Yaani hili somo nilikuwa nalitafuta sana ubarikiwe mtumishi wa mungu .mungu akupe maisha malefu ili injili hii ifike ulimwenguni kote maana wachungaji wengi kuhusu hili somo hawasemi
Bado ningali mtoto mdogo nilikuwa nasikia Askofu kakobe kama Mnjanja- mnjanja kumbe uwongo sasa nimekuwa mkubwa najua kweli yote huyu mchungaji ni mpakwa mafuta na Mungu wa kweli nasio msaka tonge
th-cam.com/video/AOlQn-WuCKc/w-d-xo.html Je unampenda Mungu na unasikia kuwa jirania yako anakatatamaa?? Pastor Chance anaongea juu ya funguo ya maisha kwa video fupi hii
Mtumishi wa Mungu tunamwomba roho mtakatifu aendelee kufunulia nauzidi kusema asije kawepo wakusema hakusikia
Ubarikiwe mzee wangu kwa neno ili
Nashukuru Baba Askofu kakobe kwa fundisho hili nimefarijika sana , MUNGU wa mbinguni akubariki na akupe maisha marefu uendelee kuhubiri huu ukweli 🙏
Nampenda sana mchungaji kakobe
Yaani hili somo nilikuwa nalitafuta sana ubarikiwe mtumishi wa mungu .mungu akupe maisha malefu ili injili hii ifike ulimwenguni kote maana wachungaji wengi kuhusu hili somo hawasemi
Baba ninashukuru kwa ujumbe mzuri sana. Mungu akubariki na kukulinda na kukutunza katika utumishi mwema uliyoitiwa.
Nimefurahi sana kupata huu ukwel nadhan makanisa ya kiroho yajifunze kusema kwali yote ya Yesu kristo
Bado ningali mtoto mdogo nilikuwa nasikia Askofu kakobe kama Mnjanja- mnjanja kumbe uwongo sasa nimekuwa mkubwa najua kweli yote huyu mchungaji ni mpakwa mafuta na Mungu wa kweli nasio msaka tonge
hapana,vaeni ivo ivo, si mnasema mungu anaangalia roho sio mavazi,na hakuna kuwaiga kama waislam..mkae uko uko,muvumiliane
mungu atusaidie sana maana dunia hii anatuangamiza mungu akupiganie uishi siku nyingi ili neno la mungu lipate kuhubiriwa ulimwenguni poote
Ubalikiwe sana mtumishi WA Mungu aliye hai ,endelea kutupa kweli ya Mungu,watapigana nawe hawatakushinda.
,
Mungu akubariki sana Baba
Barikiwa Mtu wa Mungu
huyu baba unanibariki mno mno toka utoto wangu aisee
Ahsante Sana Mungu amekupa vingi mno Baba Yangu wa kiroho
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU
Je ,kuna sheria za tasisi zinazo lazimisha wanawake wavae suruali ,itakuwaje kwa wa Kristo?
Hii ndiyo kweli ya neno la Mungu
mpendwa tuwekee somo la zaka
Mungu akubariki kakobe
Hongera Baba Askofu nimepata mpaka sehem ya 10
Ubarikiwe Bishop,
Ukweli
Naomba nisaindie jamani naomba kupata mwendelezo wa somo hii
usijali ndugu..punde nitaweka mwendelezo wake.
Ameen
Amina
makanisa yanayoibuka kwasasa hayataki kufundisha kweli ili wapate waumin wengi
ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI TV UONE DADA ALIVYO VAA VAZI LAKANISA
Jesus is power
Tumemis sana mafundusho yako kwa njia tv
Emeen
Amen
Hili ndiyo somo lililo washinda wachungaji wengi somo la mavazi
Jackline Odhiambo barikiwa sana
Ubarikiwe sana kwa kuihubili kweli ya kristo
Amen MUNGU akubariki
Baba wa Mbingu tuokoe tunangamia!
Naomba unitumie somo LA mavaz ya MTU aliyeokoka me saiv nikisach hayaji na nilikuwa nafuatilia masomo mbalimbali namba yangu ya whatsaap 0753712724
th-cam.com/video/AOlQn-WuCKc/w-d-xo.html
Je unampenda Mungu na unasikia kuwa jirania yako anakatatamaa?? Pastor Chance anaongea juu ya funguo ya maisha kwa video fupi hii
Namba zangu za simu ni 3195944118 ao email adress yangu ni Shabaniijo@gmail.com
Amen
Amina
Tumemis sana mafundusho yako kwa njia tv