Je, ni DHAMBI mwanamke kuvaa suruali? | Bishop kakobe (Fgbf)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 20

  • @Mussa-t1q
    @Mussa-t1q 14 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana Mungu anakutumia utufikishie ujumbe mzito kutoka kwa Mungu.

  • @yusuphyunusi-zz1hx
    @yusuphyunusi-zz1hx ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana Bishop kakobe mafundisho yako yananibariki sana

  • @AgostinhoCosmeNambanga-yl7bt
    @AgostinhoCosmeNambanga-yl7bt ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe bihop

  • @kelvinkutaga
    @kelvinkutaga ปีที่แล้ว +1

    Hiyoo ni nzur sana kwa ulimwengu huu tulio nao

  • @sheletielikaasa9390
    @sheletielikaasa9390 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi

  • @samsonwambura4867
    @samsonwambura4867 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @MonikaShirima
    @MonikaShirima 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze baba

  • @JayvenMuhamba
    @JayvenMuhamba 4 หลายเดือนก่อน

    kazi yakoo njema BABA

  • @adkajisi4536
    @adkajisi4536 11 หลายเดือนก่อน +3

    Baba tunaomba urudishe huduma yako kupitia TV. Make Kuna upotoshaji mkubwa Wa Neno la Mungu.

    • @ruthmuja7792
      @ruthmuja7792 10 หลายเดือนก่อน +1

      Sana sana

  • @MbenaMagoma-vb4cl
    @MbenaMagoma-vb4cl ปีที่แล้ว

    Sifa na utukufu ni kwa bwana Yesu

  • @JaneJane-l7v
    @JaneJane-l7v 10 วันที่ผ่านมา

    Vanzi no utamburissho mkubwa sana mbele za mungu na jamii inayokuzunguka ata kama sip mtakatifu ukizingatia hilo itakuwa nivizuri sanaa

  • @dyno4tz
    @dyno4tz 2 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho mazuri.

  • @delderatnus327
    @delderatnus327 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa

    • @bakarikhaji119
      @bakarikhaji119 2 ปีที่แล้ว

      Eti mungu haangalii nje nende ni chupi na sigiria bas maana biashara ya mzungu hio sio dini

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 3 หลายเดือนก่อน

    Mwili ni hekalu lake Roho Mtakatifu

  • @restkalemile5274
    @restkalemile5274 2 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @SamwelWiliamu-be4uq
    @SamwelWiliamu-be4uq ปีที่แล้ว

    Amen

  • @ruthmuja7792
    @ruthmuja7792 10 หลายเดือนก่อน

    Amen