MWANAMKE KUVAA SURUALI NI SAWA AU SI SAWA ? - NENO LA MUNGU BY ASKOFU WESTON MANDOTA (EBC)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 104

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 2 ปีที่แล้ว +6

    Upo sawa sana kuhusu mavazi,wale wengine wanaogopa kusema ukweli ili waumini wasikimbie na sadaka zisipungue,wale wanataka pesa ila Neno linasema,kila Neno litakalo nenwa litatolewa hesabu yake siku za mwisho,hivyo iwe ni Neno jema au baya

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 2 หลายเดือนก่อน

    Angalieni sana sana hasa huko cpct pamoja na huko kwenye vyuo VYA Biblia. Mwingine juzi kakurupuka akihi iza wanawake Sasuke nywele mpaka wazibe mucho Moja. Injili siyo biashara.

  • @stephenSamwel-m2c
    @stephenSamwel-m2c 13 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumishi

  • @haronkihongosi201
    @haronkihongosi201 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amina baba Kuna wakati nachoka nakishiwa nguvu kabisa ila nikiskiliza mafundisho yako napata nguvu upya Mungu azidi kukuinua baba Askofu

  • @saayawokovunisasanileo9318
    @saayawokovunisasanileo9318 ปีที่แล้ว +1

    Baba askofu nimekuelewa unasema kweli kabisa Mungu akupe siku nyingi ili useme kweli

  • @obedlwinga9194
    @obedlwinga9194 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda sana wahubiri wanaosema kweli ya Mungu sio wanaoongea maneno laini yasiyoweza kumfikisha mtu uzimani

  • @KelvinSilvester-wp7og
    @KelvinSilvester-wp7og ปีที่แล้ว +1

    Amen asikofu wangu mngu akubariki

  • @claudibrahim1778
    @claudibrahim1778 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba Askofu Mungu akubariki songa mbele na Injili ya kweli Mungu akutunze akuinuwe zaidi Baba

  • @horemow9832
    @horemow9832 2 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante sana Mtumishi wa Mungu watumishi wengi wameshindwa kuhubiri ukweli barikiwa sana baba

    • @luciasimeo2170
      @luciasimeo2170 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina baba, tunaitaji watumishi kama wewe, niadimu sana. Nyakati hizi za mwisho.

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawajui maneno ya mungu uzungu mwingi

  • @DinoBernabe
    @DinoBernabe 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana baba

  • @mohsixtus7048
    @mohsixtus7048 ปีที่แล้ว

    Amina Baba askofu

  • @izraelyherman4467
    @izraelyherman4467 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Baba Askofu Mungu akubariki

  • @fadhilingeve8615
    @fadhilingeve8615 2 ปีที่แล้ว +1

    Sema kweli wale watumishi wanao msaidia shetani,wageuzwe mioyo yao na kumgeukia Mungu wetu wa kweli,Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu

  • @zabronkebandika6144
    @zabronkebandika6144 ปีที่แล้ว

    Sawa kabisa mtumishi wa Bwana NYAKATI hizi neno linachakachuliwa sana

  • @mussaabobakar7537
    @mussaabobakar7537 10 หลายเดือนก่อน

    Nashuku kuwa muislam

  • @ChristianAntony-xd8jt
    @ChristianAntony-xd8jt ปีที่แล้ว

    Amen, big up mungu akulinde, toboa ukweli baba

    • @ebcchurch7201
      @ebcchurch7201  9 หลายเดือนก่อน

      Amina Share na wengine. Barikiwa

  • @esthernambeye1953
    @esthernambeye1953 ปีที่แล้ว +1

    Amina baba more wisdom upon you

  • @janetmapper9483
    @janetmapper9483 2 ปีที่แล้ว +2

    Aminaaaaaaa sema tupone baba

  • @shadrackmajikwa4770
    @shadrackmajikwa4770 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina. Mtumishi. Nimejifunza. Kitu

  • @juliusmollel8597
    @juliusmollel8597 ปีที่แล้ว

    Huyu anayesema habari za Scotland,asamehewe tu ,hajui assembly.Biblìa ndiò neno la Mungu liaison na makosaSema mtumishi wa Mungu

  • @josephatkyoma559
    @josephatkyoma559 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm napenda msema kweli ubalikiwe

  • @laurentieliasi2496
    @laurentieliasi2496 2 ปีที่แล้ว +2

    BWANA atukuzwe
    Kwa ukweli huu.

