Profesa Janabi afunguka MAZITO; Watatu washindwa kuhimili PUTO, ataja chanzo vifo vya ghafla

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 8

  • @itspatricklucas
    @itspatricklucas ปีที่แล้ว +1

    Prof ana akili sana huyu namkubali sana huyu mzee 🙌🙌

  • @liliangrant3110
    @liliangrant3110 ปีที่แล้ว +1

    asante Dr mafunzo ni mazuri sana

  • @hassanridhwani9636
    @hassanridhwani9636 ปีที่แล้ว

    Asante sana Prof

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 ปีที่แล้ว

    Kwa upande wa madaktari hapo muhimbili amani tupu. Ila baadhi ya manurse wana stress hadi zinawafikia wagonjwa

  • @Kidia-yt3bm
    @Kidia-yt3bm ปีที่แล้ว

    Sawa Prof pamoja na maelezo yako mazuri uliyoyasema nimesikia ukisema kuhusu kubomoa hospitali ya muhimbili na kujenga upya,swali langu ni kwa nini msiache hayo majengo yatumike kwa matumizi mengine mkaenda kununua eneo huko kibaha au eneo lingine mkajenga muhimbili mpya hiyo ya kubomoa nafikiri mlifikirie upya

    • @barakamsungu5260
      @barakamsungu5260 ปีที่แล้ว

      Huo ni uwekezaji uliotumia miaka na miaka sio rahisi kama unavyodhani, ni sawa na kusema Dar iache tutafute eneo jingine tukaijenge upya

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@barakamsungu5260hapo umenisaidia, kutafuta eneo kibaha si wazo baya sana maana hospitali ikijitenga na movement za mjini ni bora zaidi ila ni ngumu kuihamisha maana uwekezaji uliowekwa hapo ni vile wengi hawajui tu zipo mashine zimefungwa hapo ni zaidi ya mabilioni sasa useme ubomoe na kupeleka sehemu nyengine ni changamoto yatayobomolewa na kuboreshwa ni baadhi ya majengo na si hospitali yote

  • @josephhukumu1161
    @josephhukumu1161 ปีที่แล้ว

    Kuanza clip inachujua dak moja unusu? Na sio tangazo la biashara.