Dah!! Haya bana!! NILITEGEMEA MJADALA UWE TEAM LISU NA TEAM MBOWE, SIO TEAM MBOWE NA MCHAMBUZI , MMEMPA WAKATI MGUMU SANA JEBRA NI VILE TU YUKO SMART, LAKINI HII INATIA SHAKA KIDOGO KUHUSU HUKO TUENDAKO.
huko ni kukua kwa demokrasia watu watano akiwemo mbowe wamechukua fomu kugombea uenyekiti Taifa ..ccm inabidi wajifunze demokrasia kutoka kwa chadema kila anayetaka kugombea uenyekiti Taifa apewe fomu na agombee bila kutishwa au kunyimwa fomu au kutekwa
Mtangazaji Kija umeng'ang'ania ni asilimia ngapi wapo mtandaoni!!!? Unachoshindwa kuelewa ni kwamba waliopo kwenye mtandao ni sample, na inaitwa representative, yaani wakilishi! Si ndio tafiti zinavyo fanyika Duniani?
Yeriko ni takataka kabisa yani anasema chama kinaongozwa na busara sio katiba hiyo busara imeandikwa wapi ww umeongea maneno matupu jebra anasoma kanuni anasema hoja iishe mana hana vipengele anavyo weza justify anacho sema 😊
Yericko kaonyesha ni kwa namna gani uwezo wake wa kufiri umefika kikomo. Na kitu alichopaswa kuelewa ni kwamba hawa watu anaowatambia ni watu wa nyumba moja na ni watu walioshirikiana kwa pamoja katika harakati za kisiasa za upinzani na aelewe pia kuwa, watu wa Chadema sio mazuzu kwahiyo hizi hoja zake maji taka anapaswa awalaghai maCCM na sio wafuasi na wanachama wa Chadema. Yeye kama anamnadi Mh. Mbowe anadi sera za mgombea wake period.
Wenje amesema kikao hicho mlichokaa kimerekodiwa na lissu ameonba radhi lissu amesema itoeni hiyo video tuone mbona hamuitoi kazi kusema ameonba radhi tu
Mnakiuza alafu mnasema kikubwa subili mtabaki na jina ka tlp caf nccl chauma sau watanzania tuna kazi za kifanya kwani kwa uongozi huu iliopo na mbowe wenu mnatia shaka kisiasa atuelewi malengo niniau chukua chako mapema
Eti Mbona Flani hamjamlipa malipo yake Kmmk sasa anayemuambia atoe hayo malipo ni Nani katika hii nchi.. anapower gani..? Wenje alimfuata huyo mtoto kama Nani kwake..? Mahusiqno ya wenje na huyo mtoto yalianza vipi sababu hata umri hawafanani ..? Unajivesha uhusika wa kwenda kumdaia mtu deni lake bila mdai kuwa na taarifa lengo lako ni nini..? Yaani Interview nzima mmempa airtime Yerikko ili kuzidi kuongea stupid shit angali anajijua na yeye piah ni mla rushwa mashuhuri. Lengo kumfifiza TAL kisiasa na Angejichqnganya kuchukua Pesa za huyo Dulayo now days TAL angeishi maisha magumu sana .. Alifikiria mbali that's why wanamuona kama mropokaji ila anaongea ukweli .. FAM Hana biashara inayompa pesa kama Kuifanya CDM kama club ya mpira yeye anapokea pesa za usajiri , Kuuza wachezaj, Kupokea Pesa za wazamini wa Club, Pesa za Ligi kuu... Pesa za Kuuza mechi.. ,, Kocha pia ni yeye sasa anaamua Nani acheze na Nani akae bunch kmmk😂😂😂😂
Unapopambana na lissu utulize kichwa . Jaman yaan akili ya yericko ndy imchallenge huyo mzee mbn kichekesho lissu anaweza kuchambuliwa na kina yeriko while yule mpiga dili anamshindwa
@jangalaalexbubehi7658 inawezekana hata kadi ya chadema huna alafu unaniita mm Ccm.. huwezi kuwa kiongozi wakti huna busara na hekima hata suleiman mwenyew aliomba Kwa Mungu
yeriko hana hoja kabisa zaidi kelele tu, apewe uenyekiti mbowe atafanya nini 5 years kama 20 yote ameshindwa kuchukua dola ,,,,clouds next time mlete watu kama jebra wenye hoja na sio kelele please
Lissu ameshaanza kampeni kabla ya muda.na ameshasema mambo atakayoyafanya.wakati wenzake bado hawajasema chochote na hawajaanza.Mbowe hajatoa sera yoyote
Kija masha allah,mtoto una ng'aa
Safi team lisuu
Dah!! Haya bana!! NILITEGEMEA MJADALA UWE TEAM LISU NA TEAM MBOWE, SIO TEAM MBOWE NA MCHAMBUZI , MMEMPA WAKATI MGUMU SANA JEBRA NI VILE TU YUKO SMART, LAKINI HII INATIA SHAKA KIDOGO KUHUSU HUKO TUENDAKO.
huko ni kukua kwa demokrasia watu watano akiwemo mbowe wamechukua fomu kugombea uenyekiti Taifa ..ccm inabidi wajifunze demokrasia kutoka kwa chadema kila anayetaka kugombea uenyekiti Taifa apewe fomu na agombee bila kutishwa au kunyimwa fomu au kutekwa
Nilichogundua media za TANZANIA hazijajipanga kuikuza demokrasia na utawala Bora wa nchi yetu. Umamluki mwingi sana.