  • @jamespatsonjp4935
    @jamespatsonjp4935 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni Mchungaji Wa Kweli kabisa sina mashaka na wewe.. Amen nimebarikiwa na Neno

  • @samlegend1901
    @samlegend1901 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina Baba Mungu akubariki

  • @rechomethod8288
    @rechomethod8288 3 ปีที่แล้ว +3

    Amina baba barikiwa,

  • @johnastarimo9721
    @johnastarimo9721 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana sana mtumishi. Ni wachungaji wachache wanaosema kweli. Suruali kwa wanawake na mapambo kwa wanawake ni ushetani. Ni njia ya jehanamu.

    • @HAAM670
      @HAAM670 5 หลายเดือนก่อน

      Aaaa kumbe Wanawake wanaovaa suruali wote hawaendi uzimani!!! Daaah, basi Mradi wa Mungu kumuumba na Kumwokoa mwanadamu umefeli kabisa. Wazungu wote, wachina, waarabu, wamarekani na mataifa yoooote wavaao suruani wataenda motoni. Wamasai na Lubega motoni. Majoho ya pastors wote motoni. Mungu ana hasara jameni, mitu mingi aliumba ili iende motoni.

  • @sallysalamakenga6329
    @sallysalamakenga6329 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭😭. Hubiri kweli mtumishi wa MUNGU ameeeen nakupongezaaa

  • @LuciaSimeo-yc7hc
    @LuciaSimeo-yc7hc 9 หลายเดือนก่อน

    Asante baba kuifundisha kweli

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @bahatmasawe1959
    @bahatmasawe1959 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina baba

  • @naomilucas8795
    @naomilucas8795 2 ปีที่แล้ว +2

    Sema baba tupone

  • @malindisamwel7630
    @malindisamwel7630 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeee

  • @johnastarimo9721
    @johnastarimo9721 8 หลายเดือนก่อน

    Suruali kwa wanawake na mapambo( cosmetic industry) ni kuipenda dunia na kufuata na mambo yake. Neno la Mungu linasema msifuate dunia wa wala mambo yake.

  • @sallysalamakenga6329
    @sallysalamakenga6329 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeen amen ameeeen

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว +1

    Si muwakataze kuingia kanisani na vikaptula km kweli mpo makini na maandiko

  • @gracehulubani9690
    @gracehulubani9690 2 ปีที่แล้ว +1

    Amee

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 2 ปีที่แล้ว +6

    Kiukweli walokole tumelewa Neema kuwa neema ndiyo. Kila kitu lakini mavazi yetu hayafanani na hiyo neema tuisemayo unamkuta mdada praise kavaa suruali eti ananena kwa lugha

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Ndio MAANA kanisani hakueleweki ubishi TU Bora KUWA na waumini WACHACHE kuliko kuendekea dhambI kanisani

    • @josephinekepha8922
      @josephinekepha8922 ปีที่แล้ว

      Daah Mungu atusaidie, mimi nilishsuliza sana hili swali kwatumishi mbali mbali, wanakwambie angalia kipindi na nyakati, izo ninyakati za enzi izo paulo alikua analiambia kanisa la wakorinto,. Wanaliweka kwamba liko sawa,.

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 2 ปีที่แล้ว +2

    Hata waimbaji sasa ivi siwa elewi

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Weeee wanapoanza tunaelewana subili wapate hela ahaaa MAWIGI KUJICHUBUA na nguo za ajabu

  • @inuacinema
    @inuacinema ปีที่แล้ว

    Naomba ni saidiwe zama za kale walikuwa wanavaa nguo za muundo gani ? Shukrani kwa yeyote atakay nisaidia kwa hilo 🙏🙏🙏

    • @phynnie
      @phynnie ปีที่แล้ว

      Hakuna ajuaye maana hakuna yeyote aliye ishi wakati huo. Yote tunayo yaona kwenye movies/film/video ni kuigiza tu.

