Wewe kaka unajua kuimba nyimbo zako zina maudhui na ujumbe tosha kwa jamii na isitoshe hadi hapa wewe ni msanii msomi kulingana na nyimbo zako good job brother wimbo huu huwa unanitoa machozi nautaishi daima😢😢
Nakukubli sana ikumbuke ile roli ulikuwa unaipakizia mahindi nikirudi huko nitkuj nikuone ....komaa mwanangu life jepesi san ukijituma mimi kutoka kuwa tan boy mpka kuwa mtu fulani...
mpanda mjinini,milupwa,milala,kagwira,sijonga,kalila,ikaka,ikaka kona,kona mnyagala,kona mwamkulu,senta maria,iloba,nkungwi,sibwesa,magogo,kasekese ndio zipo hizo studio zilizo upika huo wimbo chini ya mtaalam wa kuimba kisima nyanda majabala nakuelewa sana nikiwa rock city
Nakubali kaka utunga nyimbo nzuri zenye kuelimisha hongera sana rafki angu,
MTC shiliwa shikalaga hanze 🎻🎸📢
Kwa namna hii burudani haitaishiaaaa!! Usukumani
Kisima kisima kisima unajua Rafiki angu unajua ❤
Kisima dunia
Hongera sana sana bro unaelimisha jamii tupo 🤝
Hujawahi kuniangusha, nakubali kazi zako
Daaah we jamaaaaa😂😂😂😂😂❤❤❤❤😊😊
The greatest singer never give up brother congole sana
Hakika wewe ni msanii namba Moja Kwa wasanii wa kisukuma, Mungu akubariki sana
Tunakuamini sana msanii wetu mungu akuongezee umalufu
Nakuelewa sana kisima nipo Mwandoya-Meatu
Dogo unaimba vizuri siku umekuja zanzibar niambie
Namkubali xn mm kisima
Wewe kaka unajua kuimba nyimbo zako zina maudhui na ujumbe tosha kwa jamii na isitoshe hadi hapa wewe ni msanii msomi kulingana na nyimbo zako good job brother wimbo huu huwa unanitoa machozi nautaishi daima😢😢
❤❤❤❤❤❤peleka mbiyo mbiyo sana
Mbona ilikua sjaipata hii na nimetegesha kabisa kila ngoma ya kisima niipate iwapo akiweka
Ngoma kari sana tutolee video yake 🎉🎉🎉
Nakubali sana kaka kisima
Kazi nzuri 🔥 🔥
congratulations kisima🎉🎉🎉🎉
Sema hiii umecheza kwahiyo umetembea studio zote wew jamaa akil mingi sana
Kuna nyimbo zingine bhana ukiiskiliza mpaka machoz yanakutoka😢🔥
Hakika😢😢😢😢
kweli kjana
Wasukuma nguvu moja
Kisima nyanda majabala we noma
Unatisha bro
Kisima wewe noma Sana huu wimbo wa dunia umetisha Sana Kaka endelea hivyo hivyo kuwaelimisha watu
More proudly sukuma trible
Nakukubli sana ikumbuke ile roli ulikuwa unaipakizia mahindi nikirudi huko nitkuj nikuone ....komaa mwanangu life jepesi san ukijituma mimi kutoka kuwa tan boy mpka kuwa mtu fulani...
