@@binomaralbaalawy3909 sio kama mm sielew mm naelewa maana mm ni mpemba Lakin hoja yang Hiyo ni biashara wanafanya kama ni biashara Lazima umize kichwa jins gan utaweza kuiyuza bidha yako huwez kutengeneza move Ili iyangaliwe na wapemba tu au watu wa unguja tu sio kweli ni Lazima isambae sehemu kubwa sana mwa Bara la Africa na kwengineko dunian sasa ww unasema eti wamepwerewa au kidigi au sawa hayo maneno hata kwenye kamusi hayapo hiv ni.kweli tujitahid kuongea kiswahili fasaha saiv kiswahili ni lugha ambayo inasomwa snaa dunian
Nimekubal kaz wawah nachek pek ang daaaah
Heee kidundo ww nakupenda sn. Kwa vituko
Hongera sana kidundo salout kamanda wewe namkumbuka kanumba .. salout kamanda twasubri muendelezo
Hongereni mungu awazidishiye kipaji chenu
Koti ovuhaaa. Safi sana jamaa yangu
Mumetishaaaaa kinomanoma💪🔥🔥
😀😀😀😀😀 jmni weeee mbavu zanguuuu 😄😄😄😄😄😄 pemba oyeeeeee
Kidundo heee kama kweli
Hatuna cha kuwalipa zaid ya kuwap support yetu tu
kidundo filamu tnaingojea hajitoka mbona
Nipo vzur move lkn hzo bunduki kidogo zingekua Sirius kidogo
Tupo pamoja kazi mzuri
Safi sana
Hongeren sana
Ndo kidundo eti😀😃😄😁😆😅🤣😂
Et usife watka uniachie mie waume wawili
Hhhhhhhhh kidundo atakaachiwa waume wawili
Yaani kama itaendelea vizuri ivo ivo na kumalizia viziri bc itapatikana flm moja mzuri sana na inaweza kuonyeshwa ata kwenye azam media; (senema zetu)
Hii ndio imeishia hapa au vp?
Makamee nkufurahia mjomba
Na darecter anaye ongoza move anatakiwa awa mbunifu sana kwenye kuongoza maana kama hizo bunduk hazipo kwenye uhalisia wake
Kidundo unazingua unachelewesha ila nimekubali kazi
Safi sanaaaaaaaa❤
Yaani nafrahi kuskia lugha ya kwetu Hadi Raha
Kitu kimepigwa Micheweni icho
Miye nishatoshek sijui saidi njomba
Hhhhhh yaan nafrahi san dam zangu wingwi uko na abduli amour
tunafurahi pia kwa ushirikiano wako
❤😂❤
Big up san
Good job
Hahgahhah😂😂😂
Muongezeni yeyeeeee😂😂😂😂😂
chai nzito
Ila musituek mpk mikon ikakauk maji
Tunasubiri muendelezo muda mkubwa
🤣🤣🤣 yashapwewaa
🤓🤓🤓🤓amii pole
Heeeee
Aloo 😆😂😅
pamoja sana mdau wetu
Show
Location ni mzur sana lakin kinachoharibu ni lafudh ambayo inatumika sio mzur yani kipemba kimetawala inatakiwa muongee kiswahili kizur
Kwan wanongea kichina
@@hashimsalim1621 sio kichina ila unapotengeneza move unatakiwa uwongee jugha iliyofasaha ili watu waelewe unachokimaanisha
@@albait5227 kwa hiy ww huelew au
@@binomaralbaalawy3909 sio kama mm sielew mm naelewa maana mm ni mpemba
Lakin hoja yang Hiyo ni biashara wanafanya kama ni biashara Lazima umize kichwa jins gan utaweza kuiyuza bidha yako huwez kutengeneza move Ili iyangaliwe na wapemba tu au watu wa unguja tu sio kweli ni Lazima isambae sehemu kubwa sana mwa Bara la Africa na kwengineko dunian sasa ww unasema eti wamepwerewa au kidigi au sawa hayo maneno hata kwenye kamusi hayapo hiv ni.kweli tujitahid kuongea kiswahili fasaha saiv kiswahili ni lugha ambayo inasomwa snaa dunian
Sas hivyo wanavyosema kwao ndio biashara yao inaenda
Nomaaaas😱😂😂😂😂
Kaz mzur