  • @paschaldavidrichard2672
    @paschaldavidrichard2672 2 ปีที่แล้ว +1

    Man of God na kuhusu kunyoa mitindo je inakuwaje? Tunyoe vip?

  • @seniorboniface8784
    @seniorboniface8784 2 ปีที่แล้ว

    Ndio ameishia hapo ..

  • @akutiboysolomon9418
    @akutiboysolomon9418 หลายเดือนก่อน

    Hawakusema mavazi ya mwanamke ni gauni na mwanaume suruali
    2.Kihistoria ya biblia wanaume na wanawake walivaa kanzu yaani magauni tofauti ilikuwa mashono
    Natafuta mahali ilipochanganua na kusema wanawake wasivae suruali na mwanamme asivae gaining SIJAONA
    3.Muktadha wa andiko alikueleweka ni kwamba kulikuwa na Tabia ya kubadilishana mavazi wanaume na wanawake na hii ilipelekea Mungu apige marufuku si kwamba aliongelea aina ya mavazi
    LA HASHA
    Kuna mambo ya period kwa mwanamke sasa we ukivaa gauni au chupi yake ni NAJISI
    4.mavazi ni tamaduni za watu
    Scotland mfalme uvaa sketi na askari wa kirumi walivaa sketi

  • @beldennyambu6065
    @beldennyambu6065 ปีที่แล้ว +1

    Napenda mafunzo yako

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga5335 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina

    • @ebcchurch7201
      @ebcchurch7201  3 ปีที่แล้ว

      Amina, ubarikiwe

    • @bakarikhaji119
      @bakarikhaji119 2 ปีที่แล้ว

      Biashara ya wazungu vaeni Kama waislam kama hawatokugombeni

  • @ankogeorge8972
    @ankogeorge8972 2 ปีที่แล้ว

    Umenena baba

  • @seniorboniface8784
    @seniorboniface8784 2 ปีที่แล้ว

    Ni mavazi gani???

  • @henry11781
    @henry11781 2 ปีที่แล้ว +4

    Kumbukumbu 22:05. Ili andiko Lina apply vipi kwa wakristo waliopo Scotland?. Ambako vazi la kiume ni sketi?. Tue makini tunapo fasiri mandiko. ELIMU YAKUFASIRI MANDIKO NI MUHIMU KWA KANISA LA SASA. Sina maana yakutetea wanawake kuvaa surauli hapana. @tukumbuke matendo ya mwili ni dhahiri. Wagalatia 5:19-21.Tusije tukawa tunachuja m'mbu huku tunameza ngamia. @ubarikiwe na Bwana mwalimu.

    • @lucyjoseph4216
      @lucyjoseph4216 2 ปีที่แล้ว +1

      Wewe nchi yako ni Tanzania or Scotland? Kwa wafrica nguo ipasayo mwanaume ni trouser na Scotland nguo ipasayo mwanaume ni skirt fupi nayo ya wanawake ni nguo refu. Ni nchi gani huwa wanavaa traditional through out? Hata Scotland wanaume hawavai skirt maana ni nguo za utamaduni, acha upotofu! Ukienda Scotland utajijulia mwenyewe tuache wanawake wafrica tufuate neno!

    • @henry11781
      @henry11781 2 ปีที่แล้ว

      @@lucyjoseph4216 ulokole wa mihemko ndo uwa iko ivyo. Unajua TANZANIAN traditional dresses wewe ao unasema tu?. Biblia iliandikwa kwa watanzania tu au?. Hapo paster ana hubiri watanzania tu?. Kaa jifunze neno ukiongozwa na roho mtakatifu.Sijasema ni sahihi kwa mwanamke kuvaa surauli. @Lucy Dhambi unazofanya kwa siri Mungu anakuona usipotubu leo utaangamia, roho wa Bwana anakuonya leo.