Mtani wangu Jericko utayaweza mawe ya Jebra? Haya twende kazi.
Mbona nyinyi Clouds mnampa airtime sana Jericko? Tayari tutaanza kupata mashaka kidogo, kuna nini?
Yerico mnganga wa kienyeji
Clouds mshakuwa machawa sasa mbona Yeriko mnampa air time sana, kwahyo kulikuwa na haja gan kumuita Jebra????
Patachimbika
Yeriko hakuna namna unaweza kuzuia public opinion.
Katumwa na mbowe
Anaharibu jina la Baba yetu wa Taifa
Yerico hajui anachongea yan utafikil toto
Yericko ni mtu na nusu… Hongera sana
Huyo muongo lisu alisema hakuomba msamaha kwenye kamati na alisema kuna video walirekod vyote kuhusu kikao hicho watoe iyo video
Mtangazaji Kija umeng'ang'ania ni asilimia ngapi wapo mtandaoni!!!? Unachoshindwa kuelewa ni kwamba waliopo kwenye mtandao ni sample, na inaitwa representative, yaani wakilishi! Si ndio tafiti zinavyo fanyika Duniani?
Yeriko ni takataka kabisa yani anasema chama kinaongozwa na busara sio katiba hiyo busara imeandikwa wapi ww umeongea maneno matupu jebra anasoma kanuni anasema hoja iishe mana hana vipengele anavyo weza justify anacho sema 😊
Nikwambie hata lisu amesaidia sana kukiamsha chadema yeriko
Ila Yericko ni muongo aisee!
Yericko kaonyesha ni kwa namna gani uwezo wake wa kufiri umefika kikomo. Na kitu alichopaswa kuelewa ni kwamba hawa watu anaowatambia ni watu wa nyumba moja na ni watu walioshirikiana kwa pamoja katika harakati za kisiasa za upinzani na aelewe pia kuwa, watu wa Chadema sio mazuzu kwahiyo hizi hoja zake maji taka anapaswa awalaghai maCCM na sio wafuasi na wanachama wa Chadema. Yeye kama anamnadi Mh. Mbowe anadi sera za mgombea wake period.
Yeriko nakuelewa sana
Yeriko umejiharibia image yako kwa kipindi hiki.
Message to Yeriko: The Train has left. You're one of a few passengers still left behind.
yeriko unapotea kujua kanuni za CHADEMA sio lazima huwe mwanachama kwani mambo yoote hayo ni public
Wenje amesema kikao hicho mlichokaa kimerekodiwa na lissu ameonba radhi lissu amesema itoeni hiyo video tuone mbona hamuitoi kazi kusema ameonba radhi tu
Ndio hapo sasa
Kitabu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi sijui nilinunuaga cha nini..! Zile stori alikuwa anakopi stori
Hivi sio Yeriko aliyesema busara, hekima hutangulia katiba? Kama katiba yenu haina kipengele cha ukomo, busara inasemaje?
