Mbarikiwe sana watumishi wa Kristo. Hakika mmeanzisha jambo lililokua katika maono yangu. Mbinguni ni furaha kuu kwa jinsi mlivyomdhihirisha Kristo kuwa ndiye pekee anayestahili kuhubiriwa
Amina, binafsi yalikua matamanio yangu sana ifike mahali kanisa tuwe kitu kimoja tumwazimeshe Kristo pamoja pia tumlilie Mungu pamoja yapo mambo mengi kwenye tz lakin dunia ya leo ambayo ni lazma tumlilie Mungu kw pamoja. Ni mwanzo mzur watumishi w Mungu kuanzisha hiki MUNGU awabarik sanaa
Mimi ni Mkatoliki, hii kitu nimeipenda sana. Well done you men of God. Jukwaa hili likifanikiwa kuenea katika madhehebu yote, Kristo atahubiriwa vilivyo. Praise the Lord.
Binafsi nimebarikiwa sana. nakumbuka ile siku ya pili ya Shule ya Huduma jinsi Askofu Kakobe alivyoomba kwa mzigo kwa ajili ya Watumishi, niliguswa sana nami nawaombea kweli ya Mungu muisimamie, maana ki-ukweli Injili ya Kristo imefunikwa, watu wamekuwa ni wa kujipenda wenyewe kuliko kumpenda Mungu, wasengenyaji, watukanaji, wasiojali wa kwao na mambo mengine mengi ya ki-dunia, Injili ya kumhubiri Kristo haipo tena. Damu ya Yesu Kristo wa Nazareti iwafunike, muwe na maisha marefu hadi Yesu ahubiriwe kila mahali. mbarikiwe sana
Inapendeza Neno la Mungu linasema Zab 133:1-3 " Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza , Ndugu wakae pamoja na umoja ..................." Mbarikiwe sana Watumishi wa Mungu.
Hakika ni maono yenye tija mbele za mungu aliye tuumba sisi wana dam kwa sura na kwa mfano wake. Na tukijua tumeumbwa kwa sura na kwa mfano wa mungu. Hatuna sababu za kutenga tengana bali imetupasa tuwe wa moja ktk yeye aliye tuumba ya kristo yesu.
Watumishi wa Mungu, mbarikiwe, kazi yenu njema sana. Mbarikiwe Wapo Radio, Shalom Tv Online na ATN TV. Hallelujah! Bwana wetu anakuja, Maranatha!
Hii nzuri Sana,nimeipenda Sana.
Mungu awabariki sana Watumishi wa Mungu.
Mbarikiwe sana watumishi wa Kristo.
Hakika mmeanzisha jambo lililokua katika maono yangu.
Mbinguni ni furaha kuu kwa jinsi mlivyomdhihirisha Kristo kuwa ndiye pekee anayestahili kuhubiriwa
Amina, binafsi yalikua matamanio yangu sana ifike mahali kanisa tuwe kitu kimoja tumwazimeshe Kristo pamoja pia tumlilie Mungu pamoja yapo mambo mengi kwenye tz lakin dunia ya leo ambayo ni lazma tumlilie Mungu kw pamoja. Ni mwanzo mzur watumishi w Mungu kuanzisha hiki MUNGU awabarik sanaa
Mimi ni Mkatoliki, hii kitu nimeipenda sana. Well done you men of God. Jukwaa hili likifanikiwa kuenea katika madhehebu yote, Kristo atahubiriwa vilivyo. Praise the Lord.
Binafsi nimebarikiwa sana. nakumbuka ile siku ya pili ya Shule ya Huduma jinsi Askofu Kakobe alivyoomba kwa mzigo kwa ajili ya Watumishi, niliguswa sana nami nawaombea kweli ya Mungu muisimamie, maana ki-ukweli Injili ya Kristo imefunikwa, watu wamekuwa ni wa kujipenda wenyewe kuliko kumpenda Mungu, wasengenyaji, watukanaji, wasiojali wa kwao na mambo mengine mengi ya ki-dunia, Injili ya kumhubiri Kristo haipo tena. Damu ya Yesu Kristo wa Nazareti iwafunike, muwe na maisha marefu hadi Yesu ahubiriwe kila mahali. mbarikiwe sana
Hawa watu naweza waita kuwa ndio God's General nawapenda sana watu wa Mungu.
Watumishi wa Jehovah Asanteni na mzidi kua karibu na sisi na tutafaulu.
inapendeza sana kuona, ndugu wakikaa pamoja kwa UMOJA,
MUNGU wa amani awabariki Mno kwa maono haya MEMA.
May the Lord God continues to cement this unity in Jesus Christ name.
Inapendeza Neno la Mungu linasema Zab 133:1-3 " Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza , Ndugu wakae pamoja na umoja ..................." Mbarikiwe sana Watumishi wa Mungu.
Ni wakati wa sifa na utukufu kwa Bwana,Yesu Kristo
Very nice
Mubarikiwe sana..nawatakia mema BWANA awaangazie na nuru yake na kuwalinda
Mungu awabariki mabishop
hongera sn wazee wangu Mungu awajaze
Inapendeza sana ndugu wakae pamoja.... Mafuta ya watumishi watatu..doooh!
Asantee Yesu yumlangoni leo mmekubali kukaa pamoja? Shetan lazima akimbiieee
Safi sana kanisa liwe na umoja
Mbarikiwe sana Masihi wa Bwana.
Mungu wa Amani azidi kuwabariki
Mbarikiwe sana
Naiwe hivyo Watumishi wa Mungu,
Tunawapenda sana
Hapo ndo ninapomkubali kakobe, anapoenda kwenye vifungu vya biblia, na kuchambua kwa kina.
Nimebarikiwa sana na hawa watumishi wa Mungu. Kweli wameitwa kwa kazi ya Mungu
Amen 🙏
Amina
Hakika ni maono yenye tija mbele za mungu aliye tuumba sisi wana dam kwa sura na kwa mfano wake. Na tukijua tumeumbwa kwa sura na kwa mfano wa mungu. Hatuna sababu za kutenga tengana bali imetupasa tuwe wa moja ktk yeye aliye tuumba ya kristo yesu.
Leo mnakumbukana useni mlikuwaqa wapi njiye was eye naumoja wenu hadi mmekumbuka nqurumo yaupako mliyokataaqa
Nitakuwepo bila kukosa
Hahahahhah
Sauti jmn haisikiki
Mtuombee nasisi tunaopenda kumtmikia Mungu lakini tunavita
Uhusiano wa SADC na INJILI ni nini?Mnanitia hofu kuhusisha KRISTO YESU na SADC.
Mlikataa huduma yanqurumo yaupako Leo mnatavuta kwaaibu
Na likiwepo jema lolote, litafakarini hilo.
samweli mollel acha kutumiwa na shetani
Wakala wa shetani anaonekana ni wewe usiyeyajua hata neno.
Najua hap wote hapo hamtafuti vyeo mnamaanisha