    • @lucyjoseph4216
      @lucyjoseph4216 2 ปีที่แล้ว

      @@henry11781 asante dugu yangu ila mimi sina dhabi za siri isipokuwa mtu hakosi makosa maana tupo ulimwenguni uliojaa Dhabi,sijidai eti mm ni mtakatifu ila na tabua damu ya YESU iliyoleta wokofu na sichezei neema naamanisha nimekombolewa

    • @lucyjoseph4216
      @lucyjoseph4216 2 ปีที่แล้ว

      @@henry11781 roho anayekuonyesha niko dhabini na kwamba nina dhabi nazifanyia sirini naomba muulize tena anaongea kuhusu nani juu sio mimi😃 Mungu akusaidie na akupee macho ya Roho mtakatifu

    • @Pastor.Joseph_Mwakatobe
      @Pastor.Joseph_Mwakatobe 2 ปีที่แล้ว +3

      Maandiko yapo wazi suruali ni mavazi ya kiume MUNGU maandiko yake hayana mapungufu ya aina yoyote kwahiyo kuitumia mfano wa Scotland Kwa Tanzania kwani sisi ni wascotland mavazi ya kiume kama suruali ambaxo wanavaa wanawake kwanza zinawabana na kuchora maungo yake hata humo makanisani na kusababisha wengi waingie katika uzinzi kwanini umkoseshe mwingine mbingu Vaa mavazi ya staha huo ndio utakatifu na uzuri

  • @mosesnmousa5558
    @mosesnmousa5558 2 ปีที่แล้ว +1

    Viazi la mwanamke lipi kimaandiko🤣🤣
    Hupati jibu hamna aya ...

    • @mariammanyama7290
      @mariammanyama7290 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣...huwa pia najiuliza vp wale ndugu zetu wa zamani waliokuwa hawavai nguo wanafunika tu sehemu kidogo ya mwl wao .....jee hawa walitenda dhambi ???🤷maana hakukuwa na teknolojia ya kushona nguo

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 2 ปีที่แล้ว +1

      Mbona kuna suruali ya kike na kiume mimi naona ukivaa usiyo takiwa kuvaa ndo shda

    • @mosesnmousa5558
      @mosesnmousa5558 2 ปีที่แล้ว +1

      @@adkajisi4536 these people are attention seekers who has scriptural backing..

    • @essaukalinga5516
      @essaukalinga5516 2 ปีที่แล้ว

      @@adkajisi4536 Wapi biblia imeandika MWANAMKE alivaa suruali Ila wanaume iliandika

    • @essaukalinga5516
      @essaukalinga5516 2 ปีที่แล้ว

      @@adkajisi4536 Daniel 3:21. Soma na mstar WA 7

  • @gasperconrad1003
    @gasperconrad1003 2 ปีที่แล้ว

    Tumebakia wachache tunao hubiri kweli

  • @njeruthomas5315
    @njeruthomas5315 ปีที่แล้ว

    Zamani mbona waisraeli walivaa kanzu, wake kwa waume. Lakini pia kuna suriali ya kike na ya kiume. Kuvaa suriali kwa wanawake sio tatizo kabisa. Sasa wakiwa hata michezoni wavae sketi? Mzee tafsiri Biblia vzr, hapo kwa mavazi umechemka kdg.

    • @phynnie
      @phynnie ปีที่แล้ว

      Thank you. ................ KUVAA SURUALI SIYO DHAMBI:
      (if anything kuto vaa suruali ndio dhambi😂)
      1. Hakuna mahali Biblia ina define nguo za wanaume zikae hivi na za wanawake zikae hivi !
      The bible does not state anywhere that a woman's clothes shoud be designed a certain way
      2. Mungu amepatia wanadamu maarifa ya ku design vitu mbali mbali including fashion designs. Kuna designs zenye ziko appropriate for summer, for winter, for spring, for sports, for office, for school, for sleeping, for swimming, etc.
      Do they want to say swimming ni dhambi AU mwanamke a swim kama amevaa dress?
      3. Why is the focus only on pants/trousers and not t-shirts or stockings or hats?
      4. Does bible in any book, chapter or verse forbid women to wear coats and jackets?
      5. Does it anywhere forbid shorts and pyjamas or say they are men's clothing?
      6. Does bible anywhere forbid women to wear pantyhose because it takes the form of pants?
      7. Are ties/bow ties, belts etc men's clothing or a sin when worn by women
      8. Are sweaters, cardigans, overalls, jumpers men's clothing only.
      IF ANYTHING, PANTS ARE the most appropriate type of clothing that can conceal everything a woman needs to conceal. A woman wearing pants does not have to worry about wind accidentally blowing her dress and exposing her underwear to all and sundry.
      A woman on "her days" is much safer and better off wearing pants than wearing a dress.
      It's easier for a sexual attacker to molest a woman wearing a dress than a woman wearing pants.
      There are pants designed for men and pants designed for women just as there is underwear designed for men and underwear designed for women.

