IGP SIRO APEWA MAAGIZO MAZITO NA MAGUFULI KWA SIMU"MSIMAMISHE KAZI SASA HIVI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 101

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 5 ปีที่แล้ว +13

    Kumbe tumepata Rais tuliye mtaka mm ni chadema lakni nimekukubali sana Raisi wangu yani jembeeeeeeeeeeeee

    • @evelynmon9423
      @evelynmon9423 5 ปีที่แล้ว +1

      Michano Michano yaan Jembe kwa kweli Mungu amlinde

    • @alexkabeho5609
      @alexkabeho5609 5 ปีที่แล้ว +1

      Hongera sana Ndugu kutambua kwamba ni rais wa kila mtu

  • @Mja_Gongo
    @Mja_Gongo 5 ปีที่แล้ว +24

    Awali niliambukizwa chuki ya kumchukia sana mheshimiwa raisi na nikamchukia sana,lakini sasa najilaumu sana kwanini niliipumzisha akili yangu na kutumia akili za wengine! Magufuli is the right president whom we found for a long time,be blessed my president.

    • @thepatriottz9205
      @thepatriottz9205 5 ปีที่แล้ว

      We mshenzi nini we hatutaki na dikteta hapa fala kweli we

    • @Mja_Gongo
      @Mja_Gongo 5 ปีที่แล้ว +2

      @@thepatriottz9205 sawa ndugu,mwenzio sijajaaliwa matusi,halafu nimeelezea hisia zangu na si za mtu mwingine,so haupaswi kuzikataa hisia zangu,we endelea na hisia zako na maamuzi yako,tusitusiane ndugu

    • @thepatriottz9205
      @thepatriottz9205 5 ปีที่แล้ว +1

      @@Mja_Gongo fungua macho baba angalia tumefika wapi hiyo barabara na daraja zilizojengwa ni maendeleo kila rais anfanyaga lakini huyu mwandazimu kahraibu hali ya biashara anatiawatu ndani msaada toka nje lime kawatzwa anafatilia njia ya udikteta

    • @Mja_Gongo
      @Mja_Gongo 5 ปีที่แล้ว

      @@thepatriottz9205 waaaaooo,ujue hapa tumetofautiana uelewa wa mambo,lazima utambue kuwa sipo upande wa vyama,maana mimi siwez kuwa wa ccm kamwe,baba na mama yng wote ni watumwa wa ccm,ila si mm,hapa najaribu kuyasifia mazur ya JPM maana mabaya yake nishayapinga sana,hebu nicheck 0744861099 ili tujuzane vema,tunaweza tusigombane ila tukapeana elimu

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 5 ปีที่แล้ว +5

      Ndugu zangu watanzania wenzangu msitumie maneno makali eti sababu ya kumlazimisha mtu awe na mtazamo sawa na wewe ni ngumu, na pia tulizoea sana uvivu fitina na majungu utoro makazini mtu ameamka na hangover kesho yake anaamua kujipumzisha ama mwengine anaenda kazin na hangover sasa jiulize je kazi itafanyika? Hapo ndio tulipofikia ila sasa utake usitake utafanya kazi huendi kazini toa maelezo na vielelezo ndio nchi zote zenye maendeleo duniani, Duniani hawajawahi tu hata mara moja kufikiria kama Tanzania watakuja kuaka kiasi hiki mapema mno na kuwastua magharibi kwa mutengeneza mradi wa umeme wa mega watts zaidi ya elf 2000 wakati nchi toka ipate uhuru umeme ni megawatts 1600 jamani mbona kipindi kifupi sana tumesha sahau? Nchi haiwezi kuwa na maendeleo kama umeme ni wa mgao, umeme ndio kitomvu cha maendeleo kukataa mikataba mibovu kwa mafano mdogo tu mradi wa bandari ya bagamoyo ambayo vyama pinzani na hata spika wa bunge pia walitaka uwendelee bila kutumia akili za kujiongeza barabara ya uhuru toka kipindi cha uhuru ndio deni lake limeisha mwaka jana reli ya stiglas gorge inajengwa kwa gharama ya silingi za kitanzania trilioni 5 ila kama ingekuwa mkopo ingetakiwa ijengwe kwa trilioni 20 je tungemaliza madeni lini? Tulifanywa ng'ombe wa maziwa na nchi za magharibi na ndio maana sasa wanatupandikiza chuki wenyewe kwa wenyewe, niishie hapa, nakaribisha kuelimishana angalizo sina chama ila ni mpenda maendele tu.

