Ndio watoto wapigwe bakora endapo hawakwenda chuo, alaf wazee tumesahau kama Kuna akhera tunahimiza watoto wende shule ila madrasa haitajwi, hili nifunzo. Mashaallah mashaallah new Star
Hongera New star Kwa kazi zenye kutoa mafunzo Kobe na Said Mjomba bwana mwisho. Endeleeni kuipa elimu jamii. Said mjomba ulikwends somea wapi utenguaji wa kofia.
❤❤❤❤napnda sna vtuko vya kobe
Safi sana Kaz mzr
Kobeeee
Alokua hajasikia tangazo amwambie mwenziwe😂😂😂
❤❤❤❤❤
hiiii imekwendaa wali na harageeee
😂😂😂😂 we Kobe
Huyu mwalimu mmoja wa chuoni hakuonyesha uhalisia ,panki hio😂
Ndio watoto wapigwe bakora endapo hawakwenda chuo, alaf wazee tumesahau kama Kuna akhera tunahimiza watoto wende shule ila madrasa haitajwi, hili nifunzo. Mashaallah mashaallah new Star
Daaah Namimi niliwahi kupakwa Masinzi mama ndie alie nikamatisha ila ilikua dawa hadi leo nashukuru matunda yake navuna
Hongera New star Kwa kazi zenye kutoa mafunzo Kobe na Said Mjomba bwana mwisho.
Endeleeni kuipa elimu jamii.
Said mjomba ulikwends somea wapi utenguaji wa kofia.
Mashallah new star
😂😂😂 kobe litoke usingiziiii
Kobe haahaaahaaa daaah
Nakumbuka hiii mwaka 2000
Tuko pamoja ❤
Naijua iyoo
😂😂
Hongeren kwa kuielimisha jamii