    • @rebecatarimo8639
      @rebecatarimo8639 8 หลายเดือนก่อน

      Trousers hasa hizi mnazoziita women trousers expose the private parts of a woman mwenye macho haambiwi tazama imagine wanawake wawili wanatembea barabarani mmoja kavaa sketi ndefu na mmoja skin jeans automatically anae expose mwili wake japo yupo ndani ya vazi ni the trouser one Tena siku hizi Kuna hizi high waist ndio shida watu mnaonyesha mashepu kabisa jamani it's a shame and haihitaji ufaham mkubwa kulielewa hili hasa Kwa mtu aliye okoka kama hujaokoka this message isn't yours my friend

  • @maikoandrew58
    @maikoandrew58 2 ปีที่แล้ว

    Hivi wewe ukipewa ile suruali ya kike unaweza kuivaa ?. Suruali ya kike ni tofauti na suruali ya kiume, sawa mzee ?

    • @benjamenshepa1000
      @benjamenshepa1000 2 ปีที่แล้ว +1

      wewe ndiye unaeshindana na nano

    • @williamnamende1023
      @williamnamende1023 ปีที่แล้ว

      Suluari ni vazi la kiume ila dunia imebuni mtindo na kuuita ni wa kike ili kuwanasa wakristo wengi hebu jiulize kwanini suruari za kike zinawabana sana ? Lengo ni kuachilia roho ya uzinzi duniani

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว +1

      Mmmmh suluali za kike kaanzisha shetani acheni

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 ปีที่แล้ว +1

      Mtu akiongea suruali tu inajulikan ni nguo anayovaa Mwanaume sas suruali ya kike imetokea wp?

    • @annaezra2344
      @annaezra2344 2 หลายเดือนก่อน

      Ndooo ujue shetani kaboresha ety suruali ya kike

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii siyo dini. Ni mawaz yako. Upuuzi umezidi kwenye dini mara mmnyowe nywele watu kanisani, mara kupata matope. Acheni kuchanganya watu akili

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 2 ปีที่แล้ว +5

      Kila Neno alinenalo mtu atalitolea hesabu Mzee wawatu anaonya sawasawa na Neno asilimia kubwa watu wengi watakengeuka hasa siku hizi za hatari tunaouendea hamsomi Neno ndio maana watu wanaenda kanisani Kila siku lkn wengine wamechanja chanjo ya shetani

    • @rebecashumbi3450
      @rebecashumbi3450 ปีที่แล้ว +1

      Uko sawA kanisa ni vuguvugu kwa wakati juu Yesu atalitapika

    • @dorahy1579
      @dorahy1579 ปีที่แล้ว

      @@rebecashumbi3450 wane if I ujinga Halafu watu pia ndiyo wajinga kuliko kiasi. Mtu unapakwa matope, unatandikwa viboko kanisani, halafu unakubali kuwa ni dini? Kama siyo ujinga ni nini?. Mwisho wataambiwa wakule mavi ya Pastor na watakula, family ingine still wanatafuta mtoto Pastor abawambia wakalalane kanisani mbele za watu, wajinga, wapumbavu pia wakaenda kulala a kanisani kwenye kundi la watu kama siyo ujinga utaita ni nini? Watu wengi wane kuwa wajinga wajinga wa kudanganya akili bichwani kwao hamna. Pumbabu ksbisa pamoja na hao Ma Pastor siyo Na Pastor ni wskola wakola tu.

    • @gilbertkakulima9715
      @gilbertkakulima9715 ปีที่แล้ว +1

      Kinachoongelewa ni ukweli sio ujinga Bali akatae onyo ndio mpmbv

  • @ChristianAntony-xd8jt
    @ChristianAntony-xd8jt ปีที่แล้ว

    Amen, big up mungu akulinde, toboa ukweli baba

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 2 ปีที่แล้ว

    Amina baba