  • @dennisdavid5230
    @dennisdavid5230 5 ปีที่แล้ว +4

    Aksante mkuu wanajisahau sana hao ndg zetu, wakumbushe kwa kuwashusha vyeo

  • @eliatoshaluka4874
    @eliatoshaluka4874 5 ปีที่แล้ว +5

    Kama umeona Rais mtukufu anatumia TECNO j8 gonga like👍

    • @salamamchingama3033
      @salamamchingama3033 5 ปีที่แล้ว +1

      😝😝😝😝

    • @eliatoshaluka4874
      @eliatoshaluka4874 5 ปีที่แล้ว

      @@salamamchingama3033 👅👅 Salama

    • @alexkabeho5609
      @alexkabeho5609 5 ปีที่แล้ว +1

      Hawezi kutumia smart phone cse wazungu wanajua upo wapi unafanya nini umesema nini wana kurecord kutoka Google, hio Nokia yake ya zamani humuwezi

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 5 ปีที่แล้ว +3

    Nikajua kamanda anataka kumpiga #Jpm roba kumbe anamuwekea vizur 🎤😂😂😂😂😂😂😂

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +3

    Piga kazi baba 🙏.

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 5 ปีที่แล้ว +13

    RAISI TUWEKE E-MAIL YAKO TUKUTUMIE UWOZOOO WATENDAJI .MAAN HATUWEZI KUKUPATA KUKUELEZA KERO ZETU..WATENDAJI WAKO WANAFANYA MADUDU SN NA WANAJIONA MIUNGU WATU..

  • @hassanmirambo564
    @hassanmirambo564 5 ปีที่แล้ว +5

    Leo Mjomba kachukia sana toka asubuhi sijui wamemuuzi nini? Na Mama Mariam nae akazinguliwa duh

  • @timothkanuti415
    @timothkanuti415 5 ปีที่แล้ว +5

    Mzee hataki masihara namtu nyie mnaleta masihara mtaisha 😊

  • @andrewkazala6799
    @andrewkazala6799 5 ปีที่แล้ว +5

    We mzee ni Nouma uishii miaka bukuuuu

  • @yonalema7442
    @yonalema7442 5 ปีที่แล้ว

    NAKUPENDA Rais wangu DrJohn Joseph Pombe Magufuli M/mungu Akusimamie. 🙏

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 5 ปีที่แล้ว +7

    Watu weweeeeeeeee Magu oyeeeee awamu ya kunyooka hii sio mchezo mliozowea vyakunyonga mtanyooka kma rula

  • @mlosac.b9672
    @mlosac.b9672 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Baba

  • @noronhacompanylimited5370
    @noronhacompanylimited5370 5 ปีที่แล้ว

    Naomba Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba sio Msahafu Ibadilishwe!!!!!

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 5 ปีที่แล้ว +4

    Afande ataambia nn mke na watoto kibarua kimeota nyasi 🤓

  • @kessyemmanuely7705
    @kessyemmanuely7705 5 ปีที่แล้ว +4

    nomaa sanaa

  • @mawazoselemani614
    @mawazoselemani614 5 ปีที่แล้ว +6

    million muheshimiwa huwezi pata pikipiki.labda zilizotumika

  • @anthonymchilika3224
    @anthonymchilika3224 5 ปีที่แล้ว +2

    Usiyempenda kaja🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zakstv7368
    @zakstv7368 5 ปีที่แล้ว +5

    Hee baba kachukiahatari

  • @girbetylamires7442
    @girbetylamires7442 5 ปีที่แล้ว +4

    watu oyooooo

  • @phiniasphinias8963
    @phiniasphinias8963 5 ปีที่แล้ว +13

    walio muona namna mzee alivyo chukia wagonge like hapa!

  • @husseinmachozi1437
    @husseinmachozi1437 5 ปีที่แล้ว +2

    Duuh milion 5 piki piki nne😀

  • @phiniasphinias8963
    @phiniasphinias8963 5 ปีที่แล้ว +10

    mzee hamna pik pik ya mil 1,ila hizo watapata kama tatu hiv,watumie kwa kazi wakati mwingine wanapigia misele tu hawa jamaa..