Kakukubali sana yaniiiiiiiii
Hahahahaaaa wela hange nho bhobho,dàaaah mungu tu ñdio anajua unako tupeleka wewe majabala
Kaka nakukubali sana wayumbanai unajua sana kuimba Yani hiii nyimbo yadunia imenimusa sana moyoni Yani nikalisana
Hiii hatarii sanaa
The greatest big man umetisha mkuu🎉🎉
Uko Sawa mkuu namanisha kazi nzuri sana
Big up saana nkoi ahasante kwa ujumbe wako huu umetuelimixha xaana wabheja
Pongez zang zikufikie bro🎉🎉
Mle mle kwa kipenzi chang unafuat
Uish miaka elf 1000 ya kobe mpaga wijimelwe
❤❤❤❤❤❤ fanya Kaz Kaka nyimbo zr yenye maudhui
Kisima anasumbua sanna hakuna kama yeye moto 🔥🔥🔥 ni ule ule 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Kuna kisima na bhudagala wengine wasubili kwanza Msalimie sana mahega Nigo Mwana shija
Tangu nyimbo za furola hujawahi kufeli kaka Mwenyezi Mungu akusimamie tu ndugu yangu
Endelea kupambana Nyanda majabala Nakutakia mafanikio zaidi ya hapo ulipo
Moto fire mwaka huu Salamiti imefika tayari kwa DJ JUMA MANAMBA
Uko vzr Sana kwenye huu wimbo umefundisha watu
Umetisha hizi ngoma❤❤❤❤
Kazi nzuli hongera kaka🎉🎉🎉❤
Kweli kabisa kk kalibu kwetu luguru baridi
Kwa huu mwaka sijakudai kitu .huu wimbo kweli ni mwimbo wa dunia bs uwafikie 🌍🙏
Hii nikali sana sio ya kukosa kusiliza kama una akiri ya usikivu
Ngoma kali sana hii❤ endelea kutuletea vitu bora
Nipo arusha lkn nafatilia mtc hakik napenda nyimbo zako big up bro 😮😮😮 kinacho takiwa lida tu cheo chako kwa sasa
mpanda mjinini,milupwa,milala,kagwira,sijonga,kalila,ikaka,ikaka kona,kona mnyagala,kona mwamkulu,senta maria,iloba,nkungwi,sibwesa,magogo,kasekese ndio zipo hizo studio zilizo upika huo wimbo chini ya mtaalam wa kuimba kisima nyanda majabala nakuelewa sana nikiwa rock city
Umetisha kisima🎉🎉🎉
Naenjoy sana wasukuma tupo🎉🎉
Kaka endelea kuwashushia kipigo
Nakuelewa sana kisima nyimbo zako nipo Chato
Hizi ngoma nakuomba video ziwahi kidogo ili tuendane na kasi ya hizi nyimbo zako pendwa nimezipenda bureeeee
Kweli kweli haujakosea ,video ake xaxa tunaiomba
Hongera sana unaelimisha jamiii❤
Kaz nzr saaana brother yang kalibu bariad simiyu tumekumisi
Wewe gumada mimi mlagwa
@@MlagwaSack-jn5bh mlagwa wawp
Niko geita ila ni mwenyeji wa nangale jina la gumada kama vile jina la ukoo wangu mimi ni daktari Niko geita vijijini@@gumadambiti4071
❤❤
Like gude gude
Sasa wasiokpenda wajiuuue tu tayar we ni mkubwa
Kisima wewe nimusanihi kweli hiyonyimbo inafudisha watu wengi sana ninasubilia video yake niko UGADA
Kisima kikweli muziki wako unatembea katika maisha ya kila siku ya jamii
🔥🔥 Lakn kalifaa kaeishe bila kolas
Kama vile unaongeaga Na dunia Kaka Piga kaz ❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🎶🎶🎶
Hongera sana nyanda majabala kwa kazi yako ya usanii maana nyimbo zako zinamafundisho ubarikiwe sana
Bariadi moja
Hakika unatuwakilisha vyema mnabagesi ❤❤🎉🎉
MTC ni moja tu nayo ni majabala traction cuter
Ep ya kisukuma umetisha mbaya mno😂😂😂
Kiukwer hii nyimbo imejaa mafundisho na maadili hongera kaka angu Kahama one
tungo tata,mafankioo upatee kaka zaid
Hizi ndizo nyimbo za akili
Dunia ubiza kaya ya mva mpaga natumunda tuyomoka
Sema kisima unajua sana mkuuu
MTC TANZANIA kazi nzuri sana mkali wangu
Mwamba nakubali sana
Broo❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉
hiii nzuri kuliko zote 🔥🔥🔥
Msalimie manjagata nyanda ong,ana bodi
kazi zako zinatamba xana hapa mtaani kwe2 fanya ata kupita tu ata siku moja tu
Kisima mbona kwetu kakese haujagi
dah re tribe singer bhane👊
Hakianan mwl mwenzangu ukwel unajuwa kutunga nyimbo mm mwenyewe n fans wako mkubwa sana
Big up❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉 daaaaa!!!!!
we need this kind of artist come on kama huelewi tagi mstari nitakutafasilia hapa kwenye comments
Wewe ni jembe kweli mungu akujalie
By lukago maduhu
Good song
🎉❤🎉
Ni hatar
Huyu jamaa bhana napenda kusikiliza nyimbo zake yuko vizuri
nakumbari kaka izi nyimbo
Hii nyimbo ingeenda kwa rhythms ile ile iliyoanza nayo
Good
MTC
Respect to you best song a more content to societies
My favorite