Mnakiuza alafu mnasema kikubwa subili mtabaki na jina ka tlp caf nccl chauma sau watanzania tuna kazi za kifanya kwani kwa uongozi huu iliopo na mbowe wenu mnatia shaka kisiasa atuelewi malengo niniau chukua chako mapema
Yeriko anaruka maneno
Siasa ndio inatakiwa iwe hivyo. Kwenye uchaguzi. Inatakiwa hasa watu wacharuke baaada ya kumaliza uchaguzi watu washikamane na watemgeneze chama chao
Jebra ni team Lissu kama umemwelewa
Eti Mbona Flani hamjamlipa malipo yake Kmmk sasa anayemuambia atoe hayo malipo ni Nani katika hii nchi.. anapower gani..? Wenje alimfuata huyo mtoto kama Nani kwake..? Mahusiqno ya wenje na huyo mtoto yalianza vipi sababu hata umri hawafanani ..? Unajivesha uhusika wa kwenda kumdaia mtu deni lake bila mdai kuwa na taarifa lengo lako ni nini..? Yaani Interview nzima mmempa airtime Yerikko ili kuzidi kuongea stupid shit angali anajijua na yeye piah ni mla rushwa mashuhuri. Lengo kumfifiza TAL kisiasa na Angejichqnganya kuchukua Pesa za huyo Dulayo now days TAL angeishi maisha magumu sana .. Alifikiria mbali that's why wanamuona kama mropokaji ila anaongea ukweli .. FAM Hana biashara inayompa pesa kama Kuifanya CDM kama club ya mpira yeye anapokea pesa za usajiri , Kuuza wachezaj, Kupokea Pesa za wazamini wa Club, Pesa za Ligi kuu... Pesa za Kuuza mechi.. ,, Kocha pia ni yeye sasa anaamua Nani acheze na Nani akae bunch kmmk😂😂😂😂
Unapopambana na lissu utulize kichwa . Jaman yaan akili ya yericko ndy imchallenge huyo mzee mbn kichekesho lissu anaweza kuchambuliwa na kina yeriko while yule mpiga dili anamshindwa
Tatizo watanzanoa ni wanafiki, huyu kwasababu ni mwanasherria anamuunga mwwenzake, lkn ukweli lisu hafai
Rushwa hamani
Sasa huyo abdul ana umhim gan wa kusuluhisha hyo ishu?au ananafas gan labda au yeye ni nani
Ni huzuni hawa kampeni meneja wa mbowe hamna kitu wanamuahibisha huyu Yerico Nyerere anamuahibisha Mwamba
Kumbe Yeriko akili yake ndogo sana. Nilikuwa sijajua hilo
Katumwa na mbowe amtetee kwa kumponda lissu
Watu wanamtaka lisu sio mbowe hana jipya
mchambuzi na mwanachama ,,clouds what this ??? Ila mchambuzi ametisha sana 🧠
Hata kwenye maisha ya kawaida kama Mume mtetee mkeo sebleni alaf kamseme chumbani kiufupi lissu Hafai ata kuwa mwenyekiti wa kitongoji
Hayo yako ccm
@jangalaalexbubehi7658 inawezekana hata kadi ya chadema huna alafu unaniita mm Ccm.. huwezi kuwa kiongozi wakti huna busara na hekima hata suleiman mwenyew aliomba Kwa Mungu
CHADEMA ni chama cha siasa, kina public interest, siyo ndoa.
kwani JEBRA kanuni hazijasema ikiwa mwenyekiti ndio mlalamikaji nini kitafanyika
Jebra unazingua lisu anakitumia vibaya
Shida anabaniwa mda wa kujieleza,huyo yeriko maelezo yake ni kama katumwa na mbowe,hana lolote
Kwanini kesho yake lisu yake asitome public km alikua anapinga Rushwa.
yeriko hana hoja kabisa zaidi kelele tu, apewe uenyekiti mbowe atafanya nini 5 years kama 20 yote ameshindwa kuchukua dola ,,,,clouds next time mlete watu kama jebra wenye hoja na sio kelele please
We mwongo kweli,Abdul ana nafasi gani katika taifa letu.
Anacheza na hela zetu anavyotaka
lisu ameishaanza kampeini alisema anajua kura zake
Mbn watangazaji hammpi nafasi Jebra nae ajieleze mda mwingi kama huyo yeriko,,yeriko katumwa na mbowe
Haka kayeriko bwana😂 kanaongea pumba tu
Dada ana akili kuliko yerico
Sasa wewe unasema aliomba radhi tukiwa kamati kuu hapo hujatoa siri za chama!
Huyu Yeriko anazingua tu hana hoja za maana kuwashawishi watu
Sasa wakijenga bandali hao dolphin si watakumbia
Jebra ni mmwanachama?
Suala la Uenyekiti Chadema kimetoka ndani ya Chama Sasa. Lipo kwenye jamii😊
Yericko si ni ccm uyo hao ndo wale waliotumwa kukiangamiza chama chetu nabowe anawaamini wajinga hao😢😢
Sasa malalamikaji kama ni yy kwanini asikae pembeni ili achunguzwe kwa kuwatuumu wenzake??
Kwann hao wenzake wasimpeleke kwenye kamati ya maadili ili ashughulikiwe kwa kuwachafua
Ukiona mtu anataka aongee yeye tu hataki kusikiliza wenzake jua hana hoja!
Yani huyu jamaa bonge la tapeli
huyu yeriko ni pumba kabisa
Lissu ameshaanza kampeni kabla ya muda.na ameshasema mambo atakayoyafanya.wakati wenzake bado hawajasema chochote na hawajaanza.Mbowe hajatoa sera yoyote
Hajapiga kampeni ametia nia umeona akisema naomba kura zenu
Yericko muongo. Kuna facts kuhusu Lissu na Abdul umepotesha. Kwenye interviews za Wenje na Lissu hawakusema uliyosema.
😂😂Karuka ruka vitu
Yericko mnaharibu chama jamani nyiee
Ccm.propaganda media