    • @maselewilliam1114
      @maselewilliam1114 5 ปีที่แล้ว +1

      Za serikali hazina ushuru hivyo zitapatikana chini ya 1m

    • @alexkabeho5609
      @alexkabeho5609 5 ปีที่แล้ว

      Kumbuka ni za serekali hawalipie kodi so million inapendeza 😂😂😂😂😂

    • @alexmwita5426
      @alexmwita5426 5 ปีที่แล้ว

      labda waziombee tax exemption la si hivyo itakuwa ngumu kupata pikipiki ya 1m

  • @emanuelsanga1917
    @emanuelsanga1917 5 ปีที่แล้ว +2

    SAFI

  • @gottaboy4178
    @gottaboy4178 5 ปีที่แล้ว +3

    Angewapeleka wengine Bush, wengine chato, sikuhamisha tuu🤣🤣🤣🤣

  • @emmanueljohn6765
    @emmanueljohn6765 5 ปีที่แล้ว +3

    mzee Leo kavulugwa kinoma ukinzingua unazinguliwa hapo hapo

  • @rajabumussa6043
    @rajabumussa6043 5 ปีที่แล้ว +1

    asante raisi wetu unafunya kazi tunavyotaka watanzania

  • @hassanpyallah8750
    @hassanpyallah8750 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee magu,, naomba 2 uendelee kutawala mpk mungu atakapokuhitaji

  • @esharamadhani3438
    @esharamadhani3438 5 ปีที่แล้ว +11

    Mheshimiwa na nokia yake 😂😂😂

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 5 ปีที่แล้ว

      Sio angalia vizuri usiwahi kucoment Bila kuangalia habar

    • @esharamadhani3438
      @esharamadhani3438 5 ปีที่แล้ว +1

      @@latifamkulazi8378 we vipi?asa mie nilichoandika kinakuhusu nini?mie nime comment nilichokiona.

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 5 ปีที่แล้ว

      Halafu network search

    • @papayatnzania1005
      @papayatnzania1005 5 ปีที่แล้ว

      Esha kuna vya kucheka ndugu yangu kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza totoro hapo kwa taarifa yako unajicheka mwenyewe unaona ujanja mwenyewe kuwa na smart phone ? 😂🤣😂🤣 jiandalie sanda mwenyewe kwa magonjwa ulionayo kwenye hiyo smart phone yako #JPM anajitambua sio wewe hata lichupi lako unashindwa kufua kwa u busy na smart phone yako huku uvundo wa kufa mtu Nguruwe pori uliokosa mkia wewe

    • @esharamadhani3438
      @esharamadhani3438 5 ปีที่แล้ว

      @@papayatnzania1005 laana tullah labda mama yako aliekuzaa nnje ya ndoa. Mbwa mjaa laana usokuwa na makazi maalum wewe 😂😂😂kwaa taarifa yako unantanguliza kunivisha SANDA nawe unafuata

  • @patrickmbogo7805
    @patrickmbogo7805 5 ปีที่แล้ว +3

    Ivi uko kuna pikipiki ya sh.mil.moja kweli au 900000

  • @maufundi5037
    @maufundi5037 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekubali baba

  • @jasonbahath6570
    @jasonbahath6570 5 ปีที่แล้ว +1

    Namuamini Sana rais wangu,,hakika ana mambo mengi Sana yakufatilia ndo Mana huwa ahaidi kitu Wala kuweka Jambo subila,,yeye anamaamuzi ya papo kwa papo

  • @gammygregy5955
    @gammygregy5955 5 ปีที่แล้ว +3

    IGP ametafutwa kama hela

  • @a.a.a.s8322
    @a.a.a.s8322 5 ปีที่แล้ว +1

    HAPA KAZI TU. Ujanja ujanja Pembeni.

  • @jacobmahenge8018
    @jacobmahenge8018 5 ปีที่แล้ว

    mungu awarehemu watanzania wote wanaokuwa kinyume na Raisi magufuri....

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee kachafukwa Rais wangu nakupenda sana

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 5 ปีที่แล้ว +1

    Pikipiki 900000 au milion zipo hukuu kwetu

  • @luganostewart8320
    @luganostewart8320 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndo JPM, ni mwendo wa mbio tu awamu hii wale wasiokuwa na pumzi ya kumudu mpambano jitoeni mapema mchezoni!!!!!!!

