki sana

  • @KingimmaKelela
    @KingimmaKelela 2 หลายเดือนก่อน +1

    My brother from another mother nakukubar sana kisima 💪💪💪

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kisima wewe Ni Msanii Namba Moja Duniani kwenye Asili Mimi Ndio Nasema Sasa❤❤🔥🔥🔥

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu fundi nyanda . Majabala moto Kwa kotela khole

  • @mussanyanda-bz5xk
    @mussanyanda-bz5xk 4 หลายเดือนก่อน +4

    Unafanya vzr saana pande za chato lini tumekumbuka show za nyimbo zako

  • @BenjaminShilikale-i1h
    @BenjaminShilikale-i1h 11 วันที่ผ่านมา +2

    wewe ni denger hatari 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @leticiachares727
    @leticiachares727 4 หลายเดือนก่อน +6

    Dah braza natamani ckumoja nikutane nawe tubonge

  • @williamjames5267
    @williamjames5267 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kisima leo nime penda sana nimekua muombaji wanyimbo zako kwa madenca wako kila mda hatimae kilio changu kimejibiwa

  • @FabianMihambo
    @FabianMihambo 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wew kwa sasa ni msanii bora nakuita king kisima

  • @Boniphacehachili
    @Boniphacehachili 4 หลายเดือนก่อน +5

    Saaaafi japo nimechelewa ila bado nakusikiliza

  • @user-jx6qm5ks6g
    @user-jx6qm5ks6g 4 หลายเดือนก่อน +4

    Saf kwa kaz nzuri 👍👍

  • @StanleyDaud-nm9ku
    @StanleyDaud-nm9ku หลายเดือนก่อน +1

    Wewe jamaa kiukwel hua nafatria sana kazi zako sana hongela ikoloye. Nakukubal sana

  • @KAPAGALAKAPAGALA-dl9qd
    @KAPAGALAKAPAGALA-dl9qd 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nimo ntale bokelaga nghubhi👏👏 kisima nyanda majabala. Ila aha giki ULUBHALINJONGA NANG'HO ULISHINA nani uokuminyiwa😂?

  • @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx
    @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx 4 หลายเดือนก่อน +4

    King kisima nani anakuzingua kama vipi umle kimya kimya bila kujua

  • @ndeteleleoizdory2292
    @ndeteleleoizdory2292 4 หลายเดือนก่อน +4

    Bhazunije nyanda gete chukua maua yako KABILA ndan🎉🎉🎉🎉

  • @FabianMihambo
    @FabianMihambo 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mmh noma sana nyimbo nzur

  • @barnabastitus9952
    @barnabastitus9952 24 วันที่ผ่านมา +1

    Nyimbo nzur nimeielewa❤❤🔥🙏

  • @emmanuelmathias876
    @emmanuelmathias876 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi nzuri,makini yenye uhalisia hakika Kuna Nguvu ndani Yako
    Mungu abariki kazi ya mikono Yako Kisima*🇹🇿
    Huku Moshi tunaenjoy na Nyimbo zako bwana

  • @lucaspangarasi9368
    @lucaspangarasi9368 4 หลายเดือนก่อน +5

    du! hatar sana kisima ong'wise

  • @samwelsamwel4042
    @samwelsamwel4042 4 หลายเดือนก่อน +2

    Okey very talented 🎉😮

  • @ngasamotv358
    @ngasamotv358 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hii Ndo iwe ya kwanza kutoka video

  • @stivenjiduki6606
    @stivenjiduki6606 4 หลายเดือนก่อน +1

    Majabala Traditional culture tupo pa1 sana❤

  • @jimodefighter
    @jimodefighter 3 หลายเดือนก่อน +1

    good job🎉🎉🎉

  • @DaudiYese
    @DaudiYese 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuku sana konko 😮😮

  • @lukindamangwelela4569
    @lukindamangwelela4569 4 หลายเดือนก่อน +3

    Bro uko pow (uko vizuri) zaidi ya hao unaofananishwa nao kikubwa pambana tu kutoa nyimbo za mafunzo

  • @MacktridaPita
    @MacktridaPita 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ahahahahaha Safi sana rafiki angu nimekukubar hiii ngoma nimeierewa sanaa❤❤❤❤❤❤

  • @ANTONITzofficai
    @ANTONITzofficai 4 หลายเดือนก่อน +7

    Wewe

  • @yoshuapaul8300
    @yoshuapaul8300 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yani hapa ndo penyewe piga kazi jembe letu tunakukubali sana
    Bhazunije tena kwahii ohoooooo ohooo kisima huu wimbo nemekesha nausikiliza yan haiishiwi utamu

  • @JosephRobert-oz4cz
    @JosephRobert-oz4cz 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nakubali kaka nimeerewa sana nyimbo iyo

  • @BennyKhane-c7c
    @BennyKhane-c7c 16 วันที่ผ่านมา +1

    Wew kaka nihatari unajua sana 🙏🙏

  • @EmmanuelMayenze
    @EmmanuelMayenze 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤ upo makin Sana kaka

  • @user-ij6gr8pp7b
    @user-ij6gr8pp7b 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kishushu bariad ndani

  • @NsamaKisatu
    @NsamaKisatu 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wimbo Bora wa mwaka 2024 -2025

  • @LeonardLuzali
    @LeonardLuzali 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kisima ww n mwamba

  • @MsalikaSabuni-d9t
    @MsalikaSabuni-d9t 15 วันที่ผ่านมา +1

    I salute you kisima majabala no one can disturbing you

  • @mattaamosbinamba2588
    @mattaamosbinamba2588 2 หลายเดือนก่อน +3

    Duuh ila huyu janaaa noma sana yaan

  • @First_bornKM
    @First_bornKM 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ni hatar😮

  • @DeoHabi-bi8ch
    @DeoHabi-bi8ch 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉safi sana Mr kisima

  • @kadokemarco9966
    @kadokemarco9966 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ila bhayanda ahene mletuwakisha chiza sana Sukumaland👏👏👏👏👏. Hongera sana Kisima

  • @AnastaziaMhondwa
    @AnastaziaMhondwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kipji unacho mungu akulinde2

  • @MarthetMasunga
    @MarthetMasunga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safii

  • @teacherkaligodottonjige
    @teacherkaligodottonjige 4 หลายเดือนก่อน +3

    🎉Kazi nzuri

  • @user-ph6re4do3o
    @user-ph6re4do3o 4 หลายเดือนก่อน +1

    Umet xhakaka❤❤❤❤

  • @emmanuelbutamani
    @emmanuelbutamani 3 หลายเดือนก่อน +1

    Okay ❤️❤️❤️

  • @KelvinAmos-ow7pf
    @KelvinAmos-ow7pf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yani hi nyimbo hamunakitu humuwez gude gude wew hata kwa dawa

  • @Petrogumada
    @Petrogumada 3 หลายเดือนก่อน +1

    kka kaza sana tuko pmoja

  • @danielsamwel3538
    @danielsamwel3538 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kanda ya mashariki endelea kutawala mkuu nakupata sana niko pande za chato. Ulintemi nyanda majabhala

  • @nguzotv
    @nguzotv 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ila Kisima nahene 🙌🙌🙌🙌🙌🙌👊

  • @user-uw1xg2pl5j
    @user-uw1xg2pl5j 4 หลายเดือนก่อน +1

    kazi nzur kaka 🎉🎉🎉❤

  • @jumastephano2688
    @jumastephano2688 13 วันที่ผ่านมา +1

    Wew nouma mwamb

  • @RichardFrancis-nj3hb
    @RichardFrancis-nj3hb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka uko vzr sana

  • @johnlukanda4360
    @johnlukanda4360 3 หลายเดือนก่อน +1

    tungo tata🎉🎉🎉❤

  • @RichardIbrahim-bl8kd
    @RichardIbrahim-bl8kd 4 หลายเดือนก่อน +1

    We jamaa hatar

  • @HussenHatam
    @HussenHatam 3 หลายเดือนก่อน +1

    Big up Sana my blood,kweli elimu ni ufunguo wa maisha kwa wenye juhudi kama Kisima by Mongo kinamweli 1 Ngudu-Mwanza Tz,now nipo Dar es salaam,Congulatulations to you Kisima.

    • @HussenHatam
      @HussenHatam 3 หลายเดือนก่อน

      Corrections,congratulations instead of Congulatulations on my comment to you my greatest singer..,best wishes.

  • @user-im9od4rq1r
    @user-im9od4rq1r 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤🙏🙏🙏❤❤❤❤MUNGU AKUJALIE ZAIDI KAKA

  • @sundimalekwa8391
    @sundimalekwa8391 4 หลายเดือนก่อน +1

    Beeet na ujuzi tunatak tofaut mn nyimb zinafann

  • @NgoshawataifaChelehani
    @NgoshawataifaChelehani 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nice

  • @user-tb3kn3oo9i
    @user-tb3kn3oo9i 4 หลายเดือนก่อน +3

    Bhaliseka Bhasayile

  • @faustinjoseph920
    @faustinjoseph920 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naigonga kunamtu anajifanya yeyendoyeye

  • @mathiasbuban5175
    @mathiasbuban5175 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana

  • @TimotheoSengasenga
    @TimotheoSengasenga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Big up my gifted and talented artist of sukuma land tribe from MTC boy

  • @Saimon244
    @Saimon244 4 หลายเดือนก่อน +5

    Unakubuka shalo B hap nyamala kweli miaka ming

  • @PascalSongo-qo4xp
    @PascalSongo-qo4xp 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dayaga Nshimba Yakisukuma🎉❤

  • @Jema2003
    @Jema2003 4 หลายเดือนก่อน +1

    Oshigile ng'ewi duhu mpaga akuzunya duhu nuwei😂❤

  • @BenedctorBahati
    @BenedctorBahati 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hauna baya

  • @user-im9od4rq1r
    @user-im9od4rq1r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo jamangu ulintula ngeloo nan japo goma lipo guda

  • @CostantineLugwesa-il1nu
    @CostantineLugwesa-il1nu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Up milele

  • @SabuMrama
    @SabuMrama 3 หลายเดือนก่อน +1

    Video lini mkuu❤

  • @andrealoveness2875
    @andrealoveness2875 3 หลายเดือนก่อน +1

    This is very good song kisima fanya zaidi usiwe unapotea sana

  • @user-yy8fx6yq8w
    @user-yy8fx6yq8w 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nasema hivi kisima ni zawadi yetu sisi wasukuma kutoka kwa mungu hata mimi nasema safi chapa kazi ng'wanaume

  • @user-jn2ud7pm5w
    @user-jn2ud7pm5w 4 หลายเดือนก่อน +2

    unatish San kaka nataman uje uchezee show Uku Dar

  • @cosmasrobert2056
    @cosmasrobert2056 4 หลายเดือนก่อน +2

    watu tumekubali bado yeye tu ujumbe umeshamfikia
    ngoma kali sana kaka hongera kwa utunzi wako naamini kwenye video huwezi kutuangusha

  • @deusmusic3683
    @deusmusic3683 4 หลายเดือนก่อน +1

    safi sanaaa bhazunije ,hiyo imeenda mungu akutangulie uendelee kuwapa madini ukisikia kioo Cha jamii ndo hivi sas inavotakiw maana naona umebaki wewe wa kuimba za ujumb andaa jiwe lingine kama Hilo hata lichukue mda ila likiingia liwe la moto

  • @eugeniaritte9771
    @eugeniaritte9771 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tuzunyije ng'ana ng'wana wanee kazi nzr sana watachoka tuu songa mbele

  • @machiyajohnmbasa2746
    @machiyajohnmbasa2746 4 หลายเดือนก่อน +2

    Unyama sana kaka

  • @andrealoveness2875
    @andrealoveness2875 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo zako zafundisha

  • @user-fp8qt9dj5o
    @user-fp8qt9dj5o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kisima majabhala hakika mungu akulinde unpeeled kufundisha wanaoshindana na wewe hawawezi

  • @RukongerenatusSumuni
    @RukongerenatusSumuni 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤Hunabaya ilitu usilewe sifa kaka❤❤❤😂😂😂

  • @ZuberyNdauli
    @ZuberyNdauli 3 หลายเดือนก่อน +2

    poaw kaka hongera ur very talented

  • @GodyfreyAlex
    @GodyfreyAlex 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli hukosei watu wengine wanawivu lakini ukiwaeshimu watu hata baraka unapatu

  • @KimolaShilinde
    @KimolaShilinde 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hakili kubwa kisima majabala

  • @fredrickhenrygwantemi1816
    @fredrickhenrygwantemi1816 4 หลายเดือนก่อน +1

    Exactly

  • @user-kl9rz4gi1d
    @user-kl9rz4gi1d 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika bro tumekubali ❤❤❤❤🎉

  • @KelvinAmos-ow7pf
    @KelvinAmos-ow7pf 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kisima iyo nyimbo amunakitu futaa blothe ii nyimbo

  • @blessingmalulu3982
    @blessingmalulu3982 2 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulation my brother kazi nzuri sana umetumia hakili nyingi afu kisukuma cha ndani kabisa

  • @ChristinaSami-dj5ej
    @ChristinaSami-dj5ej 4 หลายเดือนก่อน +8

    Kazi nzuri zinajionyesha zenyewe hongera kwa nyimbo nzuri

    • @JohnLucas-nv2jv
      @JohnLucas-nv2jv 2 หลายเดือนก่อน

      waoooh🎤⏮️⏸️⏭️🔊🙏✅☑️