  • @socialtv9879
    @socialtv9879 5 ปีที่แล้ว

    Jaman m nimesikia Raha Kuona hii operesheni imefika Hadi Kwa Hawa wanyanyasaji

  • @dieudonnebigirimana5400
    @dieudonnebigirimana5400 5 ปีที่แล้ว

    Africa inahitaji ma rais kama huyu magufuli

  • @SefrozaMafuru
    @SefrozaMafuru 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukicheza kidg tu,😂😂
    Ushalimwa

  • @fadhilisteven6763
    @fadhilisteven6763 5 ปีที่แล้ว

    Kweli mungu anawatu wake

  • @millenium2003
    @millenium2003 5 ปีที่แล้ว

    kufanya kazi serikalini mida hii ni shida.

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 ปีที่แล้ว

    Amen Amen.

  • @mkopiissa3185
    @mkopiissa3185 5 ปีที่แล้ว

    Nimeyapenda maamuzi yako mkuu wa nchi

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 5 ปีที่แล้ว

    Jembeeeeeeeeeee

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 5 ปีที่แล้ว

    Niivyo uko mbali baba ningekupa buku ya soda

  • @zarinasuluhu2547
    @zarinasuluhu2547 5 ปีที่แล้ว

    Aliyemona magu kachukiya gonga like🤣🤣🤣

  • @anawa4326
    @anawa4326 5 ปีที่แล้ว

    Teguwa ndio watafanya kazii kisawasawa nakukubali rais wangu hata kama simtanzania

  • @princesinko4073
    @princesinko4073 5 ปีที่แล้ว

    Amri lazima uitekelezee

  • @drazzadrazza4165
    @drazzadrazza4165 5 ปีที่แล้ว

    daaah huyu mzee allah amrinde sana kwani anajituma sana na kweli anafanya kazi kwa hofu yamungu

  • @MOROTOWNTV
    @MOROTOWNTV 5 ปีที่แล้ว

    Milioni moja baiskeli au pikipiki

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 5 ปีที่แล้ว

    Wanyooka tu

  • @abdullyabasiabasi2375
    @abdullyabasiabasi2375 5 ปีที่แล้ว

    Sasahiyo Kulen Mkione Chamtemakuni Mananyie amuonagikitu Kulen Nahy Sasa Muone Balaalake

  • @linnageorge7795
    @linnageorge7795 5 ปีที่แล้ว +2

    Haya nimatizo ukiteleza tuu umeanguka

  • @celebratingunited4064
    @celebratingunited4064 5 ปีที่แล้ว

    pipik milion moja

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 5 ปีที่แล้ว +5

    kama umesiki chato imetajwa gonga like

  • @gottaboy4178
    @gottaboy4178 5 ปีที่แล้ว +3

    Sijapata kuona Rais mwenye mikwara kama huyu...

    • @godfreyjoseph5967
      @godfreyjoseph5967 5 ปีที่แล้ว

      Mikwara wakat watu wanapgwa chini

    • @mrishomindu4231
      @mrishomindu4231 5 ปีที่แล้ว

      GOTTA Boy Kama ulikua haujapa kuona mingwala asubuh hauwezi kupata kuiona mingwala jioni labda utaiona miguu ya kuku Usiku endelea kukaamacho wenzio wanaondoka kila siku we una kengeza tu lakini unajilazimisha kua kipofu.

    • @SefrozaMafuru
      @SefrozaMafuru 5 ปีที่แล้ว

      Hapa naona seriousness ..mikwara tena mtu keshajipunguzia unga tyr

    • @silidio
      @silidio 5 ปีที่แล้ว

      Watu wengine wanaongea utumbo, huyu baba ananyoosha inchi shukuluni mungu kwakumpata, mungepata rais mwengine ka Kikwete inciyenu mungeshituka inatawaliwa shaglabagla kama KONGO DRC.

    • @leonardgoyayi
      @leonardgoyayi 5 ปีที่แล้ว

      GOTTA BOY hatari tu sana

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 5 ปีที่แล้ว +1

    Sielewi naomba wapewe nafasi ya kujitetea pia kuna onyo mda walio fanya kazi ni mda mrefu

    • @athumanimwangata1620
      @athumanimwangata1620 5 ปีที่แล้ว

      Kazi haitaki mazoea ni kufukuzwa tu na jela na wachunguzwe luswa tu ukiona hivyo awaamishi walikuwa wanamretea pesa Sasa kimeota ndiyo akajifuze na Familia yake

    • @athumanimwangata1620
      @athumanimwangata1620 5 ปีที่แล้ว

      Tutaona kama mke atamupenda

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 ปีที่แล้ว

    